MBWADUKE: EXCELLENT! YANGA YAIPIGA KAGERA 1-0 KUKARIBIA HAT-TRICK YA UBINGWA LIGI NBC/MUDATHIR NOMA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 тра 2024
  • Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

КОМЕНТАРІ • 29

  • @assumedprivacy3940
    @assumedprivacy3940 14 днів тому +5

    Baada ya kula chakula, lazima unywe maji. Mbwaduke Stats ni kama maji baada ya mlo.
    Asante kwa kazi unayofanya Mr. Mbwaduke!

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 14 днів тому +3

    Wewe ndio Mchambue Mwenye Upeo wa Mpira Unajua Unachambua Nini? Unaelezea Mpaka mtu anaelewa vizuri Big up nakupata TOKA JUBA SUDAN

  • @user-hy8ux9ii5p
    @user-hy8ux9ii5p 13 днів тому +1

    Mbwatuke unatisha mzee wa data hongera

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 13 днів тому

    Hongera mzee wa Data upewe 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HusseinMohammed-fg3bs
    @HusseinMohammed-fg3bs 13 днів тому +1

    Assalam alaykum mungu akupe maisha marefu ili utupe darasa hili

  • @ZainabWadi-sq8xu
    @ZainabWadi-sq8xu 12 днів тому

    Asante

  • @user-hy8ux9ii5p
    @user-hy8ux9ii5p 13 днів тому +1

    Ana hasira ya kutokumpa ukocha yanga amesahau tulivyo muuguza na kumununuria meno baada kuumizwa

  • @EliethMalisel
    @EliethMalisel 13 днів тому

    Hongera Sana mzee wa data

  • @sweetbertrwiza5982
    @sweetbertrwiza5982 13 днів тому

    Aliyetoa pass ya usaidizi wa kufunga ni Azizi sio Yao

  • @jamesmassamakeri2418
    @jamesmassamakeri2418 14 днів тому +2

    Pass ni ya Azizi Ki

  • @JambuMajid
    @JambuMajid 13 днів тому

    Unajuw kwr yan

  • @peterwachara4404
    @peterwachara4404 14 днів тому

    Very good

  • @user-hy8ux9ii5p
    @user-hy8ux9ii5p 13 днів тому +1

    Sijawhi kukuhisi hata siku moja ukionyesha upendeleo wa kuchambua mpira kuipendeea timu wala kujulikana kama wewe shabiki wa timu gani baba unatisha wachambuzi jifunzeni kwake

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 14 днів тому +3

    Mzee wa data Unafaa kuajiriwa crown 👑 Media

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 14 днів тому +1

    Assist si katoa Aziz ki sio Yao kouassi

  • @erasmuskwayu5643
    @erasmuskwayu5643 13 днів тому

    Pasi ya Aziz Ki

  • @yusuphbenjaminkugaiwa7608
    @yusuphbenjaminkugaiwa7608 13 днів тому +1

    Nilisha acha kufuatilia na kuwasikilza wachambuzi labda kwenyekipndi cha kabla ya mechi kwenye runinga uwepo nawewe tofauti yake nitakusubiri UA-cam tu bw mkubwa

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 14 днів тому +1

    Kesho Simba vs Azam ni suluhu Nitoe ahadi?

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 13 днів тому

    Mbwaduke ndo mchambuzi bora Africa, sio wa mchongo kama wengine😅

  • @salumusango-we4sp
    @salumusango-we4sp 13 днів тому

    Mbona haukusema goli la pili la yanga lililokataliwa?

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 14 днів тому +1

    Vip ni swali tu wanaeza mfungia kocha wetu Kwa uchungu aliokua nao ama itakua tu fain ama ni jaziba za mpira tu akun kitakachotokea

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 13 днів тому

      Yaani wamepata sababu watamalizia Hasira zao kwake wana hasira na Yanga hao!!

    • @malietamalieta9658
      @malietamalieta9658 13 днів тому

      @@sweetbertrwiza5982 mwenyezi Mungu atasimama na sisi acha waendelee kujibizana na meçhi ndo hizo zinakuja Kila baada ya siku3

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 14 днів тому +1

    Huyu baba fala anaikamia yanga lakini simba anawapenulia tu ole wako uje jangwani tunakutoa nduki ww na mkwasa

    • @latifahamza7913
      @latifahamza7913 13 днів тому

      kafanyaje? mbwaduke sku zote akichambua yanga ni yule yule na akichambua simba ni yule yule hanaga upendeleo tena video za yanga kazifanya nyingi kuliko za simba

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 13 днів тому

      ​@@latifahamza7913Siyo mbwaduke, anmzungumzia minzilo

    • @latifahamza7913
      @latifahamza7913 13 днів тому

      daa asante kwa kunielewesha skumuelewa​@@daudimichael7338

    • @latifahamza7913
      @latifahamza7913 13 днів тому

      daa bro samahani nilijib bila kuelewa ulichomaanisha