KITOTO CHA MBINGU_ST. JOHN PAUL II MBEYA CHOIR - JMC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 451

  • @patrickotim6121
    @patrickotim6121 4 роки тому +12

    Asanteni sana tena sana kwa nyimbo zenu/yenu ambao ni nzuri sana kuangalia na kusikiliza kabisa. Mungu Baba mwokozi wetu hawabariki ninyi wote na kuendelea kuimba. Hasa hasa mwaka huu elfu mbili isirini na mmoja. Sasa tuendelee mbele.

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 Рік тому +2

    Kwaya za Romani katoriki ni utukufu tosha hakika ii nyimbo kwangu ndio nyimbo bora ya kila Krismasi ya uhai wangu🙏🙏

  • @gedariamandele5334
    @gedariamandele5334 3 роки тому +3

    Navutia na huu wimbo because it is very prettfully song and joyous

  • @MarryAlphonse
    @MarryAlphonse 6 місяців тому +1

    Jamani naipenda hii nyimbo sana katika maisha nilipitia jamani nifaraja kwangu hii nyimbo❤❤

  • @fredrickmtei9140
    @fredrickmtei9140 2 роки тому +7

    I proud to be a Catholic blessing

  • @marysemufali7011
    @marysemufali7011 7 років тому +6

    Among the best Tanzania Choirs.Tuendelee kumuimbia Mungu kwa nguvu na sauti zetu Mungu awabariki sana wana wa mlipuko wa sifa na kazi nzuri @RAJO PRODUCTIONS.

  • @ceedanstan6780
    @ceedanstan6780 8 днів тому +1

    Ameeen sinziaaaa kitoto cha mbinguni lalaaa mwana wa Mungu

  • @georgengaruiya8503
    @georgengaruiya8503 Рік тому +2

    Kitoto cha mbingu Yesu Kristu uwe nasi. Asante choir Kwa huu wimbo..mtamu kweli

  • @frugencemassingo914
    @frugencemassingo914 3 роки тому +4

    Hongereni kwa kazi hii,,, naomba mmweke na nyimbo ngine za albamu hii ya KITOTO CHA MBINGU.

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 4 роки тому +1

    Lala kitoto cha mbingu ongereni sana watumishi wa Bwana kwa maneno ayo yenye kipindi chetu cha krismas Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina

  • @jescakaitesi8025
    @jescakaitesi8025 8 років тому +3

    Mmeimba vizuri Sana kwa hisia na wimbo kweli unaonekana kutoka mioyoni mwenu nawapenda Sana na Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki kwa kazi yenu nzuri tuimbe sote na kuitangaza Imani yetu na tuone ufahari wa sisi kuwa wakatoriki I miss you my country Tanzania

  • @bendettamutisya5628
    @bendettamutisya5628 Рік тому +8

    This was our December set piece at katangi parish,,the song was 👍🥰,,, Tanzania choirs are awesome 🥰I love their songs,,,

  • @wencegeorge9872
    @wencegeorge9872 5 років тому +4

    Safi sana Baraka kwenu na wote wanaosikiliza wimbo huu.

  • @yosephandumbaro1425
    @yosephandumbaro1425 2 місяці тому +1

    Ila huu wimbo unaishi ndani yangu

  • @fidercastor1690
    @fidercastor1690 5 років тому +3

    Nyimbo safi kabisa hadi raha najivunia kua mkatoriki halali

  • @isayamwalongo3143
    @isayamwalongo3143 8 років тому +3

    Anaye imba vizuri anasali Mara mbili hakikamnasali marambili mbarikiwe sana.

  • @ikongojeremia4740
    @ikongojeremia4740 11 місяців тому +1

    Tumsifu yesu Kristi nimebarikiwa saana na ujumbe wa nyimbo nzuri saana siku ya ngu hakika nasherekea nikiwa na amani mbarikiwa saana

  • @alphoncemeru2239
    @alphoncemeru2239 7 років тому +3

    Mnanibariki sana kwa nyimbo zenu. Mungu azidi kuwatia nguvu na akili zaidi, mzidi kuinjilisha kwa nyimbo.

  • @namonojosephine7609
    @namonojosephine7609 11 місяців тому +2

    Congratulations, May u continue evangelising the gospel through yo beautiful voices,from 🇺🇬

  • @ngilemuiakui47
    @ngilemuiakui47 2 роки тому +4

    Aki i personal am very glad to watch this videos thank you am very happy thank may the grace of God bless people of Tanzania Amen.

  • @ignasbyabato1097
    @ignasbyabato1097 4 роки тому +6

    Its time again
    Favorite song kwa kila kipindi cha Noel

    • @homeangeles3632
      @homeangeles3632 4 роки тому

      ua-cam.com/channels/OL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg.html

  • @patrickmukambilwa584
    @patrickmukambilwa584 6 років тому +6

    Lalakitoto chambingu sinzia kitoto chambingu tumepata neema kupitia kwako tumekombolewa tukapata wokovu asanteni kwanyimbo iyi yenye kujenga amina

  • @mokabwaibrahim9890
    @mokabwaibrahim9890 2 роки тому +1

    Hongera Sana kwa wimbo huu juu umenifanya nijisikie kitoto kimezaliwa moyoni mwangu

  • @deusjohn2823
    @deusjohn2823 5 років тому +4

    Hakika mungu awape uzima na neema ili uinjilishaji usonge mbele daima

  • @mgrethkanyonga6155
    @mgrethkanyonga6155 7 років тому +51

    jamani katoriki tupo vizuri wimbo huu ni utukufu mkuu ,nafurahi saana mmeimba vizuri saana.Endeleeni hivyo.Amina.

    • @fidelisitarimo6014
      @fidelisitarimo6014 6 років тому

      Mgreth Kanyonga nawapenda sana mwalimu mbogoye tumekumis vjana wako WA salasala

    • @gaspermassawe2988
      @gaspermassawe2988 6 років тому

      Mungu awabariki sana mpo vizuri sana

    • @revocatusrubaba4416
      @revocatusrubaba4416 5 років тому

      Fidelis tarimo pole njoo kigoma kajaa tele anashusha tu Mawe mpaka raha

    • @yassinjuma7433
      @yassinjuma7433 5 років тому

      Harmonize

    • @gilberthmlimbo8387
      @gilberthmlimbo8387 5 років тому

      Hongeleni sana wanakwaya na mngu azidi kuwabariki

  • @shijalugiko4053
    @shijalugiko4053 4 роки тому +5

    Kila Mara napenda kuusikiliza wimbo huu mtamu nakuutaza pia. Grory to god.

    • @homeangeles3632
      @homeangeles3632 4 роки тому

      ua-cam.com/channels/OL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg.html

  • @upatanishomafulikoyatoba6627
    @upatanishomafulikoyatoba6627 7 років тому +2

    Jamani Hii Kwaya Imeimba Vizuri Sana. Mubarikiwe Sana.Mbeya Mmebarikiwa Kwa Vipaji,Muendelee hivyo hivyo kumuimbia Mungu.

  • @zakayogingwagwi2667
    @zakayogingwagwi2667 7 років тому +5

    Namwona na madam wangu hapo ckujua kumbe anapenda kuimba very nice I like it

  • @kennethsanga1810
    @kennethsanga1810 11 місяців тому +1

    Wimbo haujawahi nikinai Mungu awabariki, natan siku moja nije nishirik nanyi kuimba, from jimbo kuu njombe nawapenda sana

  • @anethaudax4591
    @anethaudax4591 8 років тому +8

    Wimbo mzuri sana!!!! unabariki!!!! mungu awabariki

  • @prisusmichael2049
    @prisusmichael2049 2 роки тому +5

    Every Christmas must listen this song

  • @gerald9543
    @gerald9543 11 місяців тому +1

    Ahsante mtunzi wa wimbo huu mzuri, ahsanteni pia wanakwaya mmeutendea haki huu wimbo

  • @catheSamola-fd6uy
    @catheSamola-fd6uy Рік тому +1

    Hakika naupenda sana huu wimbo nilikuwa napenda kumuimbia mwanangu hatimae akalala moja kwa moja😭

  • @emmakulatakisanga1951
    @emmakulatakisanga1951 2 роки тому +1

    Mmebarikiwa sana,, sauti safi,,

  • @AplonaryLenga
    @AplonaryLenga 11 місяців тому +1

    Mko vizuri san wanakwaya mmeimba vizr

  • @chrissfaith4693
    @chrissfaith4693 3 роки тому +2

    ipo vzr saana hiii nyimbo naikubali saana

  • @neemasamwel7513
    @neemasamwel7513 4 роки тому +2

    Amina Sana mbarikiwe nabarikiwa Sana na nyimbo za kikatoriki.

  • @AnnahMlwilo
    @AnnahMlwilo Рік тому +1

    So nice nimeipenda na ninaioeenda mung awabarki San Kwa kuwa na saut za kumsif

  • @zenobiasangawe7090
    @zenobiasangawe7090 Рік тому +1

    Hongereni sana wakatoliki kwa kumshangilia mwokozi wetu

  • @ceedanstan6780
    @ceedanstan6780 8 днів тому

    Krismasi yangu imeanzia hapa❤❤2024

  • @gracesereyah7479
    @gracesereyah7479 2 роки тому +7

    My mum introduced me to this song and i must admit im addicted 💕its such a beautiful piece glory to God 🙌🙌🙌

  • @florencemapema7355
    @florencemapema7355 8 років тому +2

    Hongereni kwa kutangaza ufalme wa mungu wimbo mzuri sana

  • @gustavemwana267
    @gustavemwana267 3 роки тому +2

    Un très bon chant pour méditer Noël.felicitation a la chorale

  • @roxy6688
    @roxy6688 4 роки тому +2

    Nabarikiwa sana na nyimbo hizi

  • @kastulishawish3136
    @kastulishawish3136 5 років тому +5

    25 Dec 2019 hakika mfalme wa ulimwengu kazaliwa Mungu pamoja nasi lala kitoto Cha mbingu

  • @dieudonnebaguma1384
    @dieudonnebaguma1384 5 років тому +13

    nafurahi saaana na wimbo huu. Mimi ngelipenda kupata NOTI yake. Mimi ni mkongomani, mwalimu wa nyimbo

    • @catholic-n9b
      @catholic-n9b 5 років тому +1

      dieudonne baguma Mimi pia ni mkongomani sud kivu nilikuwa mwimbaji bukavu muda wa myaka mingi sana kwa iyo napenda kuimba saaana mimi Kwa sasa niko America lakini nachunga muda kidogo tu nianze kuimba kwenye parokya yangu ya Sainta Merry. Mungu akubariki na kubarikiya kwaya hiyi ✌️.

    • @homeangeles3632
      @homeangeles3632 4 роки тому

      ua-cam.com/channels/OL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg.html

    • @pharm.kayombo
      @pharm.kayombo Рік тому

      Unaupata swahilimusicnotes

    • @maxwellmax3939
      @maxwellmax3939 11 місяців тому

      Zipo kaka

    • @agathamwanga7567
      @agathamwanga7567 11 місяців тому

      ​@@catholic-n9bTreeirywoueyueeriywuuioiyuuyyiwirytueoyerrieetyuuyryryywet

  • @christinenyaga5140
    @christinenyaga5140 Рік тому +4

    Sweet voices like angels in heaven, hongereni

  • @abinanyanchama9561
    @abinanyanchama9561 5 років тому +8

    Kila mara usikiza nyimbo zenu I feel touched. Your songs are a blessing to me... I love listening so much🙏🙏

    • @homeangeles3632
      @homeangeles3632 4 роки тому

      ua-cam.com/channels/OL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg.html

  • @pilipilishauri8951
    @pilipilishauri8951 7 років тому +2

    Tumsifu Yesu Kristo.....,utukufu wake Mungu

  • @emmanuelkre949
    @emmanuelkre949 3 роки тому +3

    Très belle chanson. Je suis de la Côte d'Ivoire

  • @imaculatadominic7005
    @imaculatadominic7005 5 років тому +2

    kuimba ni kusifu mara mbili hongeren sana kwa uimbaji bora

  • @kandwegbp680
    @kandwegbp680 4 роки тому +1

    Mungu ni mwema azidi kutulinda na kututunza. Amina!

  • @josephatjonya6905
    @josephatjonya6905 6 років тому +1

    Mungu awapiganie sana na heri ya mwaka Mpya pia

  • @elizabethjoshuaofficial8871
    @elizabethjoshuaofficial8871 6 років тому +2

    Huu wimbo hunibariki sana.Mungu awazidishie neema zake.nawapenda kwa sana

  • @sophiemwendah1107
    @sophiemwendah1107 5 років тому +3

    Najivunia kuwa mkatoliki.....hongereni wanakwaya wimbo mzuriiiii

    • @homeangeles3632
      @homeangeles3632 4 роки тому

      ua-cam.com/channels/OL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg.html

  • @paschaldamian4597
    @paschaldamian4597 4 роки тому +1

    Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu

    • @homeangeles3632
      @homeangeles3632 4 роки тому

      ua-cam.com/channels/OL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg.html

  • @josephmuhangwa6330
    @josephmuhangwa6330 6 років тому +4

    hongeren saana wapendwa ktk kristo kuitangaza injili

  • @DottoMussa-fx8pn
    @DottoMussa-fx8pn 11 місяців тому +1

    🎉🎉 am feeling blessed to my world of God

  • @sammykangoria6870
    @sammykangoria6870 6 років тому +8

    what a beautiful song for baby Jesus. Being blessed from kenya

  • @olvaryfelisiani5139
    @olvaryfelisiani5139 4 роки тому +2

    Nabalikiwa sana na wimbo huu

    • @homeangeles3632
      @homeangeles3632 4 роки тому

      ua-cam.com/channels/OL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg.html

  • @enericapetermmejitahidihon9992
    @enericapetermmejitahidihon9992 8 років тому +1

    lala mwana wamungu malaika wa mbingu watakuja kukusujudia hongeleni kwa kuinjilisha kwa njia ya uimbaji

  • @benny4345
    @benny4345 8 років тому +18

    Wow! Wimbo mzuri sana! Hongereni mitume wa Mungu! Aimbaye husali mara dufu! Wow!!!

  • @michaelwambua6038
    @michaelwambua6038 5 років тому +7

    Heko kwa huo wimbo mtamu kweli.

    • @homeangeles3632
      @homeangeles3632 4 роки тому

      ua-cam.com/channels/OL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg.html

  • @maryhendry6824
    @maryhendry6824 4 роки тому +8

    This song is so wonderfully, whenever i feel like listening to choir this song is one of my favorite.

  • @kevinkiptarus2395
    @kevinkiptarus2395 Рік тому +2

    This song made my Christmas eve

  • @laurenebenedictor6131
    @laurenebenedictor6131 8 років тому +14

    hongereni wana antony wa padua very nice nawapenda sana kwapendeza kumwimbia mungu mim mwenyewe mwanakwaya sauti ya 4 hao wenzangu wananivutia kweli natamani ningekuwa huko pia wimbo huu sauti ya kwanza na ya pili mmeuwa sana

    • @josephseryakotombe675
      @josephseryakotombe675 7 років тому

      www.nation.co.ke/oped/Opinion/Reaction-to-Kenyans--deaths-in-South-Sudan-puzzling/440808-3898662-view-asAMP-88s3hk/index.htmlwww.nation.co.ke/oped/Opinion/Reaction-to-Kenyans--deaths-in-South-Sudan-puzzling/440808-3898662-view-asAMP-88s3hk/index.htmlwww.breitbart.com/national-security/2017/04/21/mcdonnell-looking-real-bastards-south-sudan/amobile.newsnow.co.uk/h/World+News/Africa/South+Sudanmobile.newsnow.co.uk/h/World+News/Africa/Soutmobile.newsnow.co.uk/h/World+News/Africa/South+Sudanh+Sudanmp/

    • @jacquesmaombi7134
      @jacquesmaombi7134 6 років тому

      Hata nami wamenijenga saaaaaaaanaaaaa hawa. Mungu azidi kuwabariki milele yote

    • @josephkanyi2312
      @josephkanyi2312 6 років тому

      Kudos guys

    • @patelkanyiba8765
      @patelkanyiba8765 6 років тому

      Mungu azidi kuwamiminia neema zake

    • @josephkanyi2312
      @josephkanyi2312 6 років тому

      @@patelkanyiba8765 Am in love with this song

  • @embatidennis6107
    @embatidennis6107 6 років тому +2

    may be some of you need to come to our country Uganda on Arranged coz of the best angelic voices you have

    • @benjaminmasala7638
      @benjaminmasala7638 6 років тому

      Your welcome in Tanzania especially Mbeya

    • @embatidennis6107
      @embatidennis6107 6 років тому

      @@benjaminmasala7638 oh thats great am a Franciscan brother missionary living in Kenya but soon our Community in Tanzania will be openned when it is complete and Mbeya will be my 1st priority to reach my dear greetings inbox me for more chats on dennisleeembati@gmail.com "Deus Meus et Omnia", St Francis of Assis.

    • @embatidennis6107
      @embatidennis6107 6 років тому

      @@benjaminmasala7638 thanks your watsapp number please my Brother

    • @bonifacekelly1429
      @bonifacekelly1429 2 роки тому

      🙏🙏

    • @hubertmrema8878
      @hubertmrema8878 10 місяців тому

      ​@bep😊njaminmasala7638

  • @simonpetro198
    @simonpetro198 3 роки тому

    Nimebariiwa Sana na wimbo huu hakika wanajohn Paul 2mnatikisa dunia

  • @marthacalist6510
    @marthacalist6510 4 роки тому +2

    Hongera Sana mmbarikiwe

  • @paulchapewa4997
    @paulchapewa4997 5 років тому +1

    Mko vizuri wanakwaya wenzangu mungu awatangurie

  • @audaxbizimana9391
    @audaxbizimana9391 7 років тому +1

    Wimbo wenye tafakari nzuri nawaombea BARAKA za mungu ziwe juu yenu

  • @russiathomas9270
    @russiathomas9270 6 років тому +1

    Nafulahi sana kusikia wimbo mzuli Mungu awabaliki

  • @zakayogingwagwi2667
    @zakayogingwagwi2667 7 років тому +3

    Jamani nmependa uimbaji wenu ckuwa na hela tu ningenunua CD yenu kanisani Leo mungu azidi kuwabariki

  • @robertmahayu4695
    @robertmahayu4695 7 років тому +2

    kwakweli hongereni kwa utume wenu mzuri mungu azidi kuwabark.

  • @kanisiusmarko7852
    @kanisiusmarko7852 7 років тому +4

    Wimbo huu nilikua namwimbia mwanangu akiwa analia basi hunyamaza tuliiii. Hongereni sana wanaJMC

    • @homeangeles3632
      @homeangeles3632 4 роки тому

      ua-cam.com/channels/OL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg.html

  • @carolinemurungi3479
    @carolinemurungi3479 2 роки тому +4

    I can't get enough of this, be blessed

  • @michaelkauzen8004
    @michaelkauzen8004 6 років тому +12

    Najisikia AAMANI sana kuwa ROMAN CATHOLIC,,,,,,,, AMANI SANA KWETU RC

  • @deorasiasalvatory419
    @deorasiasalvatory419 5 років тому +2

    Hongeren Sana jaman mmeimba vzr Sana ...... love you Yuda Thadei mbeya

  • @benjaminmasala7638
    @benjaminmasala7638 7 років тому +2

    Christmas imekaribia jipatie nakala yako ya CD ya kitoto cha mbingu iliyosheheni nyimbo nyingi nzuri za kumsifu Mungu kama Kitoto cha Mbingu Huu ni Usiku Bwana kaja Gloria na Alelluya Mtukufu na nyinginezo

  • @estherstephen299
    @estherstephen299 7 років тому +3

    asanteni sana....wapendwa one day nikifika mbeya ntawatembelea nimebarikiwa sana tu
    nimevitiwa na uimbaji na sauti nzuri.

  • @stephenjuma7846
    @stephenjuma7846 7 років тому +2

    Wimbo hauishi hamu kusikiliza kwakweli! B blessd wapendwa

  • @faustinemlebya8451
    @faustinemlebya8451 6 років тому +5

    Kila kitu kili match. Utunzi, waimbaji, studio ya audio, studio ya video, sare, locations, staili na kadhalika.

  • @stevenilkiswahlpleasedomin5287
    @stevenilkiswahlpleasedomin5287 8 років тому +2

    hongeren sana nawapenda mungu awabark caroline joab mosh

  • @eliwazamsengi4122
    @eliwazamsengi4122 4 роки тому +2

    Mko sawa kwa injili

  • @damariskariuki5383
    @damariskariuki5383 4 роки тому +6

    I can't get enough of this song.my favourite.

    • @homeangeles3632
      @homeangeles3632 4 роки тому

      ua-cam.com/channels/OL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg.html

  • @kcubukoba1982
    @kcubukoba1982 7 років тому +12

    Numewapenda sanaaaaana, sipendi hata kidogo mambo ya kuruka ruka na kukimbiza nyimbo mpaka unakosa hamu ya kutizama au kusikiliza. Hongereni sana vitendo vinaendena na maneno mnayoyaimba. Natamani kwaya zote zenye tabia ya kkuruka ruka na kuiga mambo ya kwaya za kipentekoste wangeiga mfano kwenu. Kamatilia hapo hapo msije kuharibu. Sichoki kuangalia nyimbo zenu hasa huu wimbo.

  • @jovithatibatekeleza6598
    @jovithatibatekeleza6598 2 роки тому +2

    How wonderful is that song!!!!!

  • @samuelwambua3946
    @samuelwambua3946 4 роки тому +4

    Listening from Nairobi-kenya

    • @homeangeles3632
      @homeangeles3632 4 роки тому

      ua-cam.com/channels/OL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg.html

  • @alexshauri4899
    @alexshauri4899 4 роки тому +1

    Inabariki kiukweli
    Mungu awainue zaidi

  • @selinamjwanga3755
    @selinamjwanga3755 6 років тому +2

    Mungu wape uzima kwaya hii wazid kukutukuza,wimbo mzur sana

    • @williamjonh8114
      @williamjonh8114 5 років тому

      Shangwe sana wimbo huu jamani sifa ni kwa Mungu Wangu alive hai.

  • @leahkagoso7577
    @leahkagoso7577 7 років тому +1

    sauti kama malaika mbarikiwe sana. lalakitoto cha mbinguni

  • @evodiusjackson5151
    @evodiusjackson5151 4 роки тому +3

    Didn't know the song before but for this Christmas's season it has been my best song.

    • @homeangeles3632
      @homeangeles3632 4 роки тому

      ua-cam.com/channels/OL4Cd5mBr6TiVe3rxAAkEg.html

  • @alphoncekitheke
    @alphoncekitheke 6 років тому +11

    You guys are making me feel like being a missionary in tz. I treasure your songs.

  • @polycarphilary2374
    @polycarphilary2374 8 років тому +2

    hongereni mungu awa tie nguvuu

  • @frankluyago5989
    @frankluyago5989 6 років тому +1

    hongereni xana rafiki zangu wa damu JMC nawapenda mbaka bas

  • @matete92
    @matete92 5 років тому +4

    what a nice song for Christmas. good job mtunzi

  • @zuhurajohn8933
    @zuhurajohn8933 Рік тому

    Wimbo mzuri Sana mungu awabariki Sana na hongeleni sana

  • @pascalfransisco1091
    @pascalfransisco1091 5 років тому +2

    Kwakwel nyimbo ni nzur xan nimezipenda

  • @peterezavoliahona7851
    @peterezavoliahona7851 5 років тому +3

    Every time I wonna feel better I listen to you .. every time I feel down I tune in ..ur dress code very holy

  • @pamelalongiro1129
    @pamelalongiro1129 Рік тому +1

    This song was sang in our church.Nice one.God bless all