Hallelujah ba toto ya Baba Tua mpenda Yesu Jemadari wetu TU mufate na Roho Moja ata mu mauti ata TU na Towa Jacho ya Damu TU Vumilie TU Mokonzi Wetu Iko mu Njia Acsenti kua mafundisho mema Kasi njema Muko bazuri na Roho Nyeupe SHALOM
Jesus Jesus Jesus Jesus Christ Mesiyah The Holy Ones Of ISRAEL The Great King HOSANNA IN THÉ HIGHEST SON OF THE LIVING GOD 💕❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰❤️❤️
Mimi nimeamua kumfuwata yesu siku zote maishani sintamwacha . Maana yeye yesu kwa upendo wake alinitafuta mimi kwanza Kisha akaniita kwa huruma yake kuu niziache dhambi dhambi ni mauti. Mbarikiwe sana
wimbo mzuri sana KAKA Ruben mubarikiwe sana nawakumbuka sana wote salamu zake mama rebecka niko hapa muscat nabarikiwa sana na nyimbo Zenu by ESTHER Yohana Suka from Tanzania mwanza buzurung
mannyama eliud wa bunda mungu awa baliki sana kwa kazi yake maana hata mnavyo nesa inaoneshakuwa mnamweshimu mungu wa mbinguni atupaye kushinda ya ulimwengu amen
Nimebarikiwa sana na nyimbo zenu. Tokea Tunda la Roho toleo lenu la kwanza kwa kweli MUNGU amewatumia vizuri kutufikishia ujumbe husika. Mbarikiwe sana Nimefurahi sana kuwaona wapendwa waliokuwa kwenye lile toleo la kwanza (yaani yule kaka anayeanzisha wimbo wa "Tunda la Roho" anakuwa anacheza kabla ya wimbo kuanza na pia yule mama 'mama mkubwa lakini sauti ya kitoto(sauti ya kwanza) kwa kweli nimefurahi sana kuwaona tena katika hili toleo la pili.....mbarikiwe sana. Mimi ninahitaji VCD zote mbili, toleo la kwanza - Tunda la Roho and pia hili toleo la pile "Nimeamua", tafadhali nijulisheni nitakavyozipata hizi video mbili. Nitakuja Mwanza mwez machi katikati ila napatikana kwa no 0753279272. Mbarikiwe sana na tutaendelea kuwaombea, hakikisheni wanakwaya wanabaki na wanongezeka wengine
Vinywa vyenu vinamtukuza Yesu, Ila miili yenu inamtukuza shetani! Mawigi hayo, hereni hizo, mikorogo hiyo, mikufu, bsngili hizo nk Wazitokani na Yesu! Bali zinatokana na shetani! Hakuna mbingu ya watu wanavitumia hitu hivyo. Msipoachana navyo siku ile mtajikuta taabu yenu ilikuwa ni bure duniani!
Na mawigi, mikufu, bangili, hereni, mikorogo, rangi za midomo, kucha nk Hizi si mali ya Bwana, ni mali ya shetani. Kwa sasa waweza usielewe, ila utakuja kuelewa kule mwishoni!
Katika kitiba au mashariti mliapewa na mwanzilishi wa kanisa hili katika kitabu cha ikumeni, nilile la kutocheza danzi makanisani, je, ninyi mnaoimba nyimbo hizi za upuuzi, mnatoa wapi andiko la kucheza?.
Ndugu , Sisi hatuko chini ya hizo Sheria zenu ,,,Sisi tunaongozwa na Roho wa Kristo anaetuweka ndani ya neema . Wewe unayeishi Kwajili ya Sheria tunakuomba usiwasumbue watu wa Kristo ....Hizo Sheria ziwaongoze ninyi mnaoufuata mwili.
karibu
Uimbaji wa kutulia mpaka msikilizaji anasisimuka mbarikiwe wapendwa kwa wimbo mzuri
Mubalikiwe Sana mungu azidi kuwalinda
Hallelujah ba toto ya Baba Tua mpenda Yesu Jemadari wetu TU mufate na Roho Moja ata mu mauti ata TU na Towa Jacho ya Damu TU Vumilie TU Mokonzi Wetu Iko mu Njia Acsenti kua mafundisho mema Kasi njema Muko bazuri na Roho Nyeupe SHALOM
Mbarikiwe watumishi wa mungu
N Mimi nimeamua kufuata Yesu
Mubarikiwe sana jamn mung awabarik kwa utume wenu wote
Nawapenda jaman nyie waimbaji
Jamani wimbo mzuri huo!
Uliuaga Hii Album Mixing kama Ya Leo asubuhi imechambuka Vyema
Amina
Mhola ye Sebha.
Wooo sollo wa kiume umebamba BG up
Shalom Shalom Shalom thanks ❤
Hii nyimbo naipenda san
Amen ❤
Jesus Jesus Jesus Jesus Christ Mesiyah The Holy Ones Of ISRAEL The Great King HOSANNA IN THÉ HIGHEST SON OF THE LIVING GOD 💕❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰❤️❤️
Barikiwa
Good, may God bless you
Barikiweni watumishi, kazi zuri kweli.
Mbarikiwa Sana watumishi wa Mungu
Jamani,jamani wimbo mtamu huo!!!
Ruben nimekuona kazi yenu njema
mbalikiww sana kwaujumbe
naupenda sana huu wimbo mbarikiwe waimbaji
Nani akubaliana nami kwamba i can never get enough of this sing since its release. Mbarikiwe sana
Mimi nimeamua kumfuwata yesu siku zote maishani sintamwacha . Maana yeye yesu kwa upendo wake alinitafuta mimi kwanza Kisha akaniita kwa huruma yake kuu niziache dhambi dhambi ni mauti. Mbarikiwe sana
Kila mara unani bariki mutumishi uniombee sana mutumishi niko na pitia kipindi kigumu sana niko katika inji ya Congo butembo
Well is good songs mungu awabrki sana sana
Asante
Mbarikiwe sana aic buzuruga kwa kazi nzuri ya utumishi wenu naham sana ya kujiunga na nyie
Karibu
nimeipenda hiyo mbarikiwe sana
Barikiwa pia nawe tuma share kwa wengine pia
Amen
Yesu Ni mwokozi. Amina
nimebarikiwa kwa wimbo mzuri
Jenipher Ubarikiwa mpendwa, Karibu Sana Buzuruga.
Mungu awabariki wimbo huu hunibariki sana
Mungu awazidishie neema yako
Mbarikiwe kwa wimbo mzur sana ndugu zangu
jamani Mungu awabariki sana
Mungu awainue kwa viwango vingine, nawapenda
Zabron singles
wimbo mzuri sana KAKA Ruben mubarikiwe sana nawakumbuka sana wote salamu zake mama rebecka niko hapa muscat nabarikiwa sana na nyimbo Zenu by ESTHER Yohana Suka from Tanzania mwanza buzurung
I've dearly liked your dressing core.Karibuni Kenya
Tutakuja Kenya
Hello mko juu M ubarikiwe sanaaaaaaaa
mbarikiwe watumishi we Mungu
Wimbo mzuri hakika nimeamua kumfuata yesu..naomben
Tukutumie Dvd?
nimeipenda
Nikiwa mbeya......,Hongera sana....
mbarikiwe wapendwa nimebarikiwa NA wimbo wenu mpya.
AICT buzuruga mbalikiwe kwa kaz yenu nzur nawapendaa xanaaaa
Nyc song nyc message
nice song mubarikiwe
E bhana mmeua sana..Mungu awabariki sana sana..mimi mdau wenu mkubwa nimebarikiwa sana
barikiweni sana watumish wa mungu nawapenda mnooooooooooooooooooooooo
🙏
Mmeimba vizuri sana watumishi Mungu awabariki sana na awawezeshe kukiishi mnachokiimba, By Eric Msole Nkinga
Safi sana aic buzuruga mpya... Mungu awabariki zaidi na zaidi
Aksante Vedastus Mungu akubariki.
mungu azidi kuwainua
Amina wimbo mzuri sanaaa nimebarikiwa na huu ujumbe
Mungu awabariki sana🙏🙏🙏🙏
I always like ur song God bless u
Mpo vizur watumishi, wimbo huu unanibariki sanaaaaa!!!!!!kumtumikia Bwana ni furaha na amani tele.
Daniel Masanja ... Amina Mungu Akubariki
Daniel Masanja
Mbarikiwe 👏👏👏
This song blesses my heart.
nawapenda sana aic buzuruga hamkoseagi mungu awabariki sana miaka 100
this song stimulates me when I look it
hongeren sana kwa kaz yenu nzuri.
Nmebarikiwa sana na wimbo huu
mussa philemon ... Amina
Amani kwao waimbaji hawa
hongeren kwa kazi nzur Mungu awabariki sana
mannyama eliud wa bunda mungu awa baliki sana kwa kazi yake maana hata mnavyo nesa inaoneshakuwa mnamweshimu mungu wa mbinguni atupaye kushinda ya ulimwengu amen
AM BLESSED SO MUCH,MAY GOD REWARD YOU FOR THE GOOD WORK.
mbalikiwe watumishi wa mung, bwana mungu hatawaacha kamwe jinsi mlivyo
Mbalikiwe kwauimbaji mzur
Nimebarikiwa sana na nyimbo zenu. Tokea Tunda la Roho toleo lenu la kwanza kwa kweli MUNGU amewatumia vizuri kutufikishia ujumbe husika. Mbarikiwe sana
Nimefurahi sana kuwaona wapendwa waliokuwa kwenye lile toleo la kwanza (yaani yule kaka anayeanzisha wimbo wa "Tunda la Roho" anakuwa anacheza kabla ya wimbo kuanza na pia yule mama 'mama mkubwa lakini sauti ya kitoto(sauti ya kwanza) kwa kweli nimefurahi sana kuwaona tena katika hili toleo la pili.....mbarikiwe sana.
Mimi ninahitaji VCD zote mbili, toleo la kwanza - Tunda la Roho and pia hili toleo la pile "Nimeamua", tafadhali nijulisheni nitakavyozipata hizi video mbili. Nitakuja Mwanza mwez machi katikati ila napatikana kwa no 0753279272.
Mbarikiwe sana na tutaendelea kuwaombea, hakikisheni wanakwaya wanabaki na wanongezeka wengine
Jonathan,Amina karibu sana Buzuruga Choir.
Kwa kweli kaz yenu ni njema nyenyekeeni muinuliwe zaid
Kwana ye hitaji kazi hii yote piga simu tutakutumia popote ulipo 0754272337
MBARIKIWE KWA KAZI NZURI YA MUNGU
nabarikiwa sana na nyimbo zenu nipo hapa Oman muscat
Wimbo hu unanibariki sana nakunihudumia Sana uyo Sollo anaesema nikweli Yuko vizuri sanaa nabarikiwa Mungu andelee kuwainua viwango vingine
Nicholous Tarimo ...Amina mtumishi
Nicholous Tarimo o
Kww ujumla mpangilio ni mzuri
nice song
AIC Buzuruga Choir, Tanzania asanteni kwa kazi zenu nzuri za nyimbo za Kiroho.
mungu awe pamoja katika kazi nzuri ambayo mnaendelea kufanya God bless us
it will be the way to communicate with the God but I what tell you my friend pray the all the time oky
Nice song
Mmependeza utukufu apewe Bwana Yesu amina!
Lameck Silinu0762197519 barikiwa
Bwana azidi kuwainua watumishi wa Mungu
Mungu awabariki sn
Mungu yupo na atakuwepo milele na milele amina
awali yote ni mpongeze mchukua Video amewapanga Vizuri. Na la pili ujumbe upo Vizuri.
THIS IS BEST WAPENDWA I LIKE IT, KEEP UP AND OUR LIVING DOG SHALL LEAD YOU WELL IN HIS HOLINESS
Peter Mwanzia not our living Dog but our living GOD
Mbarikiwe cn watumishi wa mungu tena mmependeza kweli sale zenu 👌👌👌👌
Ushirikiano udumu kwenu,Kazi n'zur ya kumtukuza YESU aliyeshinda dhambi na mauti.
Mbalikiwe sana
hongeren xn watumish kwa video kaaali by trude
Andante enor Mayra.
Wimbo Mpya Mzuri sana Barkiweni Wote
Nice
What a nice song! Be blessed singers
Vinywa vyenu vinamtukuza Yesu, Ila miili yenu inamtukuza shetani!
Mawigi hayo, hereni hizo, mikorogo hiyo, mikufu, bsngili hizo nk
Wazitokani na Yesu! Bali zinatokana na shetani!
Hakuna mbingu ya watu wanavitumia hitu hivyo. Msipoachana navyo siku ile mtajikuta taabu yenu ilikuwa ni bure duniani!
Hujaokoka
Fedha na dhahabu ni mali ya Bwanaaaa acha tuvaee
Na mawigi, mikufu, bangili, hereni, mikorogo, rangi za midomo, kucha nk
Hizi si mali ya Bwana, ni mali ya shetani. Kwa sasa waweza usielewe, ila utakuja kuelewa kule mwishoni!
Ubarkiwe sana
Safi sana kazi nzur
Nimebarikiwa sana na song hili. Mungu awabariki waimbaji wote.
Nice song
Nice
Very nice!
Ujumbe mzuri Mungu awabariki
Kwel
Amen 🙏
mungu awabariki
naweza pata wapi mkada huu hapa nchini kenya?
aliye post hizi nyimbo aweke zote tafadhar
hizi nyimbo naweza pata copy wapi niko nairobi kenya
Eliona kimaro
wimbo mzuri watumishi mbarikiwe sana. je nitapataje hiyo CD?
Aksante mpendwa kwa maoni yako mazuri, kama unahitaji Cd tuwasiliane kwa namba yangu.
AIC (African Inland Church) Buzuruga Choir, Buzuruga ward in Mwanza town, Tanzania www.aictanzania.org/mwanzadiocese www.aicbuzurugachoir.com/ & facebook.com/tunda.laroho
Sam Msilanga
MKO VIZURI
Katika kitiba au mashariti mliapewa na mwanzilishi wa kanisa hili katika kitabu cha ikumeni, nilile la kutocheza danzi makanisani, je, ninyi mnaoimba nyimbo hizi za upuuzi, mnatoa wapi andiko la kucheza?.
Ndugu , Sisi hatuko chini ya hizo Sheria zenu ,,,Sisi tunaongozwa na Roho wa Kristo anaetuweka ndani ya neema .
Wewe unayeishi Kwajili ya Sheria tunakuomba usiwasumbue watu wa Kristo ....Hizo Sheria ziwaongoze ninyi mnaoufuata mwili.
Jamani wimbo mzuri huo!
Safi sana, mbarikiwe watumishi wa Bwana
Amen,
mbarikiwe watumishi we Mungu
Nice song