mtu ambaye anafurahia wenzake wakigombana ni mtu mbaya sana,,,, na wakazi ni mtu wa aina hiyo,,,,hate him or love him but the fact is that nick mbishi is the best rapper in Tanzania
@@husseinsaid8021 na anaogopa kulipiza kwa pmawenge kwa7bu hamuwezi Hiyo diss kama angetoa Wakazi angeshamjibu kwa7bu anamuweza Cheki interview ya mawenge na lil ommy, P anasema kabisa hawezi kujibu na jamaa katuprove right
Unju mm nakuelewa sn na nakukubali sn na nd msanii wangu no1 tamaduni nzima, ila kaka mbn ss imekuwa mabifu mbn ww na wakazi n wana na mna ngoma znu mbili kali sn ila ss mbn imekuwa bifu mzee iyi n kazi tu...
Huyu ndio Nikki Mbishi 7:50 Wananiogopa hawasikiki wakinichana, nagundua kumbe maisha sio sawa na bilcanas, iko wazi unju niko real sana, still kama drey tangu baiser anaitwa lilsama.
Niki mbishi ni bonge la msanii na ana hit kibao uwezi mfananisha na p na wakazi ambao hawana hit song hata moja zaidi wanataka wazungumziwe kwa kumdis NikkiMbigwa
NIKKI MBISHI unastahili heshima kubwa. you represent real hiphop +254rep
>>>Nikki Genius Kwakweli HAKUNA Adui Wamilele Wala Rafiki Wamilele
The icon of TZ hiphop.., Nikki mbishi 🔥🔥🔥
Hao hiphop heads baadhi na ukongwe wao, hawajawahi kufanya au kuweka album bora katika huu utamaduni
Kusema kweli WAKAZI simuelewiagi kabisa! Hivi ni mwandishi wa habari au anafanya hiphop
Nikki ni Nas wa East Africa. Kenya tunamtambua. Nairobi inangoja Album 🔥🔥
Mbishi mwanang interview zako ziko really my nigga endelea kuongoza gurudumu la hiphop artists 🎤🎧
Tatizo litaisha lenyewe kama corona. Hahaha! Uko sawa Unju.
Interview za huyu bro hazikosi view yang namkubal sana nikki
Nikki mbishi Wengi wanakuofia sanaaaaaa Aiseee Coz Hawakuwez mzee iko waz
Hahahaha Mawenge kasema aliamua kutoa ngoma kisa watu kumjaza upepo tu mitandaoni.....dogo immatured, unju bin unuki the Legend
Nikki mbishi university
This guy is real man nikki you’re the real man 👊
Huyu jamaaa aisee 😂😂😂 eti admin mwenyewe huna hata nyimbo.
Yani nikki mbishi ajawai nkosea kabisa Bro...
Iko real sana still kama dre tokea byser anaitwa lil sama
Huyu kweli mbishiii nakubalii🤝🤝
Nikki unju the real one 😁🏁🏁🏁🏁🏁
Intaview za Nikki ni zakikubwaa sanaa
Naqubal Sana Interview zako Nikki 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wanakuoga ki ukweli..kaza buti tu..mshua💯👌💪🎤🎧🔥
mtu ambaye anafurahia wenzake wakigombana ni mtu mbaya sana,,,, na wakazi ni mtu wa aina hiyo,,,,hate him or love him but the fact is that nick mbishi is the best rapper in Tanzania
Kwa kipi? Kaufanyia nn MZIKI Nikki zaidi gambling kujisifia tu
@@husseinsaid8021 fact
@@husseinsaid8021 na anaogopa kulipiza kwa pmawenge kwa7bu hamuwezi
Hiyo diss kama angetoa Wakazi angeshamjibu kwa7bu anamuweza
Cheki interview ya mawenge na lil ommy, P anasema kabisa hawezi kujibu na jamaa katuprove right
Nikk mbishi ur geneous broh respect. Upo real
Tunasubil album mzee 🔥
Nikki Mbishi iko really kabisa
Papaa Nikki real hip hop
mbishi as mbishi... Appreciate broo ✊
"Nikki mbishi anakula Muwa",hahaha wazee wa vyombo TUMEKUELEWAA mbishi
Nikki mbishi anatakiwa kuojiwa na watu makini sana ndo utapata kitu kizuri kutoka kwake.. sio uyu jamaa mpuuzi asiye jua kuhoji kiakiri
nikk kiboko yake lily ome wa wasafi ndo anampatiaga
@@piusdeo9380 kabisa man
Konyagi imesaidia speech ya Nikki mbishi kwa kiasi!
We ndo Hip hop ya bongo, achana na hao maboya mzeee
Dah. Unjuu nilikoxa vitu napnda xan. Ukiojiwa unajua broo xan
Unju mm nakuelewa sn na nakukubali sn na nd msanii wangu no1 tamaduni nzima, ila kaka mbn ss imekuwa mabifu mbn ww na wakazi n wana na mna ngoma znu mbili kali sn ila ss mbn imekuwa bifu mzee iyi n kazi tu...
Ahahaaa unju bin unuki. Huwa sikosagi interview zako
Namkubali huyu jamaa maana siku hizi naanza kumuelewa sana
Nikki mbishi ♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿 legend 👑👑👑
#unju..
Msanii wng bora wa miaka yt...UNJU_BIN_UNUQ
Hii real sana..
Sema ninacho kuelewa Una tunza maneno man
Hawakuwezi Nikki... Nnachokupendea hunaga shortcut... Unapita nao njia kuu tu
Dictective Wakazi 😂 king of all time niki mbishi & hiphop icon 👑
napenda interview za niki
kama mm boy nitumie namba zako boy
Nakubali unjuuuuu
Hip Hop icon
Tatizo sikuzote ukiwa real watu watakuponda sana binadam wengi wanapenda unafiki
Hahaha NIKKIGENIUS
Nick mbishiiii hatari sana huyu mtuuuuu
Wooooooza gangster rap
Huyu ndio Nikki Mbishi
7:50 Wananiogopa hawasikiki wakinichana,
nagundua kumbe maisha sio sawa na bilcanas,
iko wazi unju niko real sana,
still kama drey tangu baiser anaitwa lilsama.
THE STORYBOOK nakbal
Inaitwaje hii ngoma
Mwaka 2008 byser hakuwaa Lil sama na Nikki alikua shule nikki abadilike
Wew ndio hujui alivyoaza game alikuwa anakuita lilsama blue lilikuwa Jina la nyimbo sema jimbo ikawa kubwa kuliko jina lake akaona ajiite blue
Wakazi mnafki tnamjua zamani Sanaa
Zohan...Yote sawa.. True talent
CONSCIOUS NICK MBISHI huyu jamaa sio MBISHI ila brainer halisi..ndo maana watoto wana mdisi
Nikki yuko real kabisa
Hiphop icon"
Nakuelewa
sante mzee nikk tena mamae nimekuelewa manigga
Nakubali nikki unju
Mzee was makavu live
#SIO UTAn mwenywe akil amekuelew mkuu
Unju Ana Akir mingi sanaa
Nikki kaongea kweli ❤
Noma
Baba Malcolm, Nikki Mbishi, Zohani, Shati you're pass, babu Bomba, Babu Talent, Unju bin unuki, Sam magoli,
Doctor Unju
Interview za nikki huwa hazinipiti.... mwana anaongea kikubwa amung'unyi maneno
we jamaa nimekuelewa da kumbe tupo wengi
Unjuuu
UNJU nimependa hayo majibu asee..
Salama anahoji wale wale nakukubali nipe like kama umependa hilo
Wasafi tafuteni mwandishi mwenye akili amuhoji NIKKI
True
Hahhaha
Uyu jamaa amanifunza vitu vingi kuliko ata nilivyojifunza shule.
amin mzaz uyu jamaa ni kichwa sana aise
Unju 🙌🏿
Nakuelewa sana Baba
Eti ki group
Unjuuuuuuuuuuuu
My best rapper
Hahahahahah Niki ww ndo kiboko kabisa.
😂😂😂 admin huna nyimbo yeyote iliyotrend😃😃
Nakubali sana unjuuuuu
Nikk mbishi 👑👑👑🇹🇿🇹🇿🇹🇿
daaaah m namkubali saana niki mbishi
Geniuz
Unju bakora nachana kinyamwez mwadilanpola
Wakazi hajui kuiimba.
Niki mbishi ni bonge la msanii na ana hit kibao uwezi mfananisha na p na wakazi ambao hawana hit song hata moja zaidi wanataka wazungumziwe kwa kumdis NikkiMbigwa
Namkubari sana mwanangu
Nakubal utingo tishio
The level of immaturity and insecurity is crazy. We’ve got a really long way to go.🤦🏾♂️
Sikupingi niki
izi ndio interview sasa
Unju 🔥🔥
Nikki na konk 3 master ndiyo habari yao
Icon
😁😁😁 nikki sanitizer gani unakunywaga 😁😁😁
Maneno ya mashabiki....
unjuuuuuu🤯🤯🤯🤯🤯
Malcom Nick.. 100
Uyo ndo sugar daddy wao
Zohan
Niga forrl
Unju ni bora kuliko ubora wa mawork