AY afunguka urafiki wake na SALLAM, FID Q, THE JOINT, kwanini aliachana na collabo za nje (PT 1)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • AY anafunguka kuhusu kipindi cha TV cha The Joint ambacho amekianzisha akiwa na Sallam na Fid Q, ngoma yake mpya Stakaba, kwanini ameacha kufanya collabo za nje na mambo mengine
    #ChillnaSky

КОМЕНТАРІ • 34

  • @Therealrashyy
    @Therealrashyy 3 роки тому +15

    Tusiopenda maswali ya kiatu chako bei gani au video bei gani na scandals tunachill na sky... Kipindi kimetulia vibaya

    • @jacksonsabana2150
      @jacksonsabana2150 3 роки тому +1

      Hahahahah we bwan

    • @Therealrashyy
      @Therealrashyy 3 роки тому

      @@jacksonsabana2150 hutakaa uskie sky anauliza "kiatu bei gani hiki"😂

    • @MichaelPaulTZ
      @MichaelPaulTZ 3 роки тому +1

      😂😂

    • @abdullahomarabdullah6921
      @abdullahomarabdullah6921 3 роки тому +2

      Rashid umenfurahisha khaswaa maana mie namkubali hyu Fredrick Bundala (skhy walker)ni mtu mwnye weledi mkubwa ktk kazi yke kusema ukweli...

    • @Therealrashyy
      @Therealrashyy 3 роки тому

      @@abdullahomarabdullah6921 Sky tulietoka nae enzi zile mpaka sasa tunaelewa ni kiasi gani ana umakini kazini. Kusema ukweli wale madogo wanaouliza bei za vitu ni vizuri wangeenda kwa wafanyabiashara wadogo wawaulize changamoto wanazokutana nazo ila ndo washachagua kuuliza ujinga

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 3 роки тому +2

    nyakyusa boy""among the few smartest artists in this part of the world"""AY👌👌👌👌

  • @ModernFlicks
    @ModernFlicks 3 роки тому +4

    Legend AY 'mzee wa Commercial'

  • @EdgarKimutai
    @EdgarKimutai Рік тому

    a very cool guy.....huyu angekua mkenya, his reasoning is too fast for Bongo

  • @dula8819
    @dula8819 3 роки тому +3

    Ay mzee wakula kwa macho

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 3 роки тому +4

    Aya na Skywalker. The best interview. Swahili nation

  • @namsintimbwa3040
    @namsintimbwa3040 3 роки тому +3

    The best interview

  • @zahirallyzorro3940
    @zahirallyzorro3940 Рік тому +1

    Kidago Pouwa sana walinialika!

  • @blasiohaule6767
    @blasiohaule6767 3 роки тому +3

    Namalizaga bando kuangalia the joint nasijawai jutia

  • @janvierramazani2189
    @janvierramazani2189 3 роки тому +1

    Always be the best guys sky walker

  • @adv.benedictpius
    @adv.benedictpius 3 роки тому

    i like ur confidence brother kama unajua unajua tu

  • @user-zh8wg3lc4i
    @user-zh8wg3lc4i 3 роки тому +4

    AY. Huyu kijana nampenda Sana Toka alipokufa ameanza mziki wakati anasoma pamoja na ndugu ya Mwanafalsafa hawa vijana nawapenda Sana , popote walipo Mimi ni shabiki yao Kindakindaki. Mungu awajaalie watoto wangu.

  • @chw2075
    @chw2075 3 роки тому +1

    Better interview

  • @prestonkenyaofficial
    @prestonkenyaofficial 3 роки тому

    Mr Genius AY

  • @zahirallyzorro3940
    @zahirallyzorro3940 Рік тому +1

    Mwambie Baba anakusalimia

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 3 роки тому +1

    Masta

  • @elishavicentmhina3545
    @elishavicentmhina3545 3 роки тому +4

    Msanii wangu bora wakati wooo9ote

  • @sebastiannyanda1743
    @sebastiannyanda1743 3 роки тому

    Uko vzur kaka Skywalker

  • @mrdocta3106
    @mrdocta3106 3 роки тому +2

    I like his bibs AY namkubali.

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 3 роки тому +3

    Watu na mziki wao! Waasisi wa kuipeleka bongo fleva anga za kimataifa halafu wala hawana habari! Waliopokea kijiti Sasa!! 😂😂😂 Utasema wao ndio kila kitu kwenye huu mziki!

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 3 роки тому +3

    Ay Mzee WA commercial unakamuaga bila Hirizi Siyo Kama wadwanzi wengine hawatambi mpaka wavae Kikukuu and Kisketi 🤣🤣🤣 Tumezoea Mziki bila 666

  • @priscillaenock7769
    @priscillaenock7769 3 роки тому +2

    Stakaba

  • @francistadayo8064
    @francistadayo8064 2 роки тому

    Kaka!..

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌.

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 2 роки тому

    Huna tena jipya ay