SEHEMU YA 7 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 186

  • @mwanamvuajamali8215
    @mwanamvuajamali8215 11 місяців тому +2

    Allah awaongoze ndugu zetu masufi wapo kwenye giza zito Sana hoja zote wanazo zibainisha masalafi kwa ufahamu wa maswahaba lakin hawaelew poleni huo ni msiba

  • @hamadali-ej4zg
    @hamadali-ej4zg 11 місяців тому

    Shukran sheikh Muhammad idi

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 11 місяців тому +2

    ALLAH AKUHIFADHI NA UZIDI KUTUPA NONDO

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 11 місяців тому +3

    Sisi wanafunzi twakuelewa sana Shekhe wetu

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 11 місяців тому +4

    Shukran shukran sanaa sheikh twa kufwatiliya kwa makini sanaa

    • @fahimaOmary
      @fahimaOmary 11 місяців тому

      Na akianza kuraddiwa pia mfatlie kwa makini vle vle.

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      @@fahimaOmary Wa kumraddi nani?

  • @ingodwetrust1852
    @ingodwetrust1852 11 місяців тому +1

    Tunakuelewa sana naanza rasmi kuwashushia heshima mashehe wa kiwahab washenzi wakubwa kbsa

  • @kagumbaharuna2466
    @kagumbaharuna2466 11 місяців тому

    Asante shekh Idd Hawa watu sio waislam hatupaswi hâta kula n'ai ndio wameharibu wislam kila Kona n'a kuleta makundi yanayokufurisha waislam laana ya Allah iwafikie kwa upotofu wao.

    • @JaziraMustafa-g9p
      @JaziraMustafa-g9p 4 місяці тому

      Kama nyinyi ni waislamu mungelijibu hoja uislami ni elimu na hoja na kujiamini sio kukimbia mada iliopo ubaoni kisha ukazungumza mengine.

  • @AhmedWetaka101
    @AhmedWetaka101 11 місяців тому +4

    Mash-Allah following from Kampala Uganda.

  • @alisalum8908
    @alisalum8908 11 місяців тому +2

    Jazaakumullahu khayraa

  • @answaryhussein256
    @answaryhussein256 11 місяців тому +3

    Safi Shekh wabainishe Hawa mayahudi wasiyo jijua

  • @alhabibymasoud3445
    @alhabibymasoud3445 11 місяців тому

    بارك الله فيك يا شيخ

  • @ArabiMuchande
    @ArabiMuchande 11 місяців тому +3

    Alhamdulillah sheikh tunakuomba uzidi kuwabainisha tunapata somo kubwa mno

  • @bashirusalumbigapsana673
    @bashirusalumbigapsana673 11 місяців тому +1

    Yaani nakuelewa sana

  • @fahmiiidrisa5110
    @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому +3

    Ili umuelewe huyu shekh ima uwe unasoma yan ni twaalib 3ilm au uwe na inswaaf ila manen yake yako wazi sana ALLAH amuhfadhi

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 11 місяців тому

      MUongo ww.
      kwani mtu wako amekuwa akitumia Falsafa nying na Talbiisat na wanaomuelewa sanaa Ni watu wavivu na Awaamu na Masufi wenzie.
      ni mtu hana Historia ya Kusoma kwan Alifukuzwa Na Mwalimu wake Huyo kwenye picha.
      Alishaulizwa Maswali Na hajajib mpaka Leo.Kaz yake ni kuleta mijadala Mipya.

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      @@أبوفيصل-د3ش Wew Falsafa umeisoma wapi??? Hapo hakuna Falsafa tuulize tunaojua hiyo Falsafa hapo shekh katembea na Usuul acha wehu kijana mdogo wa kiwahabi

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 11 місяців тому

      @@fahmiiidrisa5110 Falsafa ni Moja kati ya Elimu wanazojifunza masufi.Inaitwa Elimul Kalaami wa ilmul Hisaabi Wa ilimul Mantwiqi.
      Ukitaka Kunambia Sio Zipo wap Dalili za Kielimu??
      Kwanza atueleze Uwahabi ni nin na kama ww waweza Msaidie

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      @@أبوفيصل-د3ش Jaman mukiambiwa musome kubalini alokwambia mantwiq ndo Falsafa nani?

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 11 місяців тому

      @@fahmiiidrisa5110 hahahaaa Ko kuandia elim zote mnazojfunza Ukabaki na moja Ya Mantwiqi.

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 11 місяців тому +1

    Muhammad isihaka ni mpuuzi sana half muongo sanaa kama ibilisi

  • @Abswai
    @Abswai 11 місяців тому +2

    Mungu akubariki

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 11 місяців тому

    Wewe mlevi Abu iddi ama kweli onesha video kama avyo fanya sheikh abdalla humeid

  • @MasudiAthumani-kx7ye
    @MasudiAthumani-kx7ye 11 місяців тому +1

    Maaasha allha

  • @muhammadnassibu7706
    @muhammadnassibu7706 11 місяців тому +3

    Sisi tunasubiri siku utakayomaliza porojo zako Sheikh Abul fadhl akuraruerarue

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      Mafuta mwenyew hana anachokijua naona hupiga kelele tu

  • @HUKUUSA2020
    @HUKUUSA2020 11 місяців тому +1

    WE NI ABUU JAHALI WA UMMA HUU(Baadala ufundishe watu waache ushirikina na wafanye ibada unafundisha watu ujinga

  • @fahimaOmary
    @fahimaOmary 11 місяців тому +1

    Muhammad idi ungekuwa mkweli ungemaliza ule mjadala uloanza na shekh mafuta. Na mkakubaliana kuwa hamtakimbiana. Kule hujamalza ushaanzisha mengne. Ww sio mkweli

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 11 місяців тому +3

    a.alaikum
    Twaomba ukubali munaqasha
    Alafu kwenye huo munaqasha uje na icho kitabu utetee maulidi na hoja zingine

    • @jabirhussein4180
      @jabirhussein4180 11 місяців тому

      Kama unataka munaqasha njoo kwangu nikunyooshe choko wee

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 11 місяців тому

      @@jabirhussein4180 Mtu wa bidaa umepaniki😂😂😂 Hebu tulia basi dawa ikuingie🙄

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      @@jabirhussein4180 🤣🤣🤣🤣

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      @@mbjunior166 Dawa yenyew iko wapi sasa na wewe maana naona nyie ndo mumepewa dawa na shekh letu au unaropoka tu?

    • @JaziraMustafa-g9p
      @JaziraMustafa-g9p 4 місяці тому

      Sasa wewe uko kwenye dini au ubaradhuli.​@@jabirhussein4180

  • @mohamedomary2887
    @mohamedomary2887 11 місяців тому +1

    Mawahabi hawana tofauti na mayahudi

    • @JaziraMustafa-g9p
      @JaziraMustafa-g9p 4 місяці тому

      Toa hoja na dalili maana tunaishi nao hatuwaoni hivyo zaidi ya kuwaona wao wanafuata qur an na hadithi za mtume katika maisha yso kila siku wao na familia zao.Toauti na hao wengine.

  • @HassanJamada-pf4jt
    @HassanJamada-pf4jt 11 місяців тому +1

    JIBU MASWALI 10 ULIYOULIZWA NA SHEKH ABULFADHLI USIRUKIE SEHEMU NYINGINE KABLA YA KUJIBU MASWALI YALE

  • @RashidMohamed-cq8jf
    @RashidMohamed-cq8jf 11 місяців тому +1

    Naam shekh Muhammad Idd sisi tunakupata vizur ..pia bab deo anafanya kaz bora Allah awaongoze...lakin yule shekh Mohamed isihaka hiv shekh unasikiliza kwasababu naona kama anapiga stor mana hana mada wala hiyo radi haieleweki kwakweli sim mtu wa kubishana nae

  • @binnyandwecheikhmuhamed
    @binnyandwecheikhmuhamed 11 місяців тому +1

    وفقك الله يا فضيلة الشيخ ابو عيد ،ربي يهديهم

    • @abuuuyaynah8801
      @abuuuyaynah8801 11 місяців тому

      أبا

    • @abuuuyaynah8801
      @abuuuyaynah8801 11 місяців тому

      Acha mbwmbwe wewe andika kiswahili

    • @muhammadnassibu7706
      @muhammadnassibu7706 11 місяців тому

      ويهديك كمن

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      @@abuuuyaynah8801 sasa unajuaje je kama yeye hajaifanya kuwa badal Shekh wang alinambia ukipenda kukosoa sana unawaonesha watu kuwa wew kiwango chak kdog

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      @@abuuuyaynah8801
      إذا رمت أن تحيا سليما من الأذى
      ودينك موفور وعرضك صين
      لسانك لا تذكر به عورة امرئ
      فكلك عورات وللناس ألسن
      وعيناك إن أبدت إليك معايبا
      فدعها وقل يا عين للناس أعين

  • @fareedsseif4297
    @fareedsseif4297 10 місяців тому

    Uwahabi umeanza Miaka 200 iliopita.
    Uwahabi ni sawa na Niacea Conference ya Pili.
    Uwahabi uliondoa Dola ya Ban Hashim ya Shariff Hussein na kushirikiana na Wayahudi na Wazungu kuunda dola itayo control Kitivu cha uislam.
    Ni project kubwa ya kijasusi kutoka kwa Mayahudi.
    Hawa pia walifanikiwa Kuwavuruga Wafuasi wa Nabii Issa Aleihi Salam na kuwaundia utatu!
    Tuwe makini sana nao

  • @yasiinmtiniko3050
    @yasiinmtiniko3050 11 місяців тому +3

    Tupo Tunaoelewa Na Kufahamu Madini Unayoyatoa Usikatike Moyo Shekh Na Wewe Hakika Kbca Mungu Amekuteua Kwa Kazi Hii (Wanafunzi Wenzangu Acheni Ushabiki Sikiliza Hoja Kisha Pambanua) Kisha Nimegundua Kama Mawahabi Wanakimbilia Kukoment Upuuz Kabla Kusikiliza Hoja..

  • @Muqadis-t8t
    @Muqadis-t8t 11 місяців тому +3

    Tuambie ulifukuzwaje tamta

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому +1

      Haikuhusu ndo tatizo la mawahabi hamuna muqtadhwal haal wala Muqtadhwal mahall

    • @ingodwetrust1852
      @ingodwetrust1852 11 місяців тому

      Tuanze na Mafuta kwanza kukaa jela Saud arabia nini sabab

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      @@ingodwetrust1852 🤣🤣🤣

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 11 місяців тому +2

    Umeitwa tangamano vip tena

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      Meambieni Muongo wenu aje yeye Dar hapa ajikojolee kama bachu

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 11 місяців тому

    Barra Barra

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 9 місяців тому

    nimefuatilia argument zako inapendeza sana

    • @JaziraMustafa-g9p
      @JaziraMustafa-g9p 4 місяці тому

      Tatizo lake hujaliona?Au ni ushabiki?Anakimbia hoja hsjibu masuali anayiulizwa,anazungumza mengine.

  • @bagalucha
    @bagalucha 11 місяців тому +2

    Tunataka kujua namna ulivyofukuzwa TAMTA.

  • @mdoekibai3991
    @mdoekibai3991 11 місяців тому

    isihaka anaweweseka laana yababake inamtafuna tartibu

  • @Haarun-h4q
    @Haarun-h4q 10 місяців тому

    HUYU Sheikh badala ya kuwaleta watu kwenye Uislamu au kwenda vijijini kuwasilimisha watu,kazi yake ni kuleta mfarakano ndani ya Uislamu. Anafurahia kubaki tu mjini Dar mbele ya camera 😊

  • @IbrahimuSaid-z7e
    @IbrahimuSaid-z7e 11 місяців тому

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu
    Mimi sijaona sehemu ya 7

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 11 місяців тому +5

    Naam SHEIKH HIZI SOMO ZAKO UNAZIDI KUNIFANYA NI JIELEWE,,

    • @AbuSuhaylah-b6f
      @AbuSuhaylah-b6f 11 місяців тому

      Hujielewi

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      ​@@AbuSuhaylah-b6f Wew nd kabsaaa hujielew

    • @IKOLAPORT
      @IKOLAPORT 11 місяців тому

      ​@@AbuSuhaylah-b6fww ndo wajielewa

    • @malengajuma2694
      @malengajuma2694 11 місяців тому +1

      Sheikh Abuu idi pambana naobkwa AJILI ya Allah maashaallah tunakuelewa sana

    • @UB40X1
      @UB40X1 11 місяців тому

      😂😂😂

  • @mbjunior166
    @mbjunior166 11 місяців тому

    Huyu kweli itakua anavuta bangi khaaa😂😂😂Saa nzima utumbo mtupu! Ila nmecheka zaidi hapo mwisho aliposema eti "Sisi waislamu tunaamini kuwa maiti wanasikia" Nmejiuliza ni waislamu gani hao wasiojua kauli yake Allah mtukufu " Mukiwaita/mukiwaomba hawawezi kuyasikia maombi yenu..."

  • @abuunutsamuonlinetv2703
    @abuunutsamuonlinetv2703 11 місяців тому

    Wewe umeshikwa babaya endelea na ngonjera zako hupunguzi chochote

  • @fahmiiidrisa5110
    @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому +1

    Me mwenyew nimesomesha mpaka leo sina kibali hata kimoja Muhamed isihaka MUONGO 😂😂😂😂

  • @musawaziri5088
    @musawaziri5088 11 місяців тому +1

    Acha kulalamika shekhe rete dalili maulidi yanafaa bas

  • @HUKUUSA2020
    @HUKUUSA2020 11 місяців тому +1

    DINI YA UISLAMU SI YA MTU FULANI(AMRI YA KWANZA NI SOMA )usipotoshe watu

  • @HUKUUSA2020
    @HUKUUSA2020 11 місяців тому +1

    Wewe ni mtu wa bidaa tuu huna hoja ya msingi

  • @husseinazizi1275
    @husseinazizi1275 11 місяців тому

    قال ابن تيمية رحمه الله.
    ومن اتبع هواه وقصر في طلب الحق وتكلم بلا علم. وهو عاص مذنب

  • @salimqatada39
    @salimqatada39 11 місяців тому +4

    maulidi sio mawahabi ndio wasema ni bidaaa Bali maulidi ni uzushi ktk dini ya yangu
    maulidi yamezusha karne ya 7 na mashia
    na kama kweli wampenda mtuma mtume alishasema kuwa anafunga siku ya JUMA tatu kwa sababu kazaliwa ,kwa hiyo kama wampenda funga kama mtume صلى الله عليه وسلم

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 11 місяців тому +1

    Umeitwa kwenye munaqasha mbona hutaki

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 11 місяців тому

    Huyu ndio yule babdeo aliempigia shekhe wetu Abu Khawla mbwana😅

    • @allywaziry6419
      @allywaziry6419 11 місяців тому +1

      Ndio huyu huyu Ndio maana sheikh alimbainisha mapema kama ww kazi yako ni ku deal na watu wa bidaa.

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 11 місяців тому

      Ndio huyohuyo mtu wa bidaa😅😅😅

  • @MohdAliHaji
    @MohdAliHaji 11 місяців тому

    Kumbe sheikh Mohammed iddi usharudi kweny media sasa

  • @alisalum8908
    @alisalum8908 11 місяців тому

    Ahsant

  • @luvmo04
    @luvmo04 11 місяців тому +1

    Hujadadavuwa hilo la kufukuzwa madrasa baada kushindwa mjadala

  • @AnbdulaziziJuma-qn7qw
    @AnbdulaziziJuma-qn7qw 11 місяців тому

    😅😅😅 ngoja Shekh aje akukande tena unapota ukikandwa unakimbia

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 11 місяців тому

    Sheikh kasome bado elimu hujafikia hata akida yako ni mtihani sana. Lugha tu lakin elimu ya sheria hakuna kitu kabisa mweupe sana. Ila kiuoande wa siyasa ukiingia unafaa sana sheikh Abuu Eid maana wanasiyasa wapo hivi. Njoo ukae muhadhara wa kujibizana macho kwa uso na usikimbie ndiko wanafunzi wako watasoma kweli na kuelewa vizuri bali sio ukimbie pembeni ukiweka picha ya sheikh kama vile ndio nguzo yako.

  • @ShamsiAbdallah-r8d
    @ShamsiAbdallah-r8d 11 місяців тому

    Hichokitabu kimeandikwa kwakiarabi chotehikoo usitusomee kwakiswahili

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 11 місяців тому

    Abu iddi mpotosha Acha kuropokwa

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 11 місяців тому +1

    Nyie Babdeo hawa ndio watu wenu.
    Na ile Kauli yenu kusema eti hamfungani na yeyote ktk Masheikh Eti mnaweka Audio za yeyote.
    Mbona hamkuweka Audio Za Radd dhidi ya huyu mtu Kuhusiana na UWAHABI,MWEZI MWANDAMO.

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 11 місяців тому

      Hii ni chanel ya bidaa hilo liko wazi kabisa

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 11 місяців тому +1

    Mawahabi wametumwa kuja kukometi ufedhuli ktk darasa zetu masufi

  • @rajahleather2035
    @rajahleather2035 11 місяців тому +1

    Salamu yenyewe hajui kutoa eti taaaala mzee hajajiandaaa kabisa mala abehue mala jashoo 😂😂😂 mzee hajui kusoma kwanza mashekhe zetu inabidi watuachie hawa wazee

  • @AbasiIssa-r2z
    @AbasiIssa-r2z 11 місяців тому

    is haka tapeli adanganya watu 😂😂😂

  • @fahmiiidrisa5110
    @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

    Mohamed isihaka kwel Muongo 😂😂😂😂

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 11 місяців тому +1

    Huyu hadi hajielewi na makaratasi😅

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 11 місяців тому

    Kama Sifa ya mawahabi ni kuwadharau Masheikh Basi na ww ni Wahabi Mkubwa kwani ulimdharau Sheikh Kilemile Na kusema ni Mpotoshaji.Mwaka 2020...
    Na tukizingatia Sheikh Kilemile amekuzid umri Abuu Idd.Na ana digrii of Aqida.

  • @zuberimussa5508
    @zuberimussa5508 11 місяців тому +1

    Huyo mwanamke kweli alikua anaakili ndio maana alitambua muislam sahihi aliokua anaulingania Mohammed bin Abdulwahaab Baada ya kuwa umeharibiwa na masufi zama hizo

  • @fahmiiidrisa5110
    @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

    Mohamed isihaka Mudallis 😂😂😂

  • @adamh1751
    @adamh1751 11 місяців тому +1

    Huyu wampeleke hospitali ya akili c sheikh 😂

  • @rajahleather2035
    @rajahleather2035 11 місяців тому

    Hukumwambia kama umeanza ku record😂😂😂😂😂😂

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 11 місяців тому +1

    Jambo ambalo Tunaliona kwa Abuu Idd Ni Lahaja ya Kiarabu hana,Halafu Muoga wa kusoma Ibara kwa Lugha ya kiarab ila ni kidogo Na pia Anakosea pia.
    Na haya ndio Aliwahi kusemwa Ktk Radd dhid yake.

    • @ingodwetrust1852
      @ingodwetrust1852 11 місяців тому

      Yupo kutuelewesha sisi tusiojua ww unaleta ni majivuno ya kijinga na kashaelezea sheh hapa ndio mlivyo

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 11 місяців тому

      @@ingodwetrust1852 Huyu ni Sheikh Kwa kipimo gani??amesoma wapi??
      Alijitokeza hadharani Kama hiv anavofanya na kudai madai ya uongo kuwa Yeye alimsomesha Qassim Mafuta Pale Shamsiyah.
      Na Qassim mafuta Alikanusha na kupinga kwa kiapo,na Alimwambia Aoneshe lini na wap na kitab gan Ambacho Aliwahi kumsomesha...!?Alirudi kujing'ata ng'ata.
      Nasemaje huyu anaskilizwa Na Wajinga kama wew mnaowafanha kila anayeongea Ni Sheikh.Sisi tunaofatilia Dini yetu kwa Dalili Hatuna haja na porojo zake mtandaoni.Na mtume Alishasema Watakuja Maruweybidhwa.Hakika amesema kweli mtume wa Allah

  • @Muqadis-t8t
    @Muqadis-t8t 11 місяців тому

    Huna hoja

  • @abuukauthar525
    @abuukauthar525 11 місяців тому +4

    wewe acha porojo sie tuna akili timamu

  • @IsmailIsmail-ix1yd
    @IsmailIsmail-ix1yd 11 місяців тому

    Ah acheni Mambo ya malumbano hayo, diini inapotea makafiri wanaibomoa mbele nyuma, nyie mnaoneshana Nani mwenye elimu zaidi ya mwenziwe, vijana wanasema sio poa kabisa. Ah miaka hii raddi! Tusubiri kizazi kijacho yamjaaliwaye tuone vimbwanga vyengine, maana UMEKUWA Kama fasheni Sasa. Badilikeni mashekhe zetu.

    • @khalfanikimanta6663
      @khalfanikimanta6663 11 місяців тому

      Hata hawa masheikh vilevile wanaweza kuwa ulafiri vilevile au wakawa waharibifu wa diini zaidi hata ya wasio waislamu chukua tahadhari na soma dini yako sio kuskiiza shida tunaskiiza saana kwa vi point point vinavyohitajika na nafsi yako

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 11 місяців тому +1

    Wewe muongo Sana mmetudanganya Sana tumeshajuwa ukweli hata uongee mpaka asubuhi hatukuwelewe

    • @IKOLAPORT
      @IKOLAPORT 11 місяців тому +2

      Hamumuelewi namwenzio nani? Mawahahi tu ndo hamumuelewi

  • @abuunutsamuonlinetv2703
    @abuunutsamuonlinetv2703 11 місяців тому

    Chamsingi unacho kiongea hakuna ni pumba tupu

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 11 місяців тому

    Masheikh wa bidaa hawa jibuni hoja maulid sio dini mmepata wapi hayo ikiwa mtume na maswahaba zake hawajui?

  • @mustaphamkali7476
    @mustaphamkali7476 11 місяців тому

    Sheikh abuu eid mm naskia vibaya au ndo sahihi hapo
    لا يجوز قراءةُ
    au sahihi ni
    لا يجوز قراءةَ؟؟؟

    • @athumanimahunda6541
      @athumanimahunda6541 11 місяців тому

      Sahihi ni kutia dhumma

    • @binnyandwecheikhmuhamed
      @binnyandwecheikhmuhamed 11 місяців тому

      اعندك الدليل على ذلك ؟

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      ​@@binnyandwecheikhmuhamed Unaonesha huna elimu hata ya faa3il na maf3uwl

    • @IKOLAPORT
      @IKOLAPORT 11 місяців тому

      ​@@fahmiiidrisa5110nyie ndio wehu kabisaaaaa katika ilmu

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      @@IKOLAPORT Elim ni nin???

  • @rajahleather2035
    @rajahleather2035 11 місяців тому +1

    Shekhe muongo wewe eti ulimfundisha Abuu fadhiri 😂😂😂😂

    • @jabirhussein4180
      @jabirhussein4180 11 місяців тому

      We ulikuwepo kipindi hicho?

    • @ingodwetrust1852
      @ingodwetrust1852 11 місяців тому

      Kibri Mafuta hawez kubal baada ya kwenda uarabun

    • @JumaMsangaziMsangazi-nq1ru
      @JumaMsangaziMsangazi-nq1ru 11 місяців тому

      Usihukumu moja kwa moja kuwa Abuu Idd ni muongo juu ya kauli yake yakumsomesha Kassim Mafuta...wewe hukuwepo aliposoma Tamta na pia mwenyewe Mafuta anasikia na bado hajakanusha kuwa hajasomeshwa...sioni shida yeye kusema kamsomesha kwasababu Mafuta alimkuta Abuu Idd na alitangulia kiilmi...sasa kama hujui usihukumu

    • @HalidiKassim
      @HalidiKassim 11 місяців тому

      Alishakanusha na kaambiwa ataje kitabu gani kamfundisha abul fadhili.... hana majb ya yale ya mwanzo hata moja ila miongoni mwalo ni hilo kukataliwa kutomfundisha abulfadhil

  • @OmaryTambi
    @OmaryTambi 11 місяців тому

    Muongo ni muongo tu hatazwamwi ni nani

  • @jumamaulidi8023
    @jumamaulidi8023 11 місяців тому +2

    Yaani tuache kumsikiliza mwana wa chuoni tukusikilize wewe mpuuzi usie jitambua

  • @abuukauthar525
    @abuukauthar525 11 місяців тому +2

    elimu yako haina baraka ulifukuzwa chuoni

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 11 місяців тому +1

      Abuu kauthar ulikuweko wakati abuu idd alipofukuzwa madrasa ama umesikia tuu mche mwenye ezi mungu acha matusi dini ni nasaha

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      Nyie ndo kabsaa bora yake haina baraka nyie hamuna elimu kabsaa pumbavu nyie

  • @abdulmuminabdullah1296
    @abdulmuminabdullah1296 11 місяців тому

    Kaddhaab wewe, toast, hoja.

  • @jumamaulidi8023
    @jumamaulidi8023 11 місяців тому +1

    Unaongea Kama mtoto mdogo huna hoja ya kielimu hata moja hapo hauongei na wanafunzi unaongea na watu ambao hawajishuhgulisha na elimu

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 11 місяців тому

    Wahabi yeyote unae komenti matusi apa hujielewi hvi mtu anakuonesha kitubu unadai dalili gani au nyie mkifungua clp hamaikilizi mnawahi kwnye kukoment ujinga tu aisee kwel mmekaririahwa nyie wehu sanaa

  • @abuuuyaynah8801
    @abuuuyaynah8801 11 місяців тому +1

    Bwana huyu kila akiongea analalamika tu lete hojja bwana usilalamike

  • @bagalucha
    @bagalucha 11 місяців тому

    Elimu hana,lakini antaka kujifanya ana elimu,mambo ya kitoto

    • @jabirhussein4180
      @jabirhussein4180 11 місяців тому +1

      We ndio mwenye elimu fanya mambo ya kikubwa

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 11 місяців тому +3

    Huyu ni mpotoshaji.
    Twariqa sio Dini ni Vikundi tu.
    Hadith inayosema
    من سن في الإسلام سنة حسنة......
    Yeyote atakayehuisha sunna njema(nzuri).......
    Kinachomsumbua Hapa Sufi huyu Ni Tafsir ya neno "Sanna" ametafsiri kwa maana "Bidaa" Haelewi Tofaut ya Maneno haya mawili ktk Lugha ya kiarabu.
    Pili :Sababu ya Hadith hii Ni Swahaba Aliyetowa sadaqa.wakat mtume Anahimiza watu watowe sadaka lakin Walichelewa Mpaka Alipoanzisha huyu kuitowa Ndipo wengne wakaamka na kuanza kutowa...
    Kwa hyo sabab Ya hadith ni Sadaka swali kwa Masufi je,Sadaka haipo au haikuwepo mpaka Alipotowa huyu Swahaba.???

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 11 місяців тому +1

      Huyu wanaomjua wanasema anavuta bangi😂

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому +1

      Tafsiri hii uneipata wapi?

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому +2

      @@mbjunior166 na bangi zake lakin anachokisema ni cha kwel tunaangalia maslah

    • @AhmedWetaka101
      @AhmedWetaka101 11 місяців тому

      @@fahmiiidrisa5110 Ibn Baaz!!!!

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 11 місяців тому

      @@AhmedWetaka101 kanuni ya kisheria inasema inaposhindikan kutafsir neno kwa hakika ndo utumie majazi إذا تعذرت الحقيقة يصار إلى المجاز kweny hlo neno sanna kuna udhur gan wa kutafsri kwa tafsri yake ya hakika mpka mtu atumie majazi?

  • @abuukauthar525
    @abuukauthar525 11 місяців тому

    wee dawa yako munaaqasha

  • @OmaryTambi
    @OmaryTambi 11 місяців тому

    Mvuta bangi tu wewe

  • @mohamedomary2887
    @mohamedomary2887 11 місяців тому +1

    Mawahabi hawana tofauti na mayahudi

    • @Arkhamz_95
      @Arkhamz_95 11 місяців тому

      Hii usawa wao kweny jamb gan?

    • @jabirhussein4180
      @jabirhussein4180 11 місяців тому

      Ktk kumpinga mtume

    • @Arkhamz_95
      @Arkhamz_95 11 місяців тому

      @@jabirhussein4180 hakuna wahabi anaempinga mtu hata mmoja na siku y kiama utakua mwenye kuulizwa unayoyasema

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 11 місяців тому

      Uwahabi ndo nn???Nahitaj Dalili za Vitabu

    • @Arkhamz_95
      @Arkhamz_95 11 місяців тому

      @@أبوفيصل-د3ش hakuna dalili uwahabi ni madhhabu kutok kw mwanazuoni abdul wahab ndio likatok hilo neno

  • @fareedsseif4297
    @fareedsseif4297 10 місяців тому

    Uwahabi umeanza Miaka 200 iliopita.
    Uwahabi ni sawa na Niacea Conference ya Pili.
    Uwahabi uliondoa Dola ya Ban Hashim ya Shariff Hussein na kushirikiana na Wayahudi na Wazungu kuunda dola itayo control Kitivu cha uislam.
    Ni project kubwa ya kijasusi kutoka kwa Mayahudi.
    Hawa pia walifanikiwa Kuwavuruga Wafuasi wa Nabii Issa Aleihi Salam na kuwaundia utatu!
    Tuwe makini sana nao

    • @JaziraMustafa-g9p
      @JaziraMustafa-g9p 4 місяці тому

      Uwe na yakini unayoyasema hilo ulilolizungumza ni kubwa mno na utowe hoja na dalili ukiwazushia uongo watu wema hukumu yake ni kubwa mbele ya Allah.Haya si mazungumzo wala utani kama wa simba na yanga.Chunga ulimi.

  • @Muqadis-t8t
    @Muqadis-t8t 11 місяців тому +1

    Tuambie ulifukuzwaje tamta