Njia Nne (4) Za Kukuza Biashara Yako - Joel Nanauka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 197

  • @jackwalson2712
    @jackwalson2712 2 роки тому +144

    Video nzuri, Lakini wacha nizungumzie jambo muhimu, naona vijana na wazee wengi wakifanya makosa ambayo nadhani hayafai. Nadhani kila mtu, mdogo au mzee, anapaswa kuwa na mpango wa uwekezaji unaoongeza mapato yao ya kifedha kwa takwimu tatu hadi sita. Uwekezaji unaweza kuwa mpango wako wa kustaafu au mpango wako wa baadaye, chochote unachotaka, lakini cha muhimu zaidi ni kwamba una uwekezaji wa faida.

    • @lovemorepatrick4869
      @lovemorepatrick4869 2 роки тому +1

      Uwekezaji ndio ufunguo wa maisha yenye mafanikio, ikiwa umebahatika kuona jukwaa au wakala aliye na mpango mzuri na utambuzi bora, fanya vyema kuchukua nafasi yako.

    • @arnulfbrand9753
      @arnulfbrand9753 2 роки тому

      Salamu kutoka Florida, nimesoma maoni mengi kumhusu katika majukwaa mengi, lazima awe mwanamume halali.

    • @emmanuelokoye4855
      @emmanuelokoye4855 2 роки тому

      Hii sio mara ya kwanza kumsikia Alexander Barnes na athari zake kwenye ulimwengu wa uwekezaji, nadhani nitajaribu kuwekeza naye.

  • @malalezengo4405
    @malalezengo4405 5 років тому +35

    Safi sana mwalimu wangu mwaka 2018 niliahidi kwamba nwaka 2019 ntafungua duka LA nguo nimefungau narudisha marejesho asante kwa masomo yako mazur

  • @queenmduma3869
    @queenmduma3869 5 років тому +4

    So powerful..Be blessed brother
    Asante sana
    Njia ya kwanza(Market Penetration) na ya tatu (Market Development) ntaanza nazo.
    "Mafanikio yako yamefichwa kwenye ujasiri wako wa kutafuta masoko mapya"

  • @ram_btv3822
    @ram_btv3822 2 роки тому +3

    Nashukuru kuanzia nianze kukufatilia nayaona mabadiliko kwenye biashara zangu kutokana na kujitangaza zaidi🙏

  • @Rehema815
    @Rehema815 10 днів тому

    2024 nakuskilza mwalm wang Mungu akutunze

  • @shidakabichi10
    @shidakabichi10 3 роки тому +3

    Your always my friend nanauka although I never see you facely, thank you for the good advice in business issues

  • @tracyjoseph2075
    @tracyjoseph2075 3 роки тому +2

    Thanx so much kwa darasa but mim napenda kutumia marketing penetration na diversification nadhani hizo zitanifaa zaidi

  • @joesphjustine8094
    @joesphjustine8094 4 роки тому +1

    Mwanzo nilikuwa nauza chipsi nilikuwa naogopa kuibadili kazi ile kwa miaka mingi. Nilikuwa muoga sana wa kuthubutu kuiacha. Baada ya kufuatilia kwa makini masomo yako Siku izi nimefungua duka la vipodozi na ninaendelea vizuri sana.# asante Mr jn Mungu akubariki sana na akuwezeshe ktk kazi yako.

  • @debdahchannel9159
    @debdahchannel9159 3 роки тому +1

    Hey....tunahitaji waalimu wengi zaidi kama hawa maana kwasasa tatizo si pesa tuu ila fahamu zetu MUNGU AKUTUNZE MWALIMU PROUD OF YOU

  • @hellychavdy5531
    @hellychavdy5531 5 років тому

    Kaka nanauka wewe nizaidi ya noma umenifanya nijione JOKA refu kwenye biashara yangu nakuiboresha zaidi na zaidi asante sana mungu akubariki sana nanime donlod

  • @elizabethmichael6458
    @elizabethmichael6458 5 років тому +3

    Hatua ya tatu ndio natakiwa kuanza nayo . Asante kwa kuendelea kutuelimisha Neema za Mungu ziendelee kuwa juu yako

  • @kilolahmakondo766
    @kilolahmakondo766 4 роки тому

    Nashukuru kaka unatoa elim nzr ya ujasiliamali.Tupo nyuma yk haraf nashukuru umefanyia kaz ushaur wangu kwamba ulikuwa unaongea haraka harak mno kipindi cha nyuma ila kwa ss umebadilika unaongea taratibu tunakuellewa na unasikika barabara asante kaka Mungu akupe masikio na maarifa mengi pia

  • @ezabron4784
    @ezabron4784 5 років тому +1

    Asante sana Joel,bado naendelea kuelimika kupitia wewe. Mungu akubariki.

  • @gladmboya2385
    @gladmboya2385 5 років тому +1

    Kaka umenitoa nilipo nimesogea sehemu nyingine,kuanzia kesho nitatafta Wateja wapya wa chakula maofisini,Mungu akubariki sana.

  • @burudikotv1953
    @burudikotv1953 Рік тому +3

    Mungu akulinde Sir❤

  • @mussakingay901
    @mussakingay901 2 роки тому +2

    Brazaa nakufatilia sanaa vipind vyako

  • @eng.anoldkishumu3080
    @eng.anoldkishumu3080 5 років тому +1

    Asante sana bwana Joel.
    Nimeshasoma vitabu vyako yaani timiza malengo yako, nguvu ya mwanamke, ishi ndoto yako, tabia ya kughairisha mambo.
    Kwa kweli vyote ni vizuri.
    Kama utatoa kingine naomba unijulishe niweze kupata softcopy yake maana naamini bei yake itakuwa sio kubwa kama ya hardcopy.
    Mungu akubariki.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 років тому

      ANOLD KISHUMU hongera sana kwa kuwa mfuatiliaji mzuri sana .Sawa nitakujulisha

    • @faudhiatmasoud4025
      @faudhiatmasoud4025 5 років тому

      softcopy ulipataje ndugu nahitaji

    • @allyhamad1301
      @allyhamad1301 Рік тому

      @@joelnanauka m ntaka ushauri

  • @thomasdamas4347
    @thomasdamas4347 4 роки тому +1

    Asante Mr Joel nayafanyia kazi hayo mawazo... See you at the top

  • @assamwakasanga3570
    @assamwakasanga3570 5 років тому +2

    thank you so much to teach us every day if to do work, ibelive yourself we go to succesfull....God belless you ... see you at the top#

  • @peterkasembo7854
    @peterkasembo7854 Рік тому +1

    Kiukwery ume gusa maisha yangu kwa utofati zaid

  • @giftmasukila4736
    @giftmasukila4736 2 роки тому

    Mim lengo Ni kufanya biashara vizuri Ila najikutaa napoteza mtaji kutokana na mahitaj kuwa mengii na biashara kuwa ndogo nifanyaje

  • @aminasalum8183
    @aminasalum8183 2 роки тому +1

    u r the best broh….lemme start dealing with this ideas ❤❤❤

  • @sumiodilo1180
    @sumiodilo1180 5 років тому +2

    Bado nakufata, nakutazama, najifunza, na-like na pia ninatafiti-sisi watazamaji hasa tunaokomenti na wewe vile vile.
    Kuna watu walikuwa wanakomenti hapa ili kutafuta followers kwenye account zao za UA-cam, hilo nimegundua, ushahidi upo katika somo moja wakati unamalizia mwishoni ulisema pongezi, shukurani zakweli/kinafki na hata tabasamu(sija-quote kama ilivyo) ulisema inajulikana apewapo mtu, wakajua umewashtukia mara watu wale wakasepa, sijaona tena komenti zao. Tuliopo thabiti kama kawaida unatuona.
    Mungu akuinue zaidi kaka. Ninabarikiwa na mafunzo yako.

  • @hildabundala7527
    @hildabundala7527 5 років тому +4

    Karibu morogoro bro. Nikuandalie semina ya vijana

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 5 років тому

    Najifunza sana kwako unanifundisha sana nimeshaanza kubadilika kiufaham na mtazamo wangu umebadilika kabisa nataman unitembelee kwenye duka langu

  • @ezabron4784
    @ezabron4784 5 років тому

    Naongezea mbinu nyingine hapo. Kutoa elimu namna bidhaa au huduma unayoitoa itakavyowasaidia unaowahudumi. Wengne wanaweza wakaelewa huduma/bidhaa ila wasitambue msaada inayowapatia. Wanunuzi wengi huangalia pesa wanasahau umuhimu wake. Asante!!

  • @user-hi1hm9yv9r
    @user-hi1hm9yv9r 7 місяців тому

    Joel great point lakini nataka unisaidie nimekuwa na maono ya kufungua saloon ya kiume na Hadi nimenunua vifaa lakini kutokana na mazingira nayo ishi vyumba vimekuwa gharama Zaid nisiyo iweza na Kwa nje na mazingira yangu imekuwa ngumu kufatilia sababu ya majukumu na kuogopa namna ya usimamiaji sasa nataka kujua nifanye nini biashara yangu ianze kufanya kazi

  • @wangwanatv2555
    @wangwanatv2555 3 роки тому +6

    Your lesson it's nice I have learnt something ...Thanksgiving 🙏🙏💯

  • @habarikalizatown9052
    @habarikalizatown9052 4 роки тому +1

    Umenifurahisha sana kaka nimepata madini kidogo endapo nilichelewa

  • @isackryoba7193
    @isackryoba7193 5 років тому

    ahsante brother binafsi nimejifunza mengi kupitiaa ww accha niyafanyia kazi kisha penye tatizo nikujulisha kwa msaada zaidi

  • @powamkumba2131
    @powamkumba2131 4 роки тому +1

    Asante sana schoolmate, unrelated and related business na kufanya promotion ktk biashara yako

  • @husnamaftah4289
    @husnamaftah4289 3 роки тому +2

    Very helpful presentation. God bless you

  • @mohamedfaris3000
    @mohamedfaris3000 3 роки тому

    Yes, ni kweli moja ya point muhimu uliyozungumza ni kuhusu matangazo na discount, nakukubali mkuu

  • @helencyprian6044
    @helencyprian6044 3 роки тому

    Daah umeniongezea maarifa, asante kaka. Sikuwahi kugundua kama kuna mambo mazuri huku.

  • @neemamgumba6575
    @neemamgumba6575 2 роки тому

    Asante kwa kufungua mind set yangu .natamani kukuza biashara yangu ya duka genge.

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 роки тому

    Jazaaaq LLAH kheir..
    Thanks brother my regards ALLAH BLESSING you..and towerds efforts for all you wish in your life

  • @mdaginyikamwamuyinga895
    @mdaginyikamwamuyinga895 3 роки тому +1

    Joel ,, binafsi kupitia post zako nibayaona mapungufu yangu mengi ambayo ninaamini yamenifanya niwe haoa nilipo natamani kufanya uoya kadri niwezavyo . Asante

  • @letionnews310
    @letionnews310 3 роки тому +1

    Nimekuelewa sana

  • @babalois7240
    @babalois7240 5 років тому +18

    Wakati mwingine mafanikio yako yamejificha kwenye uoga wako wa kutafuta masoko mapya..NOTED

  • @furahathomas2074
    @furahathomas2074 2 роки тому

    Asante kaka kwa ushauri wako mzuri mungu akubariki kwa kutupa elimu nzuri

  • @uiavajiwgav5441
    @uiavajiwgav5441 Рік тому

    We salute my fover right ad viser wesh your long life 💘🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mwajumamwishehe3423
    @mwajumamwishehe3423 5 років тому +1

    Mimi bd sema naitaji kuwa mfanya biashala hapo baadae enderea kutuelimisha kaka mungu hawe pamoja nawe🙏🙏🙏

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 4 роки тому

    Ahsante Sana broo Mungu azidi kuku uongoza vyema zaidi kiongozi

  • @gladnessgiven4511
    @gladnessgiven4511 Рік тому

    Nakushkur Sana blaz kwa kunfundisha somo Leo ntatafta wateja wapya

  • @zainaselemani9775
    @zainaselemani9775 2 роки тому

    Waaoh!! Thanks so much nimekuelewa bro🙏🙏mm ndio kwañza nimeanza ka biashar kangu ya urembo lyke cheni,hereni, blacelet na vinginevyooo so naomba ushaurii zaidi nifanyeje ili nikuze zaidii ya hapo.

  • @blackdanilo6943
    @blackdanilo6943 12 днів тому

    Mm lengo langu ni kukuza biashara yang iwe kubwa kwa kias chake ila kila nikifanya naona bd sjafikia lengo maana mahitaji yanakuwa mengi nifanye nn ili kutatua tatz hili

  • @othmanmuhammad1650
    @othmanmuhammad1650 5 років тому +1

    I really enjoyed it brother,. that's lit!,,you rock,.!.,

  • @TujuzeTv
    @TujuzeTv 3 роки тому

    From Burundi nakufuatilia saaana haswa katika mtandao wa Facebook daaaah ubarikiwe kwa saaaaana tuu

  • @michaeljordan2558
    @michaeljordan2558 5 років тому +1

    Good brother..real appreciate. God bless you

  • @zickmalik4901
    @zickmalik4901 Рік тому

    Nashkuru nimekutana na mtu sahihi. Asante sana

  • @upendofrank4917
    @upendofrank4917 4 роки тому +2

    Blessing for u brother

  • @Mwamba67
    @Mwamba67 5 років тому +2

    God bless you....!!

  • @kipngetichgilbert2157
    @kipngetichgilbert2157 4 роки тому +2

    what about the the factor of production in business is it also the main factor ?

  • @mercyolando-ii7hl
    @mercyolando-ii7hl Рік тому

    Asante kwa mafunzo,lakini nina swali niko na salon nataka kugawanya pande moja iwe duka,inawezekana ama haziko related.

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 років тому

    Shukraan brother kwa somo makini sana ubarikiwe 🙏🙏

  • @dynesyonazi7449
    @dynesyonazi7449 2 роки тому

    Asantee kwa somo zurii kaka i real appreciate you

  • @tfashy_hub9156
    @tfashy_hub9156 2 роки тому

    Asante sana Kaka. Umenipa kitu.

  • @ongeshabani8324
    @ongeshabani8324 5 років тому +3

    Kaka na kupenda sana , mimi nipo marecani ila mimi ni mkongo ume nibadilisha sana , kama vp nahomba namba yako ya simu

  • @shuukuchy6350
    @shuukuchy6350 3 роки тому

    Kuhama mji n kuongeza vtu vnavyoendana.. Bst fr me

  • @jacquelinepallanjo2988
    @jacquelinepallanjo2988 5 років тому +1

    Congratulation my brother, nimeipenda, nimefanya biashara ya stationary kwa miaka mnne, nimeweza kuporesha ofisi imesimama vizuri, na soko limekaa vizuri, malengo ya 2018 ni kufungua ofisi na kujenga vyumba vinne vyankupangisha na kuanzisha biashara kwa mwanzo wa mwaka 2019, nimejenga ila sijakilisha kwa maana ya wapangaji kuanza kuishi sijafanya finishing na ofisi nimeweza kufungua mkoa mwingine na nimeboresha kwa 80% ni moja ya malengo yangu , issue inakuja hivi nilipoanzisha ofisi sio pabaya na panauitaji wa stationary issue ni jamii inayonizunguka MTU yupo tayari atoe nauli 1000 kufuta copy za 500 kwa 50, kuliko atoe hizo kwa 100, nilishatangaza kuwa 100, je nikishusha bei aionekana kuwa sina msimamo wa bei? Nimefanya hivyo kwa sababu bei ya kuprint 500 ila kwa eneo ninalofanyia kazi kwa sasa wanata kuprintinkwa 100, na he malengo yangu ya kufanikisha nyumbani ya kupangisha nimefeli, na kwa mwaka huu aikua kwenye malengo nifanyeje?

  • @justinycleverton7345
    @justinycleverton7345 4 місяці тому

    asante sana maana hadi kichwa kili stuck umenipa wazo

  • @fahmitumu8620
    @fahmitumu8620 5 років тому

    Kaka njoo na somo LA uwekezaji katika njia mbal mbal tunakuomba

  • @agathamagidanga1518
    @agathamagidanga1518 5 років тому

    Nmekuelewa sana, inayonifaa kwa sasa ni market penetration

  • @esterbryson3020
    @esterbryson3020 2 роки тому

    SoMo zuri me ni mmoja wapo ninaetaka kufunga biashara

  • @jacksonmgonde
    @jacksonmgonde 5 місяців тому

    Nimekuelewa Kaka nimeferi muda mrefu Sana kwenye biashara yangu

  • @farajawilly9700
    @farajawilly9700 Рік тому

    Asante sana kwa somo zuri

  • @seciliasinde-xy8ow
    @seciliasinde-xy8ow Рік тому

    Thank you brother

  • @julianamusa4216
    @julianamusa4216 2 роки тому

    Samahani joel manauka nataka kuanzisha biashara ya mikate sasa sija jua napataje vifungishio vya kubebea mikate nisaidie napataje

  • @kelvinmwakatobe2174
    @kelvinmwakatobe2174 Рік тому

    For now nahitaji hii market penetration inaweza kua bora zaidiii na nikifanikiwa hapooo nita Move on ... Kwenye izooo zengine......

  • @donatusdeusdedith6784
    @donatusdeusdedith6784 Рік тому

    Binafis najifunza zaidi kwako kaka ww kweli nimfano wa kuigwa

  • @stephahObimo
    @stephahObimo 5 років тому

    Nimekuelewa brother Nafikili ntafanyia kazi

  • @MwendeshaNdaki-fh9wi
    @MwendeshaNdaki-fh9wi 3 місяці тому

    Vip bei ya utengenezaji naomba kujua

  • @oliverfrancis8219
    @oliverfrancis8219 2 роки тому

    Asante kwa darasa

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 роки тому +2

    Merci bouquet..+250

  • @nyaamajengo5861
    @nyaamajengo5861 4 роки тому

    Asante sana nimejifunza kitu

  • @hanginguje
    @hanginguje 8 місяців тому

    Nahitaji kitabu kaka yangu cha kukuza biashara na jisi ya kuanzisha biashara nakupataje nipo Kenya lakinii nakaa Katoro nakupataje kaka

  • @elizabethmichael6458
    @elizabethmichael6458 5 років тому

    Asante kaka yang mungu akubariki sana

  • @nuldinsalm8632
    @nuldinsalm8632 3 роки тому

    Dar nakuelewasana

  • @user-fi8ig5oy3x
    @user-fi8ig5oy3x 6 місяців тому

    Daaaa safi sana

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 роки тому

    Bomba sana Mkuu

  • @KIMSwahili
    @KIMSwahili 3 роки тому

    Shukurani sana mwalim

  • @summerbill7480
    @summerbill7480 Рік тому

    Mungu akubariki sana

  • @hilarygodfrey5862
    @hilarygodfrey5862 5 років тому

    Unazidi kutufundisha sana kaka yake

  • @allyhamad1301
    @allyhamad1301 Рік тому

    Mm naomba ushauri kutoka kwako

  • @editordominick6879
    @editordominick6879 5 років тому

    Thank you nataman ungekuwa dodoma

  • @Broscarterrazo
    @Broscarterrazo Рік тому

    Mr.joel nisaidie mm ni fundi wa terrazo nimerasimisha kazi yangu,nifanyeje kiweza kuitangaza zaidi?

  • @gwakisaabisay6184
    @gwakisaabisay6184 Рік тому

    Noted brother

  • @MariaKisabo
    @MariaKisabo 4 місяці тому

    Kwakweli izo njia ni nuli sana

  • @rumishamsaki5944
    @rumishamsaki5944 3 роки тому

    Asanteh sana brother

  • @Jackson_12523
    @Jackson_12523 Рік тому

    NJIA GANI NA WEZA KUANZISHA BIASHARA

  • @ericjonstz3120
    @ericjonstz3120 4 роки тому

    Naitwa Ibrahim saburi natokea kalenga cte iringa Tanzania nimekupata vizuli kaka

  • @frankfiretz
    @frankfiretz 5 років тому

    Ahsante Sana Kaka kwa somo nzuri

  • @adelinakibejile4696
    @adelinakibejile4696 2 роки тому

    Shukran b blessed

  • @kokudo8389
    @kokudo8389 5 років тому +1

    Mimi nimefungua duka nimeanza na mtaji niliokua nao (mtaji mdogo) nakutana na changamoto mauzo ni duni mpaka nakata tamaa sijui nifanyeje

  • @MarwaPembaMbeu
    @MarwaPembaMbeu 3 місяці тому

    Mm sina mtaji bt naitaji nifanye biashara ya kuuza nguo za mtumba

  • @hillaryaugustine7141
    @hillaryaugustine7141 5 років тому

    Nakukubali Cana Mr Nanauka

  • @michaelkatigula5793
    @michaelkatigula5793 3 роки тому

    Somo zur Sana mwalimu

  • @thomasdamas4347
    @thomasdamas4347 4 роки тому

    Nataka nianze na step 1 up step 4.

  • @mariammwambungu3174
    @mariammwambungu3174 4 роки тому

    Asante sana mm naomba niaze no 1maana nilikuwa naona siwez kitu

  • @emmymponjoli968
    @emmymponjoli968 2 роки тому

    Nataka kukuza biashara yangu ya duka ni duka la vitu vidogo vidogo vya matumizi ya nyumbn