Sheikh Mohammed iddi amjibu MPOTOSHAJI WA VETENARY (PART I)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 642

  • @sportsentertainmentvideo6633
    @sportsentertainmentvideo6633 5 років тому +3

    Innalillah wa inna ilayhi rajiuun!! Yaa ALLAH Wape hidaya hawa wanao jiita Mashekh!!! Shekh unashindwa hata kujua misikiti yoooote ni ya ALLAH... Unamilikisha mtu!!! Kwa sabababu tuu! Anausimamia....!!!

  • @maryammct3967
    @maryammct3967 4 роки тому +4

    Maskin shekh nurudini aallah akuhifa dhi nahusda amin

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 5 років тому +5

    Kwa mtazamo wangu ABU IDDY vinavyokusumbuwa ni roho mbaya,choyo na husda vinakusumbuwa dhi ya mwenzako,hakuna lengne,ningetegemea ujibu au utoe hoja za kimsingi,m mungu akutoe kwenye ubaya wa mawazo hayo,na ole wao wanoijuwa dini ikisha wakaipotosha watakavyo wao

  • @luqmanhamed9710
    @luqmanhamed9710 5 років тому +2

    DAH SHEIKH ELIMU HAINA MANUFAA KWAKO......UNAMWITA KISHKI MPOTASHAJI KUMBE UNA ROHOOO MBYA UNTAJA MAMBO ANAYOMILIKI.....RUDI KAMUOMBE MSAMAHAA.........na Umejuaje kma Sudeis hajiii pengine ni amechelewa tu.

  • @habibuhabibuzahoromakamezahoro
    @habibuhabibuzahoromakamezahoro 3 роки тому +3

    Tatizo ww ni sufiii na yule ni suniii ni tofauti sana Acha husda ww unajizalilisha shekh rurdin kishki yuko sawa kabisa

    • @nassorbinfundi1196
      @nassorbinfundi1196 3 роки тому

      Sunni nani suhf nan, soma dini kwanza ndugu yangu.

    • @Mofaiz_11
      @Mofaiz_11 3 місяці тому

      wamaanisha wewe ni sunni yule ni wahabi

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 5 років тому +5

    nyinyi masheikh wanafiki hamuwasemei mashekh wako magerezan mmebaki marumbano kazi yenu majungu tu

    • @othmanhamad7887
      @othmanhamad7887 18 днів тому

      mm nakereka sn mashekh kupondana hasa mitandaoni cjui wamepata wapi hii, na cjui ndo tujifunze nn mana cku mashekhe wng hawakai wakarekebishana wnyw wankj mitandaoni tena ni masheikh wakbw tunaowategeme ktk elimu za dini INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIU'UUN.

  • @jamalbahdela524
    @jamalbahdela524 5 років тому

    Jazaakallah kheyr Al allama Sheikh Muhammad Iddi endelea kuwaweka sawa, na maashaallah kila siku wanaendelea kukana kauli zao zilizopita, linalowasumbua ni kutaka umaarufu tu, na umaarufu unapatikana kwny fani nyingi waende huko si kwny dini, Dini inataka ilmu , uadilifu na ucha Mungu.

    • @yussufismail2822
      @yussufismail2822 5 років тому

      Abuu Iddi Huyu kijana achana nae hoja zake zinakubalika.

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 3 роки тому

    Uko sawa sana shekh, sasa san nidhama za kizazi chaleo adabu hakina

  • @mussajangwa4878
    @mussajangwa4878 3 роки тому

    Sheikh Muhammad iddy mtu mwingine kukuelewa ni ngumu sana
    Lkn kwa hakika unayo yasema ni sahihi sana
    Unajua binadamu wengi tumezigawa dhambi kwa rangi zetu, Nurdin kishk hana ilmu ya kutosha na sisahh ktk mengi anayo yawasilisha yanataka ufafanuzi wa kiilmu
    Weng wanachoangalia ni rangi na UKABILA
    Sheikh Mohammed Usiogope kumradd mtu yyte anayo thubutu kuzungumza jambo la dini kwa matamaniyo yake!!!!

  • @mkude
    @mkude 5 років тому +4

    Sheikh hili swala lina ikhtilaf ungeenda moja Kwa moja kwenye hoja,lakini namashaka unavyozungumza Mali Mali inaonekana kama unahusda vile, ALLAH AKUONGOZE WEWE NA SISI WOTE.

  • @khalidalmosty8087
    @khalidalmosty8087 5 років тому

    Sh Mohd idd umekosea sana kwa ulokifanya. Mas'ala hapa ni ikhtilaaf kuhusu siku ya Arafah ambalo lipo nchi kadha sio Tanzania tu. Busara ni mashekhe wetu kukaa na kuwafikiyana so kusosowana mitandaoni na kuwachanganya waumini na kuwapa faida maadui. Zaidi umeanza kwa huonyesha Husda juu ya mafanikio ya mwezio na Fitna kwa Mufti. Tuogope ghadhabu za ALLAH.

  • @nurasalimu2403
    @nurasalimu2403 Рік тому

    Nampenda nurudini kishiki Allah amhifadhi shekhe wetu mumuache

  • @rajabungowo3306
    @rajabungowo3306 3 роки тому

    NINACHOKIONA HAPA SI KINGINE BALI NI JUHUDI ZA WAZI ZA KWAKO SH.MOHAMMED IDD ZA KUUGAWANYA UMMA..SIJUI KAMA UNALITAMBUA HILO..NASIKITIKA SANA HEKMA YAKO IMEKUA NDOGO SANA..TENA UMEJIONA BORA SANA NA MWENYE AKILI ZAIDI KULIKO SH.KISHKI NA MASHEKHE WENGINE..PIA UMEDHIHIRISHA CHUKI YA WAZI KWA SH.KISHKI KWA JAMBO LA KHILAFU....NATAMANI UJUMBE HUU UUPATE WEWE MWENYEWE...UNAONEKANA KUTAFUTA MASHABIKI ....KILA SHEIKH ANA UDHAIFU WAKE LAKINI WEWE UNAJIONA MBORA SANA NA MWENYE AKILI KUWAZIDI WENGINEE....

  • @abdulshakuurmwenda7519
    @abdulshakuurmwenda7519 3 роки тому +1

    *💢انظرْ إلى الحق والنصوص ولا تنظرْ إلى الباطل والشخوص (1)💢*
    *💢ANGALIA KWENYE HAQQI NA DALILI NA USIANGALIE KWENYE BAATWIL NA WATU (1)💢*
    *قال الإمام ابن باز - رحمه الله تعالى - :*
    *🔶Amesema Imaamu Ibnu Baaz ALLAH Aliyejuu Amrehemu:*
    *《 عليك أن تأخذ بالحق وأن تتبع الحق إذا ظهر دليله ولو خالف فلاناً ، وعليك أن لا تتعصب وتقلد تقليداً أعمى 》.*
    *🔷Jilazimishe Kuchukua Haqqi na Kufuata Haqqi Wakati Itakapo Dhihiri Dalili Yake na Hata Akienda Kinyume (Na Haqqi) Fulani ,Na Jilazimishe Usiwe Na Taaswswubu (Kuwa Upande Wa Mtu Na Kumnusuru Mtu Na Kuwa Pamoja Na Mtu Hata Akiwa Ktk Makosa) na Unafuata Ufuataji Wa Kipofu (Kumfuata Mtu Ktk Jambo Fulani Moja Kwa Moja Bila Kujua Usahihi Wake,Pasina Kupunguza Wala Kuzidisha ktk Hilo Jambo).*
    *📓📔 مجموع الفتاوى ( 343/1 )*
    *📓📔Maj'mouul-Fataawaa (343/1).*
    *🔺NYONGEZA KUTOKA KWA ALIYETAFSIRI:*
    *🔸Hakika Kweli Kabisa Ulamaa Ni Warithi Wa Mitume Juu YAO Rahmah na Amani.*
    *🔹Wanafanya Kazi Waliyokuwa Wakifanya Mitume Ya Kuwaelekeza Watu Ktk Haqqi Na Mambo Ya Kheri Anayoyapenda ALLAH Na Kuyaridhia.*
    *🔸Sheikh Bin Baaz ALLAH Amrehemu, Anatoa Nasaha Muhimu Sana Kwa Waislamu Kuhusu Kufuata Haqqi Inapodhihiri Dalili na Haifai Muislamu Kuwa Pamoja na Mtu Na Kumshabikia Na Kumtetea Na Kumnusuru Hata Akiwa Ktk Baatwil na Kumfuata Mtu Kama Kipofu Hajui Anakoelekea Au Anakoelekezwa.*
    *👉🏾Jitahidi Uangalie na Ujue Haqqi Iliko Uifuate na Kuwa Na Watu Wa Haqqi Kwa Dalili na Usiangalie Wingi Wa Watu Ktk Baatwil.*
    *👉🏾Usimfuate Mtu Yeyote ktk Baatwil Hata Akiwa Ni Sheikh Wako na Jitahidi Kufuata Haqqi na Kufuata Qur'aan na Sunnah Kwa Ufahamu Wa Waja Wema Waliotangulia (Salaf Swaaleh).*
    *👉🏾Kuna Baadhi Ya Waislamu Wanawapenda Masheikh Zao,Mpaka Akiambiwa Sheikh Wako Amekosea Ktk Jambo Fulani, Anakasirika na Kuongea Maneno Mabaya Na Matusi Na Kuona Watu Wanamuhusudi Na Hawampendi Sheikh Wake Na Anadhani Watu Wanataka Sifa Na Ukubwa.*
    *🔹Tusiwe na Ushabiki Ktk Kufuata Dini Kama Ushabiki Wa Mpira Wa Miguu Au Siasa Za Urongo.Dini Yafuatwa Kwa Dalili.*
    *🔸Jitahidi Ewe MUISLAMU ,Upende Haqqi Zaidi Kuliko Kumpenda Mtu Yeyote Ktk Dini.*
    *👉🏾Ujinga Ktk Dini na Matamanio Mabaya ya nasfi Nimiongoni Mwa Sababu Kubwa Zinazopelekea MUISLAMU Kuipinga na Kuikataa Haqqi Inapodhihiri na Kufuata na Kuikubali Baatwil.*
    *🔴IKIWA KUNA MAKOSA,TAFADHALI USIBADILISHE CHOCHOTE NA KUWA MUELEWA NA MSIKIVU NA WASILIANA NA MUHUSIKA.*
    *👉🏾ALLAH NDIYE MKAMILIFU ZAIDI NA MJUZI ZAIDI.*
    *👀IMETAFSIRIWA NA:*
    *👉🏾ABUU ABDILBARRY ABDULSHAKUUR BIN JAMES BIN MWENDA ASSALAFIYY AL-HAMBALIYY (حفظه الله تعالى ورعاه وسدده).*
    *💢Mombasa,Kenya🇰🇪.*
    *🌹WhatsApp: +255713444054.*
    *🌹Call: +254724992753.*
    *📆27/Dhul-Hijjah (12)/1439 H.*
    *📆07/09/2018 M.*

  • @nassoraliy1882
    @nassoraliy1882 5 років тому +2

    Sheikh wewe ni kaka yangu kwa umri lakini nakushauri kwa ajili ya Allah uje zanzibar usome,,kuna watoto wadogo sana watakupa elimu,,naamini utaridhika

    • @rajabmussa6913
      @rajabmussa6913 5 років тому

      ww ushasoma kwa hao watoto

    • @abdulbastadam7985
      @abdulbastadam7985 4 роки тому

      Kbx

    • @presenterkabuma1646
      @presenterkabuma1646 3 роки тому

      Acha upimbi boya wewe znzbr kuna masheikh? mi naon wamejaa mashoga tu huko.

    • @mussajangwa4878
      @mussajangwa4878 3 роки тому

      Jaahil murakkab ww
      Hivi hujapata kujua mpaka hapo kwamba huyo ni sheikh??????
      Et njoo Zanzibar???? Kwa lip wabaguzi wakubwa nyie

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 3 роки тому

    Nawashangaa kwanini nyinyi MASHEKH ambao tunawaamini mnapiga vita na vijembe kweli dunia imeisha nawaomben msituchanganye nyinyi wasomi wakileo acheni tabia mbaya hiyo mungu haridhiki na mfumo huo

  • @TheIslam1681_
    @TheIslam1681_ 5 років тому +6

    Wajibu wooote hao lkn huwezi kumjibu Sheikh kasim mafuta wala Abu Hashim, Ushauri wangu ni kua nyoa sharubu na uanze kufuga ndevu.

    • @hamadamaani2516
      @hamadamaani2516 5 років тому +2

      Kama wenye elimu wamejibiwa itakuwa wajinga hao kassim mafuta

    • @TheIslam1681_
      @TheIslam1681_ 5 років тому

      Mjinga nani?

    • @hamadamaani2516
      @hamadamaani2516 5 років тому

      @@TheIslam1681_ kassim mafuta sio mjinga kwa mana Hana akili LA mjinga kwa maana Hana elimu

    • @TheIslam1681_
      @TheIslam1681_ 5 років тому

      Ndio mafundisho yenu hayo mashia na masufi kutukana wanazuoni.
      Allah akuineshe haki.

    • @hamadamaani2516
      @hamadamaani2516 5 років тому +1

      @@TheIslam1681_ wallah Si kweli kassim mafuta ni mwana Wa chuoni Wapi? Kwa insaaf tuende pole pole nimetanaazal

  • @salminisekiondo7951
    @salminisekiondo7951 5 років тому +7

    mzee ingia kwenye mada kwaiyo we ulitakataje kwani wivu wako tu kama wataka kumlekebisha mfuate acha husda na maisha ya mtu wislam gani uwo

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 5 років тому

      Umemuona mpaka anatetemeka kwa husda ulivyo mjaa eti naye shk

    • @abdulbastadam7985
      @abdulbastadam7985 4 роки тому

      Hasidi hana sababu ile zeee hasidi yan kinachomuumiza ni mafanikio tu jitu mwenyew lina mtizamo wa kiyahudi ilo masharubu mama mlokole

    • @mohamedmzeeassuufiyy1334
      @mohamedmzeeassuufiyy1334 3 роки тому

      Ngoja akosolewe public .. Yani aharibu public kisha akosolewe private .. We VP ?

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 4 роки тому

    Sheikh mimi nimeskiliza hoja za pande zote mbili na nimejikinaisha kuwa Arafa inafungwa kwa mujibu wa mwandamo wa mwezi wa sehemu uliyo. Hoja za msingi niliziskia kwa Alhabib Mbarak Awesi na zikaingia akilini mwangu. But ukweli umekosea sana tena sana kwa hili ulilofanya. Huwezi kumwita Sheikh mkubwa kama Nurdin Kishki eti mpotoshaji. Allah akusamehe na ikibidi kamuombe radhi.

  • @kalelaonlinetv
    @kalelaonlinetv 5 років тому +2

    Umemsifu saana sheikh kishki mashaa Allah kumbe kishiki jembe

    • @fetysukafetysuka8811
      @fetysukafetysuka8811 5 років тому +1

      jembe naam shekhe wa kimataifa allah amulipe mema

    • @saidshamuhuna9237
      @saidshamuhuna9237 5 років тому

      Sheikh Idd Abuu Idd nakukubali sana, Kishki ni muongo sana tena sana, anapenda kujisifia sana wakati elimu yake kidini ni yakawaida

    • @selemanadam8642
      @selemanadam8642 4 роки тому

      @@saidshamuhuna9237 mawahabi yote hayana akili wala Hamna elimu ya ddiin toeni fatua sio akilizenu nendeni mkasome SHEKHE atoa dalili ninyi mnashindwa nn kutoa dalili,wore mko kwa ajili ya kupotosha watu hiyo ni aibu ya mawahabi looooo aibu hamna

    • @selemanadam8642
      @selemanadam8642 4 роки тому

      Sio jembe Bali ni mpini town fatua mbona vitabu vipo shida iko wapi we hapo ulipo huna elimu et amsifu kishki

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 років тому +5

    Usifunge mjadala sheikh ikitokea kujibu basi jibu ss tunosikiliza hoja za pande zote mbili tunapata faida sana

  • @salehabadsalehpur796
    @salehabadsalehpur796 5 років тому +4

    Simkubali Sheikh Mohamed Iddi katika mambo mengi ila katika hili kuhusu kauli za viongozi wa dini wa Saudi Arabia yupo sawa, Masalafi na Maanswar Sunna lazima mkubali tatizo lipo kwa Viongozi wa dini wa Saudi Arabia kwanini hili hamtaki kukubali?Bakwata siwakubali ila katika hili wapo sawa kwasababu wana nukuu kauli za Viongozi wa dini wa Saudi Arabia ambao wanataka watu wafuate viongozi wao wa dini katika nchi zao, hawaoni umuhimu wa Umoja katika Waislamu. Ila swali langu kwa Sheikh Mohamed Iddi na Bakwata hizo nchi zaidi ya 100 zinazofuata Saudi Arabia hawasomi hivyo Vitabu unavyonukuu? Kwanini bado wanafuata muandamo wa Saudi Arabia? Tena wengine wamepishana nao masaa wakati sisi na Saudi Arabia wakati mmoja bali hata wakati wa kuzamaa kwa jua. Kwa kifupi:
    1, Kwanza tukubali tatizo lipo Saudi Arabia na Viongozi wa dini Saudi Arabia kwa sababu hawataki na hawaoni umuhimu wa Waislamu kuwa na Eid mmoja.
    2, Bakwata nao Wanatumia mapungufu ya viongozi wa dini ya Saudi Arabia kwa sababu zao binafsi na hasa Umimi wa Uswahili kuliko Umoja wa Kiislamu.

  • @rachelevarist70
    @rachelevarist70 4 роки тому

    sheh iddi watakuchanganya mwisho wake umkosee mungu ww achananao wenye kuelewa wataelewa hayo madhehebu niyakigeni

  • @nassoraliy1882
    @nassoraliy1882 5 років тому +2

    Assalaamu alaykum,,jamani lakini nimechunguza kua hata masheikh wana hasad

  • @hamadamaani2516
    @hamadamaani2516 5 років тому +2

    Hapa abuu idd Ana makosa Sana kuingilia katika shakhsiyat za mtu ila kielimu yuko juu

  • @matumbistanmikau2895
    @matumbistanmikau2895 5 років тому +1

    Kazi unayo sheikh. Haki siku zote uwa wazi na batili ujitenga.

  • @snkhannassoro2404
    @snkhannassoro2404 5 років тому +7

    Huu ni msiba
    Mashekhe mnadhalilishana mitandaoni,wallah hizi ni alama za kiama,
    Kwanini msikutane mahali pa heshima na mkafikia azimio la pamoja,kuliko kuushia kutukanwa mitandaoni na waumini,pamoja na kudharauliwa na wale waliokufuru?

  • @hutisaleh2320
    @hutisaleh2320 4 роки тому

    Ahsante sana kiboko wa wapotoshaj wabishi wasojua ilimu

  • @issamohd9955
    @issamohd9955 5 років тому

    Shekhe mm naona ww ushapagawa nanjaa inakusumbua natena unapupa yahicho unacho ahidiwa kwahao wanao kutuma nimekukubali kwenye suala la funga yasiku ya arafa lkn kwahaya mengine sasa tunakuachia mwenyeo mpaka mashindano ya Qur-an yashawauma subhanallah hio ni husda ya waziwazi jirekebishe maisha mafupi akhera ndo yenye kubakia she kishki tunakupenda natutazidi kukupenda usivunjike moyo upo katika njia yahakki ww hivi nivibakwata tu vinanjaa wao niunafki na husda Allah atustiri nao waumbuke wao

  • @abdulazizmohamed3715
    @abdulazizmohamed3715 5 років тому +2

    Sina elimu ya usheikh lakini tujikite na kuijenga uislam sio kubomoa Hakuna mkamilifu Allahu aalam.

  • @abdulshakuurmwenda7519
    @abdulshakuurmwenda7519 3 роки тому

    *💢طُـرُق مَعْـرِفَـة دُخُـولِ شـَهـْرِ رَمَـضـَانَ💢*
    *💢NJIA ZA KUJUA (KUFAHAMU) KUINGIA KWA MWEZI WA RAMADHANI💢*
    ✍🏽 *قَـالَ العَلّامَـة صَـالِح الفَـوْزَان -حَـفِظَهُ الله تعالى-:*
    *🔶Amesema Mwanawachuoni Mkubwa Swaaleh Al-Fawzaan ALLAH Aliyejuu Mtukufu Amuhifadhi:*
    *❍ ويبدأ وجوب صوم شهر رمضان إذا علم دخوله.*
    *🔹Na Unaanza Ulazima Wa Kufunga Mwezi Wa Ramadhani Wakati Utakapo Fahamika Kuingia Kwa Mwezi Wa Ramadhani.*
    *وللعـلم بدخـوله ثـلاث طـرق :*
    *🔸 Na Kujua Kuingia Mwezi Wa Ramadhani (Kuna) Njia Tatu:*
    *(❶) الطـريقة الأولـى: رؤيــة هلالــه،*
    *قـال تعـالى: ﴿ فَمَنْ شَهِدَ مِنْكُمُ الشَّهْر فَلْيَصُمْهُ ﴾*
    *🔷Njia Ya Kwanza: Kuonekana Kwake Mwezi Muandamo, Amesema ALLAH Aliyejuu Mtukufu: ...Basi Atakayekuwa Mjini Ktk Mwezi Huu Naafunge...*
    *وقـال النـبي **-ﷺ-** : (( صـومـوا لـرؤيـته ))،*
    *🔹Na Amesema MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM: Fungune Kwa Kuonekana Mwezi,*
    *فمن رأى الهلال بنفسه؛ وجب عليه الصوم.*
    *🔸Basi Mtu Yeyote Ambaye Atauona Mwezi Kwanafsi Yake (Yeye Mwenyewe); Nilazima Juu Yake Kufunga.*
    *(❷) الطريقة الثانية: الشهادة على الرؤية، أو الإخبار عنها؛ فيصام برؤية عدل مكلف إخباره بذلك؛*
    *🔷Njia Ya Pili: Ushuhuda (Uthibitisho Wa Khabari Yakinifu) Kwa Kuonekana (Mwezi), Au (Kupatikana) Khabari Ya Kuonekana Mwezi; Basi Hufungwa Mwezi Wa Ramadhani Kwa Kuonekana (Mwezi) Na Mtu Muadilifu Mwenye Kukalifishwa Na Sheria (Aliyebaalegh) Kwa Kutolea Khabari Kwa Jambo Hilo (Kuonekana Mwezi).*
    *لقـوله ابـن عمـر: "تراءى الناس الهلال، فأخبرت رسول الله **-ﷺ-** أني رأيته، فصام، وأمر الناس بصيامه"،*
    *🔶Kwaqauli Yake Ibnu Umar: Waliutazama (Waliutafuta Na Kujaribu Kuuangalia) Watu Mwezi, Basi Nilimwambia MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM Hakika Mimi Nilimeuona Mwezi, Basi Alifunga (MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM) Na Aliwaamrisha Watu Kufunga Mwezi Wa Ramadhani.*
    📚 *رواه أبو داود وغيره، وصححه ابن حبان والحاكم.*
    *📚Ameipokea Hadithi Imaamu Abuu Dawuuda Na Wengineo, Na Ameisahihisha Hadithi Imaamu Ibnu Hibbaanu Na Haakimu.*
    *(❸) والطريقة الثالثة: إكمال عدة شهر شعبان ثلاثين يوما، وذلك حينما لا يرى الهلال ليله الثلاثين من شعبان مع وجود ما يمنع الرؤية من غيم أو قتر أو مع وجود شيء من ذلك،*
    *🔷Na Njia Ya Tatu: Kukamilisha Hesabu Ya Mwezi Wa Sha'abaan Siku Thalathini, Na Itakuwa Hivyo Wakati Haukuonekana Mwezi Usiku Wake Wa Tarehe Thalathini Ktk Mwezi Wa Sha'abaan Pamoja Na Kuwepo (Kupatikana) Kitu Ambacho Kinazuiya Kuonekana (Mwezi) Ktk Mawingi Au Thiki Ya Moshi, Au Pamoja Na Kuwepo Kitu Chochote Kutokamana Na Hivyo,*
    *لـقولـه **-ﷺ-** : ((إنما الشـهر تسعة وعشرون يوما؛ فلا تصوموا حتى تروا الهلال، ولا تفطروا حتى (تروه، فإن غم عليكم؛ فاقدروا له ))،*
    *🔶Kwaqauli Yake MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM: Hakika Sivinginevyo, Mwezi Nisiku Ishirini Na Tisa; Basi Msifunge Mpaka Muuone Mwezi, Nawala Msifungulie Mpaka Muuone Mwezi Basi Pakifunikwa Juu Yenu; Basi Qadirieni (Kisieni) Kuonekana Kwa Mwezi (Mwezi Utakuwa Haukuonekana),*
    *☜ ومعنى "اقدروا له"؛ أي: أتموا شهر شعبان ثلاثين يوما؛ لما ثبت في حديث أبي هريرة: "فإن غم عليكم؛ فعدوا ثلاثين".*
    *🔷Maana Yake Qadirieni (Kisieni) Kuonekana Kwa Mwezi: Maana Yake: Kamilisheni Mwezi Wa Sha'abaan Siku Thalathini; Kwa Yale Maneno Yaliyothibiti Ktk Hadithi Ya Abiy Hurayrah: Basi Pakifunikwa Juu Yenu, Basi Hesabuni (Mwezi Wa Sha'abaan) Siku Thalathini.*
    *📚 [ "الـمـلـخــص الــفـقـهــي" (٣٧٤/١-٣٧٥) ]*
    *📚 [“Al-Mulakhkhaswul-Fiq'hiyuu ” (1/374-375) ].*
    *🔺NYONGEZA KUTOKA KWA ALIYETAFSIRI:*
    *🔸Ewe Ndugu Yangu Muislamu Mtukufu, Mwezi Muandamo Unaandama Mwanzo Wa Mwezi Na Unapita Ktk Vituo Vyake Na Kupotea Na Kuandama Tena Na Ndiyo Tunapata Kujua Hesabu.*
    *✍🏽قَالَ اللَّهُ تَعَالَى:*
    *( وَالْقَمَرَ قَدَّرْنَاهُ مَنَازِلَ حَتَّىٰ عَادَ كَالْعُرْجُونِ الْقَدِيمِ )*
    *( لَا الشَّمْسُ يَنبَغِي لَهَا أَن تُدْرِكَ الْقَمَرَ وَلَا اللَّيْلُ سَابِقُ النَّهَارِ ۚ وَكُلٌّ فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ )*
    *👉🏾Amesema ALLAH Aliyejuu Mtukufu:*
    *Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe.*
    *Haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku kuupita mchana. Na vyote vinaogelea katika njia zao.*
    *✍🏽قَالَ اللَّهُ تَعَالَى:*
    *( الشَّمْسُ وَالْقَمَرُ بِحُسْبَانٍ )*
    *👉🏾Amesema ALLAH Aliyejuu Mtukufu:*
    *Jua na mwezi huenda kwa hisabu.*
    *Sura Ya 55 Aya Ya 5.*
    *✍🏽قَالَ اللَّهُ تَعَالَى:*
    *( وَهُوَ الَّذِي خَلَقَ اللَّيْلَ وَالنَّهَارَ وَالشَّمْسَ وَالْقَمَرَ ۖ كُلٌّ فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ )*
    *👉🏾Amesema ALLAH Aliyejuu Mtukufu:*
    *Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.*
    *Sura Ya 21 Aya Ya 33.*
    *👉🏾Kunathibiti Kufunga Na Kufungua Ktk Mwezi Wa Ramadhani Kwa Njia Tatu:*
    *1-Njia Ya Kwanza: Kuuona Mwezi Muandamo Wewe Mwenyewe.*
    *2-Njia Ya Pili: Kupata Taarifa Iliyothibiti Ya Kuonekana Kwa Mwezi Kutoka Kwa Mtu Au Watu Waadilifu.*
    *3-Kukamilisha Siku Thalathini Ktk Mwezi Wa Sha'abaan.*
    *🔹Ewe Ndugu Yangu Muislamu Mtukufu, Zingatia Kwamba, Dunia Imekuwa Kama Kijiji.Maana Yake: Kuna Wepesi Wa Kupata Taarifa Ktk Mambo Yote Muhimu Ktk Wakati Huu Tulionao Wa Teknolojia Na Jambo Halikuwa Likiwezekana Wakati Uliopita Ktk Zama Za MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM Na Zama Zilizofuatia Kabla Ya ALLAH Kujaalia Teknolojia Ulimwenguni.*
    *👉🏾Yawezekana Waislamu Kufunga Siku Moja Dunia Nzima Au Sehemu Kubwa Ya Nchi Na Mataifa Duniani -Khasakhasa Kwa Nchi Na Mataifa Ambayo Yanakaribiana Hali Ya Kuzama Kwa Jua Na Kushomoza Kwa Jua - Ikiwa Tutazingatia Mafundisho Ya Dini Yetu Ya Uislamu Na Kuwa Na Ikh'laaswi Ktk Kuyaendea Mambo Ya Dini Yetu.*
    *👉🏾Hivi Inaingia Akilini, Eti Dar es Salaam Na Unguja Na Tanga Na Pemba Na Morogoro Na Dodoma Na Mombasa Na Malindi Na Lamu Wawe Na Muandamo Wao Wa Mwezi Na Haiwezekani Kufunga Pamoja!!.*
    *🌟Tanbiih: Waislamu Hawafungi Kwa Mwezi Wa Saudi Arabia Na Saudi Arabia Hawana Mwezi Wao Na Mwezi Nikiumbe Cha ALLAH Na Waislamu Wanafunga Kwa Kuonekana Mwezi Wakati Utakapoonekana Au Taarifa Ya Kuonekana Kwa Mwezi Au Kukamilisha Siku Thalathini Ktk Mwezi Wa Sha'abaan.*
    *🔊NB: Haiwezekani Watu Wote Tuuone Mwezi Kwa Pamoja Hata Tukiwa Mkoa Mmoja.Watauona Mwezi Baadhi Yetu Na Baadhi Yetu Tutapewa Taarifa Mfano.*
    *👉🏾Tujitahidi Ndugu Yangu Muislamu Mtukufu, tusiwafuate Watu Ktk Makosa Wakati Inapotudhihirikia Haqqi.*
    *🔴IKIWA KUNA MAKOSA KTK MAKALA HII, TAFADHALI USIBADILISHE CHOCHOTE NA WASILIANA NA MUHUSIKA NA NITABADILISHA YATAKAPOTHIBITI IN SHAA ALLAH.*
    *👉🏾ALLAH NDIYE MKAMILIFU NA MJUZI ZAIDI.*
    *👀IMETAFSIRIWA NA*
    *👉🏾ABUU ABDILBARRY ABDULSHAKUUR BIN JAMES BIN MWENDA ASSALAFIYY AL-HAMBALIYY.(حفظه الله تعالى ورعاه)*
    *💢Dar es Salaam, Tanzania🇹🇿*
    *🌹WhatsApp: +255713444054.*
    *🌹Call: +254724992753.*
    *📆08/Sha'abaan (08)/1440 H.*
    *📆14/04/2019 M.*

  • @duniaileile5522
    @duniaileile5522 5 років тому +4

    Asante sheikh wapeeee wajieleweeee
    Hawa watiaji comments ni mawahabiiiji ama ummmmah mzima ushapata faida na maneno yako kupitia kwenye hoja sahihi zinazotegemewa
    Hata mashekh zao wanawakanusha
    Ni maajabu haya, lkn ndio kawaida ya miwahabi 😂😂😂😂kwao ni ubishi tuuuu

    • @shabanoman8955
      @shabanoman8955 5 років тому

      Wewe ujue nini maana ya wahabi? Wacha ushabiki

  • @alimohd2686
    @alimohd2686 5 років тому +1

    Shekhe muogope Allah

  • @zuhuramusa9296
    @zuhuramusa9296 5 років тому +6

    Masharubuuu ha ha haaa eti mashindano yao shule yao daa tumejua kinachomsumbua shee wetu ,ALLAH ATUIFADHI MASHEHE NA MICHAMBO WAPI NA WAPI?

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 років тому +1

    ماشاء الله تبارك الله يا شيخنا الفاضل محمد عيد حفظك الله ورعاك

    • @rajabuharuna6390
      @rajabuharuna6390 5 років тому

      Mwombe allah amuongoze huyu hasidi wewe

    • @jumamichuzi4321
      @jumamichuzi4321 5 років тому

      Mbona wengine natukana matusi ivi kweli niwaisilam

  • @rashidbusanya7166
    @rashidbusanya7166 5 років тому +6

    Huna kazi ya kufanya mpaka uanze kuongea masheikh wakubwa mitandaon

    • @husseinmtima6106
      @husseinmtima6106 5 років тому

      mtu anatoa elimu ww unasema hana kazi

    • @abdulbastadam7985
      @abdulbastadam7985 4 роки тому

      @@husseinmtima6106 elimu gani anayoitoa mjinga tuu uyo yan ata haoni aibu kukaa mitandaon akataka mtu fulan aonekanwe mbaya

  • @ommarymgeni1536
    @ommarymgeni1536 5 років тому +7

    asalam alykm ndungu zangu mashekh zangu kwastayle hii hatutofkaa ivi wasokuwa waislam wanaatuonajee napia nyinyi n mashekh n heshim zenu kaeni chini mjadili mamboo ya kidin inshaallaaah

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 18 днів тому

    Mm nakereka sn mashekh kupondana hasa mitandaoni cjui wamepata wapi hii, na cjui ndo tujifunze nn mana cku izi mashekhe wengi hawakai wakarekebishana wnyw wankj mitandaoni na wakiitana watataka lazima warushwe mitandaoni na hawafikii sulhu kwa iyo cc tunaona live mashekh wanavotupiana maneno tena ni masheikh wakbw tunaowategemea ktk elimu za dini INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIU'UUN

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 3 роки тому

    Sheikh umemtaja hata mufti wa oman. Nikupe taarifa hata oman wapo wanaofuata wa kimataifa na wanaswali au wanafunga tofauti na kauli za mufti.
    Ila hawana jeuri ya kujibiana na mufti.
    Kwa kauli ya kishki aliyoongea ni sahihi na wala si kosa yeye kusali kabla au kufunga.

  • @abdurazaqhamisi4576
    @abdurazaqhamisi4576 5 років тому +3

    Hahahahaha ya sheh nakushukuru sana.Allah akupe afya nzema tena akulinde

    • @allyhamisi4709
      @allyhamisi4709 5 років тому +2

      Washukur lipi la faid alilolisem

    • @fetysukafetysuka8811
      @fetysukafetysuka8811 5 років тому

      mwenyezi mungu humhifadhi anaehifadhi aibu za watu huyo shekhe ni nimaaruufu mwenye wivu ajinyonge allah akusamehe kweli umevuka mipaka kumuumbua shekhe kishki usifumbe sema bayana

    • @kondesaidi2040
      @kondesaidi2040 5 років тому +1

      Ila anawaambia ukweli,,, dunia aijawai kufunga siku moja, tangu enzi ya mtume,,, waahaabi ni ovyo???,,. Tufuate mwezi..

    • @khaulatmohammed3765
      @khaulatmohammed3765 3 роки тому

      @@allyhamisi4709 bora umuulize 2

    • @khaulatmohammed3765
      @khaulatmohammed3765 3 роки тому

      @@kondesaidi2040 sasa ndo amwite mwenzie mpotoshaji huyo bonge nyanya hapo?

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 5 років тому +2

    Bwana huyo muislam mwenzio kama kakosea msamehe usitoe faults zake hadharani wewe ndio unajidhalilisha

  • @ibrahimomar1073
    @ibrahimomar1073 4 роки тому

    Nakunasihi Shk Abuu Iddi tambua Shk kishki yuwatoka kwenye kabila mtume swallahu Alaihi wasallam huenda ukajitafutia balaa.

  • @calvinceodhimbo6628
    @calvinceodhimbo6628 5 років тому

    babdeo kama unatafuta views sio kwa kutumia ikhtilaf baina ya masheikh....subhanaAllah

    • @BABDEOMILADU
      @BABDEOMILADU  5 років тому

      We una wazimu? Kwani hao nimewafata au wameniita kuwa na adabu views zinanisaidia nn mm

    • @neemajaylani9068
      @neemajaylani9068 3 роки тому

      @@BABDEOMILADU hahaha

  • @nurumohamedi9972
    @nurumohamedi9972 5 років тому +4

    Michango niloiona miingi ni ya mashabiki hakuna wajuzi ktk elimu ya arafa na mwezi utadhani siasa wachangiaji walivyo hata adabu wengine hawana.

  • @nasibumaiko3425
    @nasibumaiko3425 5 років тому +16

    we ndio mpotoshaji hujui dini anayejua dini haongei Kama wewe Huwa anafundisha dini unaonekana una wivu na majungu

    • @kondesaidi2040
      @kondesaidi2040 5 років тому +1

      Mwaka gani dunia ilifunga pamoja??? Anapotosha nini sasa!

    • @ahmedbadi5822
      @ahmedbadi5822 Рік тому

      Kaa kitako ufunzwe Acha ujahili

  • @hamadshein8272
    @hamadshein8272 5 років тому +3

    Masheikhe wengi hawana elimu ya kuraan.wanaelimu ya madhehebu.na ndo maana mnaleta vurugu mechi za maneno.achen kucma madhehebu.

  • @allyabdallah4898
    @allyabdallah4898 5 років тому +2

    Ovyooo kabisa

  • @abrahmanifarouckissa5662
    @abrahmanifarouckissa5662 Рік тому

    Ah wee sheh Mungu anakuona allah atuongoze

  • @rajabungatanda3749
    @rajabungatanda3749 5 років тому +1

    Mashekhe munapotoka nyote
    Kuanzia wewe Abuu iddi
    "Kilemile " kishki" n.k
    Nawachukia kwakua munatia aibu uislamu wangu
    Kwanini mubishane mitandaoni
    Wakati kitabu chenu kimoja
    Dini yenu moja
    Tena ninauhakika kitabu cha mola wangu kimetimia
    Kama tulivyoambiwa ktk Qur'an
    ذالك لكتاب لاريب فيه)
    Maanayake> hiki ni kitabu kisicho shaka ndani yake "
    Alafu pia tumefundishwa
    اليوم اكملت لكم دينكم واتممت عليكم نعمتي ورضيت لكم لاسلام دينا
    Maanayake> Leo nimekamilisha dini yenu na nimetimiza neema yangu kwenu na nimeridhia uislam dini yenu"
    Sasa nyinyi mashekhe ndowenye upungufu Wa fikra
    Tafadhali acheni upuuzi Wa mitandaoni
    kaeni chini bila utashi wala ushabiki muelewane

  • @khadijashabaniiddy4137
    @khadijashabaniiddy4137 5 років тому

    Allah akuhifadhi yaa Abuu Iddy
    umaarufu wa kamera kama msanni tu, wapo masheikh wenye ikhlaas kama akina Uthmaan maalim hawanaga mbwembwe kama za huyu msanii, Sheikh Maalim na masheikh wengine ni maarufu kwa elim zao ila huyu yeye ni maarufu kwa ujanja ujanja wake tu. maana elim siamini kama anayo kiasi hicho, alikalishwa kimya na Sheikh wa Mombasa kwenye swala la Maulid, sasa kwasasa ameangukia mikono ya Sheikh muhtaram Abuu Iddy Muhammad Iddy.
    🐅🐅🐅🐅🐅🐅🐅🐅

  • @abuuabuu4831
    @abuuabuu4831 5 років тому +7

    Alhamdulillah wengi waliokusikiliza wamejua unafiki wako

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 5 років тому +6

    UKIONA SHEKHE MWENYE TUMBO KUBWA NI BAKWATA HAWANA HATA HOSPITAL WALA NYUMBA ZA MAYATMA WALA MASHULE WALIYOJENGA KUJUA FITNA tuu

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 3 роки тому

    Allah awaifadh mashekh wwtu lkn nawaomba san msirumbane sana mashekh tuna wategemea san kwenye hii din lkn mutoe elim tu

  • @muftimenktv4203
    @muftimenktv4203 3 роки тому +1

    wewe sio sheikh hata achana na kishki hii ni video ya pili ya kumdhalilisha

  • @eastelldev
    @eastelldev 3 роки тому

    Mashekhe hawa wana Hassad sana na wengi wao ni makhurafi

  • @ahsamislamictv342
    @ahsamislamictv342 3 роки тому

    Wew shekh wew unaunafiki na husda

  • @ginyarisaid1483
    @ginyarisaid1483 5 років тому +1

    Wengi wanao koment hapo chini nao vichwa vibovu, tatizo waislamu waleo kusoma na kufanya bahthi hatutaki na tunafika mahali hatujui kitu.
    watoa koment wote wanavutiwa na sauti na lafdhi nzuri za masheikh, mashairi ya mitaani na vionjo vya sauti, hiyo sio kujua dini. bado Kishki mtoto mdogo na nimwanafunzi wa """ibtidaia""" kwani hana dalili hata moja ya kitabu ajitupa tuu, hata akitoa aya haiendani na mada husika
    Nashangaa kasoma wapi au kaenda kutafta gamba na kaja spidi ambayo hajitambui na anaowaongoza pia wamezidoi kuwa vipofu. jamani sheikh gani huyu?
    Kusoma sote ni vigumu lakini ipo haja yakujipanga nakutafta elimu.
    Bahthi, ivi kweli unamjua
    Abu Hanifa?
    Imam Malik?
    Imam Shafi na
    Imam Ahmad bin Hanbal.
    Watu wakasome kupitia vitabu vyao ni nini wanasema badae nenda kasome vitabu vya maimamu wengine utajua wao ni nani na walifanya nini,
    Hafuatwi kwake wala maskani yake, hapa ni mwendo wakumjibu nakumfundisha hadharani kwani yeye anaongea wapi, hadharani. anapotosha hadharani.

    • @yuzaaseif3040
      @yuzaaseif3040 5 років тому

      Yes upo vizuri

    • @shabanoman8955
      @shabanoman8955 5 років тому

      Sasa pamoja na kama hakusoma je sheria yakiisilamu imeruhusu kokosoana hazarani? Kama hivi nakuitana maneno yasio eleweka mpotoshaji .kiupandea wangu sijawahi kumsikia huyo munae muambia mpotoshaji akamsema Shekhe mwenzake hazarani na hii ndo adabu ya dini yetu .na kwa alipo anzia Shekhe iddi anaonekana hakua na nia nzur kwanza yaonekana anabifu na mwenzake mana sija msikia Leo tu akimkosoa mwenzake hazarani. Na pia kua na Mali na mashindano ya Qur'an mashule msikit yakuhusu na nini kama si husda .kiukweli tuache ushabiki dini yetu haina mapungufu iko Sawa . kama kweli muko kwaajili ya kujenga mtafutane mkae mjadili kielimu sio yule sio Shekhe .muku mbuke hakuna mkamilifu ispokua Allah .

  • @azizamkindi1784
    @azizamkindi1784 5 років тому +1

    Asalym alykum dalili ya sku za mwisho usiweke mjala kwenye mtandao pia unafiki unazungumzia kwenye mitandao ungemfata sio vizur huo ni unafiki AllAH hapend madhila husda ungemfes usifaidishe watu ni unafki AllAH hapend shehe iddy pia sio vizur pia kosa likowap kwake wote waislam

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 роки тому

      Hakuna kufatana unaweza ukakatwa mapanga nikujibishana kwambali mbali tu

  • @kazuamkangara7619
    @kazuamkangara7619 5 років тому +8

    Mi naomba mashekhe waandae mdahalo wa mojakwamoja watu wabishane kwa hoja ili tujue wapi Kuna hoja zilizotimia

  • @abdulshakuurmwenda7519
    @abdulshakuurmwenda7519 3 роки тому

    *💢 اتباع المنهج السلفي هو الإسلام الحقيقي 💢*
    *💢KUFUATA MWENENDO WA (WAJA WEMA) WALIOTANGULIA NDIYO UISLAMU SAHIHI (WAKWELI)💢*
    *✍🏾قال الشيخ العلامة محمد بن صالح العثيمين رحمه الله تعالى:-*
    *🔶Amesema Sheikh Mwanawachuoni Muhammad Bin Swaaleh Al-Uthaymeen ALLAH Aliyejuu Amrehemu:-*
    *"كل من كان على منهاج الصحابة والتابعين وتابعيهم بإحسان فهو سلفي وإن كان في عصرنا هذا".*
    *🔷Kila Ambaye Amekuwa Juu Ya (Kufuata) Mwenendo Wa Maswahaabah Na Taabieena (Waliwafuatia Maswahaabah) Na Waliowafuatia Wao (Wanafunzi Wa Maswahaabah) Kwa Wema Basi Yeye (Mwenye Kuwafuata Hao) Ni Salafiyy Na Hata Akiwa Ni Ktk Wakati Wetu Huu.*
    *[📚نور على الدرب (٣٥/١) ].*
    *[📚Nuuru Alaaddarbi (35/1) ].*
    *🔺NYONGEZA KUTOKA KWA ALIYETAFSIRI:*
    *🔸Ndugu Yangu Muislamu Uliyepata Makala Hii, Fahamu na Elewa Ya Kwamba,Uislamu Wa Kweli Na Sahihi ni Kufuata Mwenendo Wa Waja Wema Waliotangulia (Salaf Swaaleh).*
    *🔹Ukiwafuata Maswahaabah Na Taabieena (Wanafunzi Wa Maswahaabah) Na It'baauttaabieena (Wanafunzi Wa Wanafunzi Wa Maswahaabah),Basi Wewe Utakuwa Ni Salafiyy Kwa Mujibu Wa Sheria Na Siyo Kwa Mujibu Wa Lugha Ya Kiarabu .*
    *👈🏾قَالَ اللَّهُ تَعَالَى:*
    *( وَالسَّابِقُونَ الْأَوَّلُونَ مِنَ الْمُهَاجِرِينَ وَالْأَنصَارِ وَالَّذِينَ اتَّبَعُوهُم بِإِحْسَانٍ رَّضِيَ اللَّهُ عَنْهُمْ وَرَضُوا عَنْهُ وَأَعَدَّ لَهُمْ جَنَّاتٍ تَجْرِي تَحْتَهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا أَبَدًا ۚ ذَٰلِكَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ )*
    *Na wale waliotangulia, wa kwanza, katika Muhaajireena (Maswahaabah Waliotoka Makkah Kwenda Madinah) na Answaari (Maswahaabah Waliokuwa Madinah), na walio wafuata kwa wema,ALLAH amewaridhia wao (ALLAH Amewapenda Wao) , na wao wamemridhia ALLAH (Wamempenda ALLAH); na amewaandalia Bustani (PEPO) zipitazo mito kati yake, wadumu humo milele. Huko ndiko kufuzu kukubwa.*
    *(Sura Ya 9 Aya Ya 100).*
    *👉🏾Usipinge Jambo La Dini Ambalo Haujui Usahihi Wake na Usifuate Mambo Ya Dini Kwa Emagination (Mawazo Yako Na Akili Yako Inavyotaka Bila Kuangalia Dalili) Na Usiangalie Wingi Wa Watu Na Haqqi Haipimwi Kwa Wingi Wa Watu.*
    *👈🏾قَالَ اللَّهُ تَعَالَى:*
    *( وَإِن تُطِعْ أَكْثَرَ مَن فِي الْأَرْضِ يُضِلُّوكَ عَن سَبِيلِ اللَّهِ ۚ إِن يَتَّبِعُونَ إِلَّا الظَّنَّ وَإِنْ هُمْ إِلَّا يَخْرُصُونَ )*
    *Na ukiwat'ii wengi katika hawa waliomo duniani watakupoteza na Njia ya ALLAH. Hawa hawafuati ila dhana tu, na hawakuwa ila ni wenye kusema uwongo tu.*
    *(Sura Ya 6 Aya Ya 116).*
    *👉🏾Jitahidi Ujue Haqqi Na Kisha Uifuate.Ikiwa Jambo Hauna Elimu Nalo, Basi Usilichukie na Usilipinge na Vumilia na Fuatilia Ili Ujue Usahihi Wa Jambo Hilo na Ikiwa Ni Jambo La Sawa Lifuate.*
    *👉🏾Kiongozi Wa Waja Wema Waliotangulia Ni MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM.Ikiwa Haumfuati MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM Na Wanafunzi Wake Na Wanafunzi Wa Wanafunzi Wake MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM,Hivi Kweli Uislamu Wako Utakuwa Sahihi Na Wa Kweli Na Wasawasawa?!!.*
    *👉🏾Kufuata Mwenendo Wa Waja Wema Kwa Mujibu Wa Sheria Ni Lazima Kwa Kila Muislamu Na Ndiyo Uislamu Wa Sawasawa Na Wakweli Na Kujiita Assalafiyy, Siyo Lazima Na Ikiwa Utajiita Assalafiyy Kwa Niyyah Njema Watu Waliopinda Ktk Waislamu Wafahamu Mwenendo Sahihi Wa Uislamu Wako Wawafuata Waja Wema Waliotangulia (Salaf Swaaleh),Hamna Neno Yafaa Na Siyo Aibu Kudhihirisha Hilo.*
    *👈🏾قَالَ اللَّهُ تَعَالَى:-*
    *( وَمَن يُشَاقِقِ الرَّسُولَ مِن بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُ الْهُدَىٰ وَيَتَّبِعْ غَيْرَ سَبِيلِ الْمُؤْمِنِينَ نُوَلِّهِ مَا تَوَلَّىٰ وَنُصْلِهِ جَهَنَّمَ ۖ وَسَاءَتْ مَصِيرًا )*
    *👉🏾Amesema ALLAH Aliyejuu:-*
    *Na anaye mpinga Mtume baada ya kumdhihirikia uwongofu, na akafuata njia isiyo kuwa ya Waumini (Maswahaabah), tutamuelekeza aliko elekea, na tutamuingiza katika Jahannamu. Na hayo ni marejeo maovu.*
    *(Sura Ya 4 Aya Ya 115).*
    *👈🏾قَالَ اللَّهُ تَعَالَى:*
    *( فَإِنْ آمَنُوا بِمِثْلِ مَا آمَنتُم بِهِ فَقَدِ اهْتَدَوا ۖ وَّإِن تَوَلَّوْا فَإِنَّمَا هُمْ فِي شِقَاقٍ ۖ فَسَيَكْفِيكَهُمُ اللَّهُ ۚ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ )*
    *Basi wakiamini kama mnavyo amini nyinyi, itakuwa kweli **wameongoka.Na** wakikengeuka basi wao wamo katika upinzani **tu.Na** ALLAH atakutosheni kukukingeni na shari yao, na Yeye ndiye Msikizi, Mjuzi.*
    *(Sura Ya 2 Aya Ya 137).*
    *🔸Jitahidi Ukifa Ufe Hali Yakuwa Wewe Ni Assalafiyy Kwa Mujibu Wa Sheria (Aqiidah Yako, Maneno Yako Na Matendo Yako).*
    *🔹Usimfuate Huyu Mjinga Na Mtu Wa Matamanio Mabaya Ya Nasfi Yake Na Wafuasi Wake Ambaye Alisema: Eti Salafiyyah Jaddidah!!! (Usalaf Mpya).*
    *👉🏾Nani Muanzilishi Wa Salafiyyah Jadiidah?!.*
    *🔸Ni Upi Huo Salafiyyah Jadiidah?!.*
    *🔹Je, Kuna Salafiyyah Qadiimah?!.*
    *👉🏾Haya Ni Madhara Ya Njaa Kuhamishiwa Kichwani,Njaa Mahala Pake Tumboni!!.Ndiyo Utapata Mtu Yuwaongea Ktk Dini Kwaajili Ya Kulinda Wali na Ugali Wake.*
    *🔸ALLAH ATUJAALIE TUFE HALI YAKUWA NI ASSALAFIYYUUNA (WENYE KUFUATA MWENENDO WA WAJA WEMA WALIOTANGULIA,AQIIDAH ZAO, MANENO YAO NA MATENDO YAO).*
    *🔴IKIWA KUNA MAKOSA,TAFADHALI USIBADILISHE CHOCHOTE NA WASILIANA NA MUHUSIKA.*
    *👉🏾ALLAH NDIYE MJUZI ZAIDI NA MKAMILIFU ZAIDI.*
    *👀IMETAFSIRIWA NA:*
    *👉🏾ABUU ABDILBARRY ABDULSHAKUUR BIN JAMES BIN MWENDA ASSALAFIYY AL-HAMBALIYY (حفظه الله تعالى ورعاه وسدده).*
    *💢Mombasa,Kenya🇰🇪.*
    *🌹WhatsApp: +255713444054.*
    *🌹Call: +254724992753.*
    *📆29/Dhul-Qa'adah (11)/1439 H.*
    *📆11/08/2018 M.*

  • @maryambintukhadija1604
    @maryambintukhadija1604 3 роки тому

    We fitna ndo imekujaa sanaa

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 3 роки тому

    Hili kweli sufi

  • @frankanold9803
    @frankanold9803 5 років тому

    unasema waislamu wafuate idd inayotambuliwa na serikali/mufti, inakuaje waislamu wafuate maagizo ya serikali ya kikafiri katika masuala ya kidini?

  • @jumaakhalfan485
    @jumaakhalfan485 5 років тому +2

    Asantee Abuuu Idd naamini Shekh mohmad Ayub amefanya kz

  • @khamisissa252
    @khamisissa252 5 років тому +4

    Kwanza nyoa masharubu na ufuge ndevu ndio sunna

  • @musapazi7806
    @musapazi7806 5 років тому +8

    Subhaana allah unaweza ukasoma na usielimike,ashraadwu ssaa

  • @khadjahakamali-njufsk-7827
    @khadjahakamali-njufsk-7827 5 років тому +2

    SubhanaAllah hiyo ni fitna, chuki, wivu, na haifai katika dini yetu tukufu, kama umeona vitu vyote hivyo, ni bara ungezungumza naje badala ya kuzungumzia kwa social media, muogope Allah.

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 5 років тому

      ukhty khadija huu ni mtihani sana kwetu

  • @abdullathabithemed9377
    @abdullathabithemed9377 5 років тому +1

    Nakukubali sheikh
    Mueleweshe
    Maneno yako yanaingilika akilini
    Ieleze dunia ukweli
    Uongo utakimbia tu
    Hawawezi kukujibu chochote sababu hawana marejeo hao

  • @athumanj.buyogela9295
    @athumanj.buyogela9295 5 років тому +2

    JAWABU LENYE KUTOSHELEZA KWA MUHAMMAD IDI No🅰️-Sheikh Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه
    ua-cam.com/video/inJUsVOW9Qc/v-deo.html

  • @ridhiwaniamour1469
    @ridhiwaniamour1469 5 років тому +1

    Kwahyoo jamaa anawapinga hao maimamu wa3? Subhana Allah, Allah atuhifadhi

  • @matambwekhaalidun1473
    @matambwekhaalidun1473 3 роки тому +1

    nyinyi nno coment wengi mna sema ana husda lakini wewe una mfatilia kweli shekhe kishiki

  • @allyramadhani2632
    @allyramadhani2632 5 років тому +9

    We shekh mbona una majungu, hayo ya mali zak yanatokea wap

    • @ngwalimahingika4873
      @ngwalimahingika4873 5 років тому +1

      Hahaha hahaha huyu si shekh bali ni shehe
      Amejawa na husda chuki na roho mbaya kwa maendeleo ya wenzake

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому

      Tena mjinga sana huyu!!

  • @mbwanarajabhussein7141
    @mbwanarajabhussein7141 5 років тому

    SHEIKH..HAYA USINGEWEZA KUMFUATA MKAELEWESHANA MPK UMWITE MPOTOSHAJI? YAAN MNAACHA MAARISHO YA DINI NA MNAWEKA UTENGANO NA UADUI, HASA KWA MANENO UNAYOYATUMIA...JE NA YEYE AKAKWITA NENO USILO LIPENDA? MNATUFUNDISHA TUSIWAITE WATU MAJINA YA KUWAUDHI JE WEWE UNAFANYAJE?

  • @lolubokhalifa8277
    @lolubokhalifa8277 5 років тому +1

    Mashallah

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 4 роки тому

    Mwanaharakati Huru

  • @jumaashabani9484
    @jumaashabani9484 5 років тому +2

    Assalamualaikum respected Babdeo miladu, na wewe unachangia katika hili, hapana haja kupublish fitna hizi!, Unaenda kwa sheikh huyu unachukua clip Kisha unaenda kupingana na huyu, si sawa maalim wangu Babdeo watafute wote wakutane wenyewe ce tushapata elimu alhamdoulillah, Sasa nikuulize sheikh Babdeo haya ya taasisi yake, mashindano yake huoni km unaleta fitna katika mujtamaa???, Allaah akulipe kwa Kila kheri unayotupa.

    • @jumaashabani9484
      @jumaashabani9484 5 років тому +1

      Nayeye sheikh wa vetenar akijibu kwakuanza yeye Hana ndevu, kwanini anafuga sharubu, tutajikuta tunaingia katika Vita maina yao kitu ambacho co sawa, na Allaah ndo mjuzi zaid

    • @zainabuabduly7905
      @zainabuabduly7905 3 роки тому +1

      Yani mimi ndio sinaga mpango wa kusumbuka madhehebu yote kwangu sawa ili murad anaeabudiwa ni Allah nawote mtume wao Muhammad s.a w.kwishaa hayo mengine matajijuwa wenyewe km mnatupotosha au nini🏃🏃🏃

  • @TheAmadoni
    @TheAmadoni 5 років тому +7

    Sheikh una Elmu lakini Elimu yako yakupeleka kwa KIBRI.
    Majina unayo waita Masheikh wenzako Ni makosa. Yawezekana pia wewe ndio ukawa Mpotoshaji... stop names calling, Toa darsa muelemushane ki Hikma sio hivi.. AIBUUU

  • @alimaalimahmad837
    @alimaalimahmad837 5 років тому +2

    Asante Sheikh kwa kuweka sawa mambo

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 3 роки тому

    Kwan lazma useme neno mpotoshaji.
    Masheikh tumien lugha vzur. Tukosoane kwa lugha nzur. Huyo unaemwita mpotoshaji ana watu nyuma yao na waislamu na wewe pia una watu nyuma yako ambao pia ni waislaamu.
    Je twatengeza picha gan????
    Tutulieni hebu

  • @abdalahmtula3639
    @abdalahmtula3639 5 років тому

    Shekh abuu idd we jembe mawahabi wao wenyewe hawana adabu ktk kauli zao kwa wengine hili linabainika kupitia comments zao humu wamekutukana mno badala ya kujibu na kutafakar hoja zako nzito nzito! Hoja zako shekh zimewadidimiza wameshindwa kujibu wanabak kutapatapa tu! Hovyooo!

  • @mrsghanim1186
    @mrsghanim1186 3 роки тому

    Hasidi Hana sababu

  • @kanyasicongo7918
    @kanyasicongo7918 5 років тому +3

    Shekh usikosee kumuita mpotoshaji mutlaqa muite mpotoshaji kwa jambo la aarafa.

  • @athumanj.buyogela9295
    @athumanj.buyogela9295 5 років тому +3

    JAWABU LENYE KUTOSHELEZA KWA MUHAMMAD IDI NO🅱️- Sheikh Kassim Mafuta Kassim حفظه الل
    ua-cam.com/video/Yh6NNz08cAc/v-deo.html

  • @athumanmohammad5052
    @athumanmohammad5052 5 років тому +5

    Kwa kuwa baadhi ya watu wanaogopa kufuata gharafa ikiwa suudia baci zigawanywe moja iwe suudia na nyingine iwe Vatican ili wale wanao ichukia suudia waende Vatican na mizozo ita isha kwa mfumo huu

  • @idrissaomba8803
    @idrissaomba8803 3 роки тому

    ila mimi kama sijakwelewa sheikh wetu, ULIANZA KUTAMKA KUA UNAKOSOWA SHEIKH MWENAKO KUHUSU ARAFAT ila mbona unafika kati unaongelea tena kufunga FUNGA YA RAMADAN NA FUNGUA YAKE?

  • @namelessnameless4868
    @namelessnameless4868 5 років тому +1

    Asante sana Sheikh endelea kuwapa elimu uzuri wako unajikita kwenye hoja

  • @maotv8884
    @maotv8884 5 років тому

    Allah atuhifadhi

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 5 років тому +3

    kama unataka kumkosoa mtu mfate, na sio kumtangazia, Uislam husemi hivyo.
    kiufupi mzee unataka sifa upo sawa na musiba.
    Halafu inaenekana unahusda kwani nani hauji kama kishki anamiliki skuli na vitu vyengine?
    Na kama unataka kuchukuliwa video si na wewe fanya tu, kuna tatizo lolote mtu kujirikodi ?
    Mzee unaboa sana Huo sio Uislam.
    Subhanallah

  • @mariamuhadi8958
    @mariamuhadi8958 5 років тому +2

    As.alaykum ndugu zangu waislaam mie naona tuckilize hoja kote na tucmtukane shk iddy wala kishq na wenzake maana cc tunajifunza kwao

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 3 роки тому

    Mashehe munazalilishana mbonana hamuwazalilishi vionozi waserekali mbona watumumewaona wanavyo uliwa lakini mumekakimya siyo vizuri waisilamu muna shushuwana makafiri munawapanguvu

  • @jumashukan1173
    @jumashukan1173 5 років тому +1

    Shida yenu Nini mbona mwaazirika , wacheni ujinga uwo, ndiyo maana mm nampenda Sana shehk Athuman maalim ,Ana tym yakujibishana na mtu yy utupa dhahawa ,

  • @nassoraliy1882
    @nassoraliy1882 5 років тому +3

    Juzi masuali kama yako mwenzako kajibiwa kanyamaza kimya,,,kipenzi changu unasema haiwezekani dunia nzima kuona mwezi mmoja,,ivi ni mara ngapi tushafunga na kufungua pamoja?

    • @salmagulam6619
      @salmagulam6619 5 років тому

      Na saa sisi pamoja na maka ni mda mmj sijui nani halimdangnya km dunian kuna sik 2

    • @user-fi2mz9gc4v
      @user-fi2mz9gc4v 3 роки тому

      Sawa je, hizo mara ni ngapi? Au ni mara zote?
      Nakama si mara zote hizo mara nyingine huoni kama Kuna ikhtilafu?

  • @bijojawas6581
    @bijojawas6581 5 років тому +1

    Wewe shee na bakwata yako wote mtaingizwa motoni kwani mnafanya kazi ya kupindisha uislam kwa ajili ya maslah ya kiserikali. Mashee wengi wanaozea jela bila sababu yoyote ila ninyi bakwata hata siku moja mjawah ata kuwazungumzia au kuwasaidi watoke ndy kwanza mnafurah kwassababu tu walikuwa wanasema ukweli . Bakwata ni adui kwawaslam wote wanaojielewa .

  • @bakarikalama6099
    @bakarikalama6099 5 років тому +5

    Mmeshindwa kusimamisha Hukmullah mnapigana mapanga mitandaoni

  • @hemedharouna4013
    @hemedharouna4013 5 років тому +3

    maashallah !! cku zote abu id akieleza jambo hueleza kielimu

    • @ashaally7593
      @ashaally7593 5 років тому

      Kweli kabisa

    • @nasibumaiko3425
      @nasibumaiko3425 5 років тому +1

      hemed harouna unamkubali sababu huna elimu

    • @hemedharouna4013
      @hemedharouna4013 5 років тому

      @@nasibumaiko3425
      Sasa Ww hapo ulipo Una Elimu gani mbwa koko Ww

    • @nasibumaiko3425
      @nasibumaiko3425 5 років тому

      hemed harouna hata sura yako inaonyesha we mtumwa wa mganga

    • @nasibumaiko3425
      @nasibumaiko3425 5 років тому

      hemed harouna mvunja Nazi njia panda wewe kafiri mkubwa

  • @hassankhamis4071
    @hassankhamis4071 5 років тому

    HATA UMCHUKIE ALLAH ALIE MNEEMESHA HUWEZI KUMPOKONYA HIO CHUKI YA BUREE ETY KISA UMAARUFU DAA

  • @mahmudumuhammed8174
    @mahmudumuhammed8174 5 років тому +1

    Unataka kurekebisha ikhtilaf kwa kumkashfu mwenzie akielezea tocauti ya Arafa.mche allah shekh

  • @salehalnahdi8613
    @salehalnahdi8613 5 років тому

    Sheikh Nurdin ana mapungufu yake kama binadamu yoyote, ila wewe humfikii unyayo wa maendeleo waliyofanya taasisi yake kwa muda mfupi na ndicho muhimu kwetu Waislamu, bali wewe ni Hasdi na Wivu tu ndio unaokufanya useme maneno yote haya. Sheikh wetu Mkuu najua una hekima na busara Nurdin ni kijana wako kama amekosea mwite msihi na umshauri lakini usawasikilize masheikh mashavu wenye kuangalia maslahi yao na sio ya maslahi ya Waislamu.

  • @hajisalum5287
    @hajisalum5287 5 років тому

    Innalilahi wainailayhi rajiuun badala yakuendelea kuelimisha watu unaingiza na mambo yasiokuwepo kunaugonjwa mmoja unaitwa husda shekhe jikague huenda unao huu unaitwa uchochezi dhahili umepotea shekhe msikiti wake mashindano yake shule yake tena unaingiza nafamilia

  • @solemba595
    @solemba595 5 років тому +9

    Abuu Iddy omba tawba kabla hujafa, huo sio Uslubu wa Daawa.
    Jaribu kuwa muungwana katika kulinganiwa. Punguza husda itakupeleka pabaya...

    • @princeshaq3181
      @princeshaq3181 5 років тому

      dataCom Kamanda mwambie sasa mambo ya shule yake na msikit wake na Mali zake vinamuhusu nn iyo husda hatauseme nn Sisi tutafuata Aarafa ya Saudia bac. Kauli ya upotoshaji sio nzur hata muhamed issa alikwambia lkn shekh wewe kibur wewe mbona huitwi mpotoshaj maimamu waliopita walihitlafiana mbona hawakuitana wapotoshaji. Mpotoshaji wakwanza niwewe unaetulazimisha tukufuate hatukufuti shekh ukula wachuya hiv hujisikii vibaya. huoni kama unawapatisha dhambi watu kukushambulia jambo lilishakwisha wewe umelifufua upya dhima hiyo omaba toba shekh kama utakua umetuka dhambi zitakujia mwenyewe