🅴🆇🆃🅴🅽🅳🅴🅳 🅷🅸🅶🅷🅻🅸🅶🅷🆃🆂 | SIMBA SC {1} VS YANGA SC {5} | LIGI KUU YA NBC 2023/24
Вставка
- Опубліковано 6 лис 2023
- SUBSCRIBE NOW:
▶
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - Спорт
Tunaoburudika mpaka sasa tujuane hapa 😅😅😅😅😅😅
Tupo
Tunaisubiliiii tena🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂
😂😂
Aliona kipa diara anaingia uwanjani na kunyoosha mkono juu akionyesha ishara ya Tano like hapa tuende sawa
kama bado waangalia hii mwana yanga mwenzangu shusha likes hapa
😂😂
Sio kwawana yanga pekeyaketu hataa wekundu wamsimbaz wanaanģalia kwaumakini
Qqpp1
Cyo poa😂😂
29/02/2024 Still watching Viva Yanga
Nani anaangalia leo 2024❤😂😂😂
Tupoooo
🖐️
😊😂
Haichuji hìi
🖐️
Alie rudia kuangalia jinsi kolo alivo teseka gonga likes hapo
This game never get old to me😅😅
Asante sana Simba kwa kutupa furaha mashabiki wa Yanga. Tungepata wapi kwingine extended highlights.
Dah ila kaka mchokoz
I watch it over and over again
NASHAURI KWA WANANCHI, TUWE TUNAANGALIA KILA TAREHE TANO😂😂
Naanza mimi
Still watching it. Fantastic game, fantastic commentator
Aziz k🔥🔥🔥🔥🔥
Aziz k scored the goql between the legs of kapombe and goalkeeper manula😂😂😂
Kama unaangalia tena mwezi December 2023 gonga like hapa
Thank you simba for this high light 🙏 daima mbele
Chama mwamba wa kusaka
A fantastic match ever happen.......A true quality of Young team disappoint totally Simba team . . I love Yanga
What a game, what a day...this is Tanzanian football!!!! a day of five....
I am a Young Africans supporter, but in this respect, whoever did this posting he deserves a five star ranking ofmaturity! Sisi mlipotupiga zile mbili last season sina uhakika kama tulipost!😅
Yeah apa tunawapongeza sana kupost hii extended Highlight
Ni kawaida hii ni youtube acount inaingiza pesa kwa kila kinachopostiwa hata man u akifungwa saba na liverpool wanapost kupata views
Ile ya 2-0 makolo ndo walikuwa wenyeji.. so yanga hatukuwa na haki ya kupost ndomaana hata hii sisi hatujapost, ila ijayo tunamnywa mtu saba halafu tunauzaaaaa😂😂😂😂😂😂
Kumbe ukiwa mgeni hauwezi kupost😳
Nmependa sana simba huo ndio ukubwa
Leo tareh 23 Jan nimerudia tena
Simba Asanteni 💚💚💚💚💛💛💛 wengine mnawatesa 😜😜😜
Wananchi tupo hapa kuwaongezea views maana mmelemba na muandiko kabisa😂😂😂
Kweli kabisa wameremba mpk imependeza😂
😂😂😂😂😂😂
Mwandishi nakupongeza kwa maandishi yaliyo kolezwa yanasomeka vizuri sana.
I can’t stop watch over and over again who’s here today?
Am here 😂😂😂😂😂😂12/3/24
Mungu awabarik watan kwa kulijua ilo ni matokeo t ya mchezo daima mbele nyuma mwiko
Still watching even today 🎉🎉 superb derby ever 🔥
Simba wamejua kuipa heshima ya Kariakoo Derby kwa kujua ya kwamba hii mechi itatazamwa na maelfu ya watu wa nje ya Tz na ata baran Africa 🌍 na wameichagua video yenye tafsiri ya kingereza kwa hapa Yanga tumepigwa TK'O Congratulations Mtan
Safi sana simba sisi yanga tulikuwa hatujui tutapata wapi highlight kama hii
A very nice game for yanga.bravo
Daima katika maisha yangu hii niaibu ya mirere na haitajuja kutokea
Mm ni yanga, hiki walichofanya simba ni level ya juu ya ukomavu.. hii clip ni tiba kwa simba family.. wamekubaliana haraka na kilichotokea, ni hatua kupongezw
Ukomavu mkubwaa Sana huu,big up,,
Bila tano unafikiri benishika angekuwepo. So lazima wakubali
Watu wanatafuta viewers Mzee
We hujui kitu au hutambui simba ndio alikuwa mwenyeji wa mchezo😂
@@ambelemwaifunga92188:05
Ndio maana walishinda kumbe walisali kwanza
Leo tar 1 mwezi wa 1 nipo hapaaaa 2024
Well done diara for the goog job after stop kibu denis
daaaaaa
What a game❤❤
Azizi K the master password for yanga Africans
Ilikuwa mechi ya vibabu na vijana shupavu😂😂😂
Asante sana Admin Kwa highlight nzuri matokeo yametuumiza lakini tunasonga mbele
Daima mbele nyuma mwiko
Makoloo hapa mmeteseka sanna kwa wananchii kipigo . Mlichokipaya ni saizi yenuu mukomee
😂😂😂😂
Nikiwa na stress tu nàzama kwa Simba SC youtube account naangalia zahama ya tarehe 5
In March 1 / 2024
YANGA NI UNTOUCHABLE
maturity big club ❤❤❤ SIMBAAA
😂😂😂😂 01-01-2024 nimekuja tena kuangalia hii aibu ilomkuta mnyama
Yani Mimi Leo naangalia 27/1/2024🤣🤣🤣
Mimi Leo mi trh 18 mwezi wa 2 😂😂
Second goal of aziz was between the legs of shumari and manula😂😂😂
Mnaitizamahii au mmesahau
Naangalia marudio hapa ya hamsaaaaa
Tupo wengi sana, tunajikumbusha
Leo tarehe 30 November lakin bado nachek yanga rahaa😊
Ukiwa una stress, ukija hapa unapozwa 😤😤😂😂
Hata hamna aibu juen namna ya kuludisha mashabik kweny msitali potezn yaliyopita
❤❤❤❤
Kawek Na Kizunguu Watu Wa Nje Nao Waelewe 😂😂😂 😂😂Shout Out Kwako Simba 😂😂😂😂😂Tabuleleee Laaah 🖐️
😂😂😂😂😂
21/11/2023 😅😅😅😅i cannot stop watching this
Shortly nimeuna ukomavu wa hali ya juu kwa hili
Adimini una moyo kweli 😅😅😅
Admin unyama sana🖐️🖐️🖐️
Yanga daima mbele nyuma mwika
Superble
Daaaah
Wananchiiii tuna enjoy wallah
Diara ananifrahishaga kuanza na maombi. Good feith
Faith
Admin kichwa chako kipo sawa kweli?
Eti extended highlight 😂😂😂
Utasema mnafurahia kufungwa na yanga
07/5/2024
Nimerudi tena hapa baada ya kuchukua point 6 na goli saba kwa mtani ,
Yaan sichoki kuiangalia hii game
Here again....2 today to go April 20
Wataumia sanaa makolo
Wanasaka viewers and subscribers kwa kujidhalilisha,hii kitu inaenda mbali sana.
In this situation you need a bold compliment
A friend who lives ❤🎉
Thanks somuch mr diara becouse you stopped kibu denis
Highlights za nn sasa wasengee nyiee mnakosa vitu vyakupost muachee sasa nn kimewafurahisha mpk mnapost post kila sehm hiii mechii admin mkosa akili kwli ww
Yani hapo kufunga midomo ndio mwisho wenu. Dharau kubwa kibu denis.
Fisi wakiwa wengi wanapiga simba
Yanga big up
God rescued SIMBA from 10 NIL
Tabulele Laaaaa
tarehe 21/03/2024 wakati wanaipigia promo Mamelod mimi naangalia hii aibu ya 5 G
Highlights kutoka Simba hazitakuwa na upendeleo kweli?
Yaani mmeweka ya Kingereza ili watu wasisikie Tabulele Laaa😆😆😆😆😆😆😆😆
😂😂😂😂😂😂😂😂
Leo tare12/3/2024 nmekuja kuangalia BURUDA tukielekea Apr match ya marudiano😂😂😂😂😂💚💚💚💚
Naangalia marudio naona makoro wanarudia makosa Yale Yale japo kocha wao wamemtimua.
😂😂😂
Hizo yellow card mbili alizopata chemalon ilikuaje red haikutolewa
Mimi hapa tar 26january 2024
Huuniukomavu WA Tim hongereni Sana Simba mm niyanga ila mmefanya vzr Sana hii nikumbukumbu nzuri pia ni elim yakujifunza wapi mlifeli Ili kujipanga
Ramadhani qareem
Kweli alinyoosha mkono km walikuwa tyr wamecheza vile
❤
Safii.....!!!!
Hii ni account halisi ya simba? Hongereni watani nimeipenda hii. Haya ni matokeo tu! 🖐️
Hi mechi naiangaliaga Kila wikj
Kiukweli hapa Mtani alipatikana na alipata taabu sana.Yanga 5 Simba 1
Haichoshi hii kuangalia duh tano moja
Ngoja niangalie tena
Bado hujaxema mtaxema
Makolo Their bad spirits every time we score goals they say we have been carried by the referee
toeni mnatutia hasira tu
Hapa kolo aliumiasana na hawezi sahau,maana kocha wao alifungashiwa virago.Ni Moses shitalima wa kabwe Mbeya.
Admin ndo ukaamua urembe na kuandika kwa herufi kubwa kabsaa,😢
😂😂😂😂🖐️🖐️🖐️
Nimekuja tena kumcheka mtu😂😂😂😂💚💛💚💛
Tumeangalia bhanaa, tumewakanda 5star
Hili lilikua Tetemeko la Aridhi kudaadek