MBINU KUBWA 6 ZA KUTOFAUTISHA BIASHARA YAKO SOKONI | Victor Mwambene.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Huwezi kupata wateja wengi ikiwa unafanana kila kitu na washindani wako, Baada ya kutazama somo hili utajifunza jinsi ya kuwa mfanyabiashara wa tofauti sokoni na kuiba wateja wa washindani wako.
    .
    Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
    .
    KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
    .
    Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.
    KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
    1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
    2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
    3. NGUVU YA KUJUA.

КОМЕНТАРІ • 4