Raddi Na Majibu Kwa Abuu Iddi - Kuhusu Uwahabi 01 - Sheikh Kassim Bin Mafuta.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 39

  • @islamforurope2340
    @islamforurope2340 3 роки тому +1

    mashaallah mada nzuri sana. Allah amlipe huyu sheikh ana madini mazuri sana

  • @abuuaminah5655
    @abuuaminah5655 2 роки тому +1

    "Ni UPI USALAFIA JADIDAH"by Sheikh Salim Barhayan.
    Search ,sikiza historia ya masalafi majadida na In Sha Allah faida itapatikana.

    • @DuaatSalaftz
      @DuaatSalaftz  2 роки тому

      Majibu Yake Yanakuja Inshaa Allah Kama Ambavyo Munafurahia Kukisoma Hicho Kitabu, Kitakapoanza Kujibiwa Pia MuendeleeKuvumilia Na Kusikikiza Majawabu
      Na Kama Palikuwa Na Mtu Akitatazika Na Mwandishi Wa Hicho Kitabu Basi Amejiweka Wazi Juu Ya Uhizbiyyah Wake Katika Hicho Kitabu

    • @abuuaminah5655
      @abuuaminah5655 2 роки тому

      @@DuaatSalaftz usalafi pia ni uhizbi.

    • @DuaatSalaftz
      @DuaatSalaftz  2 роки тому

      @@abuuaminah5655 Rejea Mada Kuhusu Uhizbiyyah Utajua Ni Nini Maana Yake Na Pia Katika Channel Yetu Hii Darsa Hizo Zipo Zitafute Usikilize Upate Faida

    • @abuuaminah5655
      @abuuaminah5655 2 роки тому

      @@DuaatSalaftz kulingana na nyinyi kila anae Pinga kundi lenu la Masalafi mwamuita hizbi.

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 роки тому +2

    Asalam alaykum...
    Hii ni sehemu ya A, ipo B na C.
    ZOTE sehemu ya kwanza.
    Ushauri wangu mnge weka sote pamoja kwenye video moja,

    • @DuaatSalaftz
      @DuaatSalaftz  3 роки тому

      waaleykum salaam warahmatullaah wabarakaatuh
      Ni Kweli Zipo A,B Na C Lakini Tunaona Ni Bora Kuziweka Katika Hali Hii Ili Kupunguza Urefu Wa Video
      Baarakallaahu Fiykum

  • @salumkhassan930
    @salumkhassan930 3 роки тому +1

    Mafuta Unakifuta Unamaneno Meengi Kuliko Kwenda Kwenye Hoja
    Unajikosha Sana Nenda Kwenye Madaa Moja Kwa Moja

    • @ummuhafsah5499
      @ummuhafsah5499 3 роки тому

      Sio mzm wewe

    • @ummuhafsah5499
      @ummuhafsah5499 3 роки тому +1

      Huyo Muhammad iddi mbona hakwenda kwenye hoja kaanza kuwasema mawahabbi

    • @salumkhassan930
      @salumkhassan930 3 роки тому +1

      Mawahabi Wanatatizo La Uwelewa
      Na Wabishi Sana
      Na Dini Ya, Allah Wanajimilikisha Utafikiri Yakwao Pekeyao
      Mtume Mohamad SAW Kaletwa Duniani Kuwa Rehema Kwa Walimwengu Wote
      Hajaletwa Kwa Ajili Ya Mawahabi Au Salafi Maana Wanajibadilisha Kila Uchao
      Kwahiyo Dini Ya, Uislam Ni Yetu Sote Siyo miliki Ya Kikundi Fulani
      Allah Ni Wetu Sote Na Atamuingiza Mjaa Peponi Kwa Rehema Zake Siyo Kwa Ibada Zake Ibada Ni Amri Lakini Allah Ndiyo Atajuwa Ukweli Wa Ibada Yako Tuacheni Kiburii Na Kuwahukumu Waja

    • @ummuhafsah5499
      @ummuhafsah5499 3 роки тому

      @@salumkhassan930 nan alisema pepo yake peke yake?
      Wewe ndo sio muelewa

    • @mohamedhasnuu9992
      @mohamedhasnuu9992 3 роки тому

      @@salumkhassan930 Allah atuongoze.

  • @ahbabnour970
    @ahbabnour970 2 роки тому

    MBONA DAAWAT SALAFY SIJAWAH ONA RADDI KWA MUFTI WA TANZANIA AMBAYE NDIYE KIONGOZI WA MAMBO YA BIDAA. AU MNAMUOGOPA?