ENG. HERSI AFUNGUKA MAZITO "KUHUSU SAKATA LA MAYELE NA YANGA"
Вставка
- Опубліковано 28 кві 2024
- CATCH US BONGO FM 📻
90.0 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 89.7 DODOMA 📻 | 89.9 ARUSHA 📻 | 104.9 MBEYA 📻 | 90.0 MWANZA 📻 | SHINYANGA 89.9 📻 | KIGOMA 89.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: bongo_fmtz
TWITTER: https: BONGO FM
FACEBOOK: BONGO FM
#rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #micheZo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumonukuu
#kondegang #singidafountaingate #wcb #yangatv #yangasc #diamond #simbatv #live #simbasc #kingmusicofficial #simbatv #diamond #yangasc #wcb #singidafountaingate #kondegang #wcb #yangatv #diamond #simbatv #live #simbasc #kingmusicofficial #simbasc #live #simbatv #diamond #diamond #yangatv #yangasc #yangatv #wcb #singidafountaingate #kondegang #singidafountaingate #wcb #yangatv #yangasc #diamond #simbatv #live #simbasc #simbatv #diamond #yangatv #wcb #singidafountaingate #kondegang
Transcript - Спорт
Dah nimeangalia kwa utulivu sana kifupi maswali hayajaboa majibu yameeleweka kwa mapana kbs pongezi Eng.Hersi pongezi kwa watangazaji🥰🤝👍👏👏
exactly
Eng. Hers unastahili hta kuwa raisi wa CUF. Una upeo mkubwa sana na unajua ethics na principal za mpira wa miguu. Big up
Pongezi Sana Eng Herse Kwa Busara Na Uongozi Wako Ukiotukuka.Kila Jema Tunakuombea .Mungu Akulinde Ktk Kuiongoza Timu Yetu Yanga.Ubarikiwe Sana kwa Busara zako.Mfano Wa Kuigwa.Tunakupenda💛💚 🙏 Utafika Mbali Inshallah.
Ana hekma,busara,uelewa wa mambo,akili na ana vision,I real love this guy,he is the best among the best,may Allah guide,guide n protect you bro,in shaa allah
❤ raisi wa yanga daima mbele nyuma mwiko..... wananchiiii
Hongera saana Hersi kwa kazi nzuuri unayotufanyia 💚💛💚💛
Tunakupenda Sana rais wetu
"What a presidar🎉🎉❤" daima mbele nyuma mwiko
Uko vizuri Eng. H. Utulivu,ubunifu,ushirikishaji, hekima,busara na kujiamini lakini kubwa kuliko ni ucha Mungu wako vitaendelea kukuweka wewe na timu yako viziri zaidi. Mungu akuwekee mikono yake ili Yanga na wewe na uongozi na wafadhili wetu mpate mwanga wa mafanikio. Amina.
Hongera sana Rais wetu big up unafaa sana Mungu azidi kukuweka uwe na maisha marefu
Huyu mwanahabari nimemkubari sana, ana maswari mazuri sana na sahihi. Pia Engineer Hersi Saidi nae ni hakiri iliyojitosherezea mnooo kuhusu mpira wa miguu
All the best my rais wetu ❤❤❤❤❤
Hongera Sana unastahili kuwa hiyo nafasi hatujakosea kukuchagua Mungu azidi kukupa hekima zaidi ya uongozi
Kila la kheri injiania hers mungu akujaalie kila la kheri na akufanyie wepesi kwa kila hatua unayopiga
Young Africans now is driven technically and compitable👍👍👍
All the best Engineer
Kaka mungu akubariki umefanya makubwa sana kwa kizazi hiki inshallhh
Ongera sana Eng.maerezo yako mazuri
Mm simba lakini nakubali hersi said❤
Huwa nasikia raha sana kukusikiliza Eng. Unaakili sana Engineer
Young African ipo vizuri!!
Your the best president in young Africans just be strong
Manshallah upo vizuri Airen
Mungu akuweke uishi miaka mingi Rais wetu
Tunakupenda sanaaaaa mungu akuzidishie maisha marefu
Hawa wanahabar wanajua Sana angalia jinc wanavyouliza maswali
Dada yangu irini kiyango mubarikiwe Sana
Our youthful President leading our heroic players
Big up Eng
Big Mind president
Uko sahihi kabisa huyu ni kiongozi kweli kweli
Respect engineer
President🔥🔥🔥
Tunakupendaijinia heris
Upo very smart engineer
Oyo izi koti walizotupia watangazaji pamoja na bos nimezielewa sana nipeni contact chinbo lipo wapi
Mimi mwana Simba lkn kati ya Watu watatu ninao wakubali pale Yanga Eng Hersi no one.
Habari nzuri mchambuzi wengine wamchongo
Acha mungu aitwe mungu bhana huyu jamaa anaupeo wajuu sana kwenye club yetu
Rais 💚
Mungu akulinde
Hongela
Huna dhambi Rais wetu
Coz kila ambacho kiongoz mkubw kama wewe anapaswa kua nacho
Wew unacho
Kila ambacho kiongoz anapaswa anapaswa kufanya kwa watu wake
Wew umefanya zaid
Na kubwa zaid unaongozw na Hekima Busara maarifa na kila ambacho tunatamani kuona kikifanyika Yanga um3kua ukitembea kwenye Akili zetu pia
Umemaliza kila kitu🙏🙏 we Ishi tu miaka yoote na Huna dhambi🙏🙏🙏💪🫶💛💚💚
Presidwaa kama huyu anatumia akili hasa za shule yake na ki ukweli huyu jamaa ameenda shule na shuleni alikuwa anaitendea haki kwa jinsi anavyoiongoza timu lazima ujue yupo vizuri sana. Hongera sana eng. Utaendelea kuwa raisi wetu mpaka useme basi.
Why not next year kombe linakuja Yangaaaaaaaaa TZ
❤❤❤❤❤
Oyo izo koti walizotupia watangazaji pamoja na bos kazi nimezielewa sana kama kuna yoyote anafahamu nipe contact
Mungu akutunze Kila iitwayo Leo. Rais wa watu huyu apewe mauwa yake
Asante
Huyu mwamba mtu wa mpira sana, wa tz woote tunamkubali hata kama si Yanga, labda uwe mchawi
Unyama saana
aisee rais wa CAF ajaye
Nguvu moja inafika kwako kaka
Maana ya kiongozi
Mtu wa maana kabisa huyuu
Wa mana Sanaaa
Akili kubwa 🧠
Sidhani kama nimekosea kusema nchi yetu inataka viongozi kama huyu jamaa
my guy,my schoolmate ...hili nililiona tukiwa shule na nilimuambia atakuwa kiongozi siku moja...hakuwa na papara shuleni very patient kwenye kila jambo...
Kweliii?
Ndiyo watu wazuri ,wapole wanyenyekevu wapo duniani kwa hiyo yupo pale ni raisi wa yanga
Kwa sasa Yang's IPO mikono salama chini ya injinia
Hii ndio faida ya shule kweli . Hapa angekuwa mayele ni majungu tu uuu sbb Mayele Ana shule jna busara jna shukrani kbs hlf sijui kesho Yake.ongera rais wa Yanga Una busara snaaaa
inaotumika hapo ni akili aliozaliwa nae Toka tumboni
Yuko vixuri
👍👍👍👍👍👍
Mungu akupe maishamarefu sana injinia ndaniyauwongozi wako ndaniya yanga ❤❤
Kuna kitu Cha kuigwa Kwa vilabu vingi hapa tz
Niko Dar,kiukweli Mr president ana uono wa Mbali Sana,Na hayo maelewano yake Mr GSM nakwambieni huyu mtu Ni hatari Sana ana akili nyingi Allah kamjaalia Na si ktk mpira Tu hata ktk upande wa Siasa bado atatoboa Tu,km ataamua
Siyo tegemezi ni tegemeo.
Wewe ni kijana hazina wa soka la Tanzania
Jamaa atafika mbali sana...Mungu amsimamie katika yote..
Naweza nikasema rais wa yanga unastahili pongezi umetufanya tukaona tunatimu natamani ubaki yanga maisha yote najua watu wataisema timu ya yanga kwa ubaya lakini na zani nikwajili ya mafanikio yanayo onekana
Yaani daaah wewe ungekuwa raisi wetu wa nchi tungekua mbali
Sijasikia kuhusu kufungiwa kusajili wachezaji
Rais mwenye weredi wa soka la kisasa lisilo na figisu mpira ni Akili na Pesa tu kwa Dunia ya leo
Wewe ndio jembe letu hapo jangwani hunaga baya raisi wetu wa boli Kijani na Njano Nyeusi tupo juu kwaajili yako.
Utopolo atabaki kuwa utopolo tu nyinyi msifieni Leo lakin siku sio nyingi mutamkataa tu
Kama ambavyo mnavyomkataa mangungu eeh😂😂😂 endeleeni kusubiri boti kwenye kituo cha daladala
Mimi nataka kujuwa maana maneno ni mengikyhysu Pacome maaba sielewi
Mbona majibu yapo
Huna lolote wewe zaidi ya kununua Mechi za ligi yetu unaharibu sana Mpira wetu kenge wewe
Baki na Mangungu wako acha kumuingilia raisi wa wananchi
Yaan kwl nyny ni madunduka
Engineer anajmjibu mwanahabari kitaalamu kweli kweli. Munaonaje tukimuuza Simba kwa bei Kali kisha tukatafuta mbadala!
Kongore kwa waandishi wa habari kwa Maswali yenu ya msingi , pia hongera kwa raisi WETU Haris kwa majibu yenye tija
Oyo izo koti walizotupia watangazaji pamoja na bos kazi nimezielewa sana kama kuna yoyote anafahamu nipe contact
Mwiteni na mangungu aje ajieleze kama rais wa yanga au try again tuone wanavyoropoka huyu kijana ana kipawa cha uongozi yaani hasoni anakujibu titi for tati