MBILINI Sehemu ya Kwanza (1)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Mbilini ni filamu ambayo kwanza imezingatia Utamaduni halisi katika masuala ya Kijamii,kutana na binti kidole ambae aliolewa kwa sababu tu amebarehe ila anajikuta katika wakati mgumu baada ya kutaka kutoka kwenye Ndoa hiyo..!

КОМЕНТАРІ • 234

  • @joanesotieno6936
    @joanesotieno6936 2 роки тому +43

    Right on time, nawakilisha Kenya kama jirani mwema. Napenda sana kazi zenu

  • @fatumalugazo9513
    @fatumalugazo9513 2 роки тому +42

    As'sallam Allekum vp hali wanafamilia .nawapenda sana kwa ajili ya ALLAH 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @yonamakondo6136
    @yonamakondo6136 2 роки тому +10

    Ni nzuri ila madebe mbona fupi sana dkka 13 kama nyimbo za gospel! Fanyia kaz hili.

  • @CTM.24Updates
    @CTM.24Updates 2 роки тому +3

    UKIKUMBATIWA STAILI HIZI☺️☺️☺️🏃🏃🏃
    ua-cam.com/video/T313lNs6nRQ/v-deo.html
    ❤️

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 2 роки тому +2

    NZURI NAONA UMETUKUMBUKA PIA HUKU UA-cam ASANTE

  • @salimabdallah704
    @salimabdallah704 2 роки тому +7

    VP kiongozi MADEBE filam zako nazikubali sana mana unaelimisha jamiiiii. Ila kaka mbona safari hii imekuwa fupi mno na itakuwa inaendelea Siku gani niwako funds wako

  • @hamisibugao314
    @hamisibugao314 2 роки тому +7

    Kaka Athuman Mpinga kazi yako maridadi sana,lakini yuko wapi dada Hidaya mustapha Boli?

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 роки тому +8

    ahsante madebe hujawahi.kuniangusha Allah.akufanyie wepesi

  • @manonipulasayida479
    @manonipulasayida479 2 роки тому +7

    Yeah hakuna umaskini wa milele,nakumbuka jamaa Rasta kwenye shupa na shupaza

  • @nellytsuma7519
    @nellytsuma7519 2 роки тому +4

    Wakenya tujuane

    • @samuelokeyo8839
      @samuelokeyo8839 2 роки тому

      Sioni ikisaidia,, maana hata tukijuana hapa eti wakenya tujuane,bado tupo chini huku ukabila utatumaliza aisee hatupendani,hamna haja tujifanye hapa

    • @nellytsuma7519
      @nellytsuma7519 2 роки тому

      @@samuelokeyo8839 wakwanza mwenye ukabila ni wewe hungeongea upuzi huo inaonekana huelewani hata na jirani zako

    • @nellytsuma7519
      @nellytsuma7519 2 роки тому

      @@samuelokeyo8839 waongea kama ambaye nimekufata nikakwambia njoo tujuane fata kuangalia movie ukojoe ukalale

    • @samuelokeyo8839
      @samuelokeyo8839 2 роки тому

      Hapa hamna kitu,,mkionaga wabongo mnajifanya mna akili Sana wakenya,,nyie maboya tu,, ukabila umewateka akilini hamna kitu hapa,, hapa Kenya ugaidi tu Wala ustaarabu hamna,,,mapimbi nyie tu

  • @alicharo2384
    @alicharo2384 2 роки тому +9

    kazi njema ila huu mda,kiduchu mno banaaa

  • @ezekielchamoto5253
    @ezekielchamoto5253 2 роки тому +8

    Hizi nyimbo za movies zako madebe.basi tuu!

  • @salmamwanyero3226
    @salmamwanyero3226 2 роки тому +8

    Jaman madebe hana kazi mbovu na vinyimbo vyake vizuri

  • @KileleMartin
    @KileleMartin 2 роки тому +2

    Tuisubili maana yumebaki mda mchache Sana'a * ua-cam.com/video/7s9ijUd0UDU/v-deo.html

  • @bramwellungaho4942
    @bramwellungaho4942 2 роки тому +10

    Nilikuwa nimeisubiria sana....representing Kenya

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 2 роки тому +17

    Tunakushukuru sana kutuletea huku kaka Madebe... watching from South Korea.. nakupata vizuri

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 2 роки тому +13

    InshaaAllah mungu atupe umri n tufikishe hy siku salama twajuwa huna ngoma mbaya

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics 2 роки тому +6

    Madebe lidai nakubali kazi zako upo vizuri sana 👏👏👏👏💯💯🔥🔥🔥🙏🙏🙏

  • @suleimansuleiman5204
    @suleimansuleiman5204 2 роки тому +4

    Asanteeee Kwa ujumbe wenye kugonga nyoyo. Part two lazma iwahi kuwekwa mapema tuzidi kufurahia kilichokua bora

  • @totmohammedtotmohammed2982
    @totmohammedtotmohammed2982 2 роки тому +5

    Jmn nikuliwa nahisubili kwa hamuu hiii asante kakaangu madebe ridai kwa kz mzur 💞

  • @hamisishabalala_sneper6991
    @hamisishabalala_sneper6991 2 роки тому +2

    LETE NYENGINE PIA IONGEZE MUDA

  • @selemanimsofe7321
    @selemanimsofe7321 2 роки тому +3

    Fundi wa mafundi lidai juu

  • @nellytsuma7519
    @nellytsuma7519 2 роки тому +3

    Madebe twakudai wali wangu na matusi bado hujatumalizia ujue

    • @ashurakichokera1636
      @ashurakichokera1636 2 роки тому +1

      Mbona zote ameziweka na zimefika mwisho angalia utaziona

  • @teefanytrend9215
    @teefanytrend9215 2 роки тому +1

    Unatuekea vipande vifupi saana

  • @danielkihorojournalist6274
    @danielkihorojournalist6274 2 роки тому +6

    Good job madebe am from kenya

  • @leylevis3317
    @leylevis3317 2 роки тому +5

    Jmn hii nyimbo inayoimba humu ni nzuri

  • @adlaissack8936
    @adlaissack8936 2 роки тому +1

    Kuhendo inamanisha nni???

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 роки тому +1

    🤦🏼‍♂️🤦🏼‍♂️🤦🏼‍♂️🤦🏼‍♂️🤦🏼‍♂️🤦🏼‍♂️🤦🏼‍♂️🤦🏼‍♂️mm mamanguuu hutanipangia ndoa yani.. mwayaa mwenyewe akili zausiku kama mamayake mmmmmm mwataka ndoa zawatuuu matajirii😨😨itabidii muolewe bank ndokunapesa

  • @stellankoswe966
    @stellankoswe966 2 роки тому +10

    Napendaga nyimbo jamniiii 🥰🥰🥰❤❤

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf Рік тому +1

    Tunao angalia mbikini 2023 tujuane please kwa like

  • @nicholasmusyoka979
    @nicholasmusyoka979 2 роки тому +3

    Bado dakika tatu tusikie utamu wa madebe

  • @abdallahmapila7939
    @abdallahmapila7939 2 роки тому +1

    Nlimic hako kasauti ka mziki

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 2 роки тому +4

    Kaka madebe napenda kazi zako VIP naitaji naface

  • @kadzojoseph6714
    @kadzojoseph6714 11 місяців тому +1

    Am in love with you movies madebe❤🎉

  • @ramazaniamisinanjira9992
    @ramazaniamisinanjira9992 2 роки тому +10

    Tunakubali saana kazi zenu! Tunasubiri kwa kina saana....

  • @loganpoul
    @loganpoul 2 роки тому +6

    Wewe sio msani wa katiako,Sisi tulioko yakutia na twakuangalia na tunapenda kazi zako nzuri

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 роки тому +1

    Duuuuu huridhishwi namumeo inamana akikupa talaka mama mtuuu atakuridhishaa??mama wengine bn kungwi aliemfunda aliachika

  • @Jumashadhil380
    @Jumashadhil380 2 роки тому +7

    Mambo Ni Moto Mambo Ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 2 роки тому +2

    Huna kazi mbovu mkali wetu cha pombe kapendeza hahahahaha bado hajautwanga

  • @Manjalino
    @Manjalino 2 роки тому +7

    best actor in easg africa madebe lidai

  • @shebychazy3589
    @shebychazy3589 2 роки тому +5

    MBILINI ina meng san twashukulu madebe kwa kazi nzuri 🔥🔥

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому +3

    Tunaisubili

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 8 місяців тому +1

    Wanawake wataka Ndoa lakin hawaziwezi wengi wao

  • @rukingamaboar802
    @rukingamaboar802 2 роки тому +1

    Madebe weye ndo wangu myaka yote ndaacha movies pindi utakapo fariki

  • @ericklekyx9325
    @ericklekyx9325 Рік тому +1

    Nawapata vizuri kutoka Kenya

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому +4

    Aweeeeeeeee🔥🔥🔥🔥

  • @mwalolove1553
    @mwalolove1553 2 роки тому +1

    Fantastic madebe lidai

  • @jumaabdala1976
    @jumaabdala1976 2 роки тому +2

    Mamb ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kipiza mambang

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 2 роки тому +10

    🔥🔥🔥🔥shuqran madebe kwa kazi nzuri .

  • @marcelinkamuntu
    @marcelinkamuntu Рік тому +1

    Mzee movie zako nakubali

  • @silasila3111
    @silasila3111 2 роки тому +1

    Tokoss 🇨🇩🇨🇩

  • @salumsulungi9560
    @salumsulungi9560 2 роки тому +3

    Mama kama mamaa 🤣🤣🤣

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +1

    Msichelewe bas

  • @makuricharles289
    @makuricharles289 2 роки тому +2

    Anaetunga hizo nyimbo asee daa....pongezi zangu zimfikie huko aliko.

  • @tundunguotv9692
    @tundunguotv9692 2 роки тому +3

    Daar nilimiss Sana kazi kazi nzuli

  • @salimnurudini4895
    @salimnurudini4895 2 роки тому +1

    Kaza nzuli San ss muendelezo tunaupataje

  • @sophiapaulo7629
    @sophiapaulo7629 2 роки тому +3

    Nimengoja kwa muda

  • @evansmasicia6753
    @evansmasicia6753 2 роки тому +1

    From Kenya Masixha Evans, napenda sana filamu za madebe

  • @zaytunacom
    @zaytunacom 2 роки тому +2

    Atimaye imefunguka😂😂pongezi kwenu Kwakweli

  • @leahjoseph6
    @leahjoseph6 2 роки тому +1

    Tumezoea kukuona una Rasta mzee baba

  • @mullamtupa9116
    @mullamtupa9116 2 роки тому +1

    Apo sawaa

  • @mkunwaaidani6395
    @mkunwaaidani6395 2 роки тому +1

    Tunasubili inayokuja

  • @kakuyasanare9834
    @kakuyasanare9834 Рік тому +1

    Nakubali sana

  • @thomasnyarugembe1533
    @thomasnyarugembe1533 2 роки тому +1

    👍🏿👍🏾👍👍🏼👍🏻👍🏽💪🏼💪🏼 hapa sas naitaji mwendelezo

  • @directorkakoso
    @directorkakoso 2 роки тому +2

    Keep it up 💪

  • @justinkavuti6256
    @justinkavuti6256 2 роки тому +3

    Kazichema napenda sana mov zenu ndaniyake Ku n'a mashauri .🇨🇩🇨🇩

  • @mbarakaismail9301
    @mbarakaismail9301 2 роки тому +2

    Duuuu.!!! good brother

  • @beatricechiwa2496
    @beatricechiwa2496 2 роки тому +2

    Ajapita siku bila kupitia UA-cam ya madebe big up my brother

  • @rdjgumbo9921
    @rdjgumbo9921 2 роки тому +1

    Sijawai kuwapinga hata siku moja

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 Рік тому

    Uyu madebe anactahiki tunzo from Kenya 🇰🇪

  • @donmahela2412
    @donmahela2412 2 роки тому +1

    Safi sana Anty Asha Mzese

  • @onedaymandando5225
    @onedaymandando5225 2 роки тому +2

    🙏 liengo lyambone amadebe lidai jipingawa filam janmbone 💪💪🙏🙏

  • @chitwangaseif8162
    @chitwangaseif8162 2 роки тому +1

    Notifications on

  • @aminarashidi592
    @aminarashidi592 2 роки тому +2

    Najua broo uwezi kutuangusha tunaisubiri kwa hamu sna.

  • @saidramadhan4950
    @saidramadhan4950 2 роки тому +1

    Tupo mlete mwanao mwanao mwanaisaya usojua maisha

  • @hamissemohammed9442
    @hamissemohammed9442 2 роки тому +1

    Nakubal

  • @tishomkatoliki
    @tishomkatoliki 2 роки тому +1

    Madede Lidai bado napenda kazi zako hata Kama ulinidhulumu kwa kunifungia Chaneli yangu kwa jina MCA TISHO. Ulinifanya kuwa chokora.Heko. cheka na ufurahi Mimi nikilia

  • @mudrickzeenah5175
    @mudrickzeenah5175 2 роки тому +8

    Nzuri MBILINI,,😍

  • @samoredelavida3782
    @samoredelavida3782 2 роки тому +5

    Jamani nimeipenda sana nyimbo

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 роки тому +1

    Tunaoangalia mbilini na kuipenda gonga like hapa tujuane

  • @Ramadhani-xm3ke
    @Ramadhani-xm3ke Рік тому

    Asante madebe Kwa ufumbuz wak Kam wampenda madebe gus like tujuane ❤

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 2 роки тому

    😁😁😁😁hilo toto lenyewe limekubuhu kuliko mama mtu

  • @subirabizabishaka4359
    @subirabizabishaka4359 2 роки тому

    Maishaallah madebe kutuletey muvi nzurisaan

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 роки тому +2

    Madebe hunaga kz mbovu haya ngoja niichek😍

  • @bilemowetu732
    @bilemowetu732 2 роки тому +1

    Part 2 lini kaka

  • @barakanjawi5406
    @barakanjawi5406 2 роки тому +2

    Vip hii mbilini hakuna sehemu ya pili kweli mahana daaa

  • @thomasnduva9662
    @thomasnduva9662 2 роки тому

    Madebe unatisha xana.i love your movie

  • @kefamkv3743
    @kefamkv3743 2 роки тому

    Jamani naitaji kujuzwa hivi maana ya mbilini ni nini mana kiswahili kigumu kwel kwel

  • @denisbindedalluundo3881
    @denisbindedalluundo3881 2 роки тому

    Vizuri kwakuhonesha gisi mahisha yaleo ikivio

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 2 роки тому +1

    Asante

  • @basimisecadet6569
    @basimisecadet6569 2 роки тому +2

    Keep it up. from Congo 🇨🇩 🇨🇩

  • @mapitotv6837
    @mapitotv6837 2 роки тому +2

    🇧🇮🤝🤝🤝🇧🇮

  • @levissafari9830
    @levissafari9830 2 роки тому +1

    Motoooo 👏👏👏 madebe big up, brother, ila n fupi mno, angalau iwe 20minutes

  • @caramamttv
    @caramamttv 2 роки тому +1

    Nakukubari sana madebe natoka Burundi

  • @christinapaul3344
    @christinapaul3344 2 роки тому

    Mkwaju sehemu ya tatu iko wap jaman nzuri sana

  • @abduljumanne8783
    @abduljumanne8783 2 роки тому +2

    kwa uongoz sehem ya pili uludiwe mapewa

  • @navashub_ke9106
    @navashub_ke9106 2 роки тому

    From Kenya 🇰🇪. Twende nalo

  • @jasonjastinmatandala3037
    @jasonjastinmatandala3037 2 роки тому +2

    Utamu wa asali ulambe, kazi nzuri

  • @eliezel6103
    @eliezel6103 2 роки тому

    Madebe lidai tunatamani ufike 🇧🇮

  • @wurldcodd6962
    @wurldcodd6962 2 роки тому +2

    nomaaaaaa

    • @madinationafrica5457
      @madinationafrica5457 2 роки тому +2

      Nina swali Mr. madebe Lidai, Hivi Kenya utakuja lini utushirikishe ingawa kiswahili cha huko kigumu ajabu