MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania Mo Dewji amezungumza katika mahojiano maalum na BBC kuhusu kutekwa kwake mwaka 2018

КОМЕНТАРІ • 517

  • @Hawa-qc9fo
    @Hawa-qc9fo 5 днів тому +16

    Hiii vidio inamiaka 4 toka itoke ila kama ww nipamoja na mm tulioangalia mwak huu 2024 weka like zako hapa❤

  • @upendomgombozi1239
    @upendomgombozi1239 Рік тому +5

    Mungu akuongezee maisha marefu Mo. Leo ndo naiona simulizi yako japo muda mrefu ulishapita imeniumiza sana, mtegemee mungu yeye ni kilikitu kwako

  • @legrandmsangi8405
    @legrandmsangi8405 3 роки тому +5

    Daah so sad.. lkn Mungu ni mkubwa siku zote, humlipa mtu kulingna na nia yke. Una nia nzr na watanzania, Mungu amejaalia ukatoka salama salmin

  • @MaarufuChambuso
    @MaarufuChambuso 6 місяців тому +3

    Mo kwakweli unabusala kubwa na mungu yupamojanae pole sana moyoni naumia kiukweli hao wa2 wabaya mungu awaangamize

  • @carolinenjiro41
    @carolinenjiro41 3 роки тому +4

    Mungu Ni mwema Sana, wakati wowote, pole MO

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 3 роки тому +4

    Pole sana mo deuji allah amekulinda hakika ulimtengemea alllah ndiyo kakuokoa

  • @stephanom.sylvestor6902
    @stephanom.sylvestor6902 3 роки тому +8

    Alie ckia neno boc Kutoka kwa mo agonge like zake hapa

  • @barackjoshua6712
    @barackjoshua6712 4 роки тому +6

    mahojiano mazuri allah akuhifadhi mo dewji

  • @lusekelokajigili4564
    @lusekelokajigili4564 2 роки тому +3

    MO Mungu ni mkubwa Sana. Mungu akubariki sana

  • @Da_Gee
    @Da_Gee 3 роки тому +11

    16:18 - 16:30 Your good deeds will forever follow you, nimejifunza. Let's have good intentions, God will spare our lives, what a humble soul Mo. May God keep you longer.

    • @mradyally6948
      @mradyally6948 2 роки тому

      hghgghhghghhggggggggģggģggģggggggggggggggggggģgggggggggggggģgģģggggggggggggggģggggģgģgggggggģggģggggģģggggģgggģggggggggģgģggggg hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh hhh hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhjhhh hhhhhhhhhh hhhhjhhhh hhhhhhhhhhhhggģgggggggģgggggggggggggggģggggggggggg

    • @mradyally6948
      @mradyally6948 2 роки тому

      gggggggggggggggģggghhh

    • @arcusiusngonyani8639
      @arcusiusngonyani8639 Рік тому

      Santeeeh!!

    • @claudiamollel4536
      @claudiamollel4536 8 місяців тому

      ​@@arcusiusngonyani8639😊😊😊😊😊

    • @claudiamollel4536
      @claudiamollel4536 8 місяців тому

      😊

  • @SuperKayaya
    @SuperKayaya 2 роки тому +2

    Pole kabisa. Bado na sikiya uchungu ndani ya sauti yako. Pole tena Bingwa.

  • @moudyhamisi2641
    @moudyhamisi2641 3 роки тому +3

    Pole sana hakika mwenyezi mungu ni mwema

  • @jilbertdanifordbutemba917
    @jilbertdanifordbutemba917 Рік тому +3

    Ata Mimi nakupenda moo maana kuna siku uliongea kitu Cha iman ukagusa moyo wangu.

  • @driftdumper8927
    @driftdumper8927 4 роки тому +6

    Pole sana Mo!! Nilisali sana nilijisikia vby wakati wote mungu mkubwa! Aliruhusu uwe hai!

    • @luluzegema5782
      @luluzegema5782 4 роки тому +2

      Mimi chadema nami pia ni yanga ila nililia na kuomba sana

  • @Da_Gee
    @Da_Gee 3 роки тому +3

    FAITH, FAITH, FAITH 7:35 - 7:40 Very powerful!
    Eee Mungu nipe unyenyekevu zaidi ya huu, Imani yangu nisiiache, ukinipa mafanikio maishani mwangu.

  • @momylaviel
    @momylaviel 7 місяців тому +1

    Baada ya yote uliyoyapitia bado unaishi Mungu akupe maisha marefu

  • @carmelinapalermo1573
    @carmelinapalermo1573 3 роки тому +3

    Mungu akulinde daima pole Sana dewgi

  • @fadyanassor6934
    @fadyanassor6934 4 роки тому +16

    i was cryn the whole time..pole sana MO alhmdullah kwa kutoka salama

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 роки тому +2

    Mashallah. Mungu akustir usiyaone tenants ktk Maisha yako pole sana Bro

  • @deogratiusgideon8673
    @deogratiusgideon8673 4 роки тому +7

    Inasikitisha sana pia inahuzunisha 😢 😭! Pole sana Boss Mo, 1 ❤️

  • @mariammatandala1409
    @mariammatandala1409 3 роки тому +2

    Najua dua zetu Mungu aliziskia

  • @CreofasBenedicto
    @CreofasBenedicto 8 днів тому

    Hakika Mungu anajua una kazi bado Mungu abariki kazi Yako na huduma Yako na mke wako upendo Nchi Yako uzidi Amina

  • @zuberigwakula8531
    @zuberigwakula8531 4 роки тому +12

    Itakusaidia kuwakumbuka wanyonge, pole sana. Allah ashukuriwe

  • @origenesmsuya8291
    @origenesmsuya8291 4 роки тому +1

    Kila jambo linasababu kutokea katika maisha yetu hapa duniani,jambo lamsingi ni kumshukuru mungu umzima,nothing last forever

  • @rashidlighuda6014
    @rashidlighuda6014 3 роки тому +2

    Pole sana Mohammed Gullam Dewji

  • @NaimaZahran-iq7gb
    @NaimaZahran-iq7gb 15 днів тому

    Wise and Brave Ma shaa Allah. BLESS YOU.

  • @deverathabalitazari8685
    @deverathabalitazari8685 2 роки тому +1

    Pole sana mzee mo je? Ulivyokuwa unataka kujisaidia hulikuwa unafanyaje mzee

  • @nassoribrahim6400
    @nassoribrahim6400 4 роки тому +8

    Allah karim wallah

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 4 роки тому +15

    media za bongo baada zikave stories kama hizi ziko busy zina cover umbea

  • @miriamneemavaagen4632
    @miriamneemavaagen4632 3 роки тому +1

    Mungu ahimidhiwe kwa kukuokoa

  • @tatungeni6937
    @tatungeni6937 3 роки тому +1

    Pole mungu ajalie tunakupanda❤️❤️❤️♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏🇹🇿😭😭

    • @zawadikimaro4087
      @zawadikimaro4087 2 роки тому

      Pole sana. Uko wapi mm ninashida na mtaji tu ndugu yangu moo. Niliibiwa

  • @salimaloufi6470
    @salimaloufi6470 15 днів тому

    VERY SAD STORY 😭😭😭😭 BE THANKFUL TO ALLAH SUBHAANA WA TAALA

  • @emmanuelkweka4776
    @emmanuelkweka4776 4 роки тому +7

    This man is the good man

    • @johnfocus9880
      @johnfocus9880 4 роки тому

      Watu walio ajiriwa na serikali kwa kazi ya utekaji na uuwaji

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 4 роки тому +1

    Nina wasiwasi na Anachosema, Kama Hajatumwa Kusafisha Hali ya Hewa Kama Masharti Mojawapo. Kwanza watu waliomteka Ni Majasiri sana, Wameingia gharama Kubwa, Wapige hata sisasi eneo la Oyster bay, Wamteke na wakae nae karibu na wiki. Kisha ati, Wamrudishe kwa Hofu wambwage karibu na Ikulu. SIAMINI HUU NI UWONGO HATA MO ANAJUA AMETUMWA AKADANGANYE ILI AACHWE!

  • @ezekieldeus6022
    @ezekieldeus6022 Рік тому

    Pole mr, mo,kwani ulipitia majaribu magumu sana. ila elewa kuwa nivigumu kufa kwa mtu kama wakati wake haujatimia.

  • @hoseakamchapekaponya3502
    @hoseakamchapekaponya3502 2 роки тому

    Pole Sana mshikaji wetu, ila na ww umezidi woga sanaa

  • @GoliatiiMmanga
    @GoliatiiMmanga 13 днів тому

    Mungu hupigania haki ya kwenye haki namungu azidi kukupigania sana

  • @beninternationaltv3136
    @beninternationaltv3136 3 роки тому +3

    Wa bebe hawo kutoka congo DRC ndo wana fanya ivo na nyinyi wa Tanzania mnawapa uhuru watawamaliza

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 2 роки тому +1

    Bless ur heart

  • @salimstuart3520
    @salimstuart3520 4 роки тому +3

    Pole sana Mo

  • @BasraLambert
    @BasraLambert 10 днів тому

    Roho yako nzurii xaaana ndio maana haukuumia

  • @msilaipimilo1928
    @msilaipimilo1928 4 роки тому +2

    Pole sana brother

  • @JovitaSeverini
    @JovitaSeverini 10 днів тому

    😅pole saana kaka mo mungu azidi kukuchunga vema

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 4 роки тому +6

    Mpk nimelia 😭😭 😭
    Pole sana

  • @CSMAPESA
    @CSMAPESA 3 роки тому +1

    Shukuru mungu ulikua unavuta sigara maana wavuta sigara wanaendana

  • @barackahassan6085
    @barackahassan6085 4 роки тому +5

    pole sana moodwj ilautekaji huo unaonekana hata siasa zikondaniyake

  • @isayatimoth1867
    @isayatimoth1867 12 днів тому

    Hakika mwenyez Mungu Mwema

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 роки тому +4

    Duh . Mo bado ana tetemeka

  • @marthakibona
    @marthakibona 16 днів тому

    Polesana mo kaka yetu kwayaliyo kukuta

  • @CatheOmbay
    @CatheOmbay 14 днів тому

    Daaah Pole sana bro mo

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 11 днів тому

    Enzi ya jpm hiyo na maisha haya watu hawakuandika waraka kwa jpm

  • @isackluis2737
    @isackluis2737 2 роки тому

    Poli sana kwamateso Mimi masikini nigaie kidogo nianze umachiga

  • @FranklucasRichard
    @FranklucasRichard 6 місяців тому

    Pole sana

  • @sh..k.9162
    @sh..k.9162 Рік тому

    Duu!!,pole xan jmn BINADAM huw hawapend maendeleo ya MTU,Mung atakulinda Wale hutadhulika Maishan mwako.😓😓😓

  • @zuhurahaikosi9523
    @zuhurahaikosi9523 Рік тому

    Pole sana mohamed

  • @mamafaiza2651
    @mamafaiza2651 3 роки тому +1

    Alitekwa na magu kambiwa asisemee magu mtu mbaya thanaaa

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 4 роки тому +1

    Hivi musk si barakoa

  • @RichraxRLDST-xq3lr
    @RichraxRLDST-xq3lr Рік тому

    Pole ndugu yangu.

  • @mohdmnkenyi1542
    @mohdmnkenyi1542 4 роки тому +3

    Aisee pole sana Jamaal yetu

  • @saidiswea583
    @saidiswea583 3 роки тому

    Pole Shia mwenzagu?

  • @emeresianamichael5163
    @emeresianamichael5163 3 роки тому +1

    Pole kaka

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 7 місяців тому

    Mpaka machozi yamenitoka.

  • @fortunataangelo5575
    @fortunataangelo5575 2 роки тому

    Kumbe zile movie Huwa ni za kweli

  • @StephenKabalisa
    @StephenKabalisa 6 місяців тому

    😢😢😢😊

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 Рік тому

    Moo pole na mtihani uliyokupata lakini bado hujasema ukweli

  • @JakayaYegamise
    @JakayaYegamise 6 місяців тому

    Pole baba yetu

  • @hellenpeter4497
    @hellenpeter4497 3 роки тому

    POLE SANA MOHAMED GULAMU MUNGU ANAKUPENDA SANA UTAISHI KIJANA WETU

  • @jeremiahjulias2002
    @jeremiahjulias2002 Рік тому +11

    Brother Mohamed Dewij you are Man of God 🙏 Mungu azidi kukupigania, una hofu ya Mungu pia una Roho ya upendo ndani Yako.....! Nimejifunza mengi kupitia wewe, let me change my life...!
    Mungu akubariki 🙏🙏

  • @munamuna7488
    @munamuna7488 3 роки тому +1

    Allah ataendelea kukulinda daima

  • @precioussambale1964
    @precioussambale1964 4 роки тому +28

    Huyu jamaa ni humble Sana, anamwita Salim boss

    • @nadiaahmada7092
      @nadiaahmada7092 3 роки тому +1

      Kuitwa boc sioboc wewe unaeitwa boc. Ndoboc hataumuingizie buku nihela

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 роки тому +11

    Yani wanadam. Mtu mali yake atafute kwa jasho lake kisha wengine waje kukutesa😥

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 4 роки тому +15

    Umeongea sifa ya watanzania cc hatubaguwani hatuangalii rangi mwalimu nyerere ametuachia Hilo tunajivunia.

  • @2018-m9w
    @2018-m9w 7 місяців тому +1

    Apunguze urushi kama walivyowazulumu muuza zahabu mamilion ya Dola na hii bado

  • @KlikHapaTV
    @KlikHapaTV 10 днів тому +1

    Nimeangalia vyema tena hii Interview September 2024 , Ila nimegundua Jamaa Muoga sana, Maana hakuna anachosema chochote watu wengine wakitekwa.
    Aache mambo ya kusema anasali, yeye pia apaze Sauti

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 роки тому +18

    Ktk matatizo lzm umtangulize mungu na hicho ndo kilicho kusaidia boss ukatoka salama

  • @BasraLambert
    @BasraLambert 10 днів тому +2

    ❤❤mwenyeazi mungu akulinde akujaalie Afya tele inshaaallah azidi kukutia nguvu imaan na amani upendo tele na family yako yote na watanzania wote tuliokuwa tunakuombea kila siku kwa mwenyewe mungu inshaaallah

  • @ZahraMohammed-h6k
    @ZahraMohammed-h6k 23 години тому

    Sanura yuko Arusha kanivunjia nyumba, baadaye mimi sipo mlango sikutengeneza, wakaja tena wakaniwekea sumu kwenye sufuria walikuwa yeye na Zarina Hasan, baadaye wakaja wakakaa nyumba ya jirani nyumba moja kutoka kwangu, nikawaona sanura na msichana mmoja zarina sikumuona, ya pili walikuja zarina Hasan na gari wakataka kuniuwa kunigonga na gari

  • @gadsonndato2941
    @gadsonndato2941 4 роки тому +9

    Watu wasiojukikana wanapatikana nchi gani vile

  • @ZahraMohammed-h6k
    @ZahraMohammed-h6k 21 годину тому

    Chinja mbuzi mweusi wa kwako hataweza kukuroga tena na mke wako mchinjie mbuzi mweupe, majini wenu watawasaidia na pete na vitambaa ulizia watasema rangi gani

  • @rachealsiuji8349
    @rachealsiuji8349 11 днів тому +1

    MUNGU ni mkuu mnoo. MUNGU akutunze na kukulinda MO Dewji

  • @ZahraMohammed-h6k
    @ZahraMohammed-h6k 10 годин тому

    Ni mimi zahra Farah niliyo kutumia msg zote za mwantumu, sanura, na Zarina Hasan, Ridhiya

  • @ZahraMohammed-h6k
    @ZahraMohammed-h6k 10 годин тому

    Sanura anaitwa mwantumu, ni mchawi amewauwa wazazi wangu, ananifuatilia mpaka sasa yuko na zarina Hasan, jina lake la kweli anaitwa Ridhiya

  • @gipsonmassawe4632
    @gipsonmassawe4632 2 роки тому +4

    Long life mo dewj

  • @seinamador5474
    @seinamador5474 3 роки тому +2

    Mohammed umeficha baadhi ya mambo na Kuna ukakasi ndan ya simulizi yako. Mara ya kwanza ulisema walivyotoka na ww ulijua wanaenda kukuua na sio kukuacha/kukuachia huru
    Mara pili ukasema ukijua fika unaenda kuachwa huru gari ilikua inakataa kuwaka ukawaomba wakufungulie mlango utoke. (Hii inaonyesha deal was done)
    Yote kwa yote pole sana nahisi kuna siri nzito nyuma ya hayo.

  • @michaelstanley9898
    @michaelstanley9898 4 роки тому +19

    Aisee nomaah nimependa Moh alivyojibu jamaa ni smart enough

  • @richardcastromzena5136
    @richardcastromzena5136 4 роки тому +5

    Ukiskiza ni same as movie ya Mr Heineken

  • @RealSon-ahmadasoud
    @RealSon-ahmadasoud 4 місяці тому +2

    Hakika inauma sana

  • @modestalois2535
    @modestalois2535 2 роки тому +12

    Nchi ilielekea pabaya sana,ni aibu kubwa sana,pole Mh Mo Dewji,poleni Watanzania waliopitia dhahama hizo,Mungu awape amani tena

  • @rekhaakashi5750
    @rekhaakashi5750 2 роки тому +3

    Pole sana kaka yetu mo dewji kwa matatizo yaliyo kupata

  • @gumatohuka8827
    @gumatohuka8827 4 роки тому +13

    Hii,.ni maisha tunaoishi.,mshukru mwenyezi Mungu amekutoa kwa hatari ya maishani.,siyo wote wanabahti kama hiyo., So it's a miracle.

  • @vuvuzelajordankhasindu2963
    @vuvuzelajordankhasindu2963 6 місяців тому +2

    Pole sana kwa hayo yote. Inatisha kanisa ila keep up, keep doing it brother. Peace.

  • @sharifachacha978
    @sharifachacha978 4 роки тому +6

    makamanda walituonyesha picha 😂😂😂😂😂😂

  • @mhangwacharles1156
    @mhangwacharles1156 4 роки тому +6

    Polesana mtani wangu

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 роки тому +5

    Pole sana ndugu yetu, kwakweli tuliuzunika sana kwa kipindi kigumu ulichopitia, ila baada ya yote tuseme Alhamdulilah Allah ni muweza wa kila kitu. 🙏

  • @edwardsalufu6886
    @edwardsalufu6886 4 роки тому +4

    mungu akupe rehema nyingi kaka

  • @ramaaman4020
    @ramaaman4020 3 дні тому

    Da,polesana mzee hiyosiakawaida mtihanimkubwasana,polesana

  • @nasseradel9784
    @nasseradel9784 3 роки тому +3

    Pole sana mungu bado anataka uishi 😗😗

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 14 днів тому

    Magufuli ndipo alipotufikisha na zengwe anatupiwa Mh, Rais Samia dah amakweli kosa la ng'ombe wa mbele huazibiwa ng'ombe wa nyuma

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 2 роки тому +3

    Duh pole sana mo mshukuru Mungu pia hawakukuharibu

  • @arcusiusngonyani8639
    @arcusiusngonyani8639 Рік тому +2

    Kwa kweli tulikuwa tunakuombea Sana Sana sana hasa Mimi nilikuwa nawaza juu ya mzunguko wa pesa ulivyo Tz halafu watu wanakuja kutupunguzia mabosi wetu. Sisi tunaomba kila siku Mungu Atushushie mabosi wawe wengi kwenye nchi yetu halafu watu wanakuja kuwasumbuasumbua dah!!! Ilinipa tabu Sana lakini tunamshukur Mungu wamekuacha huru mwenyezi Mungu azidi kukulinda siku zote.