SAM SIMBA: REFA AMEIONEA YANGA/AMEKATAA GOLI LA HALALI/YANGA BINGWA HAKUNA UBISHI/REFA AFUNGIWE YULE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 тра 2024
  • #alikamwe #azizki #hersisaid #live_ #mayele #yanga #yangaleo #msuva #yangasc #yangatv
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 28

  • @ZeyanaAbdi
    @ZeyanaAbdi 14 днів тому +5

    Yanga bingwa

  • @asiarashidi1520
    @asiarashidi1520 14 днів тому +1

    Walipata shida kubadilisha score board....hd live score ikaandika goal correction 0-0

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 14 днів тому +4

    Marefa wanafanya makusudi kama kweli Mungu yupo hawa marefa wasijifanye wanaumiza sana wachezaji kukataa goli halali hizo siyo sifa

    • @user-io2rj2yp5d
      @user-io2rj2yp5d 14 днів тому +2

      Halafu TFF wanaliangalia hili au wao ndo wanatoa haya maagizo

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 13 днів тому

      Hiyo ni mipango Yao ili Yanga asichukue ubingwa Kama tulivyo polwa Ngao ya jamii

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 14 днів тому +1

    Marefa wanakuwa na roho mbaya kiukweri sisi yanga tunashinda,natutachukuwa ubingwa ila tunavita sana tunaonewa sana sana

  • @user-bi7mk3ef1m
    @user-bi7mk3ef1m 14 днів тому +2

    Asitubabaishe marefa

  • @user-tf4tw8xb6o
    @user-tf4tw8xb6o 14 днів тому +2

    Azizi ki is not dreaming of top scorering. He is thinking of championship

  • @AlfanMajuta
    @AlfanMajuta 14 днів тому +2

    Aipingwi

  • @MohamedHassan-vk9pj
    @MohamedHassan-vk9pj 13 днів тому

    Ligi yetu inaangaliwa na watu wengi duniani hy marefa wanajishusha watabakia na ligi zao za bongo tu.

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 14 днів тому

    Ukiona refa ni elisasi ,jonesia ,Emanuel mwandembwa na Esther ujue yanga atapata shida kweny mechi husika

  • @Chwabu170
    @Chwabu170 14 днів тому +2

    Ubingwa 100.0%

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 14 днів тому

    Mm n mkenya lkn marifa wa kitanzania wengi washenzi sana wanapenda hongo sana na hongo wanadhani wamepewa na Majirani

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 13 днів тому

    Marefa wanataka kuwarundisha mashabiki kupiga marefa ipo siku watapingwa tena wasicheze na mashabiki wa yanga wao hawaoni hasara kulipa faini au kufungiwa mashabiki wa yanga wao wakiamuwa lao wafanya sasa marefa wasijisahalishe miaka ya yuma wamepingwa sana sasa wasije wakarudi kule kule

  • @user-ez1ky4ls7c
    @user-ez1ky4ls7c 13 днів тому

    😂😂😂😂😂😂nani mwingine anamwona kwa mbali mzee wa utopolo na kijiji chake akitema cheche

  • @mwapachukikombe2083
    @mwapachukikombe2083 13 днів тому

    Wale mamamaaa malizia makolo 😂😂😂

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 13 днів тому

    Yanga bingwa adi 230

  • @jumaissa7587
    @jumaissa7587 13 днів тому

    Wewe Sam wacha ujinga,haikusaidii kitu kuisifia yanga nyakati zote,kama kweli wewe ni simba ungeiombea hata dua ya mafanikio
    Kwenda uko fala

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 13 днів тому

    Refaree mkiendelea hivi hamtaitwa mechi za kimataifa shame on u

  • @hamiduomar1316
    @hamiduomar1316 14 днів тому

    Hiii imeshakuwa ndio tamaduni yao ss marefa kukata magoli ya harari na hatujajuwa km ni mipango yao TFF WENYEWE

  • @joharikashindye8655
    @joharikashindye8655 14 днів тому +1

    Achana na yanga, timu yako je

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 14 днів тому

    Ivi kwann yanga lnaonewasana aibu àoni kalia na bodi ya ligi?

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p 14 днів тому

    Kaka unakitu mwilini kwalwel

  • @SofhiaTomassGidaa
    @SofhiaTomassGidaa 14 днів тому

    Ipo siku watapigwa ndo utakuwa mwishowe upuuzi Kama huu

    • @user-io2rj2yp5d
      @user-io2rj2yp5d 14 днів тому

      Kweli kabisa wanaumiza sana mpaka kocha wetu kaumiza

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 13 днів тому +2

    Guede kanyimwa goli jamani hivyo idadi yake ya kuongeza magoli inapungua pole yake