Hongera sana kwa elimu kubwa kama hizi. Kiukwel janga hili nilikuwa bdo mdogo sn na hata ckufaham chochote. Like zenu jmn kwa Mr Jamal na like zenu wale ambao kipindi kile tulikuwa wadogo na leo ndio tumefaham Zaid kisa hiki kupitia the story book
Nilikuwa Thailand huo mwaka,ila usiku huo wa sunami ndio nilifika kenya for Christmas,nilijua mungu yupo na mm nilishii puket najua hii island vizuri sana RIP waliopoteza wapendwa wao
My uncle alitravel on the day of the disaster. Na alilala close to the hotel iliyotokewa na janga hilo. Yaan,angesema abaki one more day..leo ingekua another story. I hope they are resting in erternal peace in heaven🙏
@@barakashaban9698 ndio ivo wasiokua.waislam wanaona.ni jambo la.kawaida na kujipa moyo Eti.ni.tetemeko.tu,.sisi tunaamini.ni Allah kutuonesha uwezo wake na tuwe na.khofu ya kumrudia na tupunguze kufanya Dhambi au tuache kabisa
Hii ni alama moja wapo ya uwepo wa MwenyeziMungu tuishi kwa kuzingatia mwenyezimungu yupo na hizi ni ishara zake tumuogope, tuogope hasira na adhabu zake Hakika MwenyeziMungu ni mkubwa na mwenye nguvu. Huu ni ukumbusho na ishara kubwa itawafaa wenye kuamini anayesema haya ni mabadiriko ya hali ya hewa/nchi mimi nakubaliana na yeye lakini anatakiwa kujifunza mabadiriko hayo husababishwa na Muumba.Tumuogope MwenyeziMungu tuishi kwa imani na tupate mwisho mwema
Hawatoelewa mpka yatokee kifo cha cha ardhi ni maji , MAJI NI ZAIDI YA CHCHTE JAPO MOTO UPO ILA HUWEZI SHJNDANA MA NGUVU YA MAJI 🙏🙏ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA🙏🙏🙏
Yesu Kristo anatukumbusha kuwa narudi mda sio mrefu. Shida ya mwanadamu ni mbishi afu viburi mno. Hakika watakufa wengi sana!! Mkiambiwa kuwa Yesu anarudi siku za hivi karibuni hamsikii. Sasa hiyo iliyotokea mwaka wa 2004 ni mfano tu!! Kitu chenyewe bado, na inakuja. Nakwambia Yesu atakaporudi hii dunia kwanza inaisha yote, yaani ni zaidi ya hatari. Ndugu katika Yesu Kristo hakika tukesheeee;!!! Yesu asifiwe sana!! Anakuja siku si nyingi. Sasa cjui atakukuta wapi na unafanya nini!!!!
Acha upumbavu wewe jinga wewe na waliokupeleka shule halafu hadi leo natural hazards unasingizia Mungu. Hata ambao waliwaletea imani na dini sio mazuzu km wapokeaji. Next time usiniletee kauli za kifala boya wewe. Toa hoja na sio matusi ya rejareja
@@ambrosromanus9547 ww ni mjinga!! Usiokuwa na akili!! Usitegemee akili zako mwenyewe!! Yesu anarudi, na anaporudi kabla hajarudi vitu kama hivi hutokea!! Majanga ya asili yatatokea kama tetemeko!! Mafuriko makubwa, afu hata njaa, vita baina ya nchi na nchi, ufalme na ufalme hawataelewana!! Ni mapigano tu yatatokea kama hii ya Russia na ukrein!! Yaani hizi ni mifano tu ya kuja kwake mwana wa Adam!! Yesu Kristo. Upo ndugu!! Soma Mathayo24:1-26. Utaona mambo.
Daaah namushukulu Mungu kusikia tena the story book kutoka kwako nilisikia maneno ya minong'ono kwamba mume gombana nasimba yani diamond Platnumz nikazani siyo pata tena simulizi kutoka kwako namushukulu Mungu umerudi tena ila hii nisili midleo simba amesema hii iwe Sili
Siku hii nlikuepo Zanzibar maeneo ya shangani ulipiga mtetemeko mkubwa wa ardhi na bahari kuleta mawimbi mazito mpaka watu wakaanza kuingiwa na khofu ila baada ya muda ikanza kutulia
Na cha ajabu na ndoo mjue huwa ni Amri ya mwenye Bahari. Huwezi ona samaki hata mmoja na wanyama wote hukimbia kabla ya Tsunami kutokea. Yaani Allah huwaondoa viumbe wake pendwa na kuwaadhibu viumbe wake wakorofi.
Hongera sana kwa elimu kubwa kama hizi.
Kiukwel janga hili nilikuwa bdo mdogo sn na hata ckufaham chochote.
Like zenu jmn kwa Mr Jamal na like zenu wale ambao kipindi kile tulikuwa wadogo na leo ndio tumefaham Zaid kisa hiki kupitia the story book
2004 nlkuwa darasa la 2 now am 26 years dah! Enx kwa jamal🙏🙏🙏
Hakika tunapaswa kumuabudu mungu kila wakati ya maisha yetu
Ghabhabu za Allah (sw) tumuogopeni Allah. Sisi viumbe hatuna uwezo wa kuepuka na adhabu zake😭
Swahihi kabsa sheikh wngu
sasa nan aliyesema iyo ni adhabu ya Mungu, ayo ni mabadiriko ya hali ya nchi wew unasema adhabu, kasome vyotevyote sio unabezi na elimu akhera tu
@@hallin9561 jitie kidole halafu ukinuse
@@hallin9561 we mpumbavu izo ni adhabu za Allah iyo ni ishara tosha kuwa hamna mungu kama yeyeee
@Issa Omary sahihi kak
Tunaomkubali Professor Jamal April Tusisite Kuungana Kwa Likes Kwa Kutuletea The Story Book Ya “TSUNAMI” 🌊👍🏿
Mungu ndio kila kitu tumuombe atujelie mwixho mwema, na pia km unakubali kazi za huyu jamaa ya kutuelimisha gonga like hapa twende pamoja
Mungu atujalie mwisho wetu mwema🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu azidi kukuongezea maarifa zaidi uwe na elimu zaidi nasisi tupate uelewa kupitia wewe
Nilikuwa Thailand huo mwaka,ila usiku huo wa sunami ndio nilifika kenya for Christmas,nilijua mungu yupo na mm nilishii puket najua hii island vizuri sana RIP waliopoteza wapendwa wao
Kama unamkubali Huyu jamaa aongezewe mshahara mara mbili like hapa
My uncle alitravel on the day of the disaster. Na alilala close to the hotel iliyotokewa na janga hilo. Yaan,angesema abaki one more day..leo ingekua another story. I hope they are resting in erternal peace in heaven🙏
Yuko wp saiv
Dah..anabahati sana. Nchi gani io alikua ameenda, alifikia hotel gani?
Ungesema ilitokeya inchi ngani????
Kiswahil tafadhari
Ata shosho yangu
Allah alionesha uwezo wake.ili.tuzidi.kumkumbuka na.kumuogopa yeye tu
Swadakta
@@barakashaban9698 ndio ivo wasiokua.waislam wanaona.ni jambo la.kawaida na kujipa moyo Eti.ni.tetemeko.tu,.sisi tunaamini.ni Allah kutuonesha uwezo wake na tuwe na.khofu ya kumrudia na tupunguze kufanya Dhambi au tuache kabisa
👁️ 👁️
👃
👄
Natazama nikiwa Mombasa Kenya... Mafunzo mazuri na Mungu atuepushe na majanga kila kukicha... AMIN
i like your creativity😃
The greatest one, Jamal no one like
Kaka Jamal mwenyezi mungu kukupa uzima na afya njema ili uendelee kutujuza matukio kama haya hongera kwakazi nzuli
Sikuwah kufahamu jambo hili,, Ahsante Jamal dah maana nilikua mdogo sjui darasa la nne
Jammal kwl unajitahid kutupa vitu adhim na adim Mungu akujaze khair na umri
Dah Mungu atujaalie kifo chema
Hii ni alama moja wapo ya uwepo wa MwenyeziMungu tuishi kwa kuzingatia mwenyezimungu yupo na hizi ni ishara zake tumuogope, tuogope hasira na adhabu zake Hakika MwenyeziMungu ni mkubwa na mwenye nguvu. Huu ni ukumbusho na ishara kubwa itawafaa wenye kuamini anayesema haya ni mabadiriko ya hali ya hewa/nchi mimi nakubaliana na yeye lakini anatakiwa kujifunza mabadiriko hayo husababishwa na Muumba.Tumuogope MwenyeziMungu tuishi kwa imani na tupate mwisho mwema
Hawatoelewa mpka yatokee kifo cha cha ardhi ni maji , MAJI NI ZAIDI YA CHCHTE JAPO MOTO UPO ILA HUWEZI SHJNDANA MA NGUVU YA MAJI 🙏🙏ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA🙏🙏🙏
Amina!
Amin
Amin rabill alamin
Huyu jamaa anajua sanaaa naelewa kazi zake
Allah anatisha, ana nguvu na mjuzi wa kila jambo!
Amiin
Mungu azidi kukuweka na uzidi kutukumbusha inshaallah
Daaah nilikua darassa la kwanza naikumbuka hii str vzr, hongera Mr jamal
I'm from Kenya Nairobi county, I'm watching this from yaya center
Yesu Kristo anatukumbusha kuwa narudi mda sio mrefu. Shida ya mwanadamu ni mbishi afu viburi mno. Hakika watakufa wengi sana!! Mkiambiwa kuwa Yesu anarudi siku za hivi karibuni hamsikii. Sasa hiyo iliyotokea mwaka wa 2004 ni mfano tu!! Kitu chenyewe bado, na inakuja. Nakwambia Yesu atakaporudi hii dunia kwanza inaisha yote, yaani ni zaidi ya hatari. Ndugu katika Yesu Kristo hakika tukesheeee;!!! Yesu asifiwe sana!! Anakuja siku si nyingi. Sasa cjui atakukuta wapi na unafanya nini!!!!
Natural forces zinahusiana nini na Yesu
@@ambrosromanus9547 hongera mtaalamu wangu!! Ww ni jinga kweli.
Acha upumbavu wewe jinga wewe na waliokupeleka shule halafu hadi leo natural hazards unasingizia Mungu. Hata ambao waliwaletea imani na dini sio mazuzu km wapokeaji. Next time usiniletee kauli za kifala boya wewe. Toa hoja na sio matusi ya rejareja
Amen mungu atuepushe na vifo vya kutisha
@@ambrosromanus9547 ww ni mjinga!! Usiokuwa na akili!! Usitegemee akili zako mwenyewe!! Yesu anarudi, na anaporudi kabla hajarudi vitu kama hivi hutokea!! Majanga ya asili yatatokea kama tetemeko!! Mafuriko makubwa, afu hata njaa, vita baina ya nchi na nchi, ufalme na ufalme hawataelewana!! Ni mapigano tu yatatokea kama hii ya Russia na ukrein!! Yaani hizi ni mifano tu ya kuja kwake mwana wa Adam!! Yesu Kristo. Upo ndugu!! Soma Mathayo24:1-26. Utaona mambo.
Jamari Kama diamond Big ❤💪🙏🔥🔥
Mshukuru Mungu amekuokoa kutoka kwenye hili janga
Maumivuyake omba yasikukute haya yaani maumivuyake nimakalimnooo tumuomba mungu atuepushe nabalaa hili kwakweli nguvu zamungu haziwezekani
Wa kwanza kucomment❤
Aya bwa hata mie sijachelwa naomb lik🖖😁
I was first one on show but the last words make my day
Leave in your dreams
umetishaa mkuuuu wew n zaid ya professor
Mungu azilaze roho za ndugu zetu mahala pema
Big up wasafi media. Special thanks Mr professor Jamal April Mustafah we really appreciate
Napenda sana usimulizi wako kaka u r my role model.We ni mkali yani
❤❤❤❤❤ i am following you in Kenya samburu county
Bro we ni noma uko vzur umenifanya nijue mengi
Kuna kipande majengo yote yapo chini isipokuwa Msikiti
Subhanallah
Unataka kusema nn apo 🥴🥴😅
Tumche mungu tumemsahau
Tsunami yaogopesha sana
Jamani tunaomba the story book ya raisi aliekula bata zaidi duniani
Gonga like za kutosha ka wakubali kazi za professor ❤️
We appreciatee u bro u are amazing
Natamani sana the sully documentary from Kenya
Daaah namushukulu Mungu kusikia tena the story book kutoka kwako nilisikia maneno ya minong'ono kwamba mume gombana nasimba yani diamond Platnumz nikazani siyo pata tena simulizi kutoka kwako namushukulu Mungu umerudi tena ila hii nisili midleo simba amesema hii iwe Sili
😂😂
My favorite Jamal ❤️.. from 254
Hatimaye 🥰🥰🥰
Hello Jennifer
I'm a little scared of that story because I'll be traveling in Thailand in July I'll be in Bangkok for two months. Prince from Oslo Norway 🇳🇴🇳🇴🇳🇴🇳🇴
stay safe
@@athuman6223 thanks 🙏 you
Don't be scared. Remember right now there are some people in Bangkok so should they running. Death is everywhere.
@@barikimbacho6731 🙏🙏☺️
NJIA YA MWANADAMU KWENDA KUKUTANA NA MUNGU WAKE NI LAZIMA APITE MLANGO WA MAUTI. KAMA UNAOGOPA KWENDA KUKUTANA NA MUNGU WAKO JIULIZE UMEMFANYA NINI?
Leo nimewahi kama unamkubali jamar gonga like hapo chini🙏🙏❤️
Naomba Jamal unipe simulizi la maisha ya msanii wa afrika kusini brenda fasie
Good work prof God bless you napenda sana story book asante kutoka Kenya
jamaliii👊👊👊👊👊🙏
I really appreciate your work mr jamal....God bless u bro
Eee sikuwahi kujua kuwa Tanzania , Kenya , Somalia mpaka dar es salaam huko zilipata tetemeko hili ya Allah
Go King 👑
Nakumbuka siku hii, dah zenji wameweka historia ya tetemeko
Japo nilikuwa kadogodogo😌😌
Me niko bara ninamiaka 29 lakini hii kitu ndo nasikia leo kwa mara ya kwanza ety. Kumbe kitu halisi na kilitokea...?
Ndio kilitokea naikumbuka hii siku nikiwa zanzibar Allah atunusuru na kila mabalaa
nakubari mzee bab
asante kwa kujibu ombi langu hii story niikuwa naitaji sana sasa napata maarifa
We jamaa unanikoshaga sana na simlizi zako 😇
Jamal uwa nakupenda sana kwanza iyo sauti yako ina kubalika na wengi
Inatisha...nice job mr jamal
Jamal ANAUPIGA MWINGI ✌🏿💯
Mungu atuepushe na ghadhabu zake
Nakukubali sn ndg yngu unajua big up ila nakushaur soma sn qur an utaju mengi zaid na zaid kwan haijaacha kitu ktk hii dunia big up sn
Wow shukraan Sanaa Jamal nilisubir mda mrefuuu ubarikiwe😘😘😍👌🔥🔥
Profesor kusema kweli napenda sana izi story
PROFESSOR 🥂🙌🙌
Thumbs up for the only prof in town👍❤️
Duuu leo umeamsha akili zangu professor.....for sure leo umeongea ukweli... God bless you for me
Love from 254 🇰🇪 ♥️♥️
💪🏼💪🏼
This is awesome Jamar,
Asante sana my brother from another mother
Daah Mungu akubarik unajua kusimulia
good one sir❤❤❤❤❤❤
Am taking notes!!! Each and every day!! Much love April😇😇
Asante kwa story mzuri sana ndugu yangu Jamal April 🙏🇹🇿🇬🇷⚓
Jamaaaaaaallly 🙌🏻🙏🏻
That school never seen other place thanks wasafi for this project 🤝🤝🤝
mungu ni muweza sana
The story book ibaki milele....!!
Hapo sawa professor
''anabaki kuishi kama zuzu kilicho mbele anabeba ......kibaya ni kuishi maisha yaliyo kufa ndoto zote doooh''😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Siku hii nlikuepo Zanzibar maeneo ya shangani ulipiga mtetemeko mkubwa wa ardhi na bahari kuleta mawimbi mazito mpaka watu wakaanza kuingiwa na khofu ila baada ya muda ikanza kutulia
Respect kwa story kali🤔👏🙌✊
May God have mercy on us 🥺🙏
Na cha ajabu na ndoo mjue huwa ni Amri ya mwenye Bahari. Huwezi ona samaki hata mmoja na wanyama wote hukimbia kabla ya Tsunami kutokea. Yaani Allah huwaondoa viumbe wake pendwa na kuwaadhibu viumbe wake wakorofi.
this jamal you really made ma day always when i see your new story
Professor wew ni nomaaa
Professor 🔥🔥🔥🔥
Subuhanallah ee mungu tupe mwisho mwema .
We Dogo nakubali sana
Tumwombe Mungu wakati wote majanga yakitokea atuokoe
Profesa nakukubali 💯
Asante Jamali kwa Kaz nzur usmuliaji makini kabisa nakupenda sana 🤝
Was waiting..
I see your work proffesor
rest in peace my brother frank...siku ya tsunami watoto 7 wa mtaa mmoja kutoka mbezi walipoteza maisha wakiwa beach
Ni ukumbusho tu wa Allah juu ya waja wake
Nipeni likes zaa prof Jamal
Kazi Safi professa 💪💪💪🔥🔥🔥🔥👍👍👍☑️☑️
Subhanna Allah😭😭😭