Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Nikweli kabisa aa kwani Asli yetu ni udongo kwa udongo aliumbwa Adam na kwa ubavu wake aliumbwa hawa na kwa Adam na Hawa ndio tmepatikana sisi sooooooote.
Dah MUNGU anijaalie watoto wangu MULHAT na MULYKA wawe ni miongoni mwa watoto wema na bora duniani na Aghera na wengine mungu atakao nijaaalia I wish cku 1 nijkuwasikia wakisoma Qur'an tukufu🙏
Pongezi Kwa Rais SAMIA Kwa kuweza kuuzuria kwenyemashindano haya ya Kusoma Kur-Ani Kwa watoto wa kike. Insha-Allah Mungu Akuzidishie Kila la Kheri✨💥💯%✅
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika Allah awahifadhi Dada ztu Allah atujalue Vzazi vyetu Allah aniejalie watoto wg Allah Ibariki Tanzania 🇹🇿 ❤
Mashaallah Mashaallah Mashaallah alhamndulillaah ALLAH akulinde mdogo wangu ktk imani na namuomba Allah wetu akuhifadhi na majanga ya dunia biidhinilaahi subhaana hu wataala
Mashaallah Vijana wetu pamoja na Wazazi wenu,Munastahiki Pongezi.❤.Katika Qurani kuna Kiila lakutufaa.sisi Binaadamu.Likitangulizwa na Tabia njema-Uwminifu-Na Subira katika Matatizo.Ama wano dai Elimu Basi Katika Qurani Aisone na kufanya Utafiti ili kujua Kua Sio Maneno ya Binaadamu.👈
Kusema kweli alipokuwa akisomo bint huyu nilikuwa njiani nikiendasha gari wallah nilishindwa kujizuiya machozi yalimwagika hongera yake naomuomba Allah amuepushe na hasad za walimwengu na pongezi nyengine ziende kwa walimu na waazazi Allah awajaalie na watoto wetu waache utukutu wasome qur an inn shaa Allah amin
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
😭😭😭name namuomba Allah anijalie watoto wenye kuipenda quruan na aniongoze niwe mwenye kuwasistiza ktk hilo❤❤
Amina
Amin
Inshaalakher
Mashaalah mungu axid kukukaalie
Allahumma ameen 🤲🤲🤲
Hongereni ndugu zetu Waislam kwa kuenzi mawaidha ya Mungu. Wakristo na waislam sote ni ndugu. Tanzania tunpendana
Nikweli kabisa aa kwani Asli yetu ni udongo kwa udongo aliumbwa Adam na kwa ubavu wake aliumbwa hawa na kwa Adam na Hawa ndio tmepatikana sisi sooooooote.
Amiiiin inshaAllah
hAkuna udugu baina ya muislam na kafiri
Huna hata aibu...???@@KhatibSalehKhatib
@@KhatibSalehKhatibkabisa
Mashaallah mdogo wang Allah akuhifadhi na hasad za walimwengu.
Aaamiin
Amen
Amen
Ameeeen
Amin.
Ma sha Allah mwanangu
Sumaiyya
Allah akuhifadhi na washiriki wengine Allah awabariki
Mashaallah habbty Allah akuhifadhi na vishawishi na akujaalie usiisahau quran ,na akujaalie mwisho mwema kipenzi
Mke mwema hapatikani disko . Mashallah Mashallah yan kasoma mpaka kamaliza hakuinua jicho asante kutuwakilisha vyema endelea kuezi malezi ya wazazi na walezi wako ndugu yangu
Hongereniii ndugu zetu waislam, Mimi ni mkristo lkn nawapongeza kwa kutunza na kusoma kitabu kitukufu cha Mungu, Mbarikiwa sana.
Asante sana nawe karibu ktk uislam
@@hadijaismail3619 asante sana mimi nawapenda sana hata rafiki niliyenae mchumba wangu yeye ni mwislam anamaadili pia ana hofu ya Mungu.
Ahsante sana ndugu yetu katika Adamu
Asante na shukrani kwa kuonyesha heshima ya Imani yetu
Shukran bro tuna ku karibisha kwa dini kuomba mungu wetu
Peke yaka Bila kumshirikusha
Dah MUNGU anijaalie watoto wangu MULHAT na MULYKA wawe ni miongoni mwa watoto wema na bora duniani na Aghera na wengine mungu atakao nijaaalia I wish cku 1 nijkuwasikia wakisoma Qur'an tukufu🙏
Inn sha Allah ...Ameen
Inshallah
Allahumma Amiin
Aamiin
😢😢😢mungu atujalie kheri wallah yaan machoz ya furaha kwa kweli Amiiin kwa vizazi vyetu wallah moyo unafarijika sanaa hakika
Watoto woote wakiisla namuomba Allah atowe kila nyumba ya waislaam hafidhi quraan na hafidhat quraan Amin
Amyn yaaAllah
amin
Allahumma Amin
Amiiin Ishaalah
Aaamina
Pongezi Kwa Rais SAMIA Kwa kuweza kuuzuria kwenyemashindano haya ya Kusoma Kur-Ani Kwa watoto wa kike. Insha-Allah Mungu Akuzidishie Kila la Kheri✨💥💯%✅
Aaamiin
Amina
Aaamin thuma aaamin
Amin Yarabbi Amin
Mashaallah Allah akujaalie bint yangu Dunia isikuyumbishe.
Aamiin Yaa Rabb
Aaamiin
Allahumma ameen
Maashaa Allah ❤️ Tanzania yetu❤❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿
Allaah amuhifadhi raisi wetu wa tanzania na wale watawala wote wenye kumpenda Mola wao
MashaAlla Kwa Vijana Wetu, Mwenyezi Mungu Awape Kheri daima.
Amiin
Pongezi nyingi kwenu wazazi wa sumaiyaa Allah awalipe InshaAllah
Ma-ash-ALLAH ukhty sumaiya, ALLAH akujaalie kila lenye kheir na azid kukuongoza ktk njia iliyonyooka ameen
بارك الله فيك يا بنت وجزاك الله خيرا
Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah hasbiyallah wanighma lwakiil Allah akuzaidishie ufahamu na akulinde na hasad na Shari za walimwengu
Amiin alahumaamiin
Masha Allah. Allah ya barik sumaya uncle from somalia
MashaAllah ❤❤❤ Mola akuihifadhi na ulimi wako na matamshi yako yawe Mazur kma ulivyo Soma Qur_An Tukufuu kwa Utulivu❤
Aamina Amiin Yarabi Laallahmiin Dua na iwe Makboul.
Mashaalah nchi inatulia sana maana hapo Allah tu ndio anasimama basi
Mashaallah mungu akuzidixhie katika ahamali
Bismillahi Ma shaa Allah....Allah SWT amuhifadhi.
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika Allah awahifadhi Dada ztu Allah atujalue Vzazi vyetu Allah aniejalie watoto wg Allah Ibariki Tanzania 🇹🇿 ❤
Mashaallah Mung Amzidshie Zaid
Mashallah Mashallah ALLAH akuhifadhi na kuwahifadhi watoto wote In Shaa Allah
MashaAllah yuko vizuri bint Allah azidi kumuongoza na kumlinda insha'Allah
allahumma ihfadhiha min kuly fitnati duniya wajaallaha mraati swalihi. amiin
Ameen
MashaAllah Alhamdulilah for being Muslim ❤
Mashallaaa uislamu mtamu
Maaasha Allahu laa haula walaa quwata illa billahy ❤️ ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah
Allah anijalie watoto waquran..habbyb nd hubbeyb..nandugu zangu..Ameen
Ma sha allah
Allaah awsjaalie nyote
Ombi langu napmba uwe mashindano hayo ya banati kila mwaka insha allah
Mungu awahifadhi wote washiriki
Mashallh sumaiya umeiwakiliz tz na umechukua nafas ya tano mungu akufungulie ufaham zaidi inshll hongera san
Mashallah yarabi akuongoze katika majambo yako❤
Mashallh Mashallh Allah akubarik
Mashallah anasoma vizuri hadi raha Allah akupeuwelewa zaidi katika kuhifadhi quran
Mashaallah allah atujaalie na sisi tupate watoto wenye kujua na kupenda kitabu cha allah na kukuhifadh
Mashallah hata umeshika nafasi ya tano pongezi ❤❤❤❤Allah akusimamie
Mashallah mwanangu ALLAH AKUKINGE NA masheitwani
My lit
Masha ala mungu akupe umri mrefu na akulinde milele na mwenyezimungu azidi kukukumbushs kuwaombeya wazazi wako 💓💓💓💓💖💖💖💗
Jamani sapoti yenu nimuhim kwangu naombeni sapoti yenu
Mashaallah Mashaallah Mashaallah alhamndulillaah ALLAH akulinde mdogo wangu ktk imani na namuomba Allah wetu akuhifadhi na majanga ya dunia biidhinilaahi subhaana hu wataala
MASHA ALLAH JAZAKALLAHU KHAIR SUMMAIYA
Mashallah mashallah mashallah Allah Akufanyie wepesi kwenye maisha yako yaaaraby akutimizie ndoto zako yaaaraby Amiin yaaaraby liaalaamin
Allah ambarik na amlinde na hasad yupo vizuri Mashaa Allah
Mashaalla tabarakallahu wajazakkallahu kheiran kathira allahibarik insha'Allah
Maasha Allah, Allah akuhifadhi
Mashallah mashallah allah akujaze kila lakher inshallah
Maashaallah Maashaallah tabaraka rahman.
Allah akuhifadhi bint yetu❤❤
Mashaallah ya ukhty mungu akulinde na hasad na akupe ufahamu uweze kuzid kujua zaid na zaid inshaallah
Mashallah mashallah mashallah 🎉🎉🎉🎉tabaraka rahman smaiya mola akulinde na vishawishi vya duniya uweze kuendeleya kuwa miongoni mwa wtt wema inshaalla
Aaamiin
Allahumma aamiin
Ameen
Huyu dada asingekosea angekuwa ata wa pili au kushinda kabisa🥰..mashaallah anasaut nzuri
Mashalllah Allah akukinge na shar mwanagu nakupe ufahamu zaid na zaid
Mashallah tabarka ULLAH ❤❤❤❤🇹🇿
MASHALLAH ALLAHUMMA BARIK
Masha Allah Tabarakallah, Allah Akuhifadhi habibty
Mashaallahh mashaallahh mwenyezimungu akuhifadhi inshaallah ❤❤❤❤
Mashallah Allah akuhifadhi mtoto mzuri.Amin
Maashaallah Jazakallah Khair
Mashaallah mashaallah nimempenda sana mdogo wetu umesoma kur an vile inavo takiwa mwenyezi mungu akuhifadhi kama ulivyo ihifadhi kur an
MaashaAllah MaashaAllah Allah azidi kukuongoza daima
Waooooooh 🎉🎉❤ mwenyezimungu akuongoze mdogo wetu mashallah hatimaye umeiwakilisha nchi yetu
ماشاء الله
زادك الله علما
MashaaAllah Binti Allah akuhifadhi uwendelee kuwa Bora zaidi InshaAllah
Mashallah Allah akupe ilmu zaidi ya uliyo nayo
MashaAllah mashaAllah ❤
❤❤❤❤❤yaan hii inafanya watoto wastoroke au kuacha madrsa kwasasa Mungu mkubwa nawapengeza wote walohusika kwenye huu mpango .nahongeren washriki wote❤
Nimefurahi mpaka naliyaa wallah allah ayiongoze jamiii ya ki islam huwa nikiona mashindano kama haya napataga huzuni saana natamani na watoto wawe ivo
Mashaallah Vijana wetu pamoja na Wazazi wenu,Munastahiki Pongezi.❤.Katika Qurani kuna Kiila lakutufaa.sisi Binaadamu.Likitangulizwa na Tabia njema-Uwminifu-Na Subira katika Matatizo.Ama wano dai Elimu Basi Katika Qurani Aisone na kufanya Utafiti ili kujua Kua Sio Maneno ya Binaadamu.👈
Mashallah tabarakallah Allah azidi kukuongoza ,,, mashallah wazazi wale na mwalimu wake wallah mmejitahidi saaana
Masha Allah,,,, Tabarakallah
MashaAllah TabarakaAllah
Allah Akbar mungu akujalie maisha malefu
Mashaa Allah mashaa Allah mashaa Allah allah amzidishie umri yeye na wazazi wake na maalimu wake
Masha Allah binti mshiriki mwenye umri mdogo Allah akujaze elimu tuna imani kuna siku utatupatia ushindi no moja
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah
Maashaallah , Allah akujalie afya njema habibti ❤❤
Masha Allah Allaah akuhifadhi♥️♥️
Alha akuhifadhi mpk mwisho wa maisha yako dunia uipe mgongo nimefurahi sana
Masha Allah Allah atuongoze tuwe ni wenyew kusoma Quran
Kusema kweli alipokuwa akisomo bint huyu nilikuwa njiani nikiendasha gari wallah nilishindwa kujizuiya machozi yalimwagika hongera yake naomuomba Allah amuepushe na hasad za walimwengu na pongezi nyengine ziende kwa walimu na waazazi Allah awajaalie na watoto wetu waache utukutu wasome qur an inn shaa Allah amin
Mashaallah she's too young and she has memoriesed whole Quruan this is really miracle
Allah akulinde na kila shari ndugu , na uzidi kufuata nyao za mtume s.a.w
ماشاءاللہ جزاك اللهُ خيرا 💖
Mashaallha allha akuzidishieni ufahamu wakukihifadhi kitabu kitukufu cha Qurani na allha awajalie kilalakheri viongozi wetu
Mashallah mdg wangu mungu akuepushe nahasd zawalimwengu❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah🤲Allah Barik🤲
alhamdlillah ❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉 2kijitahid 2nawez wa 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
MashAllah MashAllah Allah akuongoze Kila la heri inshaAllah akuepushe na shari
Maasha Allah baarakallah❤
Waw ,mashaallah Allah bless you
Mashaallah ALLAH Akuhifadhi n Dini yko n Pongez Muheshimiwa Rais Samia kw kuhudhuria Mashindano hayo
Mashaallah mwanangu Allah akuhifadhi
Mamuomba mungu aniomgozee watt wangu eahifafhi qurani amiin
❤❤❤ Masha Allah Masha Allah Tabarak Rahman. .... Yarrab idumishe amani ya nchi yetu Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 na utuondolee mabalaa ya kila aina Yarrab 🤲🤲
Ameen
Mashaallah allah atujaalie vizaz vyeny kher na sie
MashaAllah , rabii zidna ghilmu warzukna fahhma
Mashaallah Allah ajalie tuwe wenye kujifadhi na kuifuata maelekezo katika Quran
MashaAllah tabarakAllah.
Maashaalla binti yetu Umetukosha Watanzania Allah akulinde Vema