Changamoto Za Kujiajiri

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 80

  • @falesysylivester4549
    @falesysylivester4549 3 роки тому +7

    Nidhamu binafsi ndilo jambo la muhimu sana, kujisimamia mwenyewe kufanya kazi kwa ubora, kuwahi ofisini na kufanya yote bila kulazimishwa au kusukumwa na mtu yeyote. Somo zuri sana.

  • @gabrielmushi2813
    @gabrielmushi2813 3 роки тому +11

    Changamoto Yangu Ni Muda Wa Kupumzika...
    Najikuta Nafanya Kazi Sometimes Mpaka Jumapili...
    Kutoka Saa 1 Asubuhi Mpaka Saa 5 Usiku...

  • @odethapapian1890
    @odethapapian1890 Рік тому +1

    Ahsante kwa elimu nzuri, Changamoto yang ni kuchelewa kwenda kazin.

  • @godlistenminja4765
    @godlistenminja4765 3 роки тому +6

    Nakufwatilia Sana brother

  • @zawadipeter7152
    @zawadipeter7152 3 роки тому +4

    Asante sana kaka kwasasa niko kwenye hatua yakutokuaminika mm nifundi nashona nguo nanifundi mzuri ulichosema ndochoninachokiana asante sana nais nahitaji uvumilivu sasa

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 3 роки тому +4

    Umenipamoyo sana kaka mimi nimewekeza pesa nyingi lakini ninayopitia anayejuwa ni MUNGU tu🙏

  • @rwechunguraprosper8805
    @rwechunguraprosper8805 3 роки тому +2

    Nashukuru xana bro kupitia masomo yako mwezi huu nimeanza kujiajiri yamenisaidia xana barikiwa

  • @letionnews310
    @letionnews310 3 роки тому +3

    Nimekuelewa sana Jay thanks for your help

  • @abathbenon2503
    @abathbenon2503 3 роки тому +2

    Tangu nimeanza mufatilia mafundisho yako@Kaka Joel. Ukweli nimepata mengi na nimebadilika sana. Bila shaka at the top nitafita tu.

  • @mutahangarwasamwel4643
    @mutahangarwasamwel4643 3 роки тому +2

    Yess yess joeli wewe nitahalam

  • @gabrielmushi2813
    @gabrielmushi2813 3 роки тому +4

    💥💥🙏🙏🙏🙏🙏AHSANTE SANA KAKA

  • @aksapeter5181
    @aksapeter5181 Рік тому

    Asantee sana ki ukweli unanibariki sana ktk mafundisho yako

  • @radiusrutta7804
    @radiusrutta7804 3 роки тому +2

    Tunaitaji sana vitabu vyenu ila mkipigiwa cm ampokei tukiwacheck kwenye whatssp mnazipokea amjibu chochote kwaiyo me nashahuli tupe njia sahihi ya kupata vitabu vyako Kama unauza.

  • @aishachatila1664
    @aishachatila1664 3 роки тому +1

    Asante Sana kwa somo Yan had nimeahusha pumzi na nimeshangaa,kwasab uliyosema ndiyo nayopitia inshot umenpa nguvu,ilifika wakt nkajiuliza au siwez kujiajili? Kumbe ninchangamoto tu,daah! Ahsante Sana mwalim.

  • @CTM.24Updates
    @CTM.24Updates 3 роки тому +3

    Dah!! MY teacher leo imefundishwa topic NZURI SANA!!!🙄🛑

  • @rahimaaziz8970
    @rahimaaziz8970 3 роки тому +1

    Changamoto namba moja

  • @denisrukangula7086
    @denisrukangula7086 3 роки тому +1

    Ur the my best teacher

  • @rwakitatechnology-qb6eu
    @rwakitatechnology-qb6eu 11 місяців тому

    Kaka Joel Mimi Nina kampuni Nina shida sana na supporters ... Mtu wa kunibust mtaji Zaidi

  • @gastonnkana8428
    @gastonnkana8428 3 роки тому +2

    Kitabu nakipataj sasa

  • @agnesslyimo5677
    @agnesslyimo5677 3 роки тому +2

    Kabisa

  • @gwandatv3629
    @gwandatv3629 3 роки тому +2

    Big up brother

  • @justermaster78
    @justermaster78 3 роки тому +2

    Thanks blood 🙏🙏

  • @mvuyeboniphace2374
    @mvuyeboniphace2374 3 роки тому +1

    Naomba kupata hicho kitabu

  • @user-os9nb8ub6k
    @user-os9nb8ub6k Рік тому

    Asante sana. Uko sahii

  • @robertlugendo
    @robertlugendo Рік тому +1

    Mim nidham ndo yaniumiz kichw San nikisem kesh naamk saa kumi naamka saa kumi na mbil na wakat nilpokuw kwa box nilkuw naamk saa tisa naend job 🙆🙆🙆

  • @Alama_Tv_online
    @Alama_Tv_online 3 роки тому +1

    Dah unanisema

  • @chigaboy1332
    @chigaboy1332 3 роки тому +1

    Hii background music melody sjui inaitwajeeeee naipenda 😍🥰

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 3 роки тому +1

    Thanks Brother Joel

  • @burtonmwashambwa748
    @burtonmwashambwa748 3 роки тому +1

    Kitabu hicho gharama yake ikoje??

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 роки тому +2

    Hakuna pesa tamu kama ya kwako mwenyewe bila kupangiwa .

  • @fredmbampe4614
    @fredmbampe4614 3 роки тому +1

    Kutojiamini

  • @sosymavoice4390
    @sosymavoice4390 3 роки тому +1

    Kaka nnanauka barikiwa sana

  • @maikochilokota9093
    @maikochilokota9093 3 роки тому +1

    Changamoto ya kutoaminika na kujifunza mambo mengi kwa wakati mmoja

  • @phocuskifaluka9027
    @phocuskifaluka9027 Рік тому

    Yaan bnafs likizo sinaga had unalala unashtuka ujageuka kumekucha.

  • @charlesoputi7101
    @charlesoputi7101 Рік тому

    God bless you brother @kenya

  • @gerevaziangero8936
    @gerevaziangero8936 3 роки тому +1

    Bro me nimejiajili ila naona kama kunakitu nakosea mahana sioni mafanikio kabisa

  • @abelmwakalinga2305
    @abelmwakalinga2305 3 роки тому +3

    Unstable income mkuu

  • @ismail_4_future.
    @ismail_4_future. Рік тому

    Asante Kwa elimu.......

  • @jeremiahleyan2338
    @jeremiahleyan2338 Рік тому

    Live coach Joel nanaoka mm nataka kuanxa kujiajiri maana nilikuwa naajiriwa naomba ushauri wako.

  • @danielamosi2553
    @danielamosi2553 3 роки тому +1

    Good lesson

  • @kainboaz1530
    @kainboaz1530 3 роки тому +1

    Nimeajiriwa narafiki yangu lakini natamano kujiajili kwenye ofisi yangu

  • @dismawillium4112
    @dismawillium4112 3 роки тому

    Joel nanauka your the best

  • @MACK_BOY-i8b
    @MACK_BOY-i8b 3 роки тому +1

    🙏🙏

  • @dmboy1963
    @dmboy1963 3 роки тому +1

    hiy ebook ni shingap joel

  • @AllyShabani-n3u
    @AllyShabani-n3u 6 місяців тому

    Mm nikuzingatia muda wa kuanza kaz na muda wa mahesabu

  • @alicemsacky1133
    @alicemsacky1133 3 роки тому +1

    Asante sana kaka

  • @mariajoseph5347
    @mariajoseph5347 3 роки тому

    Nakukubali Sana kaka Joel

  • @ChristerbellMwasele
    @ChristerbellMwasele 2 роки тому

    Kaka umenijenga sna ubarikiwe sana

  • @joanesbazily2869
    @joanesbazily2869 Рік тому

    Ubarikiwe sana

  • @ambelemwalukoba4897
    @ambelemwalukoba4897 3 роки тому +1

    big brain...

  • @brianmugasia6038
    @brianmugasia6038 3 роки тому +3

    Hi Joel am from Kenya I can't communicate with you via your number please send me at least email , I am interested to meet you so we can communicate in person . Thanks for the message of today.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 роки тому

      welcome Brian, my email jnanauka@gmail.com

  • @symonvans2849
    @symonvans2849 3 роки тому +1

    Tatizo langu ni matumiz mabaya ya fedha

  • @rukiajuma531
    @rukiajuma531 2 роки тому

    Mm natak kitabu soft copy nakipataje?

  • @fadhilidaudi6260
    @fadhilidaudi6260 3 роки тому +1

    Yan Leo ume tugusa

  • @chrisraphael509
    @chrisraphael509 3 роки тому +1

    Kak nakuelewa san

  • @jeanpierrebaraka2052
    @jeanpierrebaraka2052 3 роки тому

    Asati saana kwakudutianguvu mukwanzisha vyetu.

  • @zuhuramike1399
    @zuhuramike1399 3 роки тому +1

    Hicho kitabu kina patikana kenya

  • @suleimanmuhiddin5363
    @suleimanmuhiddin5363 Рік тому

    Kuogopa kuanza ndio changamoto yangu

  • @charzysimion9055
    @charzysimion9055 3 роки тому +1

    nataman sana kujiajili lakin njinsi yakutoka nilipoa inakaa ngum kwel

  • @user-os9nb8ub6k
    @user-os9nb8ub6k Рік тому

    Asante sana kaka ❤

  • @dicksonmajengo9304
    @dicksonmajengo9304 Рік тому

    Naomba nisaidie jinsi ya kupata vitabu vyako nipo ifakara morogoro

  • @iizalaw6674
    @iizalaw6674 Рік тому

    Self discipline & kutokuaminika ninapoanza

  • @nelsonkashanga5388
    @nelsonkashanga5388 3 роки тому

    Njia gan naweza kupata kitabu icho

  • @dicksongadson4227
    @dicksongadson4227 2 роки тому

    Lack of days

  • @maryandrew5204
    @maryandrew5204 Рік тому

    Nikiitaji vitabu vyako naipataje kaka

  • @wa-mbeyaTv4725
    @wa-mbeyaTv4725 3 роки тому +3

    Ahsante sana kaka Joel....... Mm npo hapo unstable income ., .........👇👇👇👇👇ua-cam.com/video/UTw4sM6zx1Y/v-deo.html

  • @dicksonponela1596
    @dicksonponela1596 2 роки тому

    Tatizo langu ni kukosa nidhamu ya fedha...naomba msaada tafadhali.

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 3 роки тому

    Kitu kimoja nikwamba hujiuliza maswali mingi pale amabapo unataka kuanza biashara nawewe ni muajiriwa sasa nikianza biashara nikitoka kwa kuajiriwa je nitapata wapi hela yamatumizi ambayo nilikua napata kwa kila mwezi naistoshe nitakua mgeni kwahiyo biashara nanitachukua mda gani mpaka pale biashara yangu itapo shika kasi na je ikichukua takribani miez mnne mitatu au hata miwili sasa najiuliza si nitakua nimepoteza lakin nikibaki kwa ajira nitaendelea kupata hizo fedha za matumiz

  • @magesajoseph
    @magesajoseph 10 місяців тому

    Self disprine

  • @rockyalex5612
    @rockyalex5612 3 роки тому

    Nahitaji kitabu hicho ni bei gani nipo nnje ya nchi

  • @josephboniface7506
    @josephboniface7506 3 роки тому

    Nahitaji kitabu hicho Broh# 0744740850..

  • @user-ze9mn4nh9i
    @user-ze9mn4nh9i 2 місяці тому

    Shingap kitabu