DUFU NGOMA / MDUNDIKO KWANINI HAWACHUKULIWI HATUA? SEMINA YA VIONGOZI BAKWATA NGAZI YA KATA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • SEMINA YA KAMATI MAALUM YA VIONGOZI WA BAKWATA NGAZI YA KATA PAMOJA NA JUMUIYA ZAKE, ILIYOUNDWA NA SHEIKH WALID SHEIKH WA MKOA DSM. KWA AJILI YA MAFUNZO MAALUM YA UONGOZI PAMOJA NA UHAI WA BARAZA
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    UA-cam: / @babdeomiladu

КОМЕНТАРІ • 4

  • @msarama5406
    @msarama5406 Місяць тому

    Dufu ni dufu tuu sasa nani ana mamlaka ya kupanga dufu lipigweje kuna utatatibu wowote unaoelekeza namna ya kupiga dufu kutoka kwenye dini au ni mawazo yetu tu kuamua na kuona ipi inafaa na ipi haifai hizi ngoma ni mtihani sana😢

  • @NirsakhMugala
    @NirsakhMugala Місяць тому

    Shida bakwata haijapewa huo uwezo wa kufanya hvy na serikali haihusiki kufungia vitu kama hvy.

  • @user-es2yt1jc4i
    @user-es2yt1jc4i Місяць тому

    Kwaiyo tumefanya kwamba nidufu Pia nakaswida toba yetu iweje apo baada yakuwa tu ivo

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb Місяць тому

    Bidaa Haina mipaka dada,mshafungua mlango huko wa kuruhusu bidaa inabidi muendeleee,sababu kubwa hakuna uthibiti wa Aya wala hadithi kuwa dufu liwaje liwaje,