YOUNG LUNYA HAWEZI KUWA MBUZI | NITAKATA RASTA ZANGU | ANAKUJA KUJA - FID Q
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Hi,Kigali Rwanda tunawapenda sana tena tunafwatiria show zenu ,tunaomba fid Q ajage Rwanda watu tuna mpenda mia
Lunya ni goat na sio GOAT, so ni mbuzi kama mbuzi zingine.
🤣🤣🤣🤣🤣
Lunya ni mtoto mdogo sana. Mtoto wa mbuzi haswaa.
Yoo! brother Fid Q ebwana huku Kigali tunakupenda kinoma bro
One day pran it to come in The Thousand hills bro ongelaa Mungu azidi ku kupa maisha malefu bro
Asante mwanamalundi Fid q madogo wakaze xana fid kaongea hivyo akimaanisha dogo aongeze juhudi bado xana kuwa mbuzi👌👌
kwendraaaaaaaaa mshenzi mmoja wew unaga maajabu et lunya sio mbuzi u'r not too
Real man..GOAT Good Of all times
The real king in tz (hiphop)
Rasta ni za dhamani sana daaah...kuzinyoa ni kama kukataa utajiri....big up from kenya
Pp
Iii
I'm sure it's it I'll send my email 📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨📨 📨📨 please 🥺🥺🥺 llliio
Hajafikia level hiyo
kajibu kihip hop maana fid ni baba wa killer mjue so kajitahidi kulijibu hili swali Kwa kutokuelemea upande mmoja big up👊👊
Nakukubali sana fareed
Young luny ànaweza
GOAT ni kabaiser2
Nakubaliana naww lakini huyo lunya ni goat yaani mbuzi kama mbuzi
Nakubali fid q
Lunya mtoto mdogo sana kwenye rap game... Akaze, anajivika vyeo vikubwa kuliko yeye
Fid kama fid nakubaliii🔥🔥
Nakubali
Goat
aah jamaa ni genius sana, sikufahamu kuwa mbuzi inabidi uweke kwa kimombo ili upate maana kusudiwa
Mbuziiiiiii
Uso wa Mbuzi Ni mzee Rado Usiulize!
Hawa wengine
Goat ni fid q sio lunya
Mimi sio mpenzi wa media ila Mbona nasikia sauti kama ya dj fetty.🤔
good man
FAREED never wrong ✌🐐
Country boy Ndio kila kitu 🔥🔥🔥👽👽
Si maana yake..hiyo ni kwa lugha nyingine..mbuzi maana yake si goat...mbuzi young lunya alisema kabisa ni yule anayekula majani..na mambo mambo mengine..😀😀😀 kwa si wewe brother..🐐🐐🐐🐐
Kuna wakina Chui, simba, Tembo
😂😂 salute kwa MBUZI sio goat
Mdada huyu namkubari Sana
❤
Achaaa kumpaisha young lunya paleee hakuna kituuuu
Kichwa Cha habari sasa
MBUZI #younglunya 🇹🇿
Mbuzi ni mmoja tu bongo... Nae ni Fareed Kubanda
Uhalisia wa maisha yetu upo kwenye filamu zetu, karibu katika familia yetu ya Tanzafilm, hapa utatizama filamu nzuri za kiswahili 🍿
Fareed kubanda alizaliwa agost 13
Alafu alitereza tena daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Lunya mtoto mdogo
Munya kiroho safi
Lunya nifimbo
💥💥💥
binafsi cjui nyimbo ya lunya hata 1 inayovuma...
lakini za Q nafaham mpaka lyrics
Fid Q Mwamba
Lunya bado mtoto Fareed ndyo big wa mzik
Mbuzi Kama hii yenye tunachinja kwa matanga sai
Wizzy
🤣🤣🤣nme wazaa Mbuzi weng
😁😁😁
Noooooo kwaelif kubwa
Cv
U
Kubanda
Yeah bado dogo level hizo ajatoboa na kingine vijana tupunguze kujisifia kabla hujasifiwa lunya fanya kazi kwanza time will tell 🕕
Ola chizen
Wanaweweseka Lyrics ua-cam.com/video/4bq1CbaouYo/v-deo.html
Singeli inayohit ua-cam.com/video/wxfTfu0_S6U/v-deo.html
Hahahah
Bado sanaaa Lunya Mdgoo
Lunya ain't a Goat
Hhahahaahhaha
Diamond platnumz kala kichapoua-cam.com/video/jdISDiWGE7g/v-deo.html
Twende Kazi
ua-cam.com/video/IvxL4Jxzfd4/v-deo.html
ua-cam.com/video/cTi4vOt4Wys/v-deo.html
FAHYVANNY vs PAULA KAJALA 🔥🔥🐉🐉
kama una mkubali lunya gonga apa
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏻👇👇👇
ua-cam.com/video/YoeChj0Mijo/v-deo.html
Nakukubali sana fareed
Lunya nifimbo