SEHEMU YA 1: SHEIKH MUHAMMAD IDDI AMJIBU KASSIM MAFUTA, MAWAHABI HAWANA DHEHEBU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 440

  • @YusufMatianyi1388
    @YusufMatianyi1388 Рік тому +3

    Shiekh letu Nakupenda Kupitiliza ,much love from Kenya ,Warekebishe mawahabi waache kupotosha umma .Allah Akuhifadhii na vitimbi vyiao in shaa Allah

  • @OrondiYusuf
    @OrondiYusuf Рік тому +1

    Alhmdulilah allaah akuifadhi zaidi shekhe abu idi kazi unayo fanya nikubwa twapaswa kukupongeza na kukuombeya saidi kwa allaah akuifadhi. unafanya hivyo kunusuru watu wasipotezwe nikazi kubwa sana allaah atakulipa. mimi ni mjukuku wa shekhe muhammad ayubu nimefundishwa kutoka kwa mwanafunzi aliye soma kwa shekhe muhammad ayubu.lazima nikupongeze na kukuombeya kwa allaah akuifadhi saidi.kazi unayo fanya nikubwa.allaah akuifadhi.na kila shari zote.

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 Рік тому +21

    Shekh Muhammad idi usikae kimya muda mrefu . Tuna kupenda sana mwenyezi mungu akulipe, au refushe uhai wako katika kheri, akulipe na atulipe pepo ya juu aaamiin

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Рік тому

      hawezi atakimbia mda si mrefu...

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому

      ​@@ayububakari9942akimbizwe na nani? Yani mawahabi mnajidanganya sana

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db Рік тому +1

      Huyu ni asome kwanza ndipo aingie kwa ruduud

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому

      @@SugowFarah-up3db mawahabi ndo mkasome hamna mnachojua

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Рік тому

      @@abiabi9353 we labda ndio umenunuliwa smart phone juzi tafuta mijadala kuhusu mwezi muandamo akijadiliana na Sheikh abulfadhli qaasim mafuta Allah amuhifadhi uone alivyokimbia AKIDAI AMEKATAZWA NA WAZEE WAKE !!

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 5 днів тому

    Asante sana sheikh letu kwa mawaidha mazuri. Mungu akupe kauli thabiti na akuondoshee adhabu ya kaburi.

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 Рік тому +6

    شكرا لك وجزاك الله خيرا
    شيخنا الكريم

  • @KhamisiOmar-v3h
    @KhamisiOmar-v3h Рік тому

    Asante sana sheikh wetu kazi yako ni nzuri sana yakupambana na mawahabi.kwa kweli wamemwaga damu za waislamu kuwagawanya waislamu na kuwaingiza katika shirki ya kuabudu miungu mitatu wakishikiana na mayahudi na waengeza.

  • @hassanmadodi5396
    @hassanmadodi5396 Рік тому

    Jamaa ananifurahisha sana, eti mawahabi walivyojipanga ipo siku watakuwa na muft wao na sikukuu yao.
    Maa shaAllah Hii inaonyesha ni namna gani haqi inavyo eleweka na inavyo kuwa juu na hii yote ni tawfiq ya Allah baada ya waislam kushajihishwa kusoma dini yao.

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 Рік тому +4

    Mwenyezi Mungu akupe Umri Mrefu Sheykh Muhammad Iddi

  • @dezainermedia1035
    @dezainermedia1035 Рік тому

    Jazakallah

  • @ibrahimjumbe8121
    @ibrahimjumbe8121 Рік тому +7

    Kutoka ndani ya moyo wangu
    Nampenda sana sheikh Muhammad abuu Idd

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Рік тому

      kutoka moyoni simpendi kwa ajili "Allah"

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 Рік тому

      احبك الله الذي احببته فيه

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому

      ​@@ayububakari9942Sasa usipompenda wewe panya mmoja wakiwahabi ndiyo nini?

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 Рік тому

      ​@@ayububakari9942
      KICHAAA WEWE

  • @JuchonlineTV
    @JuchonlineTV Рік тому

    Maashaallhh

  • @SaidiKihela
    @SaidiKihela 10 місяців тому +1

    Mungu akulinde nakula baya

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 Рік тому

    ALLAH AKUBAARIQ SANA ... MWLM UMEKAA KIMYA SANA KIASI KWAMBA MAWAHABI WAJIGAMBA UMESHINDWA

  • @abuuhudhaifa5134
    @abuuhudhaifa5134 Рік тому

    Allah akujalie uendelee kujibu kwasababu watu wengi wasiojua sunna na bidaa wata bainikiwa na mambo mengi yalio zushwa ktk dini, na mawahabi nao wakibainisha basi sisi wanafunzi ambao tunajifunza dini yetu huwa tuna pata faida kwasababu yanaletwa majibu yenye nguvu kwadalili kutoka ktk Quran na sunna na ndicho tunacho kitaka

  • @SuleymanMohamed-b8l
    @SuleymanMohamed-b8l 6 днів тому

    إنا لله وإنا إليه راجعون

  • @mwalimuyussuph6469
    @mwalimuyussuph6469 Рік тому +3

    Wallahi nashukuru sana Allaaha, Huyu SHEKH WA kibid'a amezikubali jitihada za masafi

  • @allyhabibu3746
    @allyhabibu3746 Рік тому

    mashallah ❤❤
    allah amrehm shekh letu shekh muhammad abubakar al burhan
    allah akuhifadh pya shekh abuu eidi

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 Рік тому +2

    Hzo hoja alijibiwa,anarudia tena,mwenzio sheikh sameer anatweta hukoo😂

  • @SalimuAbdala-sg9cw
    @SalimuAbdala-sg9cw Рік тому

    Mimi sijaona kiongozi tanzania hii. Ambaye nikiongozi mkuu wawaisilamu anawaunganisha waisilamu au kuwatetea waisilamu .

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn Рік тому +2

    Mwendelezo ßhekh

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw Рік тому

    Jazaaka llahu shekh

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 Рік тому +3

    ASANTE SHEIKH WATU WAMESOMA KWA MASHEIKH ZETU WAO WAMEKUA NA ILMU

  • @mwalimuyussuph6469
    @mwalimuyussuph6469 Рік тому +4

    HAMNA CHA KUJIBU KWENYE MITANDAO NA NYIE SIO WATU WA KUITUMIKIA DINI.

  • @OrondiYusuf
    @OrondiYusuf Рік тому

    لا يؤمن احدكم حتى يكون هواه تبعا لما جاء ت به

  • @abakibibi9917
    @abakibibi9917 Рік тому

    UNGENIVUTA KWENYE MAULID KAMA UNGESEMA WATAKA KUYAFUTA MAULID MAWAHABI TULIOACHIWA NA MTUME (S A W)LAKINI WASEMA TUMEACHIWA NA BABU ZETU NA MASHEIKH WETU INA MAANA MTUME HAKUFANYA ZIRO HAPO

  • @mohdomar6760
    @mohdomar6760 Рік тому

    Allah akuzidishie sheikh letu

  • @abuuhudhaifa5134
    @abuuhudhaifa5134 Рік тому +1

    Lakini masufi mnatatiza Sana wafuasi wenu amejibiwa Shekhe lenu Alburhaaan mnalia kwamba "ooh anajibiwa hadi alie kufa" kwani nyinyi mkimsema vibaya ibn taimiyya mmesahau kua na yeye amekufa! Mizani yenu inapima vipi mbona hamna uadilifu,,,,, ndo mana mtaendelea kuwakosa vijana wengi ktk huo usufi wenu kwasababu watu welevu wanataka hoja na dalili sio porojo na michezo

  • @HamidHilika-kq3xx
    @HamidHilika-kq3xx Рік тому +2

    Allah akubarik sana shekhe na Allah akulipe kwa jitihada hii

  • @suleali4915
    @suleali4915 Місяць тому

    Nakukubali sana

  • @rajabubilalimakau8529
    @rajabubilalimakau8529 Рік тому +7

    Sababu za kujibu hoja zao umezibainisha vizuri sana Sheikh.

  • @kagalihussein1959
    @kagalihussein1959 Рік тому +1

    Umeongea maneno chukuchuku bila Dalili...Elimu yako Ndogo Muhammad Eid

  • @aliyseif8114
    @aliyseif8114 Рік тому +2

    ماشاء الله تبارك الله. الله يعطيك العافيه

  • @amirialimshamba9754
    @amirialimshamba9754 Рік тому +1

    SHEKHE ungeanzia asiliyao tangia kipindi cha mtume (saw) mtume aliwatabiri vipi na happy najidi alipotokea muanzilishi wao abdul wahab

  • @FarajiAbdallah-yw2wn
    @FarajiAbdallah-yw2wn Рік тому +2

    بورکت یا ابو عید کلام الراٸعة بارک الله فیکم

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Рік тому +2

      یا أبا عید
      wacha kuvamia luga usomakinika nayo !! sema yaa Abaa Eid

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 Рік тому

      Kumbe ni يا af kisha ابو 😂😂😂😂
      يا أبا.......

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 Рік тому

      ​@@ayububakari9942
      بارك الله فيك أخي

  • @ShekhSimba
    @ShekhSimba Рік тому +2

    KAZI UNAYO - LKN SUNA IKO PALE PALE

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 Рік тому +2

    Aliulizwa maswali kuhusu uwahabi hajajibu😂,leo anatuletea tena kidevu chake kma andazi,huyu ndo maana aliambiwa na ndugu yake wa twariqa mwenye adabu kua amerudia tena bangi😂,ila masuuuufiii😂😂😂

    • @naasibabuu
      @naasibabuu Рік тому

      kipigo alichopewaga kwenye ule mjadala na Sheikh Qassim bado hajakisahau

  • @malengajuma2694
    @malengajuma2694 Рік тому +2

    Shukran sheikh,

  • @mwalimjecha6893
    @mwalimjecha6893 Рік тому +8

    Kweli kabisa shekhe wetu Allah atupe afya njema na nguvu ya kujibu hoja zao hatua kwa hatua.

    • @DonadiMwapule-he1je
      @DonadiMwapule-he1je Рік тому +1

      Mshauri imara asiwe anarudi mambo aliyoshindwa kuyajibu
      Uko ulishindwa Iddy?

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Рік тому

      mdanganyeni tu kwani alishakimbia hapo karudi sababu ya ushabiki wenu !!!

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому

      ​@@DonadiMwapule-he1jetupe mfano wa mambo aliyoshindwa.mawahabi kazi yao ni uongo tu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому

      ​@@ayububakari9942alikimbia wapi.hivi nyinyi mawahabi mnahoja za kumkimbiza mtu kweli.nyinyi ndo mna historia ya kujikojolea mkisha banwa

  • @AbuwSuhaylahSalafiy
    @AbuwSuhaylahSalafiy Рік тому +9

    Kwa hiyo Tofauti za ki FIQHI ni kuwagawa waislaamu? Yaani ulitaka watu wafuatane hata kwenye makosa kwa hiyo baba angu akiwa mtu wa Mawlid lazima na mimi niwe mtu wa Mawlid? Sasa ndo hoja gani hizo? Unaacha kuwabainisha ma Shia wanawatusi maswahaba kila kukicha, unakuja kuwazungumzia Salafiyuun? Harakati zako hazina afya ni kupoteza muda tu bora ukae darsa usomeshe hao unaowaita mawahabi wako busy kusomesha watu dini katika maraakiz zao ndio maana huoni UA-cam wakiwasha Cameras kuongea ongea bila issue maalum acha ushekhe wa matukio.

    • @abuumaisarah6595
      @abuumaisarah6595 Рік тому +2

      SHEIKH WA MCHONGO HUYO HHH

    • @AbuwSuhaylahSalafiy
      @AbuwSuhaylahSalafiy Рік тому +2

      @@abuumaisarah6595 Ana feli sana. Halafu kuna ma jahl wengi wanamsifia kwenye comments.

    • @KhamisiOmar-v3h
      @KhamisiOmar-v3h Рік тому

      Kwani nyie mawahabi ikiwa kama kweli mpo sahihi sini sawa kama mtazungumzia kuusu hao maswahaba kutukanwa na watu watwarika kuzumzia maulid kuli kuwatusi wanachuoni na kuwaita makafiri.

    • @AbuwSuhaylahSalafiy
      @AbuwSuhaylahSalafiy Рік тому +1

      @@KhamisiOmar-v3h Mwanazuoni gani kaitwa Kaafiri?

    • @AbuwSuhaylahSalafiy
      @AbuwSuhaylahSalafiy Рік тому +2

      @@KhamisiOmar-v3h Na wewe unavyotuita ma Wahabi unajua unaponda kumbe unatukweza "Al-Wahhab" ni katika majina ya ALLAH.

  • @AbuFawzaanAlly
    @AbuFawzaanAlly Рік тому

    Umerudi tena ukiwa vile vile
    Sasa ngoja majibu yako kutoka kwa Sheikh... in Shaa ALLAAH

  • @abuuuyaynah8801
    @abuuuyaynah8801 Рік тому +3

    Sina shaka akijibiwa majlis moja tuuuuu anakimbia

    • @ramygichero1016
      @ramygichero1016 Рік тому

      amna kitu mawahabi so watu wa maaana kabixa wanajionyesha sana

    • @naasibabuu
      @naasibabuu Рік тому

      huyu kichwa ngumu sana kujibu maswali hawezi na ha hajajibu

    • @naasibabuu
      @naasibabuu Рік тому

      ule mjadala wako na Sheikh Qassim Mafuta ungeupitia tena ujibu yale maswali mbona kama umepiga chenga ya mwili

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb Рік тому +2

    Muhammad iddi kaka ,maulid yapo madhehebu Gani? Kama mawaHabi hawana madhehebu,

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому

      Hata kiongozi wenu kafiri ibn taymiyah pia anayakubali maulidi

    • @SaidKondo-rw8wb
      @SaidKondo-rw8wb Рік тому

      @@abiabi9353 weee jamaaa hiii dini,sio mpira usifanye hivo,usiseme hivo ,kama hujui kitu nyamaza,umekosea kaka ,usimkufurishe mtu.ni jambo kubwa,hiii dini ni taaluma ,

  • @shaabansheehabdallah8770
    @shaabansheehabdallah8770 Рік тому

    Alafu sheikh ukizungumzia uislamu toa uraia wako, uislamu hauna mipaka ya kiichi za kitwaut

  • @shaabansheehabdallah8770
    @shaabansheehabdallah8770 Рік тому

    SubhannAllah umesema kweli sheikh, kumbe mumerithi maulid kwa masheikh na wazee wenu???? Poleni saana matwariqa. Tafuteni elimu kutoka kwa Mtume Muhammad Swallallahu Alleyhi Wassallaam nyie

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Рік тому

    Jisufi LOPOLOPO

  • @ramadhanmbwana5718
    @ramadhanmbwana5718 Рік тому +2

    HII NI MUHIMU SANA MUHAMMAD IDI AMKIMBIA SHEKH KASIMU MAFUTA
    SIKILIZA HII HAPA ILI UPATE FAIDA ZAIDI NA UJUE KILICHO MKIMBIZA MUHAMMAD IDI
    ua-cam.com/video/NxsrfgsvPXw/v-deo.htmlsi=-Q-lTcDHz8rFok8H

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 2 місяці тому

    HUYU SHEKH AKIKOSAGA MASLAHI BAKWATA HUWA ANAWASHAMBULIA SI KAWAIDA..

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 Рік тому

    Uislamu hauna dhehebu, dhehebu la muislamu ni kufuata mtume s.a.w.

    • @FarajiAbdallah-yw2wn
      @FarajiAbdallah-yw2wn Рік тому

      ulimuona mtume ? au umeyapata mafunzo wapi ya dini bila kupitia wema na kwawatu ndio mdhehebu mamepatikana shika faida hiyo.

  • @bashirusalumbigapsana673
    @bashirusalumbigapsana673 Рік тому

    Nakuelewa sana mzee wangu

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 Рік тому +2

    Ao mawahabi sindo vbaraka wa mayahudi

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 Рік тому

    Umechelewa sana

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb Рік тому +2

    Tatizo Lako hukawiii kukimbia,sisi tunataka ubaki na sisi mawaHabi Hadi mwisho

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 Рік тому +1

      NYINYI KUNA MWENYE ILMU AKIMBIE MAWAHABI, TUFANYE MJADALA MM NA WW UTAKAPO KWA MADA UTAKAYO

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому

      Yani mawahabi wanapenda kujikweza .hivi nyinyi mnahoja kweli za kumkimbiza mtu

    • @SaidKondo-rw8wb
      @SaidKondo-rw8wb Рік тому

      @@abiabi9353 wee kwenye mambo ni mgeni ndugu,huyu Muhammad iddi alikuwa na mjadala na Qassin mafuta,alikimbia huyu Muhammad iddi

    • @SaidKondo-rw8wb
      @SaidKondo-rw8wb Рік тому

      @@Ahmadasshii-raazy8888 mwenye elimu haongei kama wewe,hii sio siasa kwa kusikiliza sana mijadala na wewe Sasa una hoja za kuzungumza,hii ni dini tuliza mihemko hapa tunatafuta kitu chenye thamani kubwa .

  • @ishakakhalid
    @ishakakhalid Рік тому

    MITANDAO BADO INAREKODI MASWALI HOJA 19. HAZIJAJIBIWA.. JIBUUUUUU😂😂😂😂😂

  • @husseinsaid8021
    @husseinsaid8021 Рік тому +1

    Sheikh Abu Eid unakaa kimya sana unatukosea sana tunaishi kama wanyonge

    • @shazyahya4121
      @shazyahya4121 Рік тому

      Sheikh wako amerithi maulid kwa masheikh zake si ibada bali ni mira 😅 msikilize vizuri Sheikh wako Ana hoja zaifu sana

    • @shabansaid2323
      @shabansaid2323 Рік тому

      Kumswalia mtume si ibada basi ibada nini?

    • @shazyahya4121
      @shazyahya4121 Рік тому

      @@shabansaid2323 kwanza unajua jinsi ya kumswalia mtume mohammad ( S.A.W ) tuanzie hapo sababu mtume mwenyewe ametoa maelekezo jinsi ya kumswalia na laukama utajua jinsi ya kumswalia mtume huwezi kua mtu wa maulid kwasababu Said jafar barzanji amejichanganya mwenyewe kwenye kitabu chake za barzanji kuna upuuzi wa kila aina ameandika tatizo Africa wengi hawajui kiarabu that's why Said jafar barzanji ametumia uwo mwanya kupotosha umma

    • @husseinsaid8021
      @husseinsaid8021 Рік тому

      @@shazyahya4121 Kumswalia Mtume ni bidaa?

    • @shazyahya4121
      @shazyahya4121 Рік тому

      @@husseinsaid8021 kumswalia mtume ni ibada lakn unamswalia kwa taratibu zipi na kwa maelekezo gani mtume mwenye ameshaelekeza jinsi ya kumswalia

  • @athumankalua501
    @athumankalua501 Рік тому +2

    Tunakuombeaa Allah usimame juu ya kuwasambalatishaa mawahabi

    • @MusaMkata
      @MusaMkata Рік тому

      Ubavu huo hana hata kdg mtu wa bidaa hawezi kumtengua mtu wa haqq

  • @WastarYoussuf-wb7fz
    @WastarYoussuf-wb7fz Рік тому +5

    Uko sahihi sana Muhammad iddi

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp Рік тому

    Amekudhuru aliekuhadaa abuu sikukuu

  • @jordan.3109
    @jordan.3109 Рік тому +1

    Mashia mtapiga kelele sana watu washaelewa Sunnah

  • @abuuhudhayfah5108
    @abuuhudhayfah5108 Рік тому +3

    Ungejibu kwanza majibu uloulizwa, sasa naona umekuja kwa stayl nyingen

  • @abdallahal-khaify
    @abdallahal-khaify Рік тому

    Ndio dhehebu lao ni qaala-llaah wa qaala-rrasuul kwa ufahamu wa wema waliotangulia(maswahaba, mataabi'i na mataabi'i taabi'iina) .
    Umesema sawa shekhe wa mnyamani.

  • @IbrahMiracle-em4sh
    @IbrahMiracle-em4sh Рік тому

    Mamaa abuu idd baada yakuaibika mda mrefu ety kaamua kuja kupiga porojo tena pole utajibiwa vzr tena uje ujikanyage kama ulivo jikanyaga kama mtt mdogo

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 2 місяці тому

    HOJA MFU KABISA HIZO KUSEMA MAWAHABI WANA MASHKH ZAO WKT SHKH WENU WA KISUFI KIDAWA JUZI KAVIKATAA VITABU VYA MASHEKH ETI NI BIDAA KUVISOMA...

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 Рік тому

    😂😂😂😂 Shukrani

  • @RamaRashid-t4h
    @RamaRashid-t4h Рік тому

    Hawajui hao

  • @imamumohamedmalina6995
    @imamumohamedmalina6995 Рік тому

    Allah akuhifadhi sheikh elimu nzuri sana umetoa

  • @fatibra7768
    @fatibra7768 Рік тому +2

    Shehe aumwa na uharo. Hatuliiii.

    • @malikiwaziri3429
      @malikiwaziri3429 Рік тому

      Huku ni kukosa adabu Kwa mashekh zetu,kweli uwahabi umekuja kugawa waislamu Hadi unaandika hv Kwa shekh kama huyu,subhaanallah

    • @mwalimjecha6893
      @mwalimjecha6893 Рік тому +1

      Wewe hujijui hujitambui

    • @mwalimjecha6893
      @mwalimjecha6893 Рік тому

      Wewe hujijui hujitambui

    • @fatibra7768
      @fatibra7768 Рік тому +1

      @@malikiwaziri3429 Ahsanteeeeeeeeeee kijana mweny adabu kwa mashaaikh

    • @mwalimjecha6893
      @mwalimjecha6893 Рік тому

      Wewe hujijui hujitambui

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Рік тому +1

    HUNA UBAVU WA KUMJIBU KASSIM MAFUTA INGALAU WOOTE MMEKUTANA WAPUMBAVU NA WAJINGA😂😂😂

  • @mwambashiiddi9295
    @mwambashiiddi9295 Рік тому

    Msikilize shekh muhammad ayyub Allah amrehem amsamehe
    ua-cam.com/video/bpgl_cLmZKY/v-deo.htmlsi=tx8yrbzeKC8xH0Iv

  • @mustafaramadhan5941
    @mustafaramadhan5941 Рік тому

    Yaani jamaa ana matatizo yasiyoelezeka hapa duniani hakujibu hoja alizoulizwa na Qassim mafuta ss kaamua kuja na upuuzi mwengine na akibainishiwa usawa anakimbia tena miaka mitano km alivyokimbia kujibu hoja huku nyuma zaidi ya miaka miwili ss
    Shortly tumechoka na ubabaishaji wako muhammad iddy

  • @salimmapande4668
    @salimmapande4668 Рік тому

    Shekhe miaka hiyo uliyoitaja kulikuwako mashekhe wengi waliopiga vita maulidi akiwemo Sheikh Abdallah Salah Farisy na Nasor Bachu Allah awarehemu wote

  • @HassanJamada-pf4jt
    @HassanJamada-pf4jt Рік тому

    Mzee jibu Yale maswali 10 uliyoulizwa kwanza ndio uingilie kadhia hii
    Ama kweli umekutana na mwamba usiopasuliwa na baruti ukakimbia kimyakimya mpk tukadhani haupo , kumbe upoo!
    JIBU MASWALI 10 ULIYOULIZWA NDIO UJICHANGANYE NA HUKU

  • @jumaajambiamusa8214
    @jumaajambiamusa8214 Рік тому

    maashaaallaaah ndug shekh wangu mola akujaze heri

  • @YusuphRashidi-p9k
    @YusuphRashidi-p9k Рік тому

    Upo sahihi lakini vipi waislam kua na hospital, university, mahakama ya Kadhi hayo ndy mambo ya msingi coz waislam wengi wanapesa

  • @abuurayaan3902
    @abuurayaan3902 Рік тому +1

    Usisahau zile hoja za Mawlidi Bado hujajibu
    Na usije ukakimbia kama ulivyo kimbia mwanzo

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp Рік тому +1

    Hakki hukaa juu wala haikaliwi juu

  • @ShekhSimba
    @ShekhSimba Рік тому

    UISLAMU SI DINI YA MASHEKHE NI QURANI na SUNNA - TATIZO WEWE HUJIELEWI

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 Рік тому

      Ww ndo hujielewi Kuna jengine hujalidhihirisha hpo umeweka viwili tu

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 Рік тому +1

    Uislamu hauna madhehebu, but muislamu dhehebu lake ni kufuata mitume wetu mohd s.a.w ndio dhehebu la muislamu.

    • @AbubakarJambale-nx7te
      @AbubakarJambale-nx7te Рік тому

      Andika jina la Mtume wetu kwa heshima sio "mohd" ni MUHAMMAD SWALA ALLAHU ALAIH WASALAM

    • @kasumunigwasa
      @kasumunigwasa Рік тому

      Kasome we Bado Mjinga hujui ata dhehebu ni nini ? ivyo vitabu Vya fiqhi vyote Uwe unasoma muqaddimah ujue kua Kuna madh habi

  • @allylassuh4947
    @allylassuh4947 Рік тому +3

    Tena hilo ni kosa kubwa walilolifanya mashekh wa kitwariqa kukaa kmya ilhali mawahabi wanapotosha watu ndio maana sai uwahabi umekua sio kma zamani lau ingekua wanarudiwa maneno yao bc ingekua mpk leo hawajulikani mawahabi kwaio twaomba sai hakuna kulegeza lazima waekwe sawa mawahabi na elimu zao finyu

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 Рік тому

      UMESEMA KWELI NDUGU YANGU ALLAH AKUHIFADHI

    • @TheAmadoni
      @TheAmadoni Рік тому +1

      Sio wamekaa kimya, ni majibu hawana... Kama Abu Eid atatoa hii, atajibiwa, kisha atakimbia tena pia yeye awe offline kama alivyo kua

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 Рік тому

      @@TheAmadoni majibu yako tele tena sana kwa wingi ndio maana hata mkiitishwa debate mnakimbia wengine hata kuonekanwa hawataki wanaogopa njiani kuulizwa maswali

  • @abuuyusra6139
    @abuuyusra6139 Рік тому +2

    Tatizo lako mzee auchelewi kukimbia tulizani umekufa kumbe uwahai unaonaje sasa tukaanza pale kwenye maswali ulioulizw ukayajibu kisha ndo mkaanza maadaiii

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 Рік тому +1

    Maulid ni Nini? Je Mtume Muhammad ametuachia maulid?je Maswahaba waliitambua Mawlid?

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 Рік тому

    Ati mawahabi wakiachwa watafuta maulid, mimi nilidhani watafuta Quran.

    • @zeitunMohammed
      @zeitunMohammed Рік тому

      Hata hiyo kubadilisha Quran mshajaribu,Kama mmetoa katika Quran Majid mkafanya fatiha kuwa na Aya Saba bila kuongeza Bismillahi,ati Aya ya Saba Ina anzia ghairil maghdhubi alayhim waladhwalin

    • @shamisahmed4806
      @shamisahmed4806 Рік тому

      ​@@zeitunMohammed...Kweli wamejaribu ....Maulidi tutayasoma mpaka Kiama walijue hilo!!
      Kazi wanayo!

  • @mchizisoo3953
    @mchizisoo3953 Рік тому

    Mpaka leo unanyoa ndevu style ya O'' vipi unaweza kuongea haki watu wakakuelewa.. Allah akufaamishe haki uweze kuifata

  • @TheIslam1681_
    @TheIslam1681_ Рік тому

    Mudi idi anza kufuga ndevu kwanza. Makhurafi alama yenu kubwa kunyoa ndevu. Hebu someni kwanza muone Mtume alivyoamrisha kufuga ndevu, wasomeni maswahaba walizishika vp sunna za mtume. Sio mnapenda kula ubwabwa wa maulidi na khitma.

  • @SugowFarah-up3db
    @SugowFarah-up3db Рік тому +2

    Umetumia nusu saa bila kuongea la maana. Kwa hii sehemu ya kwanza ingekuwa ni Insha ya shuleni ungepata 0% lakini kwa vile umetumia muda mwingi hadi ukalowa majasho tungekupa alama 1% kwa kujitahidi.

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 Рік тому

      KAMA WW HUFAI HATA KUMSAHIHISHA ST 1

    • @athumanimahunda6541
      @athumanimahunda6541 Рік тому

      Kama akili yako mbovu utamuelewaje shekhe

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Рік тому

      Hujaelewa pia kuwa hii ni sehemu ya kwanza inakuwa kama maelezo ya UTANGULIZI??? Basi wewe ndio upewe uwalimu hata hujaelewa kama hapo upo utangulizi????

  • @abuuhumeid-u6i
    @abuuhumeid-u6i Рік тому

    Acha kueneza chuki mzee alafu soma maan ulivokuwa jahili huko nyuma umeweka picha 😭 Allah mustaan

  • @mwalimuyussuph6469
    @mwalimuyussuph6469 Рік тому +1

    WE KUBAKIZA SHARUBU HUO SIO MTASHADIDI?

  • @yusuphsaad4349
    @yusuphsaad4349 Рік тому

    Shukran sheikh Abuu idd... Upo sahihi sana

  • @bakariyusuph-uf7nc
    @bakariyusuph-uf7nc Рік тому

    Mche allah muogope allah unatafuta uwongozi kwa nguvu muda mrefu ila allah hajataka upate uwongozi unaoutaka umefanya fitna baina ya waisilamu zimekurudia mwenyewe ninamuomba allah kama unakusudia ubaya kwa yoyote bc ubaya huo ukurudie mwenyewe.

    • @selemanahant5389
      @selemanahant5389 Рік тому

      Ndugu unadanganya waisilamu wewe nimnafiki

    • @selemanahant5389
      @selemanahant5389 Рік тому

      Hoja zako za hivyo una roho ndogo nenda ukasome

    • @bakariyusuph-uf7nc
      @bakariyusuph-uf7nc Рік тому

      Sasa unafiki uko wapi nawakati ametuhumiwa wazi kuwa anahitaji uwongozi na akishindwa hoja anaingia kwenye maisha binafsi ya watu alete hoja mimi bado nakubali maulidi ila huwa sipendi hoja za upande mmoja na huwa sipendi mlinganiaji anae panic maana upoingia kwenye maisha ya watu na kuonyesha kama maadui hiyo siyo sawa

  • @mwalimuyussuph6469
    @mwalimuyussuph6469 Рік тому +1

    BID'A ZA MAULIDI ZITAFUTIKA NA ATAKAYE ENDA MPAKA SASA ANAJUA KUWA NI TARATIBU ZA KUYAHUDI NA KINASWALA.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Рік тому

      Mbona mlipopewa nafasi ya kueleza hoja zenu Mombasa mlishindwa mkaishia kujikojolea tu

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 Рік тому

    Uislam Unapitia mafunzo kutoka kwa Quran na hadith za mtume maswahaba, maimamu na wanavioni, hakuna dhehebu la maswahaba wala la maimam, dhehebu ni la mtume s.a.w.

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 Рік тому

    YAANI SHEIKH ABUU IDD UNAZUNGUMZA KAMA ULOPITA MOYONI MWANGU

    • @DonadiMwapule-he1je
      @DonadiMwapule-he1je Рік тому

      Kwa hiyo umeamua kupiga Ramli eti kuna siku watakuwa na mufti wao.au unataka serikali iwashike? Nimeelewa kwanini Mashekh wengi wanapotea

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 Рік тому

      ​@@DonadiMwapule-he1jeWW NI MUISLAMU AMA?

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp Рік тому +1

    Na makafiri walisema mtume aliwakuta watu ni wamoja ( ktk batili zao) akawagawa, je sawa nisawa kusema ujinga kama huu

  • @aliyabasi2058
    @aliyabasi2058 Рік тому

    Abu idd jibu maswali uliyoulizwa na sheikh Qasim mafuta kipindi kile cha kadhia ya mwezi muandamo na kadhia ya uwahabi

  • @qussayribnommar511
    @qussayribnommar511 Рік тому

    Kumbe Mawld Mmerithi Sio Kwamba Yana Dalili Pumbavu Kabisa😂😂😂😂😂

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Рік тому

    Lopo Lopo amiesha funguliwa tena, jamaa halina hoja hata kidogo, hata mtume wetu Muhammad allayh sallam alipowakataza watu waachane na shiriki, aliambiwa anawagawa waislamu, nilijisheikh jinga halina elimu yoyote

  • @swalehejuma6611
    @swalehejuma6611 Рік тому

    Dini hailazimishwi, wala hakuna utofauti wa uadui kama unavyodai. Hao mawahabi ni nani nani?! mtutajie, na nini uwahabi? Hao mawahabi wanasimamia nini. Tafadhali tueleze kwanza kuhusu uwahabi na mawahabi ili tuchague wenyewe

  • @mutumwinkaashura1897
    @mutumwinkaashura1897 Рік тому

    Hao mnao waita mawahabi, niwale ambao wanaisimamisha tauheed na kupinga bida'a Allah atujaalie tuendelee hio njia hadi Kufa. Na hilo jina la mawahabi mnalitunga tu ili kuchafuwa Allah awaongoze

  • @AbdulkarimKiza-rn3fh
    @AbdulkarimKiza-rn3fh Рік тому

    Sheikh Muhammed iddi mche ALLAH unasema mawahabi wana shikilia msimamo wao hawataki msimamo wao tu hawataki kauli nyingine, mbona unakosa uadilifu kiasi hicho, sio wewe uliyesema kua mwezi wa kimataifa haupo hauwezekani na hautekelezeki, na ukasema kua wenye msimamo huo ni wapotoshaji, huoni kama wewe ndo mutashaddid?

  • @hassanmadodi5396
    @hassanmadodi5396 Рік тому +2

    Hadi raha maana anazungumza kwa adabu na tahadhali na kujihami kwa sana.

  • @GharibAli-po6fp
    @GharibAli-po6fp Рік тому +2

    Sheikh tuko pamoja nawe, inshaallah hawatofanikiwa