Weee mzeee allaah akuonggooze. Tubbia. Kabla hujafa allaah aannasamehee mdhambi so shirki hkkika sshirki ni njia mbaya,,. Na allah. Ameahiidi jaahnamu milele kwa mtu. Alokuufa kkaatika shirki.tubia akhy. Moto wa Allah hutoweza umudu hata kiddogo tanggaazaa na ww kama ssnura. Alivyo tangaza kuacha. Muziki na akatubia
Mimi simuungi mkono anacho kifanya lakini wanacho kifanya mashee wa kisarafi ni moja dalili kubwa ya kukaribia kiama kwani awana heshima kwa ma shee wenziwao
Waandishi wanazingua. Tunamfahamu dr. Sule kupitia mitandao na pia namkubali sana anamafundisho na mifano mizuri sana. Simlaumu yeye kwani huwa sichoki kumsikiliza kwani najifunza mengi. Waandishi ndio wanazingua. Nakutakia Marshall mema
Nakukubari sana doctor sule mungu akubariki sana
MBONA sijakusikia ukiwambianwaache mziki
Weee mzeee allaah akuonggooze. Tubbia. Kabla hujafa allaah aannasamehee mdhambi so shirki hkkika sshirki ni njia mbaya,,. Na allah. Ameahiidi jaahnamu milele kwa mtu. Alokuufa kkaatika shirki.tubia akhy. Moto wa Allah hutoweza umudu hata kiddogo tanggaazaa na ww kama ssnura. Alivyo tangaza kuacha. Muziki na akatubia
Allah akupe mainsha marefu ❤
Mnatutangazia ushirikina kuliko mada mlio iandika sule ALLAH anakuona namuomba akurejeshe kwenye njia ilionyooka
Hio mada ilio andikwa na maongezi tofauti waandishi WA habari kueni wakweli
Mimi nimeimbilia comment kwanza hapa siiangali MB ZANGU miyee😅😅
WACHA MCHEZO NA MAJINI...DUNIANI TUNAPITA
Naona topic ilio wekwa ya snura ila kuna matangazo ya biashara
Umenimalizia mb Zangu mm najua kuna mambo ya sunra kumbe matanagzo ya dawa
Asanteni kwa comment kabla sjala MB zangu bye
Doctor sule mshirikina
Allah akikuuliza toa ushahidi je unao au waropokwa?? wafata upepo kama bendera
@@albertkatuga2434Ushahidi ni hizo Pete za mivuto na kutumia majini kujinifaisha ni kinyume na uislamu
Sawa tunakuamini Sana ila unagarama sanaa..
Yaani waandishi wa habari bhana mnaandika vitu tofauti ya mnachotuma😢
😂wanatafuta views ju chini
Taqbeerrr🙏🎉🎉
Yeye mwenyewe hajielewi
Tena bora ya huyu madam. Kuliko doctor sule huyu ni mchawi. Mkubwa tu
Tena bora ya huyu madam. Kuliko doctor sule huyu ni mchawi. Mkubwa tu
Adui ya uisalmu ni muislamu kwanini uandike hivyo, kama unaona anakosea muombee, Allah amuongoze. Amuongoze na wewe.@@abbaspaziaog2188
We vp mbn upo nje na mada au muongo too pcha ya snura alaf waongelea vngne why
Uliacha pete za majini?😂😂😂
Kwani shekhe mbona mashart yako mbona yote yanakubana 😂😂😂😂😂
Bismillah
Wanasuka na kutoboa pua kuvaa heleni vijana wanaiga
Shekhe Abuu khaula kakuradi ww na wenzako hujamsikia au SS twasubir majibu kutoka kwako Dr sule
Majibu. Ayatoĺee wapi punguani huyu. Huoni anavyoongea pumba yaani huyu ni. Box mchawi. Mwanga
Mimi simuungi mkono anacho kifanya lakini wanacho kifanya mashee wa kisarafi ni moja dalili kubwa ya kukaribia kiama kwani awana heshima kwa ma shee wenziwao
Wanasuka na kutoboa pua kuvaa heleni
MchW ww
Ww ndo umempa Huwo uchawi?
ليسو بشيء
Tangaza toba yako kuhus kutumia majini
Jifunze kupitia mdada huyo alietangaza toba yake