KABURI LI WAZI
Вставка
- Опубліковано 25 лис 2016
- St. John Paul II Mbeya Choir (JMC)
Huu ni wimbo mmojawapo miongoni mwa nyimbo 10 zilizomo kwenye album iitwayo TETEMEKO. Jipatie nakala yako ya DVD. wasiliana nao kwa namba +255 756 498 955 / +255 713 711 741 au +255 753 842 338
Who is watching with me in Easter season? Very uplifting song thank you.
❤❤🎉🎉 Mungu wazidishe kwa kazi nzuri ya uimbaji ❤❤❤❤❤
Waoooooh najifunia kuwa mkatorikii Aleruyaaa
❤❤❤❤ sauti zur mungu amewajaria 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mmenihuisha kwa radha nzur ya wimbo wa uffuko,dahhhh! Hatari sanaaaaaaaa!
Lovely song, it's really blessing me❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amazing Song. God bless you
Ameyashinda mauti YESU na tumepata ukombozi 🙌🙌
Am blessed to be a Catholic
Mpangilio wa sauti na picha ni mzuri, na wimbaji wanaimba kwa kujiamini sana.
Mbarikiwe kwa kazi nzuri
Umeona na jinsi walivyovaa nguo za heshima ajabu, na zimewapendeza haswaaaaaa
Very interesting and blessing. Good work and keep it up
Najivunia kuwa Mkatoliki mungu awabaliki kwaunjilishaji
hongeren sana wana jumuiya wa st John mungu awabaliki kwa wimbo mzr kweli yesu kafufukaaaaa
Kuwa na imani ni kuwa karibu na yesu hongerani Kwa sauti za kuimba
Easter season niko hapa,barikiwa waimbaji wote na mtunzi
Alleluia Mokozi kafufuka ndani ya mioyo yetu, bwana awabariki waimbaji na wadumu ktk pendo LA kristu
Hongereni sana na wapenda sana
blessings blessings Amen. i'm proud to be a catholic
Kaburi liwazi mokozi kafufuka mauti ameshinda sasa yumzima asante sana kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Well done my brothers and sisters, big up
ah nyimbo tamuu sanaa Mwenyezi Mungu azidi kubariki utume wa kumwimbia;;~
My all time favourite
Nyimbo imetulia sana mbarikiwe waimbaji wore wa wimbo huu
forever and ever amen be blessed all of you
God bless you guys..you are a blessing to many.
Nyimbo mtamu ,waimbaji hoyee,mwalimu pia,hongereni sana
Nabarikiwa bado na huu wimbo 2021.kweli kafufuka
Mungu awabariki sana
bonge la nyimbo mungu awabariki kwa Utume wenu
Hongereni Sana mbarikiwe Sana Mungu uwape maisha marefu nimebarikiwa Sana na wimbo
I like this song very much...I never tired to listen may God d bless you so much
Such blessing proud to be Catholic
instablaster
Kaburi li wazi mauti ameyashinda kweli
Asant sana ...wimbo mzuri
mauti ameshinda sasa yu mzimaa thanks more
love it. Rajo hongera sana. by kibuyu
Ahsanteni na hongereni sana menejimenti ya kwaya na Rajo studio mbarikiwe sana
God bless them for evangelism.
Lovely song
Simple but very classic
Najivunia kuwa mkatoriki jamaniiii!!!!!
Mimi nawakubari Suleman wa kibaigwa mwanakwaya ya my secilia
Nice song proud to be catholic
Nice song with well balanced voices.. Am blessed
I appreciate ur work!Glory our Lord!
Very simple but nice and highly liturgical. Totally love.
My favourite song,,mbarikiwe
najivunia kuwa mkatolic
Umeonaa ee adi nais laha
Asant mungu
safi sana kwa kazi nzuri
Nawafuatulia sana hongereni .. Kwa wimbo mzuri. Pic nzur .. Video nzur
utukufu na ukuu u na yeye hata milele
Mnaimba vizuri sana
Najivunia kuwa mwanakwaya
Marvelous... Kazi nzuri sana jamani.. The Video is super Quality.
safi sanaa najivunia kuitwa mwakwaya Itapendeza Sana
Kazi nzuri sana...Sauti zimetulia mno...Naipataje ulbum hii nzuri ya pasaka?
Amefufuka kweli haleluya
big up wana mbeya
Nice song
Kalbu li waziiiiiii
Kazi nzuriii
Kwa kweli ameyashinda mauti
najivunia sana kuwa mkatoriki mimi tena muimbaji
da catherini dah nafurahi sana
Hakika ukuu una yeye ata milele
im proud to be a catholic
yesssss
Greetings from Canada 🇨🇦 I’m Polish don’t understand Kiswahili 🇹🇿.tanzania is in my heart
2020 bwana amefufuka aleluya
Mubarikiwe kwa kazi nzuri
mbarikiwe sana
wimbo mzuri sana Nice steps too
tisha sanaaaaa wana John poul
Wow wow
Ameni
❤❤❤❤❤❤❤❤
Am blessed
Hongera sana kwa kazi nzuri
naupenda sana huu wimbo mmeimba fresh sana tuombeeni nasskwaya kuu mtwara mjini tuweze kuimba kama nyie
Nyimbo nzuri sana.
asante kwa nyimbo nzur
Jamaa wapo vizuri Sana, very fantastic Catholic song
God bless
so im catholic hivyoooooo
HONGERA NIMEPENDANYIMBO ZA POLE POLE NA UJUMBE UNAELEWEKA
kweli yesu kafufuka hongeleni kwa wimbo mzuri mbarikiwe
najivuna kuwa mcatoriki namwimbaji kwer iweje kumtafuta alie hai
HONGERENI SANA KWA UINJILISHAJI
music is natural
Safi sanaaa
Mbarikiwe sana
wimbo mzuri sana
HOW DO I GET THE ALBUM?
Just download
Naombeni DVD hata 10 nazipateje sasa?
Msaada plz
Uko wapi mkuu
Najivunia kuwa mwimbaji ntaomba wimbo wassap kaburi li wazi 0782005071
Mpangilio wa sauti na picha ni mzuri, na wimbaji wanaimba kwa kujiamini sana.
Mbarikiwe kwa kazi nzuri
Mimi nawakubari Suleman wa kibaigwa mwanakwaya ya my secilia
Mungu awatangulie mmeimba vizuli sana
Nice song
Nice song