KUNGWI DUME sehemu ya kumi na NANE
Вставка
- Опубліковано 5 січ 2024
- "KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
- Розваги
Na huyu mwari mbna anataka kuyatimba kama hataki ndoa si aseme kuliko kufanya Ivo sijampenda kabisaa maana kungwi dume hanaga baya kwa Kaz yake❤
Haa 😮mwali kigogo maana sio kigegooo😅
In shaa Allah mwenyez mungu tujalie xx ambao atuta India kwenye ndoa nasi tuingie tutaone
Chanel ya Ibra imehakiwa kwa sasa hutaweza kupata lakini anaomba muwe wavumilivu kidogo
Kumbe Mimi tang juz Naitafta Amna
Haaa
Inshllh
Inshallah
insha'Allah tupo pamoj ❤
WALLAH SIICHOKI KUTIZAMA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
#Ibra the don umebadisha account dada nimepanda kujifunza mengii mungu akubariki
😂😂😂mwari kigego😅😅😅
Mwari kigego n uerevu wake naipenda sio haba😂😂😂😂😂
ila kungwi dume kwanza nkupe hongera kakangu kwa maana ulijua kuchagua mwanamke mwenye sifa zake mashaalah 💋 ni mrembo sanaa kama kweli nimkeo bc Mungu awajalie umri mrefu jmn nice couple ❤
Uko vizuri dear hendelea kutufunza
Ma Shaa allaha 👌
Hongeraaa mtunzi mafunzo mazuri sana
Hasante san Kwa mafunzo mazuri❤❤❤
Mwari kashakuwa kigego nilijua tu yatomtokea puani mwari kigego😂😂😂
😅😅😅😅yuaendapi Sasa nae n mwari kigego kweli😂😂
Mashaa Allah movie nzuri sana❤❤❤
Naisubiri ❤❤❤
❤❤❤❤ najifunza mengi
Ila muda c mrefu itakuwa sawa tunaomba mtuvumilie kidogo
Ila mambo yatakuwa mazuri polen kwa usumbufu ulio jitokeza
Inshallah tufike hiyo tarehe
Inshaallah
❤❤❤mm pia naisubir
Waooooh waMepitiliza
Mali huyu hafai ataa
Ibra! Unajua kaka
Dah Tusio oa bado tujifunze kitu shukrani sana mungu akuzidishie kwa mafundisho yako
Kwakwel
❤❤
Anza tulipoishia kaka ibraaa
B haruc mtarajiwa limekushuka
Jamenii wanawake hata kinya Huna😂😂😂
❤️❤️❤️❤️👌
Shukran
Asante mumgu
❤❤❤❤
🌹🌹🌹🌹🌹
Najifunza mengi japo cjaolewa
Namm sijaowaaa
❤❤❤❤❤🙏🙏🙏
To be continued
Asant kak kwa mafuzo
Kiswahili jamani hadi laha,ishima
Sehemu ya 19 plzz
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Omulimu omulunge
Nahitaji sehemu ya nne jmn nimetafuta mpk nimekoma
Akaunt ya Ibra kuna mtu ameihaki ndio maa huwezi kuona kazi zake
Ndio mana atu muoni😮😮
Bora hata chaneli yetu imeludi
Mwari malaya uyo jmn
Malaya anamjua Malaya mwenzake!
Tunaomba utuekee subtitles za kizungu ili tuweze kushea Kwa marafikizetu
Nimelipokea na nitalifanyia kazi
Wanawake tukinyanyuka tujue kubana mkono mbele mimi kwenye simu nimeona je huyo aliekuepo live ilikuwaje😢😢
Na mm nimeona 😂
@@user-mk5qk9kw1z
Basi haya mtt wa kike unanyanyuka bila kujibana
😂😂😂😂𝑚𝑎𝑡ℎ𝑜 𝑑𝑎𝑟𝑢𝑏𝑖𝑛𝑖😂😂
❤❤