MBILINI Sehemu ya Pili (2)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Mbilini ni filamu ambayo kwanza imezingatia Utamaduni halisi katika masuala ya Kijamii,kutana na binti kidole ambae aliolewa kwa sababu tu amebarehe ila anajikuta katika wakati mgumu baada ya kutaka kutoka kwenye Ndoa hiyo..!

КОМЕНТАРІ • 215

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 2 роки тому +5

    Kawaida kitu kikiwa kitamu huwaga unaona ni kidogo au mda mchache. Hebu basi tuongezeni japo robo saa

  • @allyrashidi3383
    @allyrashidi3383 2 роки тому +15

    Vitu vizuri halafu mnaweka dakika chache shusheni vitu tunahamu sana na flamu zako sisi mashabiki wako uko vizuri sana kamanda

  • @ingenieurkarim3355
    @ingenieurkarim3355 2 роки тому +10

    Elim hii zaidi ya chuo kikuu, MADEBE kwako wajifunze

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 роки тому +3

    Kupiga.sio suluhishoo

  • @masjidhamzainstitute8890
    @masjidhamzainstitute8890 2 роки тому +11

    Kazi mazuri ime pangika na pia muda imezingatiwa hakuna kuboeka tayari usha jifunza kitu mungu abarikiye kazi ya mikono yako kaka madebe lidai na washirika wako

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 роки тому +3

    🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️tabia yamama kumbee🙆🏻‍♀️ chafuuuu ndomtoto ameshika mwendo.wamama mama hajatulia

  • @hadharaalli5201
    @hadharaalli5201 2 роки тому +5

    Hahahaha 🤣🤣🤣 madebe big up Sana unanifurahisha na misemo Yako unampinzank Tanzania Eli umempa moyo wako wakat yeye alihitaji mwili ,,na eeti umeacha kufunzwa na kungwi umefunzwa na shangingi hahaha Asante madebe

  • @maulidsaleh8059
    @maulidsaleh8059 2 роки тому +2

    Ambao tupo pamoj gonga like hap

  • @southpole1378
    @southpole1378 2 роки тому +3

    Madebe lidai, mbona mdaa mchache sanaa duh kitu kizuri sanaa

  • @safarisafari7388
    @safarisafari7388 2 роки тому +3

    Wewe madebe lazma nikuone kwa macho yangu sio tu kwa filamu

    • @selemanimsangi7805
      @selemanimsangi7805 2 роки тому +1

      Kwani hujawahi muona live, yupo kawaida tuu

    • @safarisafari7388
      @safarisafari7388 2 роки тому

      @@selemanimsangi7805 safi kabisa mpeni salamu mwambieni anakubalika huku kilifi....

    • @selemanimsangi7805
      @selemanimsangi7805 2 роки тому

      @@safarisafari7388 nchi gani hiyo?

    • @safarisafari7388
      @safarisafari7388 2 роки тому

      @@selemanimsangi7805 kenya yote kaka sanasana coast upande wa pwani🤣👍👍

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 2 роки тому +6

    KUTOKA Qatar kwa kweli Tunafurahia Na kujifunza sana katika kazi zenu

  • @hassnakhamis3489
    @hassnakhamis3489 2 роки тому +2

    Kwa tulio elewa funzo tujuane

  • @saidaswaleh8437
    @saidaswaleh8437 2 роки тому +5

    Kazi nzuri xana madebe..tunajifunza mengi kupitia ww .
    Allah abariki kazi ya mikono yko💞💞

  • @violethchuwa2020
    @violethchuwa2020 2 роки тому +4

    🔥movie nzur jmn muendelez mapm sasa...ila uy mam anampotosha mwanae nd man na yy aliachan na mumew kwa tabia zak mbov

  • @nassorovuwai1499
    @nassorovuwai1499 2 роки тому +3

    Mbona leo dakika chache sana Nabii Mswahili???

  • @margaretmay5840
    @margaretmay5840 2 роки тому +7

    From kenya movie nzuri sanaa

  • @tundunguotv9692
    @tundunguotv9692 2 роки тому +2

    Na mm sijachelewa wadau nataka kumuona mama mkwe mtambo

  • @mauridialexandre1876
    @mauridialexandre1876 2 роки тому +2

    Niko zambian tuhalakishie baba tuma ya sehemu ya tatu

  • @seifmohamed7940
    @seifmohamed7940 2 роки тому +2

    Madebe muda ni mdogo Sana mbona

  • @rukingamaboar802
    @rukingamaboar802 2 роки тому +2

    Madebe duuuh umenieka macho niko nasubiriya

  • @emmyyussuf9234
    @emmyyussuf9234 2 роки тому +2

    Iko powa xan ahsanten kwa mafunzo tunasubir muendelezo 💋💋

  • @SYLMASVISIONFORSCIENCE
    @SYLMASVISIONFORSCIENCE Рік тому +1

    Ama hakika inafundisha saaaanaaaaaaaaa

  • @latifaomary1769
    @latifaomary1769 2 роки тому +2

    Madebe hii move ni maisha yangu kabisa..Yan nimepitia haya maisha hiv hiv mwanaume ananipenda lakin mm sielew Yan sitak hata kua nae nataka nirud kwetu .ikafika hatua nadai talaka mwanaume atak kunipa had nirudishe Mahal yake na nilimpa ilimlad tu nikakae kwetu kwnye ndoa naona tabu ..had sasa nipo kwetu chamoto nakiona

  • @kimuratv255
    @kimuratv255 2 роки тому +3

    Madebe huna mbaya vov zako zina funza sanaaa

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому +2

    Mnatuwwka xna jmn 😔😔😔😔🔥🔥🔥🔥🔥

  • @adamumbise9755
    @adamumbise9755 2 роки тому +2

    Nakukubali sana brother like zao jmn

  • @patrickkapishametod8631
    @patrickkapishametod8631 2 роки тому +2

    nawachek 2
    from mpanda katavi

  • @naropilitv6285
    @naropilitv6285 2 роки тому +2

    Naomba kujua maaana ya neno mbilini??
    Kwa wale ambao wako mahiri kwenye lugha tunaomba tafsiri halisi wa neno mbilini???

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 роки тому +1

    Tunaoangalia na kuzipenda move za madebe gonga like hapa

  • @mwangamediasimoncephas
    @mwangamediasimoncephas 2 роки тому +2

    Kazi safi

  • @abdullahiguyo7547
    @abdullahiguyo7547 2 роки тому +3

    Kazi nzuri wow!kwa hakika hayo ni ushauri nzuri sana kwa wana ndoa madebe ubarikiwe,kuna kujengana katika ndoa ..mume kwa mke si kuachana ,maisha ni kusaidiana.....kuvumiliana kila hali...funzo kwa wasichana wasiolewa..msisikize mama pekee chukueni upande wa baba pia ushauri huenda utakufaa Maishani....

  • @Bilichadieudonne1
    @Bilichadieudonne1 2 роки тому +2

    yangu mamcho mwanzo mwisho kusubiri

  • @manonipulasayida479
    @manonipulasayida479 2 роки тому +4

    Facts, filam hii nimeikubali pongezi kwako Madebe

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 роки тому +2

    Ameonekana mmmmmm kazi ipo

  • @aizacskills8915
    @aizacskills8915 2 роки тому +2

    Mwamba unajua sn

  • @directorkakoso
    @directorkakoso 2 роки тому +1

    Continue

  • @amunikanju4342
    @amunikanju4342 2 роки тому +1

    Good

  • @goldenboytiger799
    @goldenboytiger799 2 роки тому +2

    Mkuu Kazi nzuri

  • @merrygrandes6300
    @merrygrandes6300 2 роки тому +2

    Mbona mbali sana unanipa makasiriko

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 роки тому +1

    Msungooo wifi AMA wewe namwanao unamfunzaa madudu kichwani

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 2 роки тому +2

    Madebe madebe madebe tenaaaaa

  • @jesussavesus2210
    @jesussavesus2210 2 роки тому +11

    Yohana 3:16-17 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu; bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
    Kwa yeyote asiyemjua Mungu na anataka, na kuwa na uzima wa milele, bado hujachelewa kumtafuta Mungu kwa moyo wako wote kwa maombi na toba, kwa sababu Yesu anakupenda zaidi ya uwezavyo kujua na anataka uokoke. . Usikatae zawadi ya bure ya uzima wa milele. Ikiwa utamwomba Yesu Kristo kwa moyo wa kweli akusamehe dhambi zako zote, na kuingia moyoni mwako na tafadhali kukuokoa, atakuokoa na hivi karibuni utajua jinsi alivyo halisi. Mungu akubariki.

    • @abdullahiguyo7547
      @abdullahiguyo7547 2 роки тому +2

      Mwenyezi mungu awaokoa walio na mafikra haya,fungua kitabu Cha Matayo 15-24,MIKA 5:2, YOHANA 12:19....(nakuomba ufungulie Bibilia YUDA 1:4 ukimkana mola mwishowe motoni haya ni malazi ya wakafiri)

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 2 роки тому +2

    Kazi nzuri sana tunashukuru kwakweli

  • @molidwins3450
    @molidwins3450 2 роки тому +2

    Mbilini yamaanisha nini?

  • @saudamapenzi3880
    @saudamapenzi3880 2 роки тому +4

    Allah bless your work

  • @nellytsuma7519
    @nellytsuma7519 2 роки тому +2

    Katambuga yuabamba akilewa jamani 🤣🤣

  • @erinestmafie3530
    @erinestmafie3530 2 роки тому +2

    Namkubali sana uyu mtaalam sana

  • @isheali546
    @isheali546 2 роки тому +2

    Kaz nzuri

  • @petermakas1457
    @petermakas1457 2 роки тому +2

    Uko vizuli Sana madebe nakubali sana

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 2 роки тому

    Uyu mama waina gn sijui 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ongeren sn kz mzr👏👏👏

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣

  • @edwinjohn6334
    @edwinjohn6334 2 роки тому +1

    Haya tulio kuwepo kwanye matusi na sasa tuko mbilini tujuane kwa like

  • @ubasalim1148
    @ubasalim1148 2 роки тому +2

    Upo juu madebe

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 Рік тому

    Hivi Mama Ulikua umekosa jina la kumpa huyo mtoto paka ummpe juna la kidole yaani kiungo cha mwili Daah!! NOMA SANA 😂😂

  • @rachelmartin516
    @rachelmartin516 2 роки тому +2

    Tamu sana jaman 😘😘😘

  • @jasonjastinmatandala3037
    @jasonjastinmatandala3037 2 роки тому +1

    Endelea kutufunza tupo na wewe

  • @mwanatumuali2238
    @mwanatumuali2238 2 роки тому +3

    Unaladha yako kabisa kwenye hii tasnia,safi sana LP

  • @bakarimbonjo7182
    @bakarimbonjo7182 2 роки тому +1

    Sema homeboy(madebe) mbna hata hujasalimia hapo kwa bwana magoli

  • @wilsonmadawa370
    @wilsonmadawa370 2 роки тому +2

    Kazi safi sana

  • @sungwevalentin743
    @sungwevalentin743 2 роки тому +1

    Aisee mmenifanya nifatilie movies zenu from usa 🇺🇸 thanks so much

  • @khadijakassim4361
    @khadijakassim4361 2 роки тому +2

    Upo vizuri madebe shuklan Sana 🙏

  • @ezekielmeshack8387
    @ezekielmeshack8387 2 роки тому +2

    Finally 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @michaelak8082
    @michaelak8082 2 роки тому +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 роки тому +1

    Duuh baada ya masaa 38 sawa bhana ngoja tusubiri

  • @manchesterunited6076
    @manchesterunited6076 2 роки тому +6

    Lidai fundi always movie zako Zina mafunzo mashallah

  • @amanisharutiely5535
    @amanisharutiely5535 2 роки тому

    Kwakweli huyu mtunzi ananikosha vilivyo kongole kwake

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 2 роки тому +2

    Asante sana madebe🙏🙏❤️❤️❤️

  • @zenaa8217
    @zenaa8217 2 роки тому

    ujumbe kwawanaume wote duniani msitafute mwanamke mrembo ispokuwa mfanye mkeo awe mrembo tunakumbushana tu

  • @safarikatana8862
    @safarikatana8862 2 роки тому +2

    Safi sana👏👏

  • @ramadhaniomari6109
    @ramadhaniomari6109 2 роки тому +1

    hii ya leo kibok

  • @Ummukul-thumGulam
    @Ummukul-thumGulam 9 місяців тому

    Misamiat unayoitumia naipnd sn il tfsr y misamiat n temthl unzztmia znnfny nzd kzpnd flm zako mn unaongea ukwel n uhlsia ktk maisha yt❤

  • @pascopetter303
    @pascopetter303 2 роки тому +1

    Very nice

  • @kisurabeauty8890
    @kisurabeauty8890 2 роки тому

    Madebe wewe ni fundi na huyo mama kidole anajua sana

  • @habibachirindo9673
    @habibachirindo9673 2 роки тому +2

    💯💥

  • @mwakaribukhamisi7036
    @mwakaribukhamisi7036 Рік тому

    Wale maharusi watarajiwa kama mm tukaribie darasa huru❤❤❤❤.. kazi safi kaka madebe

  • @shebylove3798
    @shebylove3798 2 роки тому

    Naqbr Sana brother

  • @dr.bonye1
    @dr.bonye1 2 роки тому +2

    Mwalimu madebe lidai katika masomo yako yote haujawai kuferisha wanafunzi wako tupo pamoja nawe inshaallah 🙏

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 2 роки тому +1

    ""Kwenye Maisha Haya Usitafute Mwanamke Mrembo, isipokua Mfanye Mkeo awe mrembo""
    Noted

  • @ndousoally1532
    @ndousoally1532 2 роки тому +2

    Kazi mzuri sana

  • @elvisk7680
    @elvisk7680 2 роки тому +1

    Huu wimbo matatizo running in the background I wish kama ingekua the theme song mbilini...ingukua classical sana

  • @alexkipkemboi9307
    @alexkipkemboi9307 2 роки тому

    Kwangu ni hongera sufufu kwako kakangu madebe.

  • @Ummukul-thumGulam
    @Ummukul-thumGulam 9 місяців тому

    Hngr u are the good actor❤ mnn y busr ulyytmia implkea kutfny mng tuelw n tjfnz kutk kwk ❤mol akulnd sn kiongz il uwz kfk mbl zaid ❤

  • @deborahchacha2006
    @deborahchacha2006 Рік тому

    Madebe jaman eti umetosha 😂😂😂😂😂

  • @valentinernestkavishe7297
    @valentinernestkavishe7297 2 роки тому

    Wachagga tu ndo wameelewa lafuzi ya madebe

  • @zaitunlipule4410
    @zaitunlipule4410 2 роки тому +1

    Kazi nzuri madabe

  • @ezekielmeshack8387
    @ezekielmeshack8387 2 роки тому +1

    Finally 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️ we love you brother

  • @annamamaalpha8295
    @annamamaalpha8295 2 роки тому +2

    From Burundi kazi nzuri sana

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 2 роки тому +1

    ONGERENI KWA KAZI NZURI, HILA MBILINI AONGEZE BIDII KUVAA UHUSIKA

  • @ackimibrahim2973
    @ackimibrahim2973 2 роки тому +1

    duuuh...Madebe ipo siku nchi nzima itazungumza na kusema uwezo wako sawa sawa kwa sauti, maana wanaona ila wananyamaza lakini mioyoni mwao umetukuka💪

  • @waenylily8537
    @waenylily8537 2 роки тому +5

    Napenda sana kazi yenu💯

  • @ahmedabdousalim5361
    @ahmedabdousalim5361 Рік тому

    Mr madebe your the best

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf Рік тому

    Tunao kubali talent ya madebe piga like

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 роки тому +2

    Mambo hayooooo🔥🔥💃💃

  • @salimkadenge3231
    @salimkadenge3231 2 роки тому +1

    Safi sanasana

  • @ummiramadhan5144
    @ummiramadhan5144 2 роки тому +2

    ♥️♥️

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 8 місяців тому

    Maneno yenye mizani bwana madebe...🤝👊

  • @joelmusebe2141
    @joelmusebe2141 Рік тому

    Kweli kabisa.

  • @alfredfundi6970
    @alfredfundi6970 Рік тому

    Inafundisha sana kwa wana ndoa hii movie

  • @singi141
    @singi141 Рік тому

    But the song

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 2 роки тому +2

    MASHA ALLAH