'MAUAJI YA MWANAJESHI JWTZ/WANAJESHI WANAPIGA WATU KAWE' - RC CHALAMILA AFUNGUKA CHANZO..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • #OFFTRACKTV #offtracktv #kawe #mauajikawe #trending #rcchalamila
    Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 whatsapp.com/c...
    KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE OFFTRACK TV.
    PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE OFFTRACK TV
    / offtracktv
    Email | info@offtrack.co.tz
    🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI?
    🔴 WASILIANA NA OFFTRACK TV : (+255 769 612 166)
    🔴 Email: info@offtrack.co.tz
    Www.offtrack.co.tz
    𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜
    ...............................................................................................
    Subscribe: / offtracktv

КОМЕНТАРІ • 255

  • @OFFTRACKTV
    @OFFTRACKTV  8 місяців тому +2

    Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 whatsapp.com/channel/0029VaDFvPE9RZAg9slXGy0e

  • @fredrickkaaya6287
    @fredrickkaaya6287 9 місяців тому +1

    Mkuu karibu Tena Ngome ya Yesu Kwa Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha tuombee Tena Taifa letu. Haya yote yanatokana na watu kukosa maadili na hofu ya Mungu. Bwana Yesu Kristo Akubariki sana Kwa jitihada zako za kutunza amani katika mkoa wetu.

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 10 місяців тому +5

    Polen sana ndugu ,Umeongea vizuri sana leo ndugu yangu ,hongera kumbe unajua kitaani watu wanakutana na changamoto gan

  • @nicksonbaraka7446
    @nicksonbaraka7446 10 місяців тому +3

    Nakuelewa sana mkuu, maelezoyako ya leo yamenyooka kabisa na mifano thabiti mungu awe nawe.

  • @chibudenga8977
    @chibudenga8977 10 місяців тому +16

    Izo intek mpya wanapenda sana sifa wanakuja wanawaletea unyonge wananchi waambieni waache izo tabia sio Nzuri kuna watu hawapendi unyonge kabisa

    • @Manasehphilip404Alfa
      @Manasehphilip404Alfa 10 місяців тому +2

      Aliye uliwa ni luteni kanali! Sio intake mpya kaka

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 10 місяців тому +2

      Acha usenge ww, hatukukwambia ukose ajira bwege ww

    • @josephalfonsi11
      @josephalfonsi11 9 місяців тому +1

      Wanafanyaga uswazi tu sehemu za wanao fagilia na kuona kuwa mwanajeshi umefika kimaisha. Kuna sehemu huwezi kufanya na huko kawe ni itakua uswazi tu. Ndio maskini kwaaskini wanavyofanyianaga

    • @MrishoMzelela-xb9bb
      @MrishoMzelela-xb9bb 9 місяців тому

      ​@@miltonjohn9779jichanganye jifanye soldier ujikute

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 8 місяців тому

      ​@@miltonjohn9779wakileta upumbavu kwa wananchi watajuta,kwa wananchi hata komando akijilengesha anapigwa nawe anakufa

  • @salimamasanja4659
    @salimamasanja4659 10 місяців тому +2

    Uwa
    Nakuelewa
    Sana
    Muheshimiwa
    Hongera

  • @Getfordmasehe-k7h
    @Getfordmasehe-k7h 10 місяців тому +2

    Jamaa anajua sana 💪

  • @JonaEzekiel-rt7uk
    @JonaEzekiel-rt7uk 10 місяців тому +9

    Mungu hakupe maisha marefu charamira uitetee tanzania yetu tufike mbari baba kaza but kazi hienderee🔥💪

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 10 місяців тому +7

    Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 ♥️ ❤️ ❤❤

  • @johanessmwijage1192
    @johanessmwijage1192 10 місяців тому +9

    Mheshimiwa jeshi la polisi la Tanzania awafati shelia asilimia 90 % niwabovu na msipoliangalia kunasiku watajibiwa

    • @tamutv1717
      @tamutv1717 9 місяців тому +1

      Sio polisi ni JWTZ

  • @user-ql4mt6sv6n
    @user-ql4mt6sv6n 8 днів тому

    Hivi binadamu mwenye akiri timamu anaweza akaamua kumuua mwanadamu mwenzake bira sababu...!!??...tafuta kwanza chanzo kilichosababisha mpaka yakatokea hayo mauaji...usikimbilie kulaumu na kutuhumu upande mmoja hata askari ni binadamu kama binadamu asiye askari anayomapungufu...huu ni mtazamo wangu

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 10 місяців тому +4

    je umezaa mweshimiwa hata Mwenyezi Mungu hajatulea kama tulivyo

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 10 місяців тому +8

    Kawe Ina vijana waliolelewa vibaya Sana tena wazazi wengi wa kawe wamewaachia vijana wao vibaya acha wapigwe tu

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 10 місяців тому +1

    Mkuu wa mkoa mm nimefurahi sanaaa zaid ulipo watoa malaya mwananyamala

  • @Wabriged
    @Wabriged 10 місяців тому +1

    sasa nikufumanie na mke wangu hata wew rc ntakuelekeza kibla 💣💣💣💣

  • @daudmnanga7075
    @daudmnanga7075 9 місяців тому

    Hongela sana kwakazi bola

  • @GERSHONMISPERES-ve9fr
    @GERSHONMISPERES-ve9fr 10 місяців тому

    hongera mueshimiwa kwa maneno ya busurs

  • @Tango696
    @Tango696 10 місяців тому +4

    Mkuu wa mkoa nakuelewa sana.natamani nipate nafasi nijifunze kwako kitu .

  • @zolongOne
    @zolongOne 10 місяців тому +3

    Wanajeshi wanaingia mtaani kupiga watu mkuu wa mkoa unakaaje kimya? Kesi ya mauaji ni ya polisi sasa hao wanajeshi inawahusu nini hata kama ni mwenzao?

  • @user-oz6vi8xi7s
    @user-oz6vi8xi7s 10 місяців тому +11

    Mimi Kuna mwanajeshi mmoja ninamdai pesa zangu alichukuwa vitu vyangu na ataki kunilipa anatumia ubabe

    • @Rangoboytz2023
      @Rangoboytz2023 10 місяців тому

      Nipe location wapi alikutapeli

    • @musasabuu2808
      @musasabuu2808 10 місяців тому +1

      Kessi ya madai peleka mahakamani upatiwe haki yako

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 10 місяців тому

      Ndio zetu na bado utasema

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 10 місяців тому

      Mkomeshe

    • @mrope348
      @mrope348 10 місяців тому

      Sasa hapa mahakamani, unaacha kwenda kwenye vyombo vya sheria unaleta majungu yako mtandaoni

  • @florachogo243
    @florachogo243 10 місяців тому +4

    Kawe hii si mara moja kuua wanajeshi,inasikitisha sana ,pole sana familia ,vijana wanavuta bangi hapo stendi kweupe peee hapo ukwamani 😂 hawana wasiwasi ,tunaelekea wapi

    • @aisharamdan8358
      @aisharamdan8358 10 місяців тому

      Wawaue tu kwasababu hao polisi wanawatesa raia Sana vizuri tuu

    • @Ambwene
      @Ambwene 10 місяців тому

      @@aisharamdan8358 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 sawasawa

    • @user-mg1vf5gv3p
      @user-mg1vf5gv3p 10 місяців тому

      Huyo nwanajeshi ni waupanga au

    • @franchescofredrick652
      @franchescofredrick652 9 місяців тому

      Fact

  • @beriasmasanga6859
    @beriasmasanga6859 10 місяців тому +15

    Hamuwezi kuwasema vibaya polisi maana bila kujijua,wanatetea utawala wenu,ila mungu hamfichi mnafiki

    • @issackathman850
      @issackathman850 10 місяців тому +1

      tulia tulia hayajakukuta

    • @Ambwene
      @Ambwene 10 місяців тому +1

      Kabisa umeongea points hawa POLICCM na chama chao

  • @JosephAtanazi-hs3gw
    @JosephAtanazi-hs3gw 10 місяців тому +9

    Ukweli ni kwamba hata Hawa wejeda huwa wanajiona wao ndio Kila kitu anaweza fanya chochote Kwa kujua yeye ni mjeda wenye tabia hii sio wote ila wengiwao ndio tabia Yao

    • @sarabura8933
      @sarabura8933 8 місяців тому

      Kwani hujui mwanajeshi ndie mwenye ichi kwanini benerela inashushwa saa 12 jioni nchi inakabiziwa kwa wanajeshi kwaiyo acha kubwabwaja kama unaona ni lahisi nenda na wewe ukawe mwanajeshi basi

    • @ivomhagama9796
      @ivomhagama9796 12 днів тому

      😅😅😅😅jeshi lipo urusi huko linapambana.vita .ila so ubaya sote ni udongo hakuna nunda wa chuma,risasi ,kisu .sote tuna moyo Tena nyama.

  • @filbertalbert3173
    @filbertalbert3173 10 місяців тому

    Waoo kama sio raia

  • @kalebiestomihi
    @kalebiestomihi 10 місяців тому +6

    wanajeshi wanaonea sana watu wapigwe tuuu

    • @mbagaherbal4796
      @mbagaherbal4796 10 місяців тому +1

      Walikuonea lini, wapi, na kosa Gani? Weweeee funga domo lako utahama kama.roma fala wewee unajua yule mwanajeshi ametengenezwa Kwa garama Gani Mpaka kafikia pale

    • @issackathman850
      @issackathman850 10 місяців тому

      ​@@mbagaherbal4796hahaha mbona hasira

    • @Ambwene
      @Ambwene 10 місяців тому +1

      Sawasawa kabisa kwani mwanajeshi yeye Mungu akizingua anazinguliwa tuu hakuna kuogopana hapa

    • @kassioothemiracle1688
      @kassioothemiracle1688 10 місяців тому

      Nidham ndio kila kitu

  • @eliakibona8959
    @eliakibona8959 10 місяців тому

    Mungu akulindi Baba Chalamira.

  • @DominicKani-ri9le
    @DominicKani-ri9le 8 місяців тому +1

    Mnajua ndugu watanzania wenzangu cheo cha kuitwa mwana jeshi haitoi wala kuruhusu yeyote miongoni mean kuona anaweza mnapoamua kuingia kwa namii mtaani huko kuna nguli wa fujo na ngumi za kukata na shoka hivo ndugu zetu wakuu wa ulinzi na usalama TZ ni ya amani hawa wanaojiona wababe pigeni chini warudi wawe wababu mtaani kma watatoboa.Mungu ibariki TZ

  • @user-ms2kf3mf3q
    @user-ms2kf3mf3q 8 місяців тому +1

    Musipo kuwa makini itakuwa kam somali police hawatendi haki na wanajeshi wanakuwa na sifa

  • @jeckytown907
    @jeckytown907 10 місяців тому +2

    Sawa sawa 2 kwan hao wenye sale za ulinzi wa nchi weng wao wanajiona ni kama Mungu wa2 kwenye nyafac walizonazo

  • @blessjo1678
    @blessjo1678 9 місяців тому

    95% hao wanajeshi hawapendwi na wananchi kwa sababu ya ubabe wao bila sababu tunaishi mtaani wanafanya mengi ya kuumiza wananchi na nchi inakaa KIMYAAA...washukuru tu silaha zinawalinda

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 10 місяців тому +1

    Pia wakati mwingine wawe wachamungu wamuogope mungu askari muislam asome Quran afanye ibada ukiwa mkiristo Fata amli ya dini yako

  • @Soon815
    @Soon815 8 місяців тому

    Ni bora wafe wanajeshi 10 kuliko raia mwema 1 afe!
    "Hii ni kanuni ndogo tu" Wanajeshi wanakula kiapo kuifia nchi,ikumbukwe nchi inamilikiwa na wananchi!
    Mwanajeshi sio chochote sio lolote kwa mwananchi.

  • @majimotomalole1809
    @majimotomalole1809 10 місяців тому +1

    Tatizo ninyi wanasiasa ndiyo mnaoharibu nchi ndo maana wananchi wanaingilia majeshi yetu na hayo ndo matokeo

  • @jumaally2469
    @jumaally2469 10 місяців тому +2

    Kama kuna kitengo cha ulinz na usalama kimeoza bac polis hawa jamaa ni ovyo kabisa wanakamata watu bila makosa na utok bila pesa binafs polis wafe tu

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 10 місяців тому +1

    Wanakula sana rushwa hao

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 10 місяців тому +3

    Solushen ya yote haya ni hili tu 👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi !✍🏿

  • @ANASIMUHAMED-jz2ff
    @ANASIMUHAMED-jz2ff 10 місяців тому

    Tungepata namba zako mheshimiwa

  • @abdulyabubakar6247
    @abdulyabubakar6247 10 місяців тому

    Wow

  • @jisrainomwa4015
    @jisrainomwa4015 10 місяців тому

    Huwo cyo uzalendo je waliopigwa ni wote walimuuwa mkuu wa mkowa umekosea Shelia ndo mcngi wetu cyo uhuni ata awo wanajeshi walio wapiga laiya kwakuwa mwenzao kauliewA hawana tofauti na wauwaji wa uyo wanajeshi wote ni wahuni

  • @Oscar-qs7tn
    @Oscar-qs7tn 10 місяців тому

    Jeshi la wananchi, pia lijitathmini, mara nyingi wamekia wakinyanganya raia mavazi yenye mabaka yasiokua ya jeshi lolote wao wanadai ni za KWAO wanachukua wakijua wazi sio Sare za jeshi na hawawezi kuzivaa jeshin. Inawezekana ndio chanzo

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 10 місяців тому +1

    Hapo nakupa sapoti, umekuwa mkweli na umesema kwa haki. Haki itasimama tu, naomba uje huku MAJOHE CHUO RADA GONGOLAMBOTO nasisi tuna kero zetu nyingi. Tenda haki, na watu watakupenda.

    • @monadinadi5295
      @monadinadi5295 10 місяців тому

      Kuna tatizo huko maana na mm nimejenga huko naogopa 😂

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 8 місяців тому

      kero gani hizo ndugu

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j 10 місяців тому

    Ombi Ndugu yangu Mwachalamila Hakuna Mzazi anayelea vibaya mtoto wake Mwizi Wa kura na kibaka wote ni Watoto wetu Tuheshimianetu ukiona wakwako hajawa kibaka au Mdangaji Mshukuru sana MUNGU kwa kuku pendelea

  • @PeterNkilijiwa-ij3rw
    @PeterNkilijiwa-ij3rw 10 місяців тому +3

    Mkuu wa mkoa Mungu akubariki sana kwa kusema ukweli.

  • @user-pf5gg5gk6i
    @user-pf5gg5gk6i 10 місяців тому

    Ibilisi uwa ..acha kujenga hoja vyo

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 10 місяців тому +1

    Mimi polisi alinikodi tulipofika kituoni akanigeuka akasema nilipe faini za sumatra

  • @filbertalbert3173
    @filbertalbert3173 10 місяців тому

    Waiiiih ngachokaa na wanduuiiwa

  • @lesliekalindaga7216
    @lesliekalindaga7216 9 місяців тому

    Aisee

  • @Christinajohn-yu7wt
    @Christinajohn-yu7wt 8 місяців тому

    Balaa

  • @jumakaswahili.workinghands2501
    @jumakaswahili.workinghands2501 9 місяців тому

    Boss nae anaogopa wajeda😂

  • @djfaraji
    @djfaraji 23 дні тому

    Mkuu wa mkoa leo umenifura isha kumbe ilikuwa mda tu watu wakuelewa vizure

  • @AggyNzungu
    @AggyNzungu 9 місяців тому

    Yan ao wanjeshi nao Wana zingua mfano apakwetu Kuna mwanajeshi alikuja kununua chips alikokua,amesimama akatoka aja upande wa pili uo upande wa pili alio hamia yy akamkanyaga mtu asimuombe msambaa kwamba amekosea akaanza kumkolomea yula kaka kisa tu kamwambi umenikanyaga anacho mjbu ntakupiga ikabidi ss tuingile Kwa Hali kama iyo ustarabu uo

  • @Ambwene
    @Ambwene 10 місяців тому +7

    Huyo MwanaJeshi kama alikuwa mduwanzi kuuliwa sawasawa tuu, maana hakuna mtu anayeweza kukuua au kumuua mtu bila kosa, mimi mwenyewe mtu akiingia 18 Zangu alafu ananiletea pigo za kiwaki namalizana nae kiume tuu......

    • @joharifarahani2739
      @joharifarahani2739 10 місяців тому +1

      Jela inakungoja

    • @Ambwene
      @Ambwene 10 місяців тому

      @@joharifarahani2739 kwani Jela kajengewa mamaako funga domo lako hilo Pumbavu

    • @djpassovertz..tunaishimaramoja
      @djpassovertz..tunaishimaramoja 10 місяців тому

      ​@@joharifarahani2739na hafungwi ukizingua kashasema anakufyekelea mbali..Ishi kwa tahadhari..Usipuuze Kila mtu

    • @mx3tv791
      @mx3tv791 10 місяців тому

      @@joharifarahani2739 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂

    • @ramajr3762
      @ramajr3762 10 місяців тому

      Unachotafuta utakipata

  • @HashimuNtunda-oe8wo
    @HashimuNtunda-oe8wo 10 місяців тому +4

    Mweshimiwa na sisi tunakelo zetu tunaomba ufikehuku mkuu

    • @kanukanute1514
      @kanukanute1514 10 місяців тому +1

      Mnataka nifike wapi?

    • @Samweli-vw8ji
      @Samweli-vw8ji 10 місяців тому

      Endeleeni kuwachezea wanajeshi afadhali polisi mtapigwa sanaa tuu na kama hamuelewi endeleeni jeshi halina siasa kabisaa

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 10 місяців тому

      ​@@Samweli-vw8jihaswaaa awajui maana ya Mwanajeshii napia mwanajeshi mbona ni Wana hekima Sana na niwastarabu

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 9 місяців тому

    Wanajeshi nao ni vijana waliokuzwa na jamiikama walivyo vijana waliopo mitaani. Tatizo jamii yetu ina janga kubwa la kimaadili kuliko kipindi chochote kile.

  • @ogboytz1972
    @ogboytz1972 10 місяців тому

    Mm nasema wapigwe hadi wazee huko kawe maana hao wanaofanya makosa niwatoto wao ,kijana muhalifu hawezi kutoka kibaha kwenda kufanya tukio kawe kama Hana rafiki nahuyo rafiki sio mpangaji nimzawa

  • @manrumba6133
    @manrumba6133 9 місяців тому

    Kwa polis hao n Jipu Mkuu tena wasitetewe.

  • @julianavigelo3983
    @julianavigelo3983 10 місяців тому +1

    wajeshi punguzeni ubabe hausaidii duniani sote tunapita dunia sio yenu tutaiacha

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi 10 місяців тому

    Mhh jaman Congo iyoo vp rohoo tamuuu hapa ujesh naeka pembenn😅😅😅😅😅😅😅

  • @ndarokassim6462
    @ndarokassim6462 10 місяців тому +3

    Acha upuuzi,hao wanajeshi wanaonea raia halafu nyie mnawatetea,mfano huyo wa kawe unajua sababu ya kumuua?

  • @thronemoneyfx9730
    @thronemoneyfx9730 9 місяців тому

    Wapigwe sana

  • @faustinmarko2278
    @faustinmarko2278 9 місяців тому

    Askari hawezi pigwa bila sababu ukizingua unazinguliwa muwe na adabu kutembea na wake za watu mtaufa sana

  • @senixdanethox
    @senixdanethox 10 місяців тому

    ata hao wanajeshi pia wafundishwe nidhamu ya kuishi na raia ni km mwanajeshi anapigana mtaani ni aibu kwa jeshi sio raia

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar3412 10 місяців тому

    Hukujibu ndiyo kwasababu ya kutojali ubinadamu. Hivi haiwezekani hao waliomuua huuo mwanajeshi akawa.anatokea mtaa mwingine. Kwa nini askari wavamie na kupiga watu tu. Inawwzekana hata huyo mwanajeshi alikuwa muhuni au mlevi akawa amegombana na walevi wenzake.wakamtandika.

  • @rahellubandila1928
    @rahellubandila1928 10 місяців тому

    Mhe Chalamila ukumbukwe na Bwana

  • @allfarms9539
    @allfarms9539 10 місяців тому +3

    Ameuwawa kwa kesi gani,!!!

    • @petrolconrad4250
      @petrolconrad4250 10 місяців тому

      Alizingua mwenyewe, alilewa akapishana kauli na dereva bajaji usiku...mwisho wa siku baada ya kuzingua kutoka kwenye gari lake wahuni walishindwa kuvumilia wakashindilia bisibisi ya kifua

    • @user-mg1vf5gv3p
      @user-mg1vf5gv3p 10 місяців тому

      Huyo mjeda ni waupanga au

  • @Dagerboy97
    @Dagerboy97 10 місяців тому

    alichomwa na kitu chenye ncha kali hapa ( hapa wapi sasa )

  • @JosephHaule-yg1cf
    @JosephHaule-yg1cf 10 місяців тому +1

    Hawaaatu wakikopa vitu hawalipi wanatumia ujeshiwawo watuwanachoka

    • @hassanbukambu931
      @hassanbukambu931 10 місяців тому +1

      Na wewe unamkopesha wa Nini SI makubaliano Yenu Sasa lawama unampa Nani SI ukatae kumkopesha kwani anakulazimisha SI ukamshtaki ka anakulazimisha umkopeshe

  • @user-mc9pt6ty3d
    @user-mc9pt6ty3d 10 місяців тому +4

    Mana jeshi anaruusiwa kua namke wamtu?

  • @Markazabuuhanifa
    @Markazabuuhanifa 9 місяців тому

    Babawe askari wingi wanakula rush wa karibu wote 1:29

  • @allykomsonde7813
    @allykomsonde7813 10 місяців тому

    Kwanini kero zimeanza kusikilizwa mwezihuu wa kumi 2023/10 tujitafakari

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 10 місяців тому

    RIP kamanda,ila huyo kijana au huyo mtu kawaletea huzuni familia hivi hakuwaza kweli

  • @ShaniaSimba
    @ShaniaSimba 10 місяців тому

    😊😊😊😊

  • @ilungavumu6508
    @ilungavumu6508 10 місяців тому

    Mimi naona unakwepa habari za jwtz kupiga watu unaanza ongelea mambo mengine

  • @user-ji3kl5cm6d
    @user-ji3kl5cm6d 8 місяців тому

    Acheni ujinga vitu mnapandisha bei mnasema msikilize kero zipi hasa kilakitu kianavulugika

  • @aisharamdan8358
    @aisharamdan8358 10 місяців тому

    Wanajeshi wako wanauuwa wangapu kwasiku kila Leo polisi wanauwa watu wanapoteza watu mbona hamsemi

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 10 місяців тому +7

    Acheni kuchomeka watu wenu kwenye nafasi za ajira hayo mambo hayataisha maofisini na kw taasisi mbalimbali. Ni ndugu zenu tu

    • @musasabuu2808
      @musasabuu2808 10 місяців тому +1

      Kwani ww ukiwa na nafasi ya kuajili huwez kuajili mwanao

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 10 місяців тому

      ​@@musasabuu2808sema wewe lazima umkumbuke mwanao

  • @catherineshayocwbp.2093
    @catherineshayocwbp.2093 10 місяців тому +4

    Wanajeshi wanasahau wao n Raia wakawaida nje ya uniform zao... Wanapoteza ungwana...na kutufanya tuzidi kuishi kwa uwoga

    • @LORDRICKNKYA
      @LORDRICKNKYA 10 місяців тому

      Unaona ni sahihi kuuliwa Kwa mwenzetu bila kosa???

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 10 місяців тому

      Sio kweli!!

    • @happyfiverickaldo4662
      @happyfiverickaldo4662 10 місяців тому

      ​@@LORDRICKNKYAkosa lipo dingi haiwezekani mtu kukurupuka tu

    • @catherineshayocwbp.2093
      @catherineshayocwbp.2093 10 місяців тому +1

      @@LORDRICKNKYA sio sahihi na ndio maana nimesema wanasahau kuwa wao n raia wakawaida wakiwa nje ya uniform zao! Matendo Yao yanatufanya tuishi kwa uoga ... Kudhulumu nafsi ya mtu bila kujalisha cheo n dhambi tena kubwa sana

    • @catherineshayocwbp.2093
      @catherineshayocwbp.2093 10 місяців тому

      @@jumakapilima7295 kama mtazamo wako uko hiyo...sawa kwako kikubwa haujavunja Sheria za nchi..!

  • @mako331
    @mako331 9 місяців тому

    Hakuna aliye juu ya sheria, hata uwe mwanajeshi lazima Mkuu uliseme hilo kwa wazi kabisa, sasa hapo umezunguka tu hujakemea chochote, utaumiza watu wasio na hatia halafu liwe sawa??

  • @user-fq3bf4cd1s
    @user-fq3bf4cd1s 10 місяців тому

    Huyo nduguyo ana namba yako mie sina namba yko kunamwanajeshi kavamia eneo langu kibabe na kajenga nimekuja ofisini kwako sijapata msaada nisaidie namie mkuu

  • @JumaFadhili-p1h
    @JumaFadhili-p1h 10 місяців тому +1

    Jeshi halikosei ukiona wazee wameingia kazn nakuatandika ujue mmezingua jwtz Wana nizam zote bila Ivo pangenuka kwer kwer jeshi sio la mchezo

    • @mahamoudduchi3318
      @mahamoudduchi3318 10 місяців тому

      kwn awo wanajeshi ni Malaika kuwa hawawezi kukosea au?? Acha kuwatukuza binaadamu wezako kiasi icho. Punguza shobo

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 10 місяців тому

      Haswaa kabixa sipingi wananizam haswa na upendo uraian ila vijana na banging zao wanajifanya wababe wataozea jela

  • @YaaMnyad
    @YaaMnyad 10 місяців тому

    Dah mh nimekuelewa kwelikwel chalamila

  • @_pr2yq
    @_pr2yq 10 місяців тому +3

    Kiukweli police wanazingua kama uku kwetu iringa rushwa imetawala sana nauwongozi upo mtu anakamatwa na bangi anatozwa pesa alafu bangi wanachukuwa askari wanafanya biashara wao nihaki kweri

  • @paull8659
    @paull8659 10 місяців тому +10

    mbona nyie CCM mnaua kila siku?? Hivi nani alichunguza kwanini mwanajeshi kauwawa? Inawezeka huyo mwanajeshi alikuwa mhalifu? Askari wana mamlaka gani ya kuchapa raia?

    • @LORDRICKNKYA
      @LORDRICKNKYA 10 місяців тому +1

      Acha kuongea usichokijua kijana ongea hivyo tukiwepo ndio tukupe taarifa ilivyo

    • @mbagaherbal4796
      @mbagaherbal4796 10 місяців тому +2

      Wewe ndo ulimtuma aje amuuwe askari wetuee?? Ngoja tukutraki

    • @malilaebayoth5776
      @malilaebayoth5776 10 місяців тому

      ​@@LORDRICKNKYAilikuaje hii duh poleni

    • @Ambwene
      @Ambwene 10 місяців тому +1

      Kama alikuwa mduwanzi huyo mwanajeshi sawasawa alivyouliwa tuu, huwezi kutumia uduwanzi kwa raia kisa wewe mwanajeshi......

    • @josephntungiye6232
      @josephntungiye6232 10 місяців тому

      ​@@mbagaherbal4796acha vitisho wwe jibu jibuhoja kwahoja kunawatu wanahitaji kuelimika, kwani hakuna wanajeshi waonevu? Au unataka ushahidi. Hakuna raia watz anaeweza kumvamia mwanajeshi bila sababu

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 10 місяців тому

    Mama na mtoto sio ndugu

  • @musazengo1448
    @musazengo1448 10 місяців тому +1

    Kwanza neno wanajeshi hiii 😱😱😱

    • @PuzzleMc-zp2lg
      @PuzzleMc-zp2lg 9 місяців тому

      Kwahyo ww unaona nini rabda cha ajabu

    • @PuzzleMc-zp2lg
      @PuzzleMc-zp2lg 9 місяців тому

      Jesh ni ulinz wa taifa na sio kuwatisha wenye taifa lao

    • @PuzzleMc-zp2lg
      @PuzzleMc-zp2lg 9 місяців тому

      Kwanza watt wa mabos hatufanyi hzo usenge kaz hata kusafiri miziki yan we ukisafiri unaenda kutolewa chambo

  • @madehamalecela1703
    @madehamalecela1703 10 місяців тому

    Kuna baadhi ya wanajeshi sio wastaarabu. Chunguza kisa cha huyo mwanajeshi aliyeuwawa. Nidhamu isiishie jeshini tu. Nidhamu ni mpaka uraiani. Huo ndo uzalendo, wanajeshi wafundishwe hilo.

  • @msongojumbe486
    @msongojumbe486 14 днів тому

    Msitutoe kwenye mstari

  • @richardhezron2588
    @richardhezron2588 10 місяців тому

    Ombi langu kwa jeshi la polisi nikutimiza kazi zao kwa weredi

  • @user-ru8kc6wf1g
    @user-ru8kc6wf1g 10 місяців тому

    Tatizo wanapo maliza mafunzo yao baazi yao wanaona kwakuonekania nikwaraia ebu wajirekebishe kwakweli

  • @myself4128
    @myself4128 9 місяців тому

    Sura ya Huyu Jamaa ni kama Mlevi
    Na kila akiongea ni Utumbo mtupu!!!sijui walintolea wapi huyu kiraka

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 10 місяців тому +1

    Wapigwe sana tena sana

  • @peterdotto4055
    @peterdotto4055 10 місяців тому

    Mtoa post kaweka picha za JWTZ mbona haihusiani na taarifa Hiyo Sasa,, Kuna JESHI Na Police tofautisha mtoa post

    • @tazamamaajabuyaulimwengu2786
      @tazamamaajabuyaulimwengu2786 10 місяців тому

      Jeshi na polisi ndio Nini tena, Mimi najua kuna jeshi la magereza, jeshi la jwtz, jeshi la polisi, jeshi la zimamoto

  • @innocentmanda8567
    @innocentmanda8567 10 місяців тому

    Polisi wanazingua muheshimiwa kama uamini niulize mm polic so watu japo so wote

  • @AthumaniHusseni-fi6oh
    @AthumaniHusseni-fi6oh 10 місяців тому

    Duhh

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 10 місяців тому

    Kijana HUYO fala tu.

  • @mussahancy6591
    @mussahancy6591 9 місяців тому

    Duuuuh

  • @eliakibona8959
    @eliakibona8959 10 місяців тому

    Hali iyo inakwenda kuhalibu amani tuliyo itunza kwa miaka mingi

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 10 місяців тому

    Mafuriko yataisha lini dar jamani lini lini

  • @GodfreyKagina
    @GodfreyKagina 10 місяців тому

    Hiyo ni hatari,ila kutakuwa na shida Fulani iliyosababisha kifo

  • @lembriskivuyo9178
    @lembriskivuyo9178 9 місяців тому

    Mheshimiwa hapo umenyoosha Rula