Jinsi ya kutambua fursa ya kuanzisha biashara ya unga wa sembe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Jinsi ya kutambua fursa ya kuanzisha biashara ya unga wa sembe ni muendelezo wa video zinazo tolewa kila siku na Tan Business Channel
    Kuna wafanyabiashara wengi bado wana anzisha biashara bila kufuata taratibu zinazo kubalika wakati wa kuanzisha biashara mpya
    Moja kati ya hizo taratibu ni kuhakikisha kuwa unatambua fursa ya kuanzisha biashara unayo chagua
    Unapo anzisha biashara bila kutambua fursa ya kufanya biashara, unakuwa umefanya kosa kubwa kwa sababu, utakuwa hufahamu mteja anataka nini
    Katika biashara mteja ni muhimu sana kwa sababu, ndiye anayenunua bidhaa au huduma kutoka kwako
    Hivyo unapaswa kumjali mteja kwa kutafakari changamoto anazo kumbana nazo, wakati anataka kununua bidhaa au huduma
    Ufumbuzi wa changamoto za wateja ndio fursa kwako mjasiriamali ya kufanya biashara
    Video hii inaeleza jinsi ya kutambua fursa ya kuanzisha biashara ya unga wa sembe
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    UA-cam: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

КОМЕНТАРІ •