MBWADUKE: GUEDEEE! APIGA BAO LA KIBABE YANGA IKIIUA COASTAL 1-0/ YAZIDI KUKARIBIA UBINGWA LIGI NBC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 кві 2024
  • Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

КОМЕНТАРІ • 54

  • @Papyprince29B
    @Papyprince29B 13 днів тому +23

    Uyu ndie mchambuzi number one Tanzania nzima tumpe like za kutosha

    • @user-um1vp8to2u
      @user-um1vp8to2u 13 днів тому +2

      Kwa kweli huyu ni mchambuzi.sio wale wachafusi

    • @user-um1vp8to2u
      @user-um1vp8to2u 13 днів тому +2

      Upo sawa

    • @Papyprince29B
      @Papyprince29B 13 днів тому

      umeona eeh mimi na mkubali sana

    • @daudkhatib-qn5tr
      @daudkhatib-qn5tr 13 днів тому

      Mwanangu hapo hatutowsa hia . Wale vibaraka wawili kuchukuwa ndoo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kabisaaaa

    • @daudkhatib-qn5tr
      @daudkhatib-qn5tr 13 днів тому +1

      Tatizo wagosi wakaya wakikutana na yanga wanakuwa ni rafu mbaya kwenda mbele😊😊😊😊😊 .

  • @ARFHONSIMGIMBA
    @ARFHONSIMGIMBA 13 днів тому +6

    Nipeni liki zangu🎉❤

  • @user-bw1hs2nd8p
    @user-bw1hs2nd8p 12 днів тому

    Mbwaduke...mchambuzi wangu bora kabisa❤❤❤❤❤❤

  • @yeunhiasrwetze8377
    @yeunhiasrwetze8377 12 днів тому

    @mbwaduke nakubal sana uchambuzi wako 🙏🙏🙏🙏

  • @paulswai319
    @paulswai319 12 днів тому

    Nakuelewa sana mbwaduke

  • @ThuwaibaMkana
    @ThuwaibaMkana 12 днів тому

    Nakubali baba mbwaduke

  • @gasperelasto8842
    @gasperelasto8842 13 днів тому +2

    Superb Mr. Mbwaduke

  • @rasakakaombwe
    @rasakakaombwe 13 днів тому +2

    Nakubali mzee

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 13 днів тому +1

    Kafunga goli kalisana gedeeee rejendi🎉

  • @allysaidi-uy9rm
    @allysaidi-uy9rm 12 днів тому

    Asante mzee wa data shikamooo

  • @mustaphakambangwa1407
    @mustaphakambangwa1407 12 днів тому +1

    Gedee mdogomdogo anautaka ufalme

  • @denisshimela169
    @denisshimela169 13 днів тому +1

    Hakika yuko vzr sana

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy 12 днів тому +1

    Oscer mmakonde na oruma someni kwa bure acheni ujinga na ushoga mwanduke wape darasa hao mafala

  • @user-gm4mv6bp5l
    @user-gm4mv6bp5l 12 днів тому +1

    Kwasasa naona mwanasayansi wa soccer Tanzania ni mmoja tu

  • @JamesPhiri-sz5qn
    @JamesPhiri-sz5qn 13 днів тому +2

    ❤❤❤❤

  • @LucknessPeter
    @LucknessPeter 12 днів тому

    Wewe Huna baya kabisa ishi tu

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 13 днів тому +2

    Mimi yanga ila wakisema niseme man of the match Moja ama wawili ni kipa wa costal na beki aliyepewa red card mmmh ni noma japo Mungu ametujalia point 3 na cleensheet

    • @HoseaNguge
      @HoseaNguge 12 днів тому

      Uko vizuri ndugu mwananchi mwenzangu hii ndo raha ya kuujua mpira kabla ya ushabiki good analysis.

    • @malietamalieta9658
      @malietamalieta9658 12 днів тому

      @@HoseaNguge umeona eeh Mungu ni mwema

  • @AlfredKyando-de3ru
    @AlfredKyando-de3ru 13 днів тому +1

    Tumpe maua yake mwamba anajua sana

  • @peterwachara4404
    @peterwachara4404 12 днів тому

    🎉🎉🎉

  • @jescaurio8410
    @jescaurio8410 13 днів тому +1

    Mwamba kweli kwel

  • @ARFHONSIMGIMBA
    @ARFHONSIMGIMBA 13 днів тому +1

    Kweli

  • @user-qo5xq4rf1r
    @user-qo5xq4rf1r 13 днів тому +1

    Huyu ni mwama

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 12 днів тому

    Data ndo ukweli!

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 12 днів тому

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @halimasaid-fr2sp
    @halimasaid-fr2sp 13 днів тому +1

    Bonge la uchambuzi

  • @JamesPhiri-sz5qn
    @JamesPhiri-sz5qn 13 днів тому

    🇿🇲🇿🇲 tuko pamoj

  • @manenomkumba4054
    @manenomkumba4054 12 днів тому

    🎉

  • @alexanderankiza3185
    @alexanderankiza3185 13 днів тому +3

    Kama wakilingana idadi ya mechi, watakuwa na tofauti ya points 7,hiyo gap itakuwa covered vipi kama wote wakishinda mechi zilizobaki?
    Naamini points ni 3 kwa kila ushindi,iweje Yanga wapate points 12 kwa mechi 6?Kama points 3 ni sahihi,Yanga wakishinda zote,watafikisha 80 points, naomba kusahihishwa au kufundishwa zaidi.

    • @josephatn5040
      @josephatn5040 13 днів тому +1

      Amesema kama watalingana point, siyo mechi. Yaani wote Simba na Yanga wakipata point 73. Simba atafikisha point 73 iwapo watashinda mechi zao zote zilizobaki. Ili walingane point, itabidi Yanga wapate point 11 katika mechi zake 6 zilizobaki. Yaani washinde mechi 3, watoke sare mechi 2 na kushindwa mechi 1. Jambo ambalo linawezekana. Yanga ili kuwa bingwa wanatakiwa kushinda mechi 4 watafikisha point 74 ambazo hakuna timu itazifikia.

    • @alexanderankiza3185
      @alexanderankiza3185 13 днів тому

      Okay,akhsante sanaaa. ​@@josephatn5040

    • @allymwachuma3132
      @allymwachuma3132 13 днів тому

      ,kasema ili yanga wawe mabingwa wanahitaji points 12 kt ya 18 zilizo bakia ktk match 6.

    • @husseinmassawa7186
      @husseinmassawa7186 13 днів тому

      Teh mbwaduke mzee wa stats, fuatilia vizuri takwimu zako wewe ndo utakuwa umekosea😂

    • @farajahoptimumofficial
      @farajahoptimumofficial 12 днів тому

      😂​@@husseinmassawa7186

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 13 днів тому +2

    Tupe uhalisia msemakwelii wewe ndio mchambuzi wa ukweli huna makando makando

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 11 днів тому

    Ihefu walifungwa 4, mojawapo lenye utata na siyo 5 Mbwaduke hebu rejea kumbukumbu zako!

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 11 днів тому

      Ndio lishahesabiwa hivyo hata magoli ya Azam ya michezo yote miwili waliocheza na Yanga ni offside lakini yameishahesabiwa hayafutiki tena!

  • @ahmedsalehe9489
    @ahmedsalehe9489 12 днів тому

    Mbona kadi nyekudu huizungumzii.
    Hii timu inabebwa sana

    • @marthageorge5043
      @marthageorge5043 12 днів тому

      Yani mashabiki wa simba bwana kwani wewe ukuona ile ilikuwa ni sawa au wewe wataka mchezaji aumizwe ndio kadi nyekundu itoke,embu fatilia kadi nyekundu zinatokaje,na shelia zake zikoje mimi ni mwanamke lakini nakushinda😂😂😂😂😂

    • @rosemunissy
      @rosemunissy 12 днів тому

      Si lazma aumizwe mchezaji ndo kadi nyekundu itolewe..azizi alikua kwenye movement ya kwenda kufunga gol...na alishamiacha beki wa mwisho mbali so anapomfanyia faulo ya aina yeyote ile ...inaesabika ni kad nyekundu

    • @ahmedsalehe9489
      @ahmedsalehe9489 12 днів тому

      @@rosemunissy hakua beki wa mwisho

  • @WilfredChomo
    @WilfredChomo 12 днів тому

    Mbwaduke hoyeeeee!!! Naridhishwa na uchambuzi wako.