Epuka makosa 15 unapo anzisha biashara ya daladala

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 5

  • @frankbwahema32
    @frankbwahema32 2 роки тому

    Safi sanaa, kazi njema

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 2 роки тому

    Biashara yoyote Inataka uzingatie ufuatilie na uwe makini sana bila kufuatilia itakuwa huwezi kupata faida yoyote

  • @rashidomary102
    @rashidomary102 2 роки тому

    Mheshimiwa uyo boss hakuwa boss ndo maana daladala zake zilimshinda, ukiwa boss unatakiwa uwe katili ela isipo patikana simamisha tafuta mwingine mpaka upate saa hii mtu alieweza io biashara

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  2 роки тому

      Nakubaliana na wewe kabisa. Bahati mbaya ni kuwa huyo mmiliki wa daladala ameshindwa kunielewa. Anaseme hakuna dereva wa daladala anayeweza kukubali masharti ya dereva ambayo nilipendekeza