Asante nimekuelewa sana nilisoma katika Madrasa za kiwahabia kenya madrastul munawara hadi thanawiyah sasa hivi naona mwanagaza niko na vitabu nakufuatilia pole pole allah akuhifadhi mwana muelewa huelewa tu
Sheghe Kuna jambo moja umelisahau kuhusu Mohammed ishaka kenda mbali zaidi aliulizwa kwamba Kuna mtu alifukuzwa msikitini kisa kutikisa kidole akatoa fatwa tuswalini miskiti yetu huko sikugawa watu
Yaani ukimsikiliza muhammad idd unajua anashida ya uelewa au anakusudia kupotosha na kuleta talbiisi kwasababu unayoyaeleza na mjadala ulipo ni vitu viwili tofauti
Hawana tatizo ktk mikusanyiko mingine kwa sabab ni mambo ya ada na wala sio ibada. Kumswalia mtume ni ibada hivyo unapoharib ktk ibada ni lazma kuwe na tatzo
HUYO KASIMU MAFUTA ANALO SANAMU LAKE ..ATEMBEA NALO KILA MAHALA .. AKISAFIRI KWENDA NJE LAZIMA AWE NA SANAMU .. AKISAJILI LAINI ZA SIMU LAZIMA AWE NA SANA LAKE YEYE MWENYEWE, PIA ANALO SANAMU LAKE LA URAIA WA TANZANIA
yule analaana ya shekhewake na anapoelekea atakuja kuvuanguo jiulize wee mtu kayakataa maulidi alaf badalayake anakwenda kuyasoma ndani yamisikiti yao na wenzake wanaitika simtihaniuwo?
Kuanzia leo sasa maadamu ameanza kujitia ilmu eti kwa ufahamu na hawaa zake pasi na kunukuu kutoka kwa mwanachuoni yoyote ameanza kuzifasiri Aya na Hadithi basi na angoje majibu ya kielimu kutoka kila pembe ya nchii hii na hapo utakua ndio mwisho wake! Watu hawakua na haja ya porojo na matusi yake lakini huku alikojitia sasa keshayakanyaga😂
Nami nitaaza kupiga adhana mje mswali idd bila shaka hakuna kizuizi nikianzisha jambo la kheri Maana kila mtu ajua faida ya adhana.kwa kuzingatia maana yakullu
Halafu ufahamu swala ya eid ni sunnah, Halafu adahana ni wito wa wajabu (yaani ukiadhini unamaanisha ni lazima watu waitikie wito wa adhana) Sasa utaadhini vipi katika swala ya sunnah..? Hebu someni Dini nyinyi masalafi bhana, msitumie akili zenu kuuliza ujinga
NILICHOJIFUNZA HAPA NI: 1. MUHAMMAD IDDI, Anafanya propaganda ili kuwa furahisha WAKUBWA. 2. KUNA TOFAUTI KATI YA MAULID NA KUMSWALIA MTUME. Kila Muislam anayeswali anamswalia mtume(S.A.W) katika swala. 3.TWARIQA WENGI MNAPENDA ZILE SHEREHE ZA MAULID ILA HAMUMPENDI MTUME NDIO MAANA HAMRIDHIKI NA UKOMO KATIKA IBADA ALIZOLETA, PIA HAMTAKI KUMFUATA KIMATENDO.
Akili ndogo haihitaji madrasa 1. Wakubwa wapi? 2. Tofauti ipi? Kwenye maulid mtume haswaliwi? Au ni mambo gani yanafanyika kwenye maulid? 3. Kusema huyu hivi yule vile bila elimu ni kutoa hukum, huoni kama unafanya Kazi ya Allah? Je hiyo ni sahihi?
Aliyesema kila bidaa ktk dini ni upotofu ni shekh wenu wa kisufi Abul Abbas Ibn Hajar Alhaythamiy anasema kila bidaa ktk dini ni upotofu ktk kitab chake chake alfataawa alhadiithiya Alaf kwan mm nikimfunza mtu Quran...huyo mtu akisoma yy si anapata thawab na mm napata thawab kwahiyo mm ndio nimeanzisha kusoma Quran? Alaf ktk kuuwa...kwan mauaji si yalianzishwa na majini kabla ya binaadamu? Alaf kwa maelezo yako kumbe nimefaham kuwa kullu haienei ndiomaana tunasema bidaa zote ktk dini au ktk ibada ni upotofu lkn bidaa ktk mambo ya ada na wasiila sio bidaa ya upotofu. Kisha km mtume alikuwa akipokea kheri na kukataa shari..mbna alimkataza swahaba kuswali usiku kucha na yule aliyetaka kufunga swaum? Au hayo ni mambo ya shari? Alaf mtume,alisema tufuate sunnah za makhalifa tayari yeye ameshatoa tazkiya kwao hao makhalifa hao na kuna kanuni pia...nyie mmepewa tazkiya na nan? Alaf huoni kuwa maswahaba na tabiina na waliofuatia walikuwa wakitahadharishana kuhusu bidaa ktk dini. Yaonesha almaswaalihul mursalah huyajui shekh..na mpk hoja za kuweka AC bado unazitumia...yan bado unahisi kujenga msikiti wa matope au wa mitende ni sunnah aisee huu ni mtihan
ACHA PROPAGANDA NA KUTENGENEZEA MANENO WATU, ALLAH NI FUNDI KUKULIKO. HAKUNA MTU ANAYEPINGA WALA KUKATAA KUMSWALIA MTUME!. TATIZO NYIE IBILISI AMEWAPAMBIA KATIKA HILO JAMBO NA MNALIPENDA HASWA, NYIE MNAPENDA SHEREHE WALA HAMUMPENDI MTUME KWA DHATI
Hoja nzuri muhimu kwa wakati muwafaqa endelea sheikh tunakuelewa vizur
Allah akuengeze Nuru yako ya uso mara 2 hapa duniani na kesho Akhera shukran Shekh
Alhamdulillah sheikh tunapata faida na usiache sheikh kubainisha
YAA RABB NAKUOMBA UWENDELEE KUTONIPOTEZA NA PIA NAKUOMBA UNIWEKE MBALI SANA NA UWAHABI MANA WATU WA HOVYO SANA
Amin
شكرا جزيلا يا شيخنا الفاضل محمد ابو عيد الله يسلمك من كل شر يارب ويعطيك العافيه
Dah tunapata faida hadi bando langu linatumika vema alhamdulillah sheikh
Sheikh Abu idi waweke sawa wajitambue
Allah akulinde mwalimu Muhammad akulipe kila kheri dunian na akhera na akupe umri mrefu hapa dunian
Uko vizuri sheikh abuu idi
Nakuelewa sana Shekhe baaraka Allaahu fiika
Nimekuelewa
بورکت العلامة ابو عید اطال الله عمرک یا شیخنا
Wao wanaishia kumdharau na kumtukan ila shekh anajitahid kuelezea kutumia vitabu
Mwalimu mawahabi washapotea
Sheikh umemaliza ubishi umelezeya vizuri sanaa umeleweka
Hogera mize shehe wetu
Sheikh nime kuelewa vema sana shukran sheikh
Allah akuhifadhi shekh wetu
Sina mashaka hata kidogo na shekhe abuu idi ni moja ya mashekhe wenye uwalii kwadalili nyingi juu yahilo
Shukran sheikh
غفر الله أباك أي محمد بن شيخ أيوب الكماذي و يحفظك من كل شر و بارك الله فيك وصلى الله على سيدنا محمد وآله و صحبه أجمعين و الحمد لله رب العالمين
Allah akulipe kher Abuu Iddi Mwaka huu Mawahabi lazima Watage 😂😂😂
Tena mtago khaswaaaaaaaa😅😅😅
Swadaqta
Mashallah shukran sana sheik wangu iddi
Utahukumiwa kesho kwa allah na watu wote wanao kufwata utabeba jukumu Lao
Abuuu Eid unaeleweka sana mwamba
Asie kuelewa wewe Anamtindio Wa ubongo
Huyu mzee Allah akuongoze
naam shekh tunaomba utupe mawili matatu kweny hiyo majmau bahrayn ili tupate fawaid zaidi inshaallah
Allah akuongoze kwenye haki ww SUFI Muhammad iddy , upo mbali sana na sunnah.
Shukran sheykh umeeleweka
Assalaam alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh uhali gani mwalimu wangu na shekhe watu anatolea wapi darsa yako
Asante nimekuelewa sana nilisoma katika Madrasa za kiwahabia kenya madrastul munawara hadi thanawiyah sasa hivi naona mwanagaza niko na vitabu nakufuatilia pole pole allah akuhifadhi mwana muelewa huelewa tu
Tusomeni History ya sheikh Abdulwahab ....
MashaALLH inaonekan wew ni muelewa ALLAH akuongoze
@@muktarkassim6647 Abdulwahab ni sheikh wakiwahabi
@@muktarkassim6647l0 pp
ماشاء الله تبارك وتعالى
Kumbe mawahabi ni wezi waliojificha nyuma ya dini 🤣🤣 Asante abuu eidd nakuelewa
Mmeshatudanganya Sana
Sheghe Kuna jambo moja umelisahau kuhusu Mohammed ishaka kenda mbali zaidi aliulizwa kwamba Kuna mtu alifukuzwa msikitini kisa kutikisa kidole akatoa fatwa tuswalini miskiti yetu huko sikugawa watu
Shekh anatiririka kwa ushahidi sio mdomo mtupu hoja za nguvu hizo hamuezi kupangua hata moja mawahabi
Hahahaha. Huo akianza kujibiwa anakimbia. Tushamzoea
Mawahabi muje na vitabu sio maneno matupu
Ni BIDA'AA IN CAPITAL LETTERS
Me naomba sheikh aweke clip fup walau dakika 20 au 30
Mkusanyiko ambao mnaitakidi kuwa ni IBADA ndo tatizo acha kupotosha watu. Wewe utakuwa masuuli ktk unachowapotosha watu.
Mohd iddi nenda chuoni Bado ujinga unakusumbua
Mohd iddi anakuita said omar mukakate viuna Kenya mamrui dini yenu haina tofauti na daimondi dini hiyo ni dini ya mtume gani
Mauridi hitima arubaini niwongo mtupu
Eti tuingize Fedha😂😂😂😂
A.aleikum
Kama wewe M.Iddi uko kwenye haki basi kubali ombi la M.Is'haka la munaqasha ili uje umuumbue huo oungo wake kama unavyodai.
yani nyinyi mawahabi mnachekesha sana. wapi kwa wapi sheikh mohamed Idd aje apoteze mda wake na huyo comedian wenu
😂😂😂😂
WALLAHI MAWAHABI NI KAMA KATUNI
Yaani ukimsikiliza muhammad idd unajua anashida ya uelewa au anakusudia kupotosha na kuleta talbiisi kwasababu unayoyaeleza na mjadala ulipo ni vitu viwili tofauti
Wew ndy mwenye shida ya uelewa
Swadakta 4:17 😂
Swadakta hamidy mtandika huyo jamaa ni taasub ndiyo inayo msumbua
Huo Wizi Na Uongo Ndio Swifa Yao Kubwa Mawahabj
Huo Wizi Na Uongo Ndio Swifa Yao Kubwa Mawahabj
Huna ulipo
Hakuna dalili bali ni maneno matupu na dini ni amesema allah amesema mtume bali naskia porojo tu
Sehem ya saba mbona haipatikani
Huu sanamu yuko yuma yako ni nani?
Answaar sunna wezi 😂😂😂
Hawana tatizo ktk mikusanyiko mingine kwa sabab ni mambo ya ada na wala sio ibada.
Kumswalia mtume ni ibada hivyo unapoharib ktk ibada ni lazma kuwe na tatzo
So hijja nayo inakuaje
Hijja imefanyaje sasa
Kitabu chilicho andikwa na shehe wenu na kupinda uzushi ni kweli au kitabu chimeandikwa na mawahabi?
Kakate viuno huko
Uongo unaendana na ukweli
UONGO UKO WAP JAMANI , AU NI VITABU ANAVYOVIWEKA
@@noorululaatv8973 ndugu yang kweli sisi tuna ugomvi na mtume .au namna ambavyo tumetofautiana katika kumswalia
mkizidiwa huwa hujazenu nihizo kamaniuongo bainishaapo kwaushahidi wavitabu kama shekh anavofanya usiletechuki ktk dini
Toa hilo sanamu hapo ulipo😊
wahabi huna jipya umefilisika kimawazo
HUYO KASIMU MAFUTA ANALO SANAMU LAKE ..ATEMBEA NALO KILA MAHALA .. AKISAFIRI KWENDA NJE LAZIMA AWE NA SANAMU .. AKISAJILI LAINI ZA SIMU LAZIMA AWE NA SANA LAKE YEYE MWENYEWE, PIA ANALO SANAMU LAKE LA URAIA WA TANZANIA
😊😊😊😊😊😊😊😊😊@@RahmaKhalfan-j1c
😊😊😊😊😊😊😊😊😊@@RahmaKhalfan-j1c
😊😊😊😊😊😊😊😊😊@@RahmaKhalfan-j1c
Sasa muhamed idd hapo kuna qarina
WAONGEA kwanufaham wanani??
Anaongea kwa ufaham wako weboya?
Anaongea kwa ufaham wako weboya?
Wew mpumbav wa mwisho aisee wew unataka aongee kwa mfaham wa nani au wa bibi yako
Dah! Huyu nae nimwanafunzi anaetafuta elimu kweli ndio anaakili ya hivi?
Mbona swali zuli kama Huna jibu usitukane
Hata yule shekh kassim mafuta anamuona yule mzee anamatatizo mana shekh mafuta yeye kapita shamsiya lakn hajwahi kuleta uongo kama hili zee
We kwanza jifundishe Adabu halafu ndo uskilize hizo darsa
yule analaana ya shekhewake na anapoelekea atakuja kuvuanguo jiulize wee mtu kayakataa maulidi alaf badalayake anakwenda kuyasoma ndani yamisikiti yao na wenzake wanaitika simtihaniuwo?
MAWAHABI NI MAKAFIRI WANAOVAA KANZU
Naendelea kufuatilia napata namm wasiwasi
Hivi kweli unaakili timamu na unajua mzigo wasmadhambi unao ubeba Kwa kukufurisha waislamu? ALLAH AKUSAMEHE NA AKUONGOZE KTK HAQ
Naendelea kusema .. MAWAHABI NI MAKAFIRI WANAOVAA KANZU.. MAWAHABI NI MAKAFIRI KAMA ALIVYO IBN TAYMIYYAH
Kuanzia leo sasa maadamu ameanza kujitia ilmu eti kwa ufahamu na hawaa zake pasi na kunukuu kutoka kwa mwanachuoni yoyote ameanza kuzifasiri Aya na Hadithi basi na angoje majibu ya kielimu kutoka kila pembe ya nchii hii na hapo utakua ndio mwisho wake! Watu hawakua na haja ya porojo na matusi yake lakini huku alikojitia sasa keshayakanyaga😂
Habari ya kutakiw tangamano mbona sijaiskia hap
tangamano akafanye nini kwani yeye machinga?
@@RahmaKhalfan-j1c😂😂😂,asante sana
Nami nitaaza kupiga adhana mje mswali idd bila shaka hakuna kizuizi nikianzisha jambo la kheri
Maana kila mtu ajua faida ya adhana.kwa kuzingatia maana yakullu
Ibada hio ya idd mtume ashaeleza namna ya kutekekeza idd huweza kuongeza hapo
Halafu ufahamu swala ya eid ni sunnah,
Halafu adahana ni wito wa wajabu (yaani ukiadhini unamaanisha ni lazima watu waitikie wito wa adhana)
Sasa utaadhini vipi katika swala ya sunnah..?
Hebu someni Dini nyinyi masalafi bhana, msitumie akili zenu kuuliza ujinga
hapana sala ya iddi inautaratibu wake tauqifiyyah swala la maulid nijambo ambalo wanazuoni wamekhtlifiana nawala sitatizo
@@malickyhussein9032 haya inshall nitaanza Leo kusoma
@@FarajiAbdallah-yw2wn Maulidi ni bidaa wala hakuna mwanachuoni aliohitilafiana ktk hilo acha uwongo!
Kama masheikh walipondoka na kuporomoka ktk yale aliyotufundisha mtume swala na salamu ziwe juu yake je tuwafuate hivohivo?! Hii dini sio ya makhurafi
NILICHOJIFUNZA HAPA NI:
1. MUHAMMAD IDDI, Anafanya propaganda ili kuwa furahisha WAKUBWA.
2. KUNA TOFAUTI KATI YA MAULID NA KUMSWALIA MTUME. Kila Muislam anayeswali anamswalia mtume(S.A.W) katika swala.
3.TWARIQA WENGI MNAPENDA ZILE SHEREHE ZA MAULID ILA HAMUMPENDI MTUME NDIO MAANA HAMRIDHIKI NA UKOMO KATIKA IBADA ALIZOLETA, PIA HAMTAKI KUMFUATA KIMATENDO.
Akili ndogo haihitaji madrasa
1. Wakubwa wapi?
2. Tofauti ipi? Kwenye maulid mtume haswaliwi? Au ni mambo gani yanafanyika kwenye maulid?
3. Kusema huyu hivi yule vile bila elimu ni kutoa hukum, huoni kama unafanya Kazi ya Allah? Je hiyo ni sahihi?
Mdomo wako mohd iddi ni nzuri kwa tarumbeta la mziki unsubiriwa kenya na said omar mukaanzishe chama cha mziki
nan abebe kalamu na pensel wala huna hoja
Bwege we
Tuliza dawa ikuingie mwehu wew
hoja ndiyo ipi
@@fahmiiidrisa5110 Na keli dawa mawahabi imewaingia maana hapa siwaoni wengi sijui wamekimbilia wapi
Wewe mwenyewe ni tatizo wala usimsingizie Mtume wetu SAW
Hivo unavotafsiri ni kwa ufahamu wanani? Hivo ndivo walivofahamu wema waliotangulia ?....acha talbis abu iddi
ebu naww tafsiliyako tuone nyumbu ww
Aliyesema kila bidaa ktk dini ni upotofu ni shekh wenu wa kisufi Abul Abbas Ibn Hajar Alhaythamiy anasema kila bidaa ktk dini ni upotofu ktk kitab chake chake alfataawa alhadiithiya
Alaf kwan mm nikimfunza mtu Quran...huyo mtu akisoma yy si anapata thawab na mm napata thawab kwahiyo mm ndio nimeanzisha kusoma Quran?
Alaf ktk kuuwa...kwan mauaji si yalianzishwa na majini kabla ya binaadamu?
Alaf kwa maelezo yako kumbe nimefaham kuwa kullu haienei ndiomaana tunasema bidaa zote ktk dini au ktk ibada ni upotofu lkn bidaa ktk mambo ya ada na wasiila sio bidaa ya upotofu.
Kisha km mtume alikuwa akipokea kheri na kukataa shari..mbna alimkataza swahaba kuswali usiku kucha na yule aliyetaka kufunga swaum? Au hayo ni mambo ya shari?
Alaf mtume,alisema tufuate sunnah za makhalifa tayari yeye ameshatoa tazkiya kwao hao makhalifa hao na kuna kanuni pia...nyie mmepewa tazkiya na nan?
Alaf huoni kuwa maswahaba na tabiina na waliofuatia walikuwa wakitahadharishana kuhusu bidaa ktk dini.
Yaonesha almaswaalihul mursalah huyajui shekh..na mpk hoja za kuweka AC bado unazitumia...yan bado unahisi kujenga msikiti wa matope au wa mitende ni sunnah aisee huu ni mtihan
Hivi huyu ni sheikh au #Shehena? Maana jiimwili kubwa akili ndogi
Acha matusi toa hoja zako
Tupe dalili 😂😂😂
Tuliza dawa ikuingie barabbara
Mawahabi msikilizeni huyu mwanachuoni ili musipotoshwe tena na Mafuta na washirika wake wasiojua kitu
ACHA PROPAGANDA NA KUTENGENEZEA MANENO WATU, ALLAH NI FUNDI KUKULIKO.
HAKUNA MTU ANAYEPINGA WALA KUKATAA KUMSWALIA MTUME!. TATIZO NYIE IBILISI AMEWAPAMBIA KATIKA HILO JAMBO NA MNALIPENDA HASWA, NYIE MNAPENDA SHEREHE WALA HAMUMPENDI MTUME KWA DHATI
JIHADHARINI NA HAWA WANAWAGAWANYA BWANYENYE AENDELEE KUTAWALA HAWA NI ZAO LA WAZAYUNI ..iDDI UNATUMIKA NA WAZAYUNI BILA KUJUA ACHA HAYA MAPOTOFU
SHEKH BAADA YA KUKAA BENCHI MUDA MREFU ANAPAMBANA APEWE NAFASI TENA BAKWATA...DAH!
Wew unajua yalio moyon mwake???
Sio kuanzishaa
Nimwenye kuhuishaa
Sema sababu ya hadithi
Sanna lqatla wakwanza kuuwa nani? Ikawa akahuisha nwana wa adamu? Elimu bahari
Umekwama kasome Quran utajua wakati Allah alipotaka kuumba khalifa walisema Nini malaika utajua huko baqara
Wew huna akili الأصل في الكلام الحقيقة hyo tafsri umetoa wap
We mwehuu sana Sanna nikuanzisha na sio kuhuisha
Huna ulipo