PESA NDEFU ALIYOLIPWA DR CHENI HARUSI ya MTOTO wa RAIS MWINYI - "WATOTO wa BAKHRESSA WALIKUWEPO"...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 75

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 місяці тому +10

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 2 місяці тому +10

    Nimeipenda hii interview hongereni sana

  • @mtoromteketa5354
    @mtoromteketa5354 2 місяці тому +9

    Umeongea kwa hisia na ukweli ,hongera sana

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 2 місяці тому

    Hongera sana binti wa mheshimiwa raisi. Umetunza heshma ya familia ya mheshimiwa raisi. Mwenyezi Mungu akawe mlinzi wa ndoa yako na mumeo.Amina

  • @AminaAfrica-pr3gi
    @AminaAfrica-pr3gi 2 місяці тому +6

    Yaani Mimi nimefurahi Sana kukuonandocta cheni kwenye harusinhiyo mbaka imeeenda lakini uzeeki hongera zako Mimi nakufaham tangu nipo darsa la 1 mwaka 1996 henzi zenu za kina bishaga bi as heiga hongera Kaka uzeeki allah akuhifadhi

  • @mohamedhamismagoraonlinetv459
    @mohamedhamismagoraonlinetv459 2 місяці тому +4

    Hongera sana Mc Mahsein Awadh/Dr Cheni.

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 2 місяці тому +6

    Hongera sana mimi ni mpenzi wa Docta Cheni kwa kipindi kikubwa zamani sana namfurahia sana

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 2 місяці тому +3

    Daaa hongera broo big up sanaaa kitambo tangu tuko watoto uko kwenye gem safi sanaaa nimefurah sanaaa broo kupata Indozment kama hizo ila we so mshamba ushaenda mjini kitambo sanaaaaa

  • @BedaChristopher
    @BedaChristopher 2 місяці тому +1

    Honge sana mc cheni hakika Mungu ameku ketisha na wakuu

  • @MishiMakopa
    @MishiMakopa 2 місяці тому

    Hongera Kka kazi nzuriboooo

  • @bibitititv9333
    @bibitititv9333 2 місяці тому

    Kwa Bahati nzuri kazi yako Dr.Cheni inajiuza, tunakufahamu kitambo sana kuwa uko vzr sn, na Mama kama mama alikufahamu na aliifahamu kazi yako ya MC kitambo sana before hata hajawa Makamu wa Rais na hata sasa Rais wetu, big up sn Dr.Cheni Kwa kazi nzuri, ulistahili kupata kazi hiyo.

  • @AbubakarShamuhuna
    @AbubakarShamuhuna 2 місяці тому +2

    Huyu jamaaa ni legend wa kweli sio akina dudu baya na afande sele marasta walevi

  • @IbrahimRamadhan-qp6yy
    @IbrahimRamadhan-qp6yy 2 місяці тому

    Keep it up ✌

  • @dianasichizya830
    @dianasichizya830 2 місяці тому +1

    Umeweza mpaka umeweza tenaa

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 2 місяці тому +1

    Mtangazaji hufai kivazi

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 2 місяці тому +4

    Umesema kwelli sana maraisi wetu ni waungwana sana Balkis na Mfalme Yussuf

  • @SubraBakar
    @SubraBakar 2 місяці тому

    Mashallah..mashallah..muhsin awadh ni mtu namfatilia..anafanya kazi Kwa uwezo mkubwa na adabu..Allah akuongoze ktk kazi zako ziende mbele.

  • @FaridaM.Shomary
    @FaridaM.Shomary 2 місяці тому

    MASHALLAH,,ANDAA KITABU
    CHAKO

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 2 місяці тому

    Good interview brother Dr Cheni

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 місяці тому +1

    Hongera sana Dr cheni ,Tatizo la ma,MC wengine Huwa wanajisahau na kuongea mambo ya kuwavunjia heshima wanafamilia na maharusi Kwa ujumla ,bila ya wao kujua ,,lakini huyu jamaa anaongea vizuri bila kumvunjia mtu heshima 🙏🙏🙏

  • @allymakame9567
    @allymakame9567 2 місяці тому +1

    Mtangazaji kivazi chako kimekosa maadili

  • @MohamedShaib-w9l
    @MohamedShaib-w9l 2 місяці тому +2

    Dini na uungwana heshima vimembeba

  • @IbrahimSuleyman-j8n
    @IbrahimSuleyman-j8n 2 місяці тому

    Mtangazaji umevaa kaptura mbele ya mwanaume mwenzako, dalili mbaya kwa kijana hiyo

  • @Janet560
    @Janet560 Місяць тому

    Samahani ndugu mtangazaji hilo vazi lako linanifanya nishindwe kusikiliza 🙄🙄🙄 natamani ukarudi kuvaa nguo ingine 🙄

  • @UpendoLema-bx9ji
    @UpendoLema-bx9ji 2 місяці тому +2

  • @jumabonge8577
    @jumabonge8577 2 місяці тому +2

    safi lkn ww umekula hela utaongea mengi

  • @UpendoLema-bx9ji
    @UpendoLema-bx9ji 2 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @AbdallahKawambwa-qx8tl
    @AbdallahKawambwa-qx8tl 2 місяці тому +4

    Du mtangazaji hichokipensi sicho

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 2 місяці тому +4

    Kipaji hakipotei

  • @lameckjonnh4622
    @lameckjonnh4622 2 місяці тому +1

    Good job 🎉

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 2 місяці тому

    Huyu mwamba ni hatari sana nakumbuka movie yake alicheza kama mchawi aisee ilikuwa bonge la muvi alikitwa mkuki afu akauchomoa 🎉🎉🎉

  • @gudimbwana8088
    @gudimbwana8088 2 місяці тому +1

    Mtangazaji toa kikaputula chako hapo

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 2 місяці тому +1

    Sisi wote watoto wa Mama

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 2 місяці тому

    Ukweli mtangazaji wa pink hana adabu

  • @AmAl-x9j
    @AmAl-x9j 2 місяці тому

    Tuleteen taarifa za makonda yupo wapi bhnaaaaaaaa

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 2 місяці тому +1

    Chen hazeeki

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 місяці тому +2

    Kwahiyo

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 2 місяці тому +1

    Kiufupi sherehe ya wanene ilikuwa haingii mwepesi apo ni mwendo wa wazitoo tuu

  • @AbduliHalim-o2y
    @AbduliHalim-o2y 2 місяці тому

    Musimlaumu mtangazaji mara ni bwabwa

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 2 місяці тому +1

    Duu tumefunga ndowa tena haya tueleze mke nani na mume nani

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 2 місяці тому

    Kusherehesha tu umeanza kutupatia ushauri ma Mc 😂, usituchanganye
    NB: Utani tu, umefanya kazi Kubwa Kaka! Japo kuna mda nilikua naona unatetemeka kidogo 😂😂 lakini You deserve Interviews

    • @joycelaura4611
      @joycelaura4611 2 місяці тому

      km wivu flan hv naona khaa Dr Chen yuko vzr sina shakha nae kabisa

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 2 місяці тому +3

    Na wewe mtangazaji,kwani huyo mtoto wa Mzee Ruksa ni rais wa nchi gani wakati sisi Tanganyika na Zanzibar tumefunga ndoa na rais wetu ni Samia😂

    • @hajiameir8688
      @hajiameir8688 2 місяці тому +1

      Shida yenu watanganyika mnauthamini sana mungano sio mbaya lakini jali chako kama sisi zanzibar mm hata niende ughaibuni nitajitambulisha kama mzanzibari sio mtanzania sasa wewe itenge tu tanganyika yako ufazaike na mungano huu wa dhuluma

    • @mussakiziyzi408
      @mussakiziyzi408 2 місяці тому

      Jina linawakera

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 2 місяці тому

      Wewe ni msaliti, Zanzibar ni Africa siyo mali ya magaidi​@@hajiameir8688

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 2 місяці тому

      Akiliyako Iko matakoni

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 2 місяці тому +1

    Cheni unatuzibia

  • @nabukyeKanefu
    @nabukyeKanefu 2 місяці тому

    Niko ufarasa unajuwa Sana tena san

    • @alphonsinamwakyembe6903
      @alphonsinamwakyembe6903 2 місяці тому

      Picha huwa inaongea, mpiga picha hii tafrija ni ya mama samia na mwanae?au.mbona

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 2 місяці тому

    Etiratiba ya mama ni ngumu😂😂😂

  • @alinasor8553
    @alinasor8553 2 місяці тому +2

    Ww fundi

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 2 місяці тому

    Mtangazaji suruali kipande rangi pink vipi kulikoni? Afu Dr. Cheni rais mstafu karume na wajina wapo walikuepo mbona hujawarecognize

  • @HassanHassan-pe7kj
    @HassanHassan-pe7kj 2 місяці тому +2

    watangazaji😂sikuhizi😂miyeyusho sana kavaa nini sasa😂😂

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 2 місяці тому +1

    Mtangazaji uvae suruali.Nasio vibukta mapaja nje studio! Alafu umejicreem mapaja soft huo sio utamaduni wetu

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 2 місяці тому

      Mjinga sana huyu

    • @fahdladen1693
      @fahdladen1693 2 місяці тому

      Uko sahihi ndugu huyu mwehu hana adabu itakuwaje mtangazaji uvae vikaptula yaani anafaa kuzabwa makofi mwehu huyu

    • @mfanisifoundation6904
      @mfanisifoundation6904 2 місяці тому

      Ulikuwa unataka yawe na michirizi hayo mapaja

    • @sabihasalim942
      @sabihasalim942 2 місяці тому

      ​@@mfanisifoundation6904😂😂😂🇬🇧

  • @chamguihamzahamza3071
    @chamguihamzahamza3071 2 місяці тому +1

    Vitu vingine sili mbona unatoa vp kaka

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 2 місяці тому +1

      Uelewa wake ni.mdogo hakuhitaji hata kufanya interview

    • @FlorenceMlemi
      @FlorenceMlemi 2 місяці тому

      Kwan hapo umeckua siri gani kwamba acngeiongea