KAMANDA MUROTO ALIVYOMNASA JAMAA ALIYEKUWA ANASAFIRISHA BANGI KWENDA ARUSHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 128

  • @jumayusuph8471
    @jumayusuph8471 4 роки тому +9

    Kwa dereva na konda hawana makosa kabisaaa kwasababu hawawezi kumkagua abiria alafu hilo swali jibu wew mwenyewe

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 4 роки тому +6

    😁😂Nasikia ,#BABALAOOO kwa mbaali🔥🔥🔥

  • @mashaulirichard
    @mashaulirichard 5 місяців тому +1

    Ihi serikali Kuna baazi ya watumishi Wana mambo ya ovyo sana upelelezi mwaka na zhd leo conda na dereva wanamjuaje mtu ni mwalifu

  • @emmanuelbuganga7325
    @emmanuelbuganga7325 3 роки тому +1

    Njaa Kila mtu anayo, kinachotakiwa, ni kujizuia, ndo maana ata askari mbea wamenaswa.

  • @shodanigduwrduwe4478
    @shodanigduwrduwe4478 4 роки тому

    Kamanda Dodoma kazi yako ni nzuri sana mkuu

  • @ngakamine2000
    @ngakamine2000 4 роки тому +1

    pole mzazi mwenzangu ni mapito tu

  • @adammakoye4198
    @adammakoye4198 4 роки тому +13

    HIYO bangi inatoka mkoa mwingine kwenda ARUSHA Khee MAAJABU kule kuliko na kitu cha ARUSHA mh! Itakuwa kitu cha DOM ni shidaa kuliko cha ARUSHA. This is D .OM CITY ...

    • @emmanuelpaul24
      @emmanuelpaul24 4 роки тому +1

      😀😀😀😀 babu hiki kitu cha Dom itakua ni fireeee

    • @emmanuelpaul24
      @emmanuelpaul24 4 роки тому +2

      Kitu ya malawi hiyoo Man mana jamaa kapandia moro kaja kulala Dom kumekucha kakamata chuma ya chuga

    • @adammakoye4198
      @adammakoye4198 4 роки тому

      Oh kumbe

    • @kmotivation1130
      @kmotivation1130 4 роки тому

      Chakula ariiifu sema haikatai

    • @ismailmajala2802
      @ismailmajala2802 4 роки тому

      😆😆😆😆

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 роки тому +1

    Konda Na Dereva Kosa Lao Hata Silioni Kwani Konda Na Dereva Wamepewa Kazi Ya Kupekua Mizigo Ya Abilia Konda Na Dereva Awana Makosa

  • @ismailissa3996
    @ismailissa3996 6 місяців тому +1

    Muroto ushazeeka ustaafu tena

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 роки тому +3

    Yani Apo Ukiwa Na Kiberti Kwanza Unachoma Apo Apo Mche Mmoja

  • @worldrapamako3960
    @worldrapamako3960 4 роки тому +1

    Afande mnatunyima raha make bangi tamu kinyama naikubari

  • @josephmarigi6374
    @josephmarigi6374 6 місяців тому

    C Wanasemaga Bangi n Nzuri kuliko Mirungi.
    😂😂😂😂😂😂

  • @youngyayoo2805
    @youngyayoo2805 4 роки тому +6

    Hyu kamanda pia ni Kama anatumia

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 4 роки тому +7

    Bila shaka kamanda huyu naye atakuwa anapiga vitu.

  • @nyizitumue2373
    @nyizitumue2373 4 роки тому +2

    Mkovizur askar ila kulaum drv au konda ckwel Hapo c Sawa baba Muroto.

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 4 роки тому

    Chakula arifu njooni marekan machali huku unavuta kwa raha tena kuna pub special ya bangi arifu halafu sigara ndo wangeiondoa ,you are welcom brother and sister in America/califonia0

  • @Papa2thaE
    @Papa2thaE 4 роки тому +4

    Acheni msuba. Kakamateni majambazi kuleee. Halalisha.

  • @roseberryhamoud6542
    @roseberryhamoud6542 4 роки тому +8

    Konda na dereva kosa lao nini?

    • @jerumayamwasomola1065
      @jerumayamwasomola1065 4 роки тому

      Roseberry Hamoud ukitaka kujua kosa lao, basi jenga nyumba halafu pangisha jambazi, halafu akikamatwa uje kusema nilikuwa sijui kama ni jambazi, umekwisha.

  • @dickluckzachariah9144
    @dickluckzachariah9144 4 роки тому

    hongeren sana jeshi la Police hii ndi Tanzania tunayoitamani.
    Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki watu wa Tanzania

  • @victorjidinga9743
    @victorjidinga9743 4 роки тому +1

    Kwa kweli HAPA KAZI TU

  • @travorymwalongo
    @travorymwalongo 6 місяців тому

  • @hongeraxanakwaujasilihuoda3189
    @hongeraxanakwaujasilihuoda3189 4 роки тому +1

    Hongera jeshi letu

  • @willeydavid2108
    @willeydavid2108 4 роки тому +2

    Daah bangi zimesokotwa utam had mzuka unanipanda Ila hizo tunjua mnaenda kugawan nyie wenyew askari

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 4 роки тому +5

    Bangi sio mbaya

  • @kakaaignas3675
    @kakaaignas3675 4 роки тому +1

    Kumjua mtu nishida nakukagua mzigo kwa dereva ni vigumu ushauri wangu mnunue kifaa maalumu kama airport chakupima kwenye gar lkn kwa derva au kondakta nitatzo

  • @ngwebesamabula8391
    @ngwebesamabula8391 4 роки тому +6

    Kama umesikia baba Lao kama mm gonga like

  • @jamesmayala5491
    @jamesmayala5491 3 роки тому

    Nemempenda happy

  • @priscangimba944
    @priscangimba944 4 роки тому

    Pole sana jiran

  • @nafaelirubango2904
    @nafaelirubango2904 4 роки тому +1

    Mnashindwa kukamata majambazi mnasumbua wajasilimia mali sio

  • @kulwamauwa1873
    @kulwamauwa1873 4 роки тому +3

    wakitoka hapo zinauzwa na maasikar mzichome tuone

  • @officialkillylevenson9061
    @officialkillylevenson9061 4 роки тому +1

    Kama umeskia baba lao ya diamond gonga like

  • @fredyfalsafa6862
    @fredyfalsafa6862 3 роки тому

    Kamanda wengi wanasafirisha kwa njia hiyo.. Madereva na makonda wawe makini.

  • @zakariamsilu2333
    @zakariamsilu2333 3 роки тому

    Hatari

  • @nestorymtirackmtirack8770
    @nestorymtirackmtirack8770 4 роки тому

    madereva na makonda Wala si tatzo. hawa niwalipa kodi tuboreshe Bus stand zetu kwakufunga vifaa vya ukaguzi wa mizigo angalau kama viwanja vya ndege, au kuweka asikar wenye mbwa.

  • @vijanafurniture1810
    @vijanafurniture1810 4 роки тому +3

    Wa kwanza hapa

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 4 роки тому

    muislamu safii, nani hahahha, bangi ina harufuu hauwezi jua harufu yake

  • @wazirisukari5178
    @wazirisukari5178 4 роки тому

    Hakuna dereva anaeza kupakia mzigo kama huo uatarishe maisha yake hao hawajui lolote bananeni na mtuhumiwa yeye ndio atasema kuwa dreva konda wanahusika au vipi lacvyo kila abiria alfajiri akaguliwe mizigo yake

  • @zuwenaomar4201
    @zuwenaomar4201 Рік тому +1

    Nyinyi pia mnavuta

  • @zakariamsilu2333
    @zakariamsilu2333 3 роки тому

    Kaka kado Safi Sana maelezo mazuri

  • @kevinmollel7233
    @kevinmollel7233 4 роки тому +7

    Achia mzigo wewe pambana na vitu vya maana

    • @mussaabobakar7537
      @mussaabobakar7537 4 роки тому

      Hahahahahaha

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 4 роки тому

      Kevin molel hata hiyo ni Kazi au na wewe ni mkulima Wa bangi maana najua mmemaliza kuuza viwanja nahisi hiyo ni Kazi yako

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 4 роки тому

    ivi kwanini bangi isihalalishwe kisha polici waongezwe mishahara.bangi ihalalishwe kimatibabu.

  • @kadijakk6384
    @kadijakk6384 4 роки тому +3

    Duh sasa kuweni makini maana kwenye gari watu wanasafirisha vitu vya ajabu kbs tofauti nabangi watu sasahivi wamekuwa waajabu anaweza kusafirisha hata mnyama aliye kufa ili tu akatimize mambo yk polen abiria ongera afande wetu

  • @mikarospius8084
    @mikarospius8084 4 роки тому +3

    Kuanzia Leo Tanzania luhusu bangi tofauti na hapo uchaguzi wa 2020 atupigi kura

  • @harshkirit6780
    @harshkirit6780 4 роки тому

    Viwanda vinakufa kila kukicha, so Tz ya viwanda tuisahau. Kwanini mjomba asiluhusu wananchi walime bangi ikauzwe nje ya nchi.. Bangi ni dawa inatibu maradhi mengi.

  • @BataBatanii
    @BataBatanii 4 роки тому +4

    Ma rass Awa umwii

  • @babusijoseph1434
    @babusijoseph1434 4 роки тому

    safisana mzee

  • @HalikiRasuli-ko9rv
    @HalikiRasuli-ko9rv 5 місяців тому

    Watu wa arusha ndo walikuwa wanapelekewa

  • @nazirnoor4160
    @nazirnoor4160 4 роки тому

    Hongereni

  • @iHeizar
    @iHeizar 4 роки тому +1

    Mzee anaonekana kama anapiga kinywaji kikali ...

  • @hazzleboy6428
    @hazzleboy6428 4 роки тому

    Nasikiaga kuna maaskali wengine nao wanavutaga bangi unaweza ukakuta zimepungua mnakozihifadhi

  • @user-ev8mq2zw4f
    @user-ev8mq2zw4f 6 місяців тому

    chugaa

  • @mashaulirichard
    @mashaulirichard 5 місяців тому

    Ngoma okivima ujuwe imekalibia kupasuka mm napita ²

  • @harunahussein6717
    @harunahussein6717 4 роки тому +1

    Alicholeshewa huyo sio bure

  • @ayshasalim6118
    @ayshasalim6118 4 роки тому +3

    Hahah atar wa2 wanakula mzki wa baba lao

  • @rahimhashim1629
    @rahimhashim1629 4 роки тому +3

    eeeh! kuna basta

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 4 роки тому

    Dereva na kinda hawana kosa lolote basi tu. Kuna mwenye mzigo wake hapo amekaukaaa kimyaa

  • @denismakweba3870
    @denismakweba3870 4 роки тому +3

    Vizuri kuandika seat # kwa beg maana ukisema kujua mzigo una nn ndani,ni ngumu na pia amaeeza danganywa na abiria!!
    Ila kuna mtu kamchomea

    • @saitotisaitoti6734
      @saitotisaitoti6734 4 роки тому

      Umewaza kama mimi.huyu kachomewa na mwenzake.polisi wamejuaje bangi imebebwa na abiria wa siti namba fulani halafu waje na waandishi kabisa.walitonywa hawa

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 4 роки тому

    Kamanda muroto baba lao

  • @vidickcharles4742
    @vidickcharles4742 4 роки тому

    Duuuuh....

  • @husseinhajjihussein6898
    @husseinhajjihussein6898 3 роки тому

    Namuona Jamaa Yangu

  • @eddiemassoud8811
    @eddiemassoud8811 4 роки тому +2

    Cku hz kitu kdg mitandao inaboa sana

  • @H.sazo.
    @H.sazo. 4 роки тому +1

    KWENYE BANGI WATU WANAPATA UJIKO TU FREE WEED TZ BWANA

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 4 роки тому

    Nashauri mabasi yawe yanakagua abiria wao kama wanavofanya kwenye ndege.mara kadhaa nimeona mitungi ya gesi ikipakiwa kwenye mabasi.je ikitokea zikaripuka.au mtu anaweza panda na silaha akadhulu abiria wote.mngeweka utaratibu wa kukagua abiria kwa mashine kama airport.ila hapa najiuliza hawa waandishi walipataje habari ya kukamatwa mhalifu hadi kuja na makamera? Au kuna mtu katoa mchongo ee?😆

  • @paulomosson3346
    @paulomosson3346 4 роки тому

    Hapa kazi 2

  • @swissvany55
    @swissvany55 4 роки тому

    Kama umeskia babalao kwa mbalii gonga like

  • @jamesrasugu1849
    @jamesrasugu1849 4 роки тому

    Bhangi ni dawa ya kufanya mtu achangamke kwa hivo hiyo ni medication

  • @joshuamchiwa861
    @joshuamchiwa861 4 роки тому

    DUUUH!!! KUMBE KITU CHA ARUSHA NI BRAND TUU!!! KAMA INAVYOAMINIKA TANZANITE INATOKA SOUTH AFRICA. WANATEGEMEA MIKOA YA MBALI BWANA. 😅😅😅😅😅😅

  • @mokhimji
    @mokhimji 4 роки тому

    fungueni vikete basi tuone quality kidogo! hahahaha
    Kamanda unaacha kazi zako zote unakuja kufuatilia hilo tu tena na waandishi wa habari? Kazi hii ata vijana watatu wangemaliza kwenye dakika 5 baad kusamamisha basi na kumkamata huyu mhalifu nakuwaachia abiria wengine kuendelea na safari. Mie naona story nyingi tu hapo

  • @shaabanyahaya2890
    @shaabanyahaya2890 4 роки тому

    Cha Dom mix cha R,ni kweree,,,,

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 4 роки тому

    Duuh huyu Msukuma Noma

  • @johnpaulkirenga5824
    @johnpaulkirenga5824 4 роки тому

    Jeshi kuuu

  • @wazirisukari5178
    @wazirisukari5178 4 роки тому

    Sema abiria cyo msafiri.msafiri ni jina la mtu

  • @mapambanokisendi9162
    @mapambanokisendi9162 4 роки тому

    Dereva na konda anakosa gani? Hapo

  • @jumayusuph8471
    @jumayusuph8471 4 роки тому

    Kazi mzur Sana kamanda na jeshi la police kwa ujumla Safi san

  • @johnmwambungu7434
    @johnmwambungu7434 4 роки тому

    Kosa c dereva wala konda maana ni ngumu kujua kikubwa ni nyie kujipanga ktk intelligentsia zenu

  • @silaszayumba7608
    @silaszayumba7608 4 роки тому

    Hongera sana mzee,ila hao makondakta na madereva ndo wanaosafirisha watu na vitu haramu, na wanawafaham watu wanaofanya biashara haramu,na mizigo haramu wao ndo wanaihifadhi vizuri bidhaa hizo na kuwapa naelekezo jinsi ya kupaki ili polisi wasigundue nani sehemu gani huwa hawakagui

  • @emmanuelyndondole1520
    @emmanuelyndondole1520 4 роки тому

    AAA umelud

  • @innocentjohnson3880
    @innocentjohnson3880 4 роки тому

    Wamemuchomea huyo Either kazulum mwenzake kamuchomea

  • @irenekitomary7271
    @irenekitomary7271 4 роки тому +1

    Huyu happy ashanikera cku moja bhas tu anaiharibia jina shabiby

  • @vonexmobile9116
    @vonexmobile9116 4 роки тому

    Bangi hiyo ya mkoa gani?

  • @willisonmutembei3718
    @willisonmutembei3718 4 роки тому +1

    Ongela

  • @johnferdnand2048
    @johnferdnand2048 4 роки тому

    Acha wavute ili walime vijana

  • @josephgeorge3275
    @josephgeorge3275 3 роки тому

    Shida nyoko...

  • @nevlintesha4462
    @nevlintesha4462 4 роки тому

    Kwan konda anaruhusiwa kumsach abiria??

    • @saitotisaitoti6734
      @saitotisaitoti6734 4 роки тому

      Nadhani wangeweka utaratibu wa kukagua abiria kabla hajiangia kwenye bus kama wafanyavyo airport.unaweza beba jambazi likateka bus zima

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 4 роки тому

    Hapa haziendi tupwa najua

  • @nabetv8024
    @nabetv8024 4 роки тому

    Mkikamataga bangi na madawa mnapelekaga wapi..?!samahan lkn

    • @jumamagali5089
      @jumamagali5089 4 роки тому +1

      inasemekana kuna benki ya kuhifadhia, kama zile za kuhifadhi almasi na pesa..alafu mwisho wa siku watu aina mbalimbali wanatembelea kujifunza kitu

    • @ptElimu1234
      @ptElimu1234 4 роки тому

      👌

  • @hekimaisaya8255
    @hekimaisaya8255 4 роки тому

    Tulosikia baba lao kweny post ya Millard ayo tujuane, hapa

  • @deonicemollel4205
    @deonicemollel4205 4 роки тому

    The united state of ARUSHA. Hyo ni fake huku tuna kitu og bab ukivuta tu unajikuta mzungu wa muda mfupi🙅🙅

  • @ramadhansenkondo9012
    @ramadhansenkondo9012 4 роки тому

    Kiki hyo

  • @rockyvlogs2214
    @rockyvlogs2214 4 роки тому

    Ni vigumu saana kujua mtu kama konda

  • @frimasonidunia86
    @frimasonidunia86 4 роки тому

    Jiungereo.uwebrioneyazaidi.+255762297199

  • @agreysonyohana5346
    @agreysonyohana5346 4 роки тому

    Ongela Kamanda wa polisi

    • @mohamedalawy7704
      @mohamedalawy7704 4 роки тому

      Gilles Moroto nimekuwa nikifuatilia Operation zake kwa mda sasa.Namuombea mungu siku moja apate kuwa IGP. AMIN !

  • @dunduumaster4815
    @dunduumaster4815 4 роки тому

    Mbona pombe pia inamadhara serikali inatudhuru wananchi