SEHEMU YA 4: SHEIKH MUHAMMAD IDDI NA MAJIBU YA MAWAHABI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    UA-cam: / @babdeomiladu

КОМЕНТАРІ • 151

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy 9 місяців тому +8

    Maashaalah sheikh jitahidin muwe na vyombo vya habari maana ndio wanavitumia kuwagawa waisam

  • @user-lo1uk8dp5f
    @user-lo1uk8dp5f 9 місяців тому +6

    Sheikh allah akuzidishie umri na uzidi kazi hii

  • @MuhyiddiniSaid
    @MuhyiddiniSaid 9 місяців тому +5

    Allah akujaze kila la kheri Shekh Abuu Eid,hawa watu wamepotesha umma na kuwaona wenzao wote ni washirikina

    • @MuhyiddiniSaid
      @MuhyiddiniSaid 9 місяців тому +1

      Hii fitna ya uwahabi si ya kunyamaziwa kabisa kila mwenye awazungumze

  • @aliyseif8114
    @aliyseif8114 9 місяців тому +8

    بارك الله فيك يا شيخنا الغالي ابو عيد
    الله يحفظك من كل شر و مكروه وسوء ويعطيك العافيه يارب والصحة

  • @zuberiomari7776
    @zuberiomari7776 9 місяців тому +3

    Mola akupe Tawfeeq shekhe

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 9 місяців тому +8

    شكرا لك وجزاك الله خيرا

  • @abeidmohamed2100
    @abeidmohamed2100 9 місяців тому +5

    Shukrn sheikh kwa elimu yako

  • @user-bu4du5kn2k
    @user-bu4du5kn2k 9 місяців тому +6

    حفظك الله يا شيخنا الفاضل محمد أبو عيد

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 9 місяців тому +4

    Allah akuhifadhi

  • @user-dp4bt9vm1o
    @user-dp4bt9vm1o 9 місяців тому +1

    Mashallah,,MOLA Autwawilishe umri wako Tupate kustafid kutoka kwako🤲

  • @JabirBakar-ys8dw
    @JabirBakar-ys8dw 8 місяців тому +1

    shukran sheikh

  • @saidburuji9984
    @saidburuji9984 9 місяців тому +2

    Sheikh hiz darsa zako miongoni mwa uzuri wake haziishii kuwatetea hawa masheikh wa hizi Karne zetu tu bali Hata maimamu Wa umma huu nao unawatetea maana leo waweza kumuona mtu namna anavyomzungumza na kumtizama imamu shafii utafikiri walisoma Pamoja madrsa moja kwa hiyo sheikh Zaid sisi tunakuombea kwa ALLAH afya na taufiq ili uzidi kuurudisha umma katika uislam sahihi kama ulivyopokewa kutoka kwa mtume alayhi sswalaatu was salaam

  • @Naaam353
    @Naaam353 9 місяців тому +5

    Nimekuelewa sana sheh
    Jamaa wamejaa chuki,jazba na kununa

  • @user-rg5yp1lp7o
    @user-rg5yp1lp7o 9 місяців тому +1

    Allah akuhifadh shekh abuu iddi

  • @abdulrahmanbakar5416
    @abdulrahmanbakar5416 9 місяців тому +8

    Unaongea Point za msingi na za mafunzo ya uislamu ila vijana wa sasa hawtokuelewa. Kupinga kwako kumetumia akili sana na namna ya hoja zako.
    Allah akubariki.

  • @user-xx7ox6bj7c
    @user-xx7ox6bj7c 9 місяців тому +1

    saaafisana sheyhe mungu akuhifadhi

  • @mwalimjecha6893
    @mwalimjecha6893 9 місяців тому +11

    Shekh unafanya kazi kubwa na ni nzuri kabisa, hapohapo usiwaache hao mawahabi waharibifu.

    • @ramadhanmbwana5718
      @ramadhanmbwana5718 9 місяців тому +1

      Kama anaelimu akajibi hoja alizo ulizwa na shekh kasimu mafuta

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 9 місяців тому +1

      ​@@ramadhanmbwana5718mawahabi nyinyi ni watu wa propaganda tu.kasim mafuta hana maswali yoyote yakielimu

    • @ramadhanmbwana5718
      @ramadhanmbwana5718 9 місяців тому

      Sasa muamedi idi sindio anaongea vitu ambavyo havieleweki na wala sio vya kielimu
      Kama vile kwenda kinyume na shekh wako katika jambo ni kumzara hii ni dini ya wapi kama wewe umesoma
      Sasa
      Imamu shafi amesoma kwa imamu maaliku lakini ameenda kinyume na shekh wake katika masiala mengi tuu kama umesoma فقه المقارنة
      JEE YEYE NI WAHABI
      na imamu ahmadi nae amesoma kwa imamu shafi na kuna masala mengi tuu kaenda kinyume na shekh wake
      JEE NA YEYE NI WAHABI JIBU SWALI HILI KIADILIFU KAMA WEWE NI MKWELI

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 9 місяців тому

      Tuone maswali yako ya kielimu kwanza hebu na ya sheikh wako ndg@@abiabi9353

    • @ibrahimabdul8257
      @ibrahimabdul8257 8 місяців тому

      Na unamsifia eti anafanya kazi kubwa khitilafu za kifiqih za mtoto kuwahi kufungua baba akachelewa yeye anaiita ni uwahabi

  • @maftuhihassan3114
    @maftuhihassan3114 9 місяців тому +3

    Baraka llwa

  • @akramsamil9238
    @akramsamil9238 8 місяців тому +1

    Nakuelea shekh

  • @user-ou2qr1sb9x
    @user-ou2qr1sb9x 9 місяців тому +8

    Mawahabi niwatukanifu

  • @alhabibymasoud3445
    @alhabibymasoud3445 9 місяців тому +1

    بارك الله فيك يا شيخ

  • @ahmaditara8535
    @ahmaditara8535 9 місяців тому +1

    Allah akuhifadh

  • @jumaamohamed4203
    @jumaamohamed4203 9 місяців тому +2

    Umetisha mwamba

  • @akambi482
    @akambi482 9 місяців тому +1

    Uko sahihi sana shekh

  • @user-kj2cy5ji7f
    @user-kj2cy5ji7f 6 місяців тому

    Wewe IDI MOHAMEDI' Umeishiwa maarifa ktk Dini. Ulichonakiwa nacho nikufitinisha Waislaam. ( UMEFIRISIKA KIELIM)

  • @user-ku7nf4ml2z
    @user-ku7nf4ml2z 8 місяців тому +1

    Hakika wanaharibu jamii wabaguzi wAchoyo

  • @mustaphaabbas2545
    @mustaphaabbas2545 9 місяців тому +1

    Nyinyi Muacheni ili tuendelee kuuona udhalili wake katika elimu yake kwamba hamna kitu kabisa! Anajidhalilisha ngoja tuendelee kuona na tuone mwisho wake...

  • @MuhyiddiniSaid
    @MuhyiddiniSaid 9 місяців тому +2

    Nakumbusha Mashekh wa twariqa warejee hivi vitabu ili kuwajuwa hawa wapotoshaji na muanzishi wa kundi hili.
    التاريخ بن بشر
    التاريخ بن غنام

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 9 місяців тому +3

    Mashallah sheikh umeeleza vizuri sana. Lkn hapa naomba niwaulize mawahabi swali moja lililo nje ya mada. Kwamfano nikisema kuwa jambo fulani nisinge fanikiwa kama sikwamkono wa Allah. Je mawahabi hapo mnaelewa nini? Wahabi ukijibu nitakupa zawadi ya laki moja

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 9 місяців тому

      😅😅😅😅 Umetisha MAWAHABI WAMEKALIA DHANA MBAYA KWAKILA JAMBO LINALO FANYWA NA WAISLAM WAO MAWANALIPINGA
      MAWAHABI NI WAFITINISHAJI WA WAISLAM WANATUMIKA NA MAYAHUDI

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 9 місяців тому +1

      HABIIB NAKUONGEZA LAKI NYENGINE MOJA WAKIJIBU, UTANAMBIA TU

  • @HassanJamada-pf4jt
    @HassanJamada-pf4jt 9 місяців тому +2

    Maswali 10 uliyoulizwa hujajibu bado na yamekuganda
    Na wallahi huwezi kuyajibu mpk unaingia kaburini

    • @qtp9964
      @qtp9964 9 місяців тому +1

      unajua ghayb sheikh wangu?

    • @HassanJamada-pf4jt
      @HassanJamada-pf4jt 9 місяців тому

      @@qtp9964 sio kujua ghaybu ,
      Hawezi kuyajibu kwa sabubu misingi yake anayoitumia kujenga hoja ni ya batili , hivyo ataishia matusi na majivuno lkn Wallahi hawezi kuleta majibu sahihi , na km aweza ajaribu kujibabadua tuone ,
      Alhamdulillahi Ahlussunna wanazungumza na kujadili mambo kwa hoja zake na kutoka kwenye vyanzo sahihi na wanajiamini wanalolizungumza kwa sababu ni haki ,
      Ama Ahlul bida'i wao hawana zaidi ya kuwakebehi na kuwakejeli wenzao lkn Wallahi hawezi kusimamisha hoja zenye mashiko kutoka kwenye vyanzo vyao zaidi ya kudanda huku na kule
      الحمد لله على نعمة الإسلام والسنة

    • @saadayoub7179
      @saadayoub7179 9 місяців тому

      Ghaibu si ajibu kama anaweza mbona anarukia mambo mengine na hamna cha maana anachoongea kupotezea watu muda na bando

    • @HassanJamada-pf4jt
      @HassanJamada-pf4jt 9 місяців тому

      @@saadayoub7179 swadakta

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 9 місяців тому

      Mkumbushe kwamba hio ni mada ya mbele arejee za nyuma kwanza@@qtp9964

  • @abuurauzwat1006
    @abuurauzwat1006 9 місяців тому

    WEE MZEE WEE ALLAH AKUOGOZE INAONEKANA UNA CHUKI KUBWA KA QASIM MAFUTA LKN ZILE SKU ZA MWANZO CHA KUSHANGAZA ULIMSIFU KWAMBA ANA ELM ANOSOMA VZR IBARA MTOTO WA KISHAMSIA NIWAKISHAMSIA BHANAA SKUFANANISHI NAWENGINE AATA KDG MPAKA UKAJINASIBISHIA UWALIMU KWAKE KWAMBA UMEMSOMESHA ULIPO AMBIWA SO KWELI LETE UTHIBITISHO UKAKIMBIA SASA LEO HII UMEKUJA KUWA AMINISHA WATU KWAMBA QASSIM MAFUTA SO LOLOTE BHANAA SASA TUSHIKE LIPI.

    • @abuurauzwat1006
      @abuurauzwat1006 9 місяців тому

      ALAF KIKUBWA TU NIKWAMBA KITABU CHA KAKOSOWA KITABU CHA SHEKH WAKO NDO POROJO LOTE ILO KWANI WEE HUONI KWAMBA KINAKOSOLEWA ATA KITABU CHA MAULIDI BARAZANJI MBONA HUVIMBISHI MISHIPA KAMA IVO UKAMTETEA YULE MTUNZI WEE UNADHANIA YULE ATETEWE NANANI NA KASHAKUFA KAMA HUKU SIMAMA WEE BWANA MWENYE ELM ULIE SOMA SHAMSIA ? AU UNATAKA KUTUWAMINISHA KWAMBA KITABU CHA MUHAMMAD AYOUB HAKINA MAKOSA ?.

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 9 місяців тому

      Mm ni mtu wa twariqa na nakubali sana kwamba sheikh kassim mafuta ana elimu kubwa ma shaa ALLAH ,ALLAH ambarikie, ila hebu rudia ile clip.ya historia yake uone je yy ana fadhila kwa wale.walio msomesha بكل ادب واحترام

  • @salafitanzania1216
    @salafitanzania1216 9 місяців тому +1

    Jiangalie Hali yako ewe ndugu,kusoma ibara za kiarabu ni changamoto yaani unasoma mpaka tunaona kinyaa haya na aibu,hakika wewe ndio unamdhalilisha Shk Muhammad Ayoub Alkamadhiy(رحمه الله)

    • @salafitanzania1216
      @salafitanzania1216 9 місяців тому +1

      Ikiwa Sheikh ndio unasoma hivyo,sijui wanafunzi watakuwa na Hali Gani??

    • @saadayoub7179
      @saadayoub7179 9 місяців тому

      Wallah lunga ya kiiarabu ni tamu sana lakini uyu bwana anaitia kinyaa sijui anasomaje somaje ,anaitia aibu Tamta na masheikh zake

    • @islamseyffden7723
      @islamseyffden7723 9 місяців тому +2

      😅😅mawahabi hmn hoja skiliz uchafu wenu huo abdulwahab kampinga babake sishangai ww pia maana n wtt wa abdulwahab😂😂yaan kashapigwa laan n baba ake n nyie mnafata

    • @dawudhaamid1006
      @dawudhaamid1006 9 місяців тому

      kwahiyo kwasababu tu alipingwa na baba yake ndio inamfanya kuwa alikuwa katika makosa??kama hiyo ndio hoja basi jiulize kwa hoja hiyohiyo vip kuhusu mitume wote wa Allah walivyopingwa na watu wao,je hilo linamaanisha mitume walikosea??

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 9 місяців тому

      ​@@dawudhaamid1006JE HAO MITUMI ALAIHIMU SALAAM BABA ZAO WALIKUA WANACHUONI?

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 9 місяців тому +2

    Umeongea vizuri ila unarefusha majlisi twende kwenye kujibu shubha za kassim mafuta kwa muhammad bakr alburhani

    • @saadayoub7179
      @saadayoub7179 9 місяців тому

      Hawezi kumrudi hata siku moja ,kita cha marehemu mwamed bakar hakijaandikwa kisomi wala kufanya uchunguzi....porojo nyingi tu katika swahika tul muhurika

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 9 місяців тому

      hahahahaha, ah sema na wewe bana maana tukisema twaambiwa hatuna ulimi mzuri

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 9 місяців тому +2

    SHEKHE MAWAHABI HUWAWEZI HAOO

  • @salafitanzania1216
    @salafitanzania1216 9 місяців тому +2

    Kadri unavyoongea ndio ujinga wako unadhihiri,nlifikiri unaujinga mdogo kumbe ni جاهل المركب!!hata mtu akitaka kukujibu unampa taabu yàan ujinga umezid,Kila sentensi moja au mbili inahitajia kuwekewa sawa!!!
    Lakini naomba utusaodie,hebu jibu Yale Maswali kumi kwanza ya Sheikh Qassim Mafuta(حفظه الله)

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 9 місяців тому +2

      MAWAHABI NI MAWAKALA WA KIYAHUDI WANAO MPINGA MTUME MOHAMED SALALAHU ALAYHI WASALAM
      ALLAH ATUONGOZE SISI WAISLAM NA MAWAHABI AMIN

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 9 місяців тому

      SHEKH ABUU IDI ALLAH AKUPE AFYA NNJEMA UZIDI KUTUELIMISHA ZIDI YA WANAO UPIGA VITA UISLAM NA WAISLA
      MAWAHABI WASIACHIWE KUPOTEZA UMMA WA KIISLA TENA IKIBIDI WASISWALI MISIKITI YA KITWARIKA MAANA WANAKUWA WANAFIKI KAMA HAMTAKI KUNUTI NA DUWA WASISWALI MISIKITI YETU WAJENGE MISIKITI YAO KAMA WALIVYO MASHIA NA AHMADIA NA MAWAHABI WAJENGE MISIKITI YAO NI WANAFIKI MAWAHABI WANAFIKI KAZI KUTUTUKANIA MASHEKHE ZETU HAWA MAWAHABI NI WAKUOGOPWA KAMA TAUNI

    • @user-bu4du5kn2k
      @user-bu4du5kn2k 9 місяців тому +1

      Siku zote mawahabi chuki zime wajaa acheni upotofu ikubalini haki

    • @salafitanzania1216
      @salafitanzania1216 9 місяців тому

      Haqi ipo iliyotajwa hapo,haqi ipo kwenye Yale Maswali 10,sheikh Abuu Eid atusaidie kujibu,,naona amehama kabisa kwenye mada,,,ajibu kwanza Yale maswali

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 9 місяців тому

      Acha makasiriko, hilo unalosema halina ushahidi katika vitabu ni maneno ya watu tu (propaganda)@@salumhassanallymkurdistan7006

  • @user-br6tx2jy1h
    @user-br6tx2jy1h 9 місяців тому +2

    heb kaa uzungumzie mashia wanavyo watusi maswahaba .

  • @SalimuAthuman
    @SalimuAthuman 9 місяців тому +1

    Utapata tabu sana hutaweza kuwaangusha ahlu sunnah mwisho wa siku itakuwa sababu ya waislamu kusoma na kujua haki iko wapi

  • @adamkilembwe.
    @adamkilembwe. 9 місяців тому +1

    Sheikh, endelea mana vijana wengi tunawafuata pasi na kuwajuwa hao mawahabi

  • @Mabahdl
    @Mabahdl 9 місяців тому +1

    Hao wote waloandika na watu kama wewe nimasufi kwahivo sisi hatupati tabu napia vitabu vingi ni vyakishia unatumia acha ongo mzee sisi tushakujuwa siku nyingi sana na ukiwekewa mihadhara yakujibiwa unakimbia

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 9 місяців тому +1

    Abuu iddi jibu hoja usilete rejaaaaaa

    • @ibrahimsaad617
      @ibrahimsaad617 9 місяців тому +1

      Chukua vitabu alivyotaja WWE umjibu mwenye hoja tukufate alafu tutajie umri wako elimu yako Na Na kitabu kimoja ulicho tunga alafu tukulinganishe Na shekhe Muhammad Ayubu alkamadhiy Allah amrehemu

  • @hamzafakur6365
    @hamzafakur6365 9 місяців тому +1

    Shekh hana hoja za kielimu mbona nuni haziporomoki

  • @GoldenBoy-xm5gn
    @GoldenBoy-xm5gn 9 місяців тому +1

    anaonesha uchache wa elimu yake na kudhihirisha ujinga wake

  • @user-zr2pn5uv8b
    @user-zr2pn5uv8b 9 місяців тому

    kama kweli upo Sirius na hicho unachokitetea naomba sana unijibu maswali yangu
    1 katika maelezo uliyotoa hapo nikwamba Sheikh Muhammad bin Abdul Wahab alianza kupingwa na watu kwa sababu ya kuwalingania kunako kumuabudu Allah na kujiepusha na ibada za kuabudia makaburi kuomba mawe n.k, swali langu kwako wewe unamtazamo gani kuhusu muislamu anaeyafanya hayo je yupo sahihi?
    2 unamtazamo gani kuhusu hirizi mtu akaivaa kama kinga?
    3 niupi mtazamo wako ambao sio wakiwahabi kuhusu kijana alieisoma dini na bado akakuta wazee wapo katika utaratibu wa kutambika na kufanya shirk nyingine?
    naomba sana unijibu hatakama utaniona ni mvuta bangi mstaafu au Sina nidhamu kwa masheikh
    Shukran

  • @dawudhaamid1006
    @dawudhaamid1006 9 місяців тому +1

    jambo jingine sheikh abuu idd,kwani inapotajwa siasa lazima iwe ni demokrasia? kwani uislam hauna siasa?? naamini wajua unachokifanya kuwa ni kucheza na hisia za wale wasiojishughulisha na kuisoma dini yao kwa misingi ya dini ili waichukie haki na watu wake,lakin usisahau kuwa Allah Ni Mjuzi na kuwa Mlinganizi katika njia ya upotofu hubeba madhambi ya wale waliomfata katika upotevu wake..

    • @HusseinPaula
      @HusseinPaula 9 місяців тому +1

      Siasa ya kiislamu haina kustaafu soma qur an huku sisi tuna msikiliza kwa ilmu na ibra muelekeo wetu sisi ni mtume sio wanajidi sisi siasa twaijua bwana usiseme hatufuatilii dini

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 9 місяців тому +1

      NDUGU YETU HOSEIN AMEIMALIZA HOJA, SIASA YA DINI KUNA KUSTAAFU?

    • @dawudhaamid1006
      @dawudhaamid1006 8 місяців тому

      Hoja haiko kwenye kustaafu ewe ndugu yangu hussein...hoja iko kwenye Siasa...je,hiyo siasa Alikuwa Akiifanya ni ipi?ina endana na ile ya Mtume ya Kuhuisha tawhiid katika ardhi na watu kuhukumiana kwa sheria ya Allah..ama Alileta namna mpya ya kiutawala wa kiislamu??

    • @dawudhaamid1006
      @dawudhaamid1006 8 місяців тому

      Alhamdulillah sheikh Muhammad ibn Abdilwahhab Alijitahidi sana kusimamia pale waliposimamia Wema waliotangulia,na hili ukitaka kulithibitisha hebu soma vitabu vyake kwani hali ya mwanawachuoni hufahamika kupitia kazi yake na wanafunzi wake..ikiwa kweli unatafuta haqqi hebu fuatilia...

  • @mustaphaabbas2545
    @mustaphaabbas2545 9 місяців тому

    Mm namaliza bando nilijuwa ana lolote labda kumbe hamna kitu zaidi ya Ujinga uliomjaa katika kichwa chake na chuki ya kuchukia sunnah..
    Maneno matupu hamna chochote cha dalili zilizothibiti

  • @IbrahimMenjano-lj7df
    @IbrahimMenjano-lj7df 9 місяців тому +2

    Twatak huyo kasim mafuta apinge kiushaid yye sio wahabi?? Naje hiv vitabu nivyauoongo naje huyu Abdul wahabbi je kweli alikua nmwana niasa? Kutak kupindua dola ya othmania apinge hapa

    • @user-by6fo2yl1u
      @user-by6fo2yl1u 9 місяців тому

      fuatilia majibu yake yanyuma alivyo mjibu huyu Mzee kuhusu mada yauwahabu

    • @SaidKondo-rw8wb
      @SaidKondo-rw8wb 9 місяців тому

      Kaka ,shekhe wako Hana kauli ya pamoja uhabi ni nini? Yaani yeye mwenyewe hajui uhabi ni nini? Ataja tu uhabi uhabi ,kama uhabi kupinga maulid aseme,au uhabi ni qassimu mafuta ? Au uhabi ni kupinga khitma ? aseme kwanza uhabi ni nini? Abainishe huo uhabi alafu aupinge kwa hoja za kielimu yaani qur -an na Sunna,Muhammad iddi kajaaa porojo tu.alafu aseme hapa siasa haramu?

  • @abuukauthar525
    @abuukauthar525 9 місяців тому +4

    shekh lakin uwe mvumilivu shekh kasimu akianza kukujibu

    • @abuuruwaydatvTz
      @abuuruwaydatvTz 9 місяців тому

      Kawaida yake akizidiwa anakimbia

    • @hafidhseif1686
      @hafidhseif1686 9 місяців тому +3

      Hahaha Ajibu wapi Sasa Wakati Mpka leo Watu Wataka Waje Pongwe Hataki Waje

    • @islamseyffden7723
      @islamseyffden7723 9 місяців тому

      Mwambie aje na matusi tuh hana elimu zaid kutukana nan asiewajua😂😂

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 9 місяців тому

      Kumbe sheikh muhammad idd anavyotoa matusi hapo hayaonekani kwa kumdogosha sheikh kaasim mafuta? Sheikh mwanachuoni Ibn baazi yeye haoni kwamba ana haki ya kuheshimiwa bali ni sheikh muhammad ayub tu, NI SAWA?@@islamseyffden7723

  • @user-yn7yq5sg3z
    @user-yn7yq5sg3z 9 місяців тому +1

    😂😂😂 simpumbavu voo ao makhurafi wenziwe wanalia kwa maneno yake yasonakichwa wala miguu😂😂😂

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 9 місяців тому +1

      Acha ushoga unakenua nn unaleta unafiki apa mtu unatajiwa vitabu unataka mpk shekhe wako akutajie iyo siyo tabia ya kiislm sikiliza vitabu usiangalie nani anasema

  • @jumaziad239
    @jumaziad239 9 місяців тому

    Wewe si ulisema kuwa tokea mawahabi waanze kupinga maulidi ndio kwa kama yalichochewa, mbona sasa inalalamika watu wenu, hawachangii maulidi, hawahudhurii, misikiti inakataa dua za pamoja .......
    Na bado ipo, hivyo HAKI ndivyo ilivyo waigunduawo kuifuata wakaachwa waipingao. Endelea kutuenezea haki ila tuifuate hata nasi tulikuwa hukohuko. KWAHERIIIII NA KARIBU UFUATE HAKI

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw 8 місяців тому

      msikiti gani huo uelewa mbovu ulionao ww

  • @mustaphaabbas2545
    @mustaphaabbas2545 9 місяців тому

    Sheikh mkubwa unasoma kiarabu hakina hata ladha... mmmh mtoto tuuu huyo wa mawabi unaowaita wewe akija hapo hautamuweza kwakusoma hizo ibala..

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw 8 місяців тому

      tunataka usikilize kisha kavitafute hivyo vitabu ujisomee ww mwenye ladha

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 9 місяців тому +2

    Kupingwa sio hoja shekh kinachoangaliwa ni haq mitume walipingwa ndo tuseme hawafai ?

    • @jumaamohamed4203
      @jumaamohamed4203 9 місяців тому +1

      Mbona yeye anapinga masheikh zake Ndio kusema pia hawafai?

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 9 місяців тому

      Je MITUMI عليهم السلام WALIPINGWA NA NANI NA JE SHK MUHAMMAD BIN ABDIL WAHAB AMEPINGWA NA NANI?

  • @SalimuAthuman
    @SalimuAthuman 9 місяців тому

    Ustadh nakuomba usiwapotoshe watu kwa kuwaonyesha vitabu vingi hiyo sio hoja.angalia nyuma yako hiyo picha ni ya nani , mtume(S.A.W) asema ni kuhusu ndevu , amesema achilieni ndevu na mpunguze masharubu ,je wewe mtuwe wamfuata kwa lipi

    • @SalimuAthuman
      @SalimuAthuman 9 місяців тому

      Kwa hali yako inavyoonesha uko mbali na sunnah ustadh, kwa hiyo kwa heshima nakuomba fanya tafiti zako vizuri

  • @user-br6tx2jy1h
    @user-br6tx2jy1h 9 місяців тому

    mbona hamkusanyiki kuwateta maswahaba wanavyodhalilishwa na mashia? kwahy mashekh wake nibora kuliko maswahaba?

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 9 місяців тому

      Sheikh mziwanda ni sheikh wenu, sharif izzudin syd, jaafar saggaf, syd abdul qaadir sayyid muhammad al beidh ni masheikh wenu?mbona wamewajibu mashia sana , wengine mpaka kwa vitabu mwanzo sisi masheikh zetu wa kitambo wote wamewajibu mashia sababu mawahabi ni wapya huku kwetu

  • @saidsheha1336
    @saidsheha1336 9 місяців тому

    Muhamedi iddi kasome huna elmu

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb 9 місяців тому

    Muhammad iddi unatia aibu ,elimu haipo hivo,jenga hoja na bomoa hoja kwa elimu,unapiga porojo,bomoa hoja za qassimu mafuta kwa elimu sio poroja,kupingwa na baba hata mitume walipingwa na baba zao walipingwa na watu wao,ALAFU UKASOME unadhuhirisha ujinga.

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 9 місяців тому

      YAAA RABB USINIINGIZE KWENYE UWAHABI ... MANA FAHAMU ITAPOTEA

    • @SaidKondo-rw8wb
      @SaidKondo-rw8wb 9 місяців тому

      @@noorululaatv8973 hata maana ya uhuo uwahabi hujui,unaomba usichokijua? Tatizo

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 9 місяців тому

    Apo umesema kweli kua masheikh zetu wa kiwahabi hawatajli mema ya masheikh wengn wao ni mabaya tuuu kuyataja mpk mm nashangaa kwn hawakua na mema alafu gonjwa lingn mpk mtu afariki ndio akosollewe na kuulizwa maswali

    • @user-jm7ly3tg6p
      @user-jm7ly3tg6p 8 місяців тому

      Ikhwa tusome usiongee mambo kiufahm wako, Allah atuongoze

    • @khalifaahmed5232
      @khalifaahmed5232 8 місяців тому

      @@user-jm7ly3tg6p alhamdulilah nimesoma adabu kabla ya elimu ndio naongea Sawa siangalii mikao mm ndio nikurupuke maadamu sheikh wng kasema

    • @user-jm7ly3tg6p
      @user-jm7ly3tg6p 8 місяців тому

      @@khalifaahmed5232 kama umesoma aadaab za e'lmu nikuwa ufahamu yanaposemwa makosa ya sheikh flani haiamanishi kuwa hana kheir aloifanya, laaa bali hizi kheir tayar zinaonekana, ila wasije wakadhan ma'wam kuwa mpaka yale makosa nao kuwa ni kheir ndio mana yakabainishwa makosa kwakujua kua kheir inajuilikan mana hata huyo alokosolewa kataka kuiongea kheir, bali hutokea akaongea maneno yakimakosa hapa ndio atakosolewa, الله أعلى وأعلم

    • @user-jm7ly3tg6p
      @user-jm7ly3tg6p 8 місяців тому

      Na nikipende tujue yakuwa RUDUUD si upinzani kama wanavodhan baadhi ya ikhwa, au kuwa nikujiona au kukejel watu laaa, ruduud ni moja katika njia za kueneza e'lmu ulokua ha hakki ndio mana miongoni mwa mambo yenye kuzingatiwa katika ruduud n mtu kuchunga heshima ya mtu asiingie katika shakh- swiyya na mtu kuongelea mambo yakiubinaadamu wake, na kma kuna raddi utaongelea heshma y mtu basi hiyo hatuizingatii kuwa n raddi AHLU SUNNA WALJAMAAA, bali hupingea raddi hiyo hatakm huyu anoradiwa kwel kakosea والله أعلم

  • @saadayoub7179
    @saadayoub7179 9 місяців тому

    Uyu anajichanganya sana sasa tuelewe wahabi au salaf swaleh....kutoa umri na kunua vitab kwenye njia isiyo ya swa wasisemwe?

  • @abuunutsamuonlinetv2703
    @abuunutsamuonlinetv2703 9 місяців тому

    Mkiporomoshewa hoja msiseme tunawagawa kwan huyu kasha tuweka pande 2

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 9 місяців тому

      Na kwa kauli zake za kuwatenga watu tayari anaugawa umma ila anauonesha kwamba sio yeye anayowagawa

  • @salimmgwira7179
    @salimmgwira7179 9 місяців тому

    unaonekana km husda inakusumbua sana km alivyo sema alie kua shkh mkoa wa daresalam alhdi maana hujibu hoja za kielimu watuletea story za maskani na vijiwei kwaiyo elimu yote imeisha shamsia apo wewe una mtukana mohamed Abdul wahab je yeye hakua mwanachuoni hana wanafunzi?sasa mbna wakisemwa mashk wenu mwa ngaka??huo kusemwa ndo utaratibu wa dini kama umesea au umepatia

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u 9 місяців тому +1

    ila huyu ni muongo sana.
    hakuna Mawahabi ila ni chuki zenu na kuwatukana Ahli sunna waljamaa.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 9 місяців тому

      Ww juha huyo sheikh hivyo vitabu anavyonukuu ni vya kiwahabi

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 9 місяців тому

      @@HemedSerious Abuu Idd sio Sheikh,Pili Umedai Vtabu vinavyothibtsha uwahab anavyo.
      haya tuthibitishie Je,Uwahabi ni nn!?kwa Tafsiri nzr kabsa je,Uwahabi ni Kabila,Dini,Dhehebu,Mtu,Au ni chama au ni Taifa lete Ushahidi wa Vtabu vyao hao mawahabi.???
      Kama huna basi ww na huyo Abu Idd ni waongo

  • @saadayoub7179
    @saadayoub7179 9 місяців тому

    Sasa kama sheikh abdulwahab alipingwa kwa sababu ya kuipija vita shirk,kuvaa hirizi basi hii daawa yake ni ya kuikimbilia ili kuwa mbali na shirk

    • @islamseyffden7723
      @islamseyffden7723 9 місяців тому +1

      😂😂kampinga yyte anaekaa mbele elimu kapata kw babake pia anapinga ase laana zmempata za radhi

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 9 місяців тому

      NDG, nimemsikiliza sheikh vizuri alipokuwa ananukuu hivyo vitabu. Kataja mambo amabyo sheikh abdul nwahabi alikuwa anayalingania kama shirk, uzushi nk. Hapo ndipo watu walipompinga. sasa je, hayo aliyopingwa kwayo ni sahihi yaachwe kukemewa? maana hata nabii ibrahim alayhi salam alitupwa kwenye shimo la moto kwa sababu za kulingania kuondolewa shirk ya masanamu. je waliomtupa kwenyue moto wapo katika haqi? TAFAKARI KAULI ZA SHEIKH MUHAMMAD IDD zina mkanganyiko@@islamseyffden7723

    • @user-zr2pn5uv8b
      @user-zr2pn5uv8b 9 місяців тому

      anaejielewa basi

  • @user-ou2qr1sb9x
    @user-ou2qr1sb9x 9 місяців тому +3

    Shekhe wanyooshe wahabi hao

  • @dawudhaamid1006
    @dawudhaamid1006 9 місяців тому

    Sheikh kwahiyo kwasababu tu alipingwa na baba yake ndio inamfanya kuwa alikuwa katika makosa??kama hiyo ndio hoja basi jiulize kwa hoja hiyohiyo vip kuhusu mitume wote wa Allah walivyopingwa na watu wao,je hilo linamaanisha mitume walikosea??

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 9 місяців тому

      Laa hii ni قياس مع الفارق mzazi wa shk muhammad bin abdil wahab alikua mwanachuoni, je hao wazazi wa hao MITUMI عليهم السلام walikuaje?

    • @dawudhaamid1006
      @dawudhaamid1006 8 місяців тому

      hii sio قياس مع الفارق أخي kwasababu;sio kila mjuzi/mwanawachuoni anapatia katika madai yake,kinachoangaliwa je kile anachokidai kinaendana na msingi?mfano,mayahudi walikuwa ni wajuzi kabsa kuhusu ujio wa Mtume swala na amani ziwe juu Yake,bali walikuwa na ujuzi kuhus ujio wa Mwana wa Maryam alayhi Assalaam,lakin pamoja na hilo waliwapinga Mitume hawa wawili..je,hapa wanakuwa wao ndio wako kwenye haki?

  • @salimmgwira7179
    @salimmgwira7179 9 місяців тому

    Kwaiyo kupingwa ndo dalili ata mtume alipingwa shk tena na baba zake au hujui sira wewe Muhammad idi ??kwasababu dini haindibkimazoea dinibina kwenda kwa Dalili shk kwaiyo km mtu kakataza watu kufanya ushirikina akapingw atakua hafai na shirk ndo inafaaa shke embu ongealea hoja za maana sio huo ubabaishaji

    • @HusseinPaula
      @HusseinPaula 9 місяців тому

      Mtume kapingwa na makafiri sio waislamu huyo kapingwa na wasomi wa dini baba ake mzazi ni msomi kampinga na watu wema wote usilinganishe kupingwa kwa mtume na kupingwa kwa ujadida huu

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u 9 місяців тому

    Hebu na huyu kiongoz wenu analingania kweny nn???
    ua-cam.com/video/3mggkRZEKFk/v-deo.htmlsi=zyfAL_wTm2qxFLzI

  • @oxygrp7393
    @oxygrp7393 9 місяців тому

    Mawahabi ni akina nani?
    ???
    Au ni mashiya?

    • @Mofaiz_11
      @Mofaiz_11 9 місяців тому +2

      ni wafuasi wa sheikh mohammed abdulwahab wa saudia ambaye wapo katika pote la kupotosha umma na kufarikisha umma

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 9 місяців тому

      Wanaojiita masalafi na ahlul Sunna

  • @user-hx2yq6xy2u
    @user-hx2yq6xy2u 9 місяців тому +1

    Sisi tunajua wewe muhammad idi nitapeli wa mali na pesa za watu kama mzee BAKARI NASSOR Allah amhifadhi

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 9 місяців тому +2

      Unajibu hoja gani katika hizo alizozileta?

    • @user-hx2yq6xy2u
      @user-hx2yq6xy2u 9 місяців тому

      Unauliza nini katika kilicho andikwa.

  • @user-hf4pb7wi1j
    @user-hf4pb7wi1j 9 місяців тому +1

    Kwamaneno yako sasa siamini kama wewe ni muislam

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 9 місяців тому

    Unaongea vizuurii,tatiizooo maswali hujiiibuuuu,na kiarabu wasoma kama kitumbaatuu😂,alaf mwanaume hupunguza sharubu huacha ndevu,sasa kidevu kinaonekana kama kokwa

  • @user-br6tx2jy1h
    @user-br6tx2jy1h 9 місяців тому

    ulishakimbia mandala huko nyuma waibuka huku na ushaapewa maswali huko nyuma ukakimbia

    • @islamseyffden7723
      @islamseyffden7723 9 місяців тому

      Sh mohamed iddi wanyooshe mawahab ase wachafu sana wazee wa kuradd.ase mabaya wanataja mazur hayataj hawa.ni maadui.

  • @user-hx2yq6xy2u
    @user-hx2yq6xy2u 9 місяців тому +3

    Hili ni pumbavu la kiwango cha lami , halieleweki kabisaa .

    • @azizisingi7068
      @azizisingi7068 9 місяців тому +5

      Muwahabi sindano ishakuingia weka na tako lingine ikuingie tena

    • @user-jn3jh7yp3w
      @user-jn3jh7yp3w 9 місяців тому +1

      Walid bi mughyra huwezi kumuelewa huyu

    • @user-hx2yq6xy2u
      @user-hx2yq6xy2u 9 місяців тому

      Ninyi ma faraa3ina zamanina mnamuelewa.

    • @muhammedaloufy4086
      @muhammedaloufy4086 9 місяців тому +1

      Jibu hoja! Wahabism ni harakati ya kisiasa haikuwa ya dini!na ipo kwa sababu ya kulinda utawala wa Saudi! wewe ni bendera fuata upepo

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 9 місяців тому +1

      Ubongo wako umeathirika na uwahabi