Epuka makosa 14 wakati wa kuanzisha biashara ya unga wa sembe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • Epuka makosa 14 wakati wa kuanzisha biashara ya unga wa sembe ni muendelezo wa video zinazo tengenezwa na Tan Business Channel
    Sasa hivi kuna wajasiriamali wengi wanafanya biashara ya unga wa sembe.
    Kuna wale ambao wamefanikiwa katika biashara ya unga wa sembe, lakini pia kuna wengine ambao biashara zao haziko vizuri
    Siri ya mafanikio ya biashara ya unga wa sembe ni ipi?
    Siri ya mafanikio ya biashara ya unga wa sembe ni pale mjasiriamali anapotekeleza taratibu zinazo kubalika za kuanzisha na kuendeleza hiyo biashara
    Kukosekana mafanikio ya biashara ya unga wa sembe, hutokea wakati mjasiriamali anapofanya makosa mbali mbali yanayo sababisha kuanguka kwa biashara
    Video hii inaeleza makosa 14 ambayo mjasiriamali anapaswa kuepuka wakati wa kuanzisha biashara ya unga wa sembe
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    UA-cam: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

КОМЕНТАРІ • 6