NDOANO sehemu ya kwanza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 вер 2021
  • Sifa ya mtu mwenye UPENDO wa kweli ni yule mtu anaekipigania kile anachokihitaji kisipotee katika HIMAYA yake, Ebu sasa jiulize tu! Wewe umefanya nini ili unaempenda na kumuhitaji asiondoke kwenye himaya yako?
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 202

  • @janvieryenga1419
    @janvieryenga1419 2 роки тому +10

    Umefanya kazi nzuri Ibrah The Don, tunasubiria sehemu zingine zifwatazo, mimi niko 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @manixawadh7198
    @manixawadh7198 2 роки тому +10

    Safi brother tunajivunia kupata ilimu na ushauri fasaha kutoka kwa kijana mwenzetu... Mungu azidi kukupatia afya na ilmu zaidi kuwasilisha jumbe zenye kusisimua na kuleta mafunzo kwa wana jamii. Thank you brother #ibrathedon #ndoano #manixAwadh more love from +254 (Kenya)

  • @nusratharuna1009
    @nusratharuna1009 2 роки тому +6

    Tangu inaanza mpaka nimemaliza mengi nimejifunza 🙌twaomba muundelezo tujifunze zaidi 🙏ibrah thedon

  • @habbyhalawa5266
    @habbyhalawa5266 2 роки тому +5

    Ww mama mnene Nakupendaga sana wallah allah azid kukuweka inshaa allah😘😍😍

  • @ANNAHTHUVA
    @ANNAHTHUVA 5 місяців тому +1

    Asante sana kungwi dume nimejifuza mengi sana

  • @getrudarashidy7177
    @getrudarashidy7177 Рік тому +1

    Asante sana kungwi dume nimejifunz mengi kupita movie zako izi mbili🙏🙏🙏

  • @iradukundafabrice4422
    @iradukundafabrice4422 2 роки тому +2

    😃 hhh huyu Mzee ni muigizaji mzuri sana hongera San ibrah

  • @MeswalehShaban-mg5kk
    @MeswalehShaban-mg5kk 9 місяців тому

    Mashallah Mungu awajalie utajir w afya daim ili muwez kutufunz

  • @mwanamisihamisi9200
    @mwanamisihamisi9200 2 роки тому +3

    Thanks 4 Apploding mob love From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @aishatanzania1194
    @aishatanzania1194 2 роки тому +2

    Huy mama bonge namkubali tok kw kina madebelidai 📌📌📌amenfumbua akili kwa maneno yake 🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤

  • @habibamangale1139
    @habibamangale1139 Рік тому

    Love you so much kungwi dume from kenya napenda sana mafudisho yako

  • @user-ib5qk1iu3y
    @user-ib5qk1iu3y Рік тому +2

    Nimempenda babu kwa kweli❤😂

  • @nakshymrembo2874
    @nakshymrembo2874 2 роки тому +1

    Naima somo yangu usikubali ukamtia aibu mama😂😂😂waah iko perfect 👌 Sana hii

  • @asiasuleiman7106
    @asiasuleiman7106 Рік тому

    Good job 👍 ibra the don mung akuzidishie ufaham Ili uzid kutufunza inshallah

  • @fatimaafrica6605
    @fatimaafrica6605 2 роки тому +1

    Nawapenda sana jamaniii yani sijui nisemejeee.burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🥰🥰🥰♥️✌🙏🙏💃💃

  • @salmaramadaniramadhani6654
    @salmaramadaniramadhani6654 2 роки тому +1

    Mashallah mungu akupe afya na elimu zaidi kaka Ibrah nzuri mno tunasubili muendelezo

  • @dagiri4908
    @dagiri4908 Рік тому

    Uyu babu noma sana mze wakuunganisha

  • @charlesmataba4354
    @charlesmataba4354 2 роки тому +14

    Hello guys, its my own hope that the whole entire your're watching this greatest movie of "NDOANO" from the Reborn "CHARLES STEVEN KANUMBA"Let us Give him full supports and Overwhelming power to step forward ever backward never .His Orign name Called IBRAH THE DON.......we have been waiting for long and several years after our beloved Actor Charles Steven Kanumba who passed away during 07/04/2012 at midnigt!....Every Citizen of Tanzania got shocked after bad news and people asked themselves who can make replacement??? But the year of today 2021 with the variation of -9 years after his death We got another Great person to replace the Gap whos is IBRAH THE DON!! Let us aks our Almighty to give him Power!.

    • @libbemwamposhi4305
      @libbemwamposhi4305 2 роки тому

      I appreciate this guy called IBRA THEDON

    • @Quilant749
      @Quilant749 Рік тому

      The movie is so perfect but introduction is irritating especially to those are using earfone, what is braking glasses all about?

  • @alassannzhass6893
    @alassannzhass6893 2 роки тому +2

    mzee wangu kacheza kama pele, kiungwana kabisaaaa. ananikumbusha wazee wetu wa kale.

  • @patiencengena383
    @patiencengena383 2 роки тому +1

    Saf sana iyo br,
    Ninasubili sehem ya pili nakufuatilia san nikiwa 🇺🇲🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @abumoyo5341
    @abumoyo5341 2 роки тому +1

    Ibraaa the doon vizuri brother,babuu kiboko 😂😂😂

  • @xtinetvshow5793
    @xtinetvshow5793 2 роки тому +1

    NYC BROO BIG UP SANA NAKUCHEKI NKiWA KENYA PAMOJA SANA

  • @sandramwamini6105
    @sandramwamini6105 2 роки тому +2

    Allah azidi kuwaongoza 🙏🏾💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽👐🏾👐🏾🤲🏾

  • @Deniskutarasa-vq3gw
    @Deniskutarasa-vq3gw Рік тому

    Ujawahi haribu,nampenda sana mama huyo

  • @PRINCEDADY
    @PRINCEDADY 2 роки тому

    Mashaa Allah kazi nzuri na safii sana Yani imenivitia kiasi Cha kwamba nimepata mafunzo ambayo sikuwa najua na kuelewa jinsi ha kukabiliana. Nayo maana hii fillm ni maisha yangu kabisa ya ndoa matupu shukran sana kaka kwa mafunzo yako

  • @omaebarongo1892
    @omaebarongo1892 2 роки тому +1

    Filamu nzuri zaidi mafunzo mazuri Sana part2 please

  • @wifematerial8943
    @wifematerial8943 2 роки тому +2

    Mashaa ALLAH ibrah,nilikua kila siku naomba mungu akupe ujasiri utengeneze moved kwa sababu ninajifunza mambo mengi kutoka kwako kaka ,nilijua ukituekea moved angalao ya dakika 30 tutafaidika na mafunzo yako atimae mungu kajibu maombi yangu ,good job bro mungu azidi kuku simamia kwenye kazi zako uzidi kutufunza in sha ALLAH

    • @ibrahthedon
      @ibrahthedon  2 роки тому +3

      Insha Allah nipo kwa ajili yenu.

    • @sadakhamis1261
      @sadakhamis1261 Рік тому

      @@ibrahthedon mungu akubariki akuondolee husda za waja

  • @samirajumanneanzuruni7320
    @samirajumanneanzuruni7320 Місяць тому

    Babu umenifurahisha😂😂

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 роки тому +2

    Wallah nimeipenda na nimejifunza... Nawafatilia uzuli nikiwa UAE🇦🇪

  • @mariamjuma-zp8jy
    @mariamjuma-zp8jy Рік тому

    MASHA ALLAH. ALLAH AWAHIFADHI AMIIN. NIMEPENDA MANENO YA SOMO ❤❤❤❤ ELIMU TOSHA. SHUKURANI SAN 🙏🙏

  • @Abdulupinda161
    @Abdulupinda161 2 роки тому +1

    Hahaha babu katixha sana alivyompambanixha jamaaa na bint

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 2 роки тому +2

    Maa shaa Allah, nimependa maneno ya somo

  • @nanalove159
    @nanalove159 2 роки тому +2

    Movie nzuri sana pia inamafunzo mazuri 😍

  • @nduwimanajamali4797
    @nduwimanajamali4797 2 роки тому +1

    Jamali from burundi &tanzania &Oman i'lick Holl vidéos of ibrah the don

  • @mwaminiomar185
    @mwaminiomar185 2 роки тому +6

    Nzuri sana love from Burundi😘,Respect bro

  • @johnmwambasi2299
    @johnmwambasi2299 2 роки тому

    Hakika umecheza umetumia skills kubwa sana endelea na simama kwa ukiaminicho big up one step ahead.

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 2 роки тому +2

    Nimeipenda sana kwakweli

  • @joanmbaisi7410
    @joanmbaisi7410 2 роки тому

    I really like you Ibrah hua unanijenga sana kimawazo keep it

  • @justinemakanaki5921
    @justinemakanaki5921 Рік тому +2

    Honestly today I learned a lesson ❤

  • @veronicastephano8974
    @veronicastephano8974 2 роки тому

    Safi sana kaka ibra mungu azidi kukujalia afya tele na baraka uzidi kusonga mbele

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 Рік тому

    Mtoto wa mama bonge nimependa alivyompa maji yule kaka kaonyesha nidhamu ya hali ya juu wallah nimependa ,ndo hapo inaonyesha kuwa amefunzwa na wazaz

  • @samsonwogas3594
    @samsonwogas3594 2 роки тому

    Nimeipenda Sana big. ap Mzee baba nimeipenda

  • @user-fg8zd8no1l
    @user-fg8zd8no1l 11 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂aki uyu Mzee kiboko

  • @nancykenya4007
    @nancykenya4007 2 роки тому

    Nzuri Sana love from Kenya in lrag 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @teddymaliatabu2039
    @teddymaliatabu2039 2 роки тому +1

    Uyo mama mtu nampendaga sauti yake ya upole... ! Anajua sana

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 2 роки тому

    Mimi ndio nimecelewa kanzi nzuri big up sana

  • @vivianmkabana5642
    @vivianmkabana5642 2 роки тому +1

    Nice one 👌👌 waiting for 2

  • @twamanjatwasini4200
    @twamanjatwasini4200 2 роки тому

    Nkbl mr. Ongera sana kipaji

  • @ebanosafarikenya7390
    @ebanosafarikenya7390 2 роки тому +5

    Honestly this episode a lesson

  • @frankmichael9335
    @frankmichael9335 2 роки тому

    Aa iko vizuri san pambaneni kwa my wa that

  • @teacherkizumbe
    @teacherkizumbe 2 роки тому +9

    Wa kwaza like za kutoshs

  • @lucasathedon7397
    @lucasathedon7397 2 роки тому +1

    Bro nakukubali kinoma nasubiri mwendelezo

  • @raphaelmunga4725
    @raphaelmunga4725 2 роки тому +1

    Hakika mama alimpa binti yake elimu ya kotosha jinsi mbavyo mwana ndoa anastahili kuwa.

  • @margaretmay5840
    @margaretmay5840 2 роки тому +1

    Mama napenda sana usia wako

  • @donmonda7150
    @donmonda7150 Рік тому

    One of the greatest lesson that we can learn from,am greatful have gain same tips that I can empliment in my relationship life.

  • @princessposhie8671
    @princessposhie8671 8 місяців тому

    Babu yuko vizur 😊😅😅😅

  • @doreenkiende2585
    @doreenkiende2585 2 роки тому +1

    Sinema nzuri sana hongera

  • @sophiamfikwa7340
    @sophiamfikwa7340 Рік тому

    Mafunzo mazuri sana

  • @muliva95
    @muliva95 2 роки тому

    Asante sana hongera sana Kaka Ibraah.

  • @husseinshawali-ky5kt
    @husseinshawali-ky5kt Рік тому

    Courage vraiment

  • @abdulraufmohammedsalum6806
    @abdulraufmohammedsalum6806 2 роки тому +1

    Huyu kungwi nlimuona kwa madebe yuko vzr sn

  • @adffg3883
    @adffg3883 2 роки тому +1

    Babu kama babu bwuanaa💪💪🤣🤣🤣

  • @keithandayisaba8984
    @keithandayisaba8984 2 роки тому

    Asante sana ibrah wangu natamani nikuone uso kwa uso dear brother wangu cinema nzuri sana namafunzo manzuri Asante kabisa kwa mafunzo

  • @rivingstonemhenga2393
    @rivingstonemhenga2393 2 роки тому

    Bora Kama umeanza kutuwekea huku, tutakuwa tunaangalia Sana kk

  • @pilishazycounterog8200
    @pilishazycounterog8200 2 роки тому

    Jmn raha sana nzr kk ibra

  • @abbymatuga6315
    @abbymatuga6315 2 роки тому

    Dua nene mwanangu #ibra the don

  • @fatumahassan4932
    @fatumahassan4932 2 роки тому

    move nzr xana inaelimisha jamii kwa kweli

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 роки тому

    Asante sana my brother from another mother

  • @Mamiseti7
    @Mamiseti7 Рік тому +1

    Love from usa 🇺🇸 😍

  • @ladyaishaoloo-rd3ns
    @ladyaishaoloo-rd3ns 8 місяців тому

    Mashallah 🎉🎉🎉🎉

  • @rebeccasanga3614
    @rebeccasanga3614 2 роки тому

    I really love you from my heart dony God bless you all the time

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 Рік тому +1

    Uzuri wajeneza haupendezeshi Maiti
    Yaani duuuh

  • @annamamaalpha8295
    @annamamaalpha8295 2 роки тому +1

    Movie nzuri sana

  • @lamsonkabura2541
    @lamsonkabura2541 2 роки тому

    ibrah the don be blessed unaelimish sana

  • @mussasabay933
    @mussasabay933 2 роки тому +1

    Nkbl san ibrah the don

  • @habbykhaleed3390
    @habbykhaleed3390 Рік тому

    Ka Ibra nataka huyu mama aje kunifunda nampataje

  • @rosinemusoleciza2506
    @rosinemusoleciza2506 2 роки тому

    Asanteni kwa elimu twaendelea na sehemu ya 2

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 роки тому

    Mashaallah movie nzuri

  • @chazlaw6730
    @chazlaw6730 2 роки тому +1

    Babu anajua kupambaaa....

  • @looqmanmw8190
    @looqmanmw8190 2 роки тому +1

    Bro ibra movie nzury lkn sauty kwingine ndio haickikii

  • @teefanytrend9215
    @teefanytrend9215 Рік тому

    Babu hana baya winga teleza😂😂😂

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 Рік тому

    Maneno ya somo nimeyaelewa pale mwanzon ,mashallah

  • @prettymasha2430
    @prettymasha2430 Рік тому

    Filam za vijijin nazipenda

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 Рік тому

    Good job 👍 brother 🇰🇪

  • @merryissa7855
    @merryissa7855 2 роки тому

    Nzuri sana ibrah

  • @aliceoside2956
    @aliceoside2956 2 роки тому +1

    Am waiting

  • @clichytraveller8099
    @clichytraveller8099 Рік тому

    Babu na mhukuu 😂😂

  • @aishasaid7426
    @aishasaid7426 2 роки тому +1

    Waiting

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 2 роки тому +2

    Naisubili

  • @amuzaissaassane3615
    @amuzaissaassane3615 2 роки тому +1

    Ibraah fundi

  • @shhwhw7763
    @shhwhw7763 Рік тому

    Hiyo mwari ni mzee kuliko kungwi

  • @annemwende4480
    @annemwende4480 2 роки тому

    Nmeipenda jamani, uhalisia 100%

  • @sheeali8626
    @sheeali8626 11 місяців тому

    Good story

  • @franksamsonmramba3295
    @franksamsonmramba3295 2 роки тому

    Duuuh move Kali Sana kaka

  • @elizabethfabian9105
    @elizabethfabian9105 2 роки тому +1

    Movie nzuri iliyojaa mafunzo

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому

    Babu kajua kuwasha moto😂😂😂🤣

  • @janethjoseph150
    @janethjoseph150 2 роки тому

    Movie nzuri sanaaa

  • @mohamedhussein-qb5sg
    @mohamedhussein-qb5sg Рік тому

    kazi mzuri

  • @paulwilliam6053
    @paulwilliam6053 2 роки тому

    Ninzuri Sana nimeipenda

  • @davidajwalla1731
    @davidajwalla1731 2 роки тому

    Dope 🔝