TAZAMA MASOUD ADAM AKISOMA HUKU JENEZA LA BABA YAKE SHEIKH ADAM LIKITOLEWA, MAJOZI NA VILIO VYATANDA
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Mazishi ya Sheikh Adam Ahmad, Msikiti wa Kichangani Magomeni Dar Es salaam. Yalifanyika tarehe 19/07/2024, alifariki tarahe 18/07/2024 Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Na amezikwa Makaburi ya MwinyiMkuu Magomeni Mapipa.
Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com...
UA-cam: / @babdeomiladu
MAA SHAA ALLAH!! TUNA MUOMBA AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI,PEPO YA DARJA FIRDAUS SHEIKH WETU,BABA YETU,SHEIKH ADAM PAMOJA NA WAZAZI WAKE WOTE.TUNAMUOMBA ALLAH AWAJAALIE WATOTO WAKE NA MAMA YAO NAO AWAJAALIE MWISHO MWEMA.AWAJAALIE AWAPE NGUVU NA AFYA NJEMA YA KUMUENZI BABA YAO,MZEE WETU MARUHUM SHEIKH ADAMU,KAMA ALIVYO IENZI QUR'AN TUKUFU.TUNAMUOMBA AWAZIDISHIE UTUKUFU,HAPA DUNIANI NA AKHERA!! AAMIIN!!!
I'm here again on 4th of sept 24...There is nothing recital is sweet than Qur'an ❤
Alhamdulillah Allah ampe kauli thabit na sisi tupo nyuma yao Allah atupe husnil Khatima Ameen
Allah akuzidishie subra ust wangu na amsameh makosa yake baba yetu mwalimu wetu allahumma amiin
Masha Allah naomba tu mniombee dua niweze pata iman kwaqouran iyi ndio dua yangu
Mashallah mashallah mashallah mashallah hasbiyallah wanighma lwakiil Allah azidi kukupa nguvu na subra ya hali ya juu kwa msiba mzito wa Baba kipenxi
Allaah akupe subir 😭😭😭🤲
Masoud Allah akupe Subra kubwa kwa kuondokewa na baba yako na hongera sana umetekeleza alichokuusia baba yako hakika umeweza big up sana.
Wallah kakaangu unamalipo makubwa sana kwa Allah juu ya subira yako nakuombea na pia baba amewalea ma'shaallah Allah amuweke maali pema peponi i😢😢😢😢
Amiiin
Mashallah kaacha watoto wemaa Allah awahifadhi inshallah
I bring tears when watching this every time..
Allah umlaze sheikh wetu mahala pema peponi aaamina
MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AMWEKE SHEKH ADAM AHMAD MAHALI PEMA AKHERA NA MAHALI PEMA PEPONI SIKU YA QIYAMA. AMIIN.
Barakallah llahu fiikum….!! Allahuma firlahu war hamhu waskanhu filjannah 🤲
Mh mashallah uyu msomaji ni bingwa mungu amuweke sijui mwalimu wake nani aliemfundisha quran yani mpaka nimelia
BABA ake aliye kufa😊
Hapo anasoma kutekeleza usia wa babayake akifa akiwa anatolewa ndani na jeneza asome qur an
Da mungu amulipe firdaus mwachuoni wetu pamoja na mtume muhamad kaacha mtu sijaona msomaji kama uyu tanzania da babaake kaacha mtu mungu almlinde msomaji na husda za watu
Sheikh Masoud Adam amelelewa na Alhabibu Sharif Hussein bin Sharif Ahmad Badawy ni kaka wa Sheikh letu Mwenye Baba yaani Alhabibu Sharif Ahmad Ahmad Badawy.
Mwlm wake ni pamoja na baba ake ambae ndio marehemu lakini mbali na baba ake na sherif husaini badawi pia ni mwl wake
Mashallah jaman naona pepo ya firdausii ipoo kwahuyuu mzee Allah ampe pepo nlinshallah
Insha Allah Aaamin
Allahu atupe kwa sote
Pole sana brother Masudi. Allah amrehemu mzee wetu. Na akuhifadhi. Aamiin.
Allah ampe kaulithabit sheikh Adam na amuepushe na adhabu za kabri inshaallah
Allah axidi kuwapa subra juu ya kipindi hichi kigumu cha msiba Kwan yy mbele na sisi tuko nyuma yake انا الله وانا إليه راجعون اللهم غفرله ورحمه وسكنه فل جنه
Allah amuhifadhi peponi amiiin 😢😢😢😢😢 na amejitahidi sana wallah ameacha kizazi kilichobola na kila alieshikana nae amepata faida duniani na akhera
Allah akbar Allah amrehem sheikh MashaAllah msomaji
Mashaallah kaka Masoud pole sana kwa msiba mzito.
Allah anipe maisha yakheri duniani nikifa wanazuon namaulamaa wajae kama hivi inshallah
Mashallaah.
M.mungu ailaze roho yake mahali pema peponi ishaallah
Allah ampe kheri na barka tele sheikh wetu inshaallah Amiin🙏
Allah atujaalie katika watu wema,ukimuona kijana utadhani bishoo flani kumbe mashallah
Mashaallah tabaraka Rahman. Allah amjaalie marehem jannatul firdous in sha Allah. Makosa ya wasikilizaji kuzungumza upuuzi wakati Qur-an ikisomwa. Ilikua wake kimnya sio kejeli za dola Mia na mazungumzo ya upuuzi. Manara usipeleke upuuzi wako mpaka misikitini
M/mungu amfungulie milango ya pepo huko aendako inshallah
Mashallah MwenyeziMungu ampe kauli thabit
MASHAA ALLAH tabaarak ALLAH
HATUNA LA KUSEMA ZAIDI YA KUSHUKURU NA KUJIFUNGAMANISHA NA SWABR.KWA HAKIKA TUNAONDOKEWA NA WALEZI WETU AMBAO KWETU NDIO KILA KITU.INNAA LILLAAH WA INNAA ILAYH RAAJIUUN.
Mashallwah mungu akulipe kwakusubiria msiba bad uko namungu tuombeeni nasie watt wetu wawe kauli swalikha
Mwenyez mungu amrehemu sheikh wetu
Misiba ya wanawazuoni ni harusi.. mwenyezimungu amuweke pema shekhe adamu
Sipendi watu inaposomwa Quraan wengine anapiga makelele haifai. Mnatakaiwa make kimya na mzingatie kinachosomwa.
@@MwanaishaShattry kweli kabisa kipenz
Kabisa mwalimu mara zote akifa mwanazuoni huwa ni fufaha na majonzi kwa wakati mmoja
@@MwanaishaShattryHawapigi kelele wanamdhukuru Allah na kufurahia. Ktk vituo anaposimama
Allah amrehemu Sheikh wetu amjalie jannatul firdaus Amiin
Mashalah mungu amfutie mazambi yake pale alipotereza
Innalillah wainna ilayh rajiun.. mashaAllah walad swalehe
Innallillah wainna illah rajiuun
Allah (sw) ampunguzie joto la kaburi inshaallah na ampe pepo amin
Sio apunguziwe bali aondoshewe adhabu za huko aliko
Yaaraabby nipe kizazi cha kheri kitakachokujua nakukutumikia nakukuabudia inshallah
Ameen
Don't judge a book by it's cover mashallah
Mashaa Allah Tabarakah Allah
Mashaa Allah Tabarakah Allah
Mashaa Allah Tabarakah Allah
Wallaah nimelia poleni wajomba zangu poleni sana masoud mume wa aunt yanguu😢😢😢😢
Mungu amjaalie akutane na bwana mtume naangie kwenye pepo ya daraja la juuu kabisa
Wallah mpk nalia meme mashaallah Allah amjaze kheri😢😢😢
MaashaaAllah
Allah awape subra Familia Allah amjalie marehem makaz mema na kauli Thabit
اللهم غفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الذنوب والخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس
Allah akihifadhi akupe subra Allah izeed maashaallah
Mashalallh
اللهم اغفر له ورحمه وسكنح فيل جان
تغمده الله بواسع رحمته ويسكنه فسيح جناته ويلهم أهله الصبر والسلوان
Mashaallah...Allah awalipe malipo mema na mwisho mwema 😢
MwenyeziMungu ampe Makazi yaliyomema mzazi wako nawe mungu akujalie yaliyomema
Mashallah,Allah amlaze mahali pema
Mashaallah mashaallah
Mashallah
Inaalillahi wainnaaillahi raajiuna allahuma ghfirahu waruhamuhu
😢😢😢😢😢Innalillah wainnaillaih rajiun 😢😢😢😢 Allah humma ghufirrilin 😢😢🙏
Watu wa heri.Mzee kaacha sadakatul jalia.Alhamdullilah
Masha Allah
Innalillahi,wanna ilai rajiun,Allah akupe kauli that,umeacha watoto.wema
Inna lilahi wainna ilayhi rajiuun.
من يعيش منكم فسيرا اختلاف كثيرا...الحديث
katk hadithi ndefu mtume saw alisema atakayekua na maisha merefu miongoni mwenu ataona tofouti(uzushi)mwingi 😮😮😮 Subhana LLah
Wewe ndiyo mzushi
@@fatnasaidi3027 wewe chunga mdomo wako mimi nimenakiri kauli ya Mtume si maneno yangu fikiria kabla ya kuropoka
Wewe ndio mzushi mkubwa
Uzushi wameufanya ni dini, na hata kama ingekua hilo wanalofanya sio uzushi je hivi ndivyo ambavyo mtume ametufundisha kufanya quran inavyosomwa
@@fatnasaidi3027 chunga sana kuropoka kilichonakiriwa hapo ni hadithi sahihi ya mtume
Bismillah mashalah 😢😢😢
Allha warehem ndugu zetu na wazazi wetu waliotangulia mbele za haki Aamiin
Amin rabil alamin
innalillah wainna ilaihi rajiun
Mashaallah
Innalilah wainnailah rajiun
ماشآءالله 😭😭😭😭😭
😢 mashallah
Inalilahi waina ilayhi rajuun
Subhanallah . Mzee wetu nenda salama . Innalillaahi
Allahu Akbaru
Allahuh akbaru 6:56
Inna lillahi wa inna ilaihi raajiuun
اللهم اغفرله وارحمه
Innalillah waina lillah rajuuni Allah amsamehe makosa yake
Machungu hayana mfano isipokuwa wanaimani na mwisho mwema. Hao ndio waliofaulu, Allah awalipe na awatie nguvu
Inalilah wainarailajiuyn 😢😢😢
Allahumma Aamyn 🙏🙏🙏😭
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun
Alla amlaze pema peponi nasi atujaalie mwisho mwema
Innaalillah wainna ilaihi raajiuun mauti siri
Mtulila nendaaa kwa Sheikh Massoud ukachukuwe mavitu uongezee hukoooo
Innalilahi wainnailayhi raji'un 😢
Kuna tofauti kati ya qur'an inayosomwa kwenye huzuni za mazishi na misiba na qur'an inayosomwa kwenye mashindano au hafla za furaha.
Masauti ya tajweed yana kanuni zake. Na wasikilizaji wanatakiwa kuchunga nidhamu zao kwa mazingira husika. Tuna masauti ya huzuni, na yale ya furaha. Na kuna ufundi wa kutia huzuni katika kila sauti pia.
Tujifunzeni kwa Waarabu, hasa Misri. Anafariki mwalimu wa tajweed, inasomwa kwa huzuni na hakuna makelele wala kucheka cheka.
je hivyo ndivyo alivyofundisha Mtume wetu au ni uzushi pia nieleweshe
Inna li Lilahi wainna ilyhi rajiun
Innaalillaah wainnaailaih raajiuun, qur an inasomwa watu wanashangilia, Allaah anasema qur aan inaposomwa tuisikilize, mcheni Allaah ahal bid'aa
Na nyinyi ilmu fupi
Duh....Allah anasema itakapo somwa Quran tulieni na mskilize...
Ila usisahau Mtume(s.a.w) Anatuambia atakapo fanya kitu kizuri bas msifuni Allah kw takbir na mpe PONGEZI (Masha Allah)anaye fanya mwisho umuombee Dua....
Na ss waislam tuishishi kw Quran na Sunnah..
". Tuacheni bidaa juu ya bidaa ""
Kwani huisikii au ulijuaje ka qoran hiyo
@@user-to1it9hk2zsasa ukiona kuna shida unaisikilizia nn si ondoka
رحم الله شيخنا
Inna Lillah wainna illahi rajiun Allah ampe qauli thabit
Hivi huoni kwamba Quran yetu ina miujiza, inaujumbe kila nafsi inapokea kivyake, wengine wanalia wengine wanafurahi
Kila la kheri Allah amlipe mazuri
Shke masudi hijawikusoma kamahvo wallah mashalla
Sahihi
Nimejikuta Nalia😭😭😭
Watanzania ubishoo mpaka kwenye QURAN SUBHANALLAH,hakuna hâta mmoja ajuae aya zinazosomwa
Wewe ungeamua kuweka tafsiri ili upate thawabu
إنا لله وانا اليه راجعون 😭😭😭البقاء الله
Amal njema hiyo aloacha shekha Adam
Allah akupe Subra ktk kipindi Hiki kigum
🕋🕋🕋
Allha mfungulie milango ya Pepo mjawaku huyu Kwa kazi kubwa ya kujitolea kulingania dini
Daaa huu msiba nime jikuta naliatu mpaka nime ogopa kulala mwenyewe
Allah amrehem
Qur an inasomwa mnashangila kama mpira na wakati tulishaabiwa kuwa Qur ana inaposomwa nyamazeni muiskize ili muielewe na ipate kuwa ongoza