Radd na Nasaha kwa Aliyekuwa Rafiki yetu Sheikh Hilal Kipozeo kwa Kuzua Visa vya UONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025
  • Radd na Nasaha kwa aliyekuwa Rafiki yetu Sheikh Hilal Kipozeo Allah Amuongoze kwa kuzua visa vya UONGO ili kuwachekesha wanaomsikiliza
    Mzungumzaji:
    Sheikh Salim Barahiyan

КОМЕНТАРІ • 319

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 9 місяців тому +2

    Naam, Sheikh Salim barayihan kamjibu vizuri sana Wala si kwa ubaya, allah awaongoze masheikh wetu.amiiyn

  • @saidkale6465
    @saidkale6465 2 роки тому +5

    Nimemfuatilia Mudiri toka miaka ya 98 Mungu amuhifadhi Barahiyan ni mmoja ktk watu alieleta haki ndani ya mji wa Tanga..Umemjibu kwa hekma raad zimeanza tokea miaka mingi iliyopita lazima alikuwa ajibiwe

  • @omarabdallah372
    @omarabdallah372 2 роки тому +1

    Ma Shaa Allah Allah umeongea kwa hikma na upole wala hukumuongea Kwa ubaya Allah akupe hikma zaidi sheikh Salim....

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 роки тому +6

    Sheikh Msamehe Kipoozeo, Kwa hakika ameteleza, umefanya mengi Tanzania ktk sekta mbalimbali kuanzia Elimu ya Dunia na Dini, na Allah atakulipa, nasaha yangu kwako Msamehe Sheikh Kipoozeo ,na Kipoozeo anatakikana akutafute Akuombe msamaha

    • @hamzayusuf1894
      @hamzayusuf1894 2 роки тому

      Wew barhiyan mezeya ka na uwahabi wako mawahabi hawana mungu afadhali wakiristo

    • @inamxmdsheekh1978
      @inamxmdsheekh1978 2 роки тому +1

      @@hamzayusuf1894 wahabi ni nini ?

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 2 роки тому

      @@hamzayusuf1894 lengo ni kusameheana na kuvumiliana, nawe Msamehe Sheikh Barayan kama amekosea

    • @sherallysherally1203
      @sherallysherally1203 2 роки тому

      صح

  • @salumsaid1433
    @salumsaid1433 2 роки тому +7

    بسم الله الرحمن الر حيم( واعتصمو بحبل الله جميعا ولا تفرقو ) وكونو عباد الله اخوانا

    • @joauchitlango3547
      @joauchitlango3547 2 роки тому

      Hilo ndilo la muhimu na barahiyani haja farikiana nae kaeleza muongozo na ukweli

  • @saidmussa9587
    @saidmussa9587 2 роки тому +1

    Ndugu yangu iblahim Asante huyu shekhe anatafuta kiki mwanachuoni mwenyehikima hufuata mwenzie live live mumuni kwa muumin humdilik muumin kwa wanaonana hojakwa hoja

    • @saidmussa9587
      @saidmussa9587 2 роки тому

      Ukirusha madogo HIV tunakuona muimba taalabu TU hata kama una elm Kisha mnafk unajionnyesha wewe ni mwema sana mnatuhalibia din kwni wewe ukitoa mawaidha unadhan unatolea malobot watu wasicheke wanune TU wewe kama huna mawaidha Kaa na mkeo mliwaze utapata sawabu kuliko uje ulopoke TU

    • @mohammedmussa7378
      @mohammedmussa7378 3 місяці тому

      Khaswah

  • @abuibra
    @abuibra 2 роки тому

    Tulizeni nyoyo zenu, mtafuteni njia yenye suluhu bora,msimpoteze kipozeo nafikiri kachoka anabobojokwa sana,mkutane mzungumze msirushiane maneno kwenye mitandao,italeta aibu msiwape fursa watu wa bid'a.tunawapenda mashekhe wetu chukueni hekma kuyasawazisha INSHA'ALLAH Mtakua pamoja.

  • @ibrahimcharlesswaleh
    @ibrahimcharlesswaleh 2 роки тому +19

    Umma unaangamia. Tufundisheni Muongozo wa Kitabu na Sunna. Kipozeo yupo, ungemfuata faragha mkaelimishana ingekuwa bora zaidi kuliko kudhalilishana kwenye mitandao.

    • @sherallysherally1203
      @sherallysherally1203 2 роки тому

      Sheikh Salim AMFUATE SHEIKH WA "MIZIGO"?????? Sheikh wa Mizigo kisha Tangaza ALITAKA KUMPIGA NGUMI YA CHEMBE,( AMUUE) . Akahofia. Sasavunamtaka Sheikh Salim amfuate Kipozeo. Mbona Sh. "Mizigo " Hakumfuata kumnasihi wakati akiwa kwake Tanga.???? Badala yake, kafika Maulidini KUMFEDHEHESHA???? Sawa hiyo??? Ulitakiwa kumpa nasaha Sh. "Mizigo" Kabla hujampa nasaha Sh. Salim.
      من الدين كشف سترا عن كل كاذب وعن كل بدعي اتى بالعجاءب.

    • @abdulwahababdulkadir9965
      @abdulwahababdulkadir9965 2 роки тому

      Kwani kipozeo aliongelea wapi achenj mambo yenu maghurafy

    • @gharibmuhsin2450
      @gharibmuhsin2450 2 роки тому

      @@abdulwahababdulkadir9965 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 naona utovu wa akili unaendelea kusokota

    • @nasirabdullah6227
      @nasirabdullah6227 2 роки тому

      Kipozeo yeye kamsema faragha alisema hadharani ndio mana anamjibu hadharan

    • @issamasanjala7413
      @issamasanjala7413 Рік тому

      Ukiharibu hadharani bado utarekebishwa hadharani

  • @TyroneOtuoma
    @TyroneOtuoma 9 місяців тому +3

    Mashekhe wacheni kudhalilishana mtandaoni hii sio mafundusho ya bwana mtume Muhammad!

    • @mohammedmussa7378
      @mohammedmussa7378 3 місяці тому

      Khaswah kwanini sheikh asimfate sheikh mwenzake na wazungumze lakini wao wameona njia sahihi ni kudhalilishana humu social media

    • @dullahsaleh8507
      @dullahsaleh8507 3 місяці тому

      Masalafi na mawahabi wakitumia njia ya kistaarabu wanaona kama wataonekana hawajui

  • @mohamedothman5792
    @mohamedothman5792 2 роки тому +3

    Allah akujaalie wewe na waislamu wote tuwe ni wenye kufuata njia iliyonyooka

  • @eliasnavytanga
    @eliasnavytanga Рік тому

    Shukran Sheikh Salim, nakupongeza kwa kutumia lugha ya upole na busara. Allah azidi kukulinda. Amiin

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 роки тому +3

    Allah amuongoze.Baarakallahu fiik

  • @albajuntv8946
    @albajuntv8946 2 роки тому +1

    Allah akuparik sheikh

  • @jaffersuleiman5417
    @jaffersuleiman5417 2 роки тому +3

    Ni kweli kabisa kipozeo amekuw comedian mara mizigo ya madem kweli anachekesha

    • @wankyosmarwa3574
      @wankyosmarwa3574 9 місяців тому

      Kama huwajui masheikh basi acha kuongea vitu usivyojijua yaani ww unamuita Sheikh Hilall comedian kweli unamfikia Sheikh Hillal kwa elimu,swali je Mtume MUHAMMAD alikuwa hatanii watu enzi zake na watu walikuwa wancheka,kama hujui uliza sio kuongea vitu usivyozijua ,hawa ni masheikh wanajuana na wanatofauti zao usiingilie mambo usiyoyajua

  • @salmafaraj6544
    @salmafaraj6544 8 місяців тому

    Nikweli wallahi sheikh kipozeo kabadilika alkua anamawaidha mazuri sana lkn kwasasa mmmhh sijui kapatwa na nn Allah atuongoze sote yaarab

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 роки тому

    Pole pia kwa kukwazika

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 роки тому +1

    Kapinga khitma tu sababu katika usomaji wake ameona ndivyo sawa …ni sehemu ya hitlafu….namkubali shegh hilali mpaka aingie kaburini hayo mengine khitlafu tu..hata maswahaba walightilafiana…..shegh hilali anabusara nyingi sana na anafalsafa Nzuri sana yakuongea .allah atubarik

    • @ZuleikhaAbdallah
      @ZuleikhaAbdallah Рік тому

      Huyu Salim anashindwa kuelewa
      Sheikh hilali shaweji amefanya hvo kwasabb waislamu wasilemae wakaacha ibada kwa kutarajia wataombewa

  • @abuqusay8912
    @abuqusay8912 2 роки тому +3

    Sheikh wa Uislamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani

  • @salehmdumbwa6181
    @salehmdumbwa6181 2 роки тому

    Mnaongea maneno mbaya sana kuhusu waislam wenzenu

  • @idrissamustafabukenya6110
    @idrissamustafabukenya6110 2 роки тому +1

    Ma Sheikh wetu musichukiyane.

    • @ophaid
      @ophaid 2 роки тому

      Hajaonyesha chuki, bali ametoa nasaha nzuri na kumuita nduguye.

  • @ramadhanijohoiddi2899
    @ramadhanijohoiddi2899 2 роки тому +3

    MASHEIKH MITIHANI WA NASIHI DAJAL UNAWATAFUNA KIDOGO KIDOGO BILA KUJUA WENYEWE

  • @jumakibe5032
    @jumakibe5032 2 роки тому +3

    Kipozeo hanaga mba mba mba... Huwa anakupa ukweli mchana kweupeee. Alafu anasema "hiyo ndio hakki, stahamili tu japo inauma". Hakuteti pembeni. Ila yote kwa yote tuachane na ushabiki kwnye dini ya Allah. Hivi mmesahau ile aya Allah anasema " Shikamaneni nyote ktk kamba moja na wala msifarikiane"??? Kuhusu kuchekesha, kuna namna nyingi za kufikisha fasihi kwa hadhira. Kama unaona watakuelewa na kuzingatia kwa njia ya kuchekesha, basi unafanya coz ujumbe wa Allah ufike. Wengine ukiwa serious sn kwenye daawa yako hawakuelewi. Tumche Allah bana. Mnatuchanganya sisi maamuma huku, msitugawe nyinyi masheikh. 🙁🙁🙁

    • @issamasanjala7413
      @issamasanjala7413 Рік тому +1

      Iyo aya isitumike vibaya ikawa sababu kuchanganya haki na batili makusudio ya aya ni watu kushikamana na haki hata kama utakua peke yako ikiwa upo kwenye haki basi wewe utakua umeifanyia kazi iyo aya na kipozeo kazi yake kuchekesha kweli na ndio maana utamkuta na wasanii kama akina mondi na hana anacho waaambia zaidi ya kuwachekesha

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 2 роки тому +8

    barahiyani usijiite shekh mkubwa Mimi nime kufahamu kwa sababu ya ujinga wako. ujinga ndo ulio kupatia umaarufu. na una takiwa kuwa na shukran kwa Muhammad bakari na huseni hashimu wamekufundisha sana kw mijadala pamoja na kichwa chako kuwa kigumu angalau uka punguza matusi tu

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 роки тому +6

      Taratibu usimuite muislam mwenzio mjinga ni sheikh huyu

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 2 роки тому +2

      Siku nilikuwa najiona mjinga kuliko watu wote lkn nilipokuja kumsikiliza huyu bana akifasir aya ya Qur an ndo nikagundua kumbe huyu mjinga kuliko mimi

    • @salehaliy7198
      @salehaliy7198 2 роки тому +4

      @@maryamalli9090 mjinga siyo tusi bali ni sifa ya mtu,mjinga ni mtu ambae hana elimu fulani au hana ujuzi wa jambo fulani,angeitwa mpumbavu hapo ndiyo ingekuwa tusi

    • @ibrahim_427
      @ibrahim_427 2 роки тому

      @@salehaliy7198 Assalamu aleykum
      Kwaiyo wamaanisha mpumbavu ndio tusi swali je Qur'an ndani yake Kuna matusi ?ebu nisaidie hapo kwanza swali ikiwa mpumbavu Ni tusi je ndani ya Qur'an Kuna matusi✍️

    • @ibrahimmwilo1586
      @ibrahimmwilo1586 2 роки тому +1

      Kajiita shekhe au tunamuita shekhe au wewe pia mtu wa hitma

  • @omarmkumba3547
    @omarmkumba3547 2 роки тому +2

    Dr mwakaaaa,big up

  • @abuumkota5505
    @abuumkota5505 2 роки тому

    Subhaana llàah,, innaa lillaah wainna ilayhir raajiun kwann mashekh mnatuchanganya haya mambo sio yakubishana mitandaoni kaeni faragha muekane sawa,, inaamaana shekh kipozeo alitunga ? Na kwa nn atunge hivi amuogopi mungu?

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 Рік тому

    ,haki anaijua e 18:42

  • @mussamtupa
    @mussamtupa 2 роки тому +2

    KIPOZEO hana kundi hili jambo mm lili kua linanchanganya sana utamuona ktk shughuli za Maulidi anaenda na ujumbe anafikisha.

  • @gudimbwana8088
    @gudimbwana8088 2 роки тому +4

    Hakikia huu ni msiba mkubwa katika Dini takatifu MASHEKH KUJIBIZANA KATIKA MITANDAO ACHENI. TUMIENI VYOMBO VYA KIDINI KUWEKANA SAWA NA KUFIKISHA DAAWA
    DINI SI BIASHARA KUTAFUTA WATEJA. NIMEUMIA SANA ACHENI.

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 роки тому

      Yaani wewe acha tu mitandao imekuwa chombo Cha majibizano msiba huu

    • @mohamedothman5792
      @mohamedothman5792 2 роки тому

      Mitandao ni njia mojawapo ya kuwasilisha ujumbe. Ukweli usemwe ili mbivu na mbichi zijulikane. Lengo sio wao ni sisi wafuasi tunaojifunza kutoka kwao wanazuoni.

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 роки тому

      @@mohamedothman5792 lengo sio sisi lengo ni wao wanaojibizana huwezi kupata elimu sahihi kwa wanazuoni Kama hawa tafuta mwalimu darasani tusome

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 роки тому

      @@mohamedothman5792 na sio mitandao. Mitandao hutumika kuongeza taaluma tu na sio kutafutia elimu

    • @mohamedothman5792
      @mohamedothman5792 2 роки тому +1

      @@maryamalli9090 ukichafuliwa mtandaoni inabidi ujisafishe hukohuko mitandaoni ili wanaokuheshimu wajue udhaifu uko wapi. Akikaa kimya mana yake kilichosemwa kuhusu yy ni kweli.

  • @matendondambwe9527
    @matendondambwe9527 2 роки тому

    Mbona kamsifu vibaya zaidi uyo shekh ayubu kweli alisema yeye yupo sidiratul muntaa anapata kila taarifa Ina maaana alikua anajifananisha na allah ,duh subhana llah

    • @matataoneproduction5355
      @matataoneproduction5355 2 роки тому

      Wewe usikurupuke sikiliza vizuri maneno acha ujinga amesema shekhe alimwambia ni kama sidratul muntaha neno kama haimaanishi ni hakika yake

  • @bakariyusufujuma
    @bakariyusufujuma 2 роки тому +1

    Shekhe msamehe watu kama hao ni wanaafiki na wanaangalia zaidi maslahi ya dunia ndio mana hawana msimamo nadhani kipindi hicho alikuwa akipata faida kutoka kwenu ndio mana alikuwa akikataa hitma sasa faida hizo hazipo anatafuta sifa kwa wanaomfaidisha insha allah tumuombee dua

    • @gharibmuhsin2450
      @gharibmuhsin2450 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 Рік тому

      Kaajua ukweli ndio kafuata hapo zamani alipotea kama wasio nyua mkino wakati wa dua
      Bihisnil hatima yaa ALLLAH

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 2 роки тому

    Omeongea point SANA

  • @fabssaleh7273
    @fabssaleh7273 2 роки тому +1

    ASSALAM ALAIKUM WA RAHMATULLAHI WA WABARAKAATUHU. Tupeni nasaha umma unaangamia. Tufunzeni masheikh, Hii haileti picha nzuri upande wa pili.

  • @mohdmohd2550
    @mohdmohd2550 2 роки тому +2

    Masheikh cku hiz hua mnaboa som tymz, kazi yenu kusengenyana tuuu hamjui kua mnapata dhambi au .......

    • @hamzayusuf1894
      @hamzayusuf1894 2 роки тому

      Kama amekuwa mtu wa suna sasa amekuwa mtu wa faradhai ni

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 роки тому +1

      😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄wanasengenyana

    • @mohdmohd2550
      @mohdmohd2550 2 роки тому

      @@maryamalli9090 Ndio sas wew unaonaje kila mtu anamsema mwenzie

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 2 роки тому

      Tena masengenyo yanayokera Ni dhambi Tena Ni dhambi maana Jambo la busara ilikua apigie simu au hata kumtafuta uso kwa macho angefanya Jambo la maana Sana Tena angelikua ametumia busara

  • @shabanmohamed7071
    @shabanmohamed7071 2 роки тому +5

    Kipozeo yupo sahihi ,wewe hakuna kitu ,imekuchoma ndio maana umejibu ,kichaa wewe

    • @inamxmdsheekh1978
      @inamxmdsheekh1978 2 роки тому

      Tafuta elmu uepukane na maradhi ya jahli

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 2 роки тому

      SubhanaLLAAH. Shabano ALLAAH akuongoze wewe na sisi. Kuwa na adabu na shekhe. Ameen

    • @mohamedothman5792
      @mohamedothman5792 2 роки тому

      Waislamu wapenda bidaa, Kipozeo sio shekhe ni comedian. Mtu anachochea zinaa eti anapenda 'Mizigo'

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 роки тому +1

      Kipozeo siku hizi anaboronga sana,.
      Kipozeo ndio huyo huyo aliyemwambia Mzee Yusuf kuimba inafaa

    • @ZuleikhaAbdallah
      @ZuleikhaAbdallah Рік тому

      Upo sahihi kabisa sheikh hilali shaweji ni level kubwa kabisa

  • @sudisalehe192
    @sudisalehe192 2 роки тому +5

    Comedian za kipozeo achana nae endelea kupambania sunna

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 роки тому

    Kumchekesha mwenzio ni sadaka wacha fitina kwani nani kamwambia ili uwe shekh unune tu muda wote utishiye watu tunaambiwa tuishi kama tutakaa milele na tuishi kama tutaondoka sasa hivi maana Kati na kati

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 Рік тому

    ,za kiislam ikiongozwa Ansari NI,za zulma kitapeli wanufaika wao haiwasaidi waislam zaidi kuwazulumu

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 роки тому +2

    Mashekhe mnatusikitisha sana baada ya kukhubiri dini mnatumia media kwa kushambuliana mnaenda wapi? nasi je tumsikilize nani sasa

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 2 роки тому

    Asalm alykum warahmatulah wabarakatuh ndungu waislm mtu anapo potea hukerebishwa ....kwa hio mkamilifu wetu Ni Allah ☝️Kama sheik kipozeo Yuko Sana ila yeye n mwanadamu akipotea tunampa nasaha nzuri na c yy tu soteñi....watu wapeane misamaa... Aslm alykum 🤝

  • @matendondambwe9527
    @matendondambwe9527 2 роки тому +2

    Tutambue ipo siku itafika tutajuta wachangiaji na watoa mada allah atuongoze

  • @majondejohali5259
    @majondejohali5259 2 роки тому +1

    Wengine piteni musichangie pls

  • @InspectorAmarSaxena
    @InspectorAmarSaxena 2 роки тому +2

    Sio vizuri na haipendezi kumtukana muislam mwenzio, au kumuita kurafi au kafir.

  • @jumaswalehe5085
    @jumaswalehe5085 2 роки тому

    Kiukwel huy shekh kipozeo tunamshangaa sana yani mawaidha yake yako nje kabisa na uislam sijui elimu yake alisomea wapi na alisomeshwa na nani kwasababu anafanya mambo ya ajabu sna lakin kwa bahati nzuri cc waislam wa Zama iz tunajitambua tunajua nani ni shekh na nani ni mbabaifu.wasia wangu kipozeo anahijika kupewa nasaha juu ya vichekesho vyake tkt dini ya allah

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 Рік тому

    Huyo nimchekeshaji anafahamika

  • @Zainabnoor0087-ze
    @Zainabnoor0087-ze 2 роки тому +1

    Kipozeo shee wa
    Mizigo miss bantu😁 aache kula mirungi

    • @sogoramwinshekhe1464
      @sogoramwinshekhe1464 Рік тому

      Hata wewe watu wanazijuwa aibu zako lakini wa naona aibu kuzisema

    • @Zainabnoor0087-ze
      @Zainabnoor0087-ze Рік тому

      @@sogoramwinshekhe1464 unapaswa kutenda unachohubiri, SI kama wale wasemao fata maneno yng usifate vitendo vyangu,"

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 2 роки тому +2

    Kipozeo sio mjinga tu bali ni mpumbavu kwenye dini

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 2 роки тому +3

    ina onekana kisa alicho toa kipoozeo. ni swahihi kabisa haja unda kwa mujibu wa maelezo ulio yatao. una sema misikiti ya kighurafi, uta achaje kumtusi shekh. hakuna ulicho fanya ila ni kutilia nguvu tu maneno ya kipoozeo. nibora unge nyamaza tu

    • @rizikilukali1558
      @rizikilukali1558 2 роки тому +1

      Kwakweli amejithibitisha na amethibitisha maneno ya shekh kipozeo

    • @rayasalum3044
      @rayasalum3044 2 роки тому

      Shekhe kipozee more life NAmpenda kwa ajili ya allah

  • @yussufsalim
    @yussufsalim Рік тому

    Kwa kweli uislamu haupedezi au haukufundisha kusengenyana au kuabishana hadharini .muislamu mwenzio ukihisi amekwenda kimakosa ni vizuri kuitana pembeni kwanza mkawekana sawa na kuelimishana hasa kwenu nyie mashekh kuliko kutoleana aibu zenu ni sawa na kuvunjiana heshima zenu kama nyie ni maaalim wakubwa ni sawa na kuwafundisha maovu waumini wenu kwa kuadhirishana nyie wenyewe mnaojiita mashekh

  • @Khayratmsafiri351
    @Khayratmsafiri351 Рік тому

    Huwezi kushindana na kipozeo ni mwamba na pia namkubali mnoo

  • @KassimKassim-wv8db
    @KassimKassim-wv8db 9 місяців тому

    Napata huzuni sana nikiona masheikh tunaowaamini kutumia media kujibu vitu ambavyo si kuendesha dini yetu mbele.

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 2 роки тому +5

    Sijawahi kumpenda Kipozeo. huwa simsikilizi kabisa tangu nione kuwa all he does ni kutaja viungo vya wanawake na watu wanacheka tu.

    • @wankyosmarwa3574
      @wankyosmarwa3574 9 місяців тому

      Sasa kama humsikilizi we umejuaje kama anatajaje viungo vya wanawake,Acheni kuwasema vibaya masheikh wakubwa,HILALI SHAWEJI MAKARANI/KIPOZEO huyo ni sheikh mkubwa sana,Allah amuhifadhi na amzidishie sheikh Kipozeo

  • @thegreatmind9178
    @thegreatmind9178 2 роки тому +1

    Sheikh kipozeo ni comedian

  • @dijjahbeybe5096
    @dijjahbeybe5096 Рік тому +1

    Acheni bidaa'h

  • @wenge4x423
    @wenge4x423 2 роки тому +1

    Kipozeo ni Sheikh mkubwa sana na mwenye upeo mkubwa wa elimu ya dini,
    Yote aliyoyasema ni kweli na sisi tunamuamini na tunafata mafundisho yake.

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 Рік тому

    Unayemkosoa Kipozeo mtandaoni unafanya kosa kama yeye,
    Nawashauri mtafute jukwaa la mazungumzo kusahihishana maana njia hii mnayotumia inaudhi na sio njia sahihi ya kuondoa munkari

  • @Auf-uh3jq
    @Auf-uh3jq 2 роки тому

    Hawa Mashekhe Wanafiq kazi kukosowana wamekua wasanii hawana kazi kukosowana

  • @shaibhasan9233
    @shaibhasan9233 2 роки тому +3

    Wallah me sielew hahaha najionea taabu tu 🤣🤣

  • @matolasalimo6630
    @matolasalimo6630 Рік тому

    Shee kipozeo sio comedian hata kidogo, ila nyinyi watu wa sunna muna wivu2 baada ya kumpongeza kipozeo mawaiza yake.

  • @fatmashariff2518
    @fatmashariff2518 2 роки тому

    Ingekua Bora kwako kabla hujajitokeza kwe mitandao umtafute muonane uzungumze nae .Sheikhe umeharibu kidogo. Lazima ukubali

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 роки тому +3

    Kipozeo kama ameanza kwenda kwenye maulid basi kapotea

    • @ahmadmadaai1357
      @ahmadmadaai1357 2 роки тому +1

      Umepotea ww bila ya maulid uwalii utausikia t

    • @kadizosea6250
      @kadizosea6250 2 роки тому

      Angeenda disko ungesemaje?au unafata mkumbo choko ww

    • @abuuayman804
      @abuuayman804 2 роки тому

      Kama mnaipenda dini acheni maneno machafu Allah atatupa uongofu,,lkn kwenye matusi ndo mtaangamia kuweni na subra na tumuombe Allah atuonyeshe haqi iko wap

  • @ibraheemqassim3018
    @ibraheemqassim3018 2 роки тому

    mashekhe muache unafik na nyiny mnauhaibisha uislam kuchambana katka mitandao ni ujinga mmekosa sifa za kuwa warith wa mitume

  • @trayoversion
    @trayoversion 2 роки тому +1

    Hizi dini za kikoloni tulizoletewa zitaendelea kutugawa mpk tutakapo amua kurudi kwenye ukweli wa Asili yetu

    • @SheikhSalimBarahiyan
      @SheikhSalimBarahiyan  2 роки тому +2

      Asili yenu ni Ipi ?

    • @trayoversion
      @trayoversion 2 роки тому

      Asili yako wewe ni Babu yako mzaa Babu wa Ma babu zako ambae mwenye umri kama mtume Muhammed ila haumjui na hautaki kumjua na umeamua kumtakia kheri mtu mwingine kabisa na kumsahau huku ukikaririshwa mababu wa kikoloni ndio watakatifu kuliko Babu zako wewe
      Hakuna Mwarabu atakuja hata siku moja kuwatakia kheri Mababu zako ila wewe ndio umekua mstari wa mbele kuwatakia kheri Babu zao kwa kigezo cha pepo
      Leo hii kugawanywa huku imekua kama kituko kwenu mambo kama haya mnayofanya kwenye mitandao ni kama mnajitukana wenyewe mambo ya kukaa wawili kuyamaliza mnayaleta mitandaoni kila mtu akijiona ndio yupo karibu na Mungu kuliko mwenzie

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 2 роки тому +1

    Mm huyu kipozeo nilkua namkubali sana lakini tokea nimuone kwenda kufungua kipindi kwa daimond sikuwahi kumuelewa tena.

  • @suleymanmrutu9498
    @suleymanmrutu9498 6 місяців тому

    Kipozei nimemuelewasana yeyealikuwa anaongea hukuanaweka utani kwahiyo sheikh salim barayihan wala usichukie kwani Kipozeo nimtu wautanisana

  • @nasirabdullah6227
    @nasirabdullah6227 2 роки тому

    Shekhe anaegombana na mwenzie huyo anamatatizo ajitathmini vizuri

  • @saiditara7235
    @saiditara7235 2 роки тому +8

    Sijui ni kwanini Answari Sunnah wengi humzingatia mtu kuwa ni mtu wa Sunnah kwa kuvaa nusu muundi, au kufunga na kufungua kwa mwezi wa popote, au kufuga ndevu tu, au kupinga Maulid na Khitma kama alivyosema mzee hapo! Hili ni tatizo sana, embu watu wasome tena kwa umakini kitabu ( أصول السنة) Cha imam Ahmad waone jinsi anavyosema kuhusu mambo ambayo mtu akiliacha hata moja tu hawi ni katika watu wa Sunnah.
    اللهم اهدنا إلى سواء الصراط

    • @mirajihamza2892
      @mirajihamza2892 2 роки тому +2

      Waislamu muogopeni Allah msitoke maneno makali juu ya wenzetu waislam,,,hakuna aliyekamilika tujitahidi kujifunza haki kupitia mashekhe zetu,,wote ni mashekhe ila hawakosi mapungufu kama ilivyo kua sisi pia,,,na ilivyo kawaida kwa wanadamu wote

    • @shamsuddin4582
      @shamsuddin4582 2 роки тому

      Okay fyn tutajie MTU wa Sunnah ni yupi sas ikiwa yupo nje ya hayo

    • @SheikhSalimBarahiyan
      @SheikhSalimBarahiyan  2 роки тому +4

      Sio kweli Anwaru Sunnah huzingatia Tawheed kwanza kabla ya chochote .

    • @adamh1751
      @adamh1751 2 роки тому +1

      @@shamsuddin4582 kasome Markaz ibnu Taymmiyah utajua ukweli usalafi.

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 2 роки тому

      @@mirajihamza2892 Hayo ni miongoni mwa ishara na dalili za Kiama.
      Mtume al ishabashiri kwamba miongoni mwa ishara na dalili za Kiama ni ; (1) "Zitafika Zama (ndo zimeshafika hizo Zama/Zamazetu hizi) Umma wa Kiislamu utagawanyika Makundi Makundi".he tunashuhudi kwa Waislamu tunavyozidi kugawanyika kila siku !
      (2)Kadhalka mtume SAW alisema kwa kubashiri; " zitafika Zama Wasomi, Maulamaa/Wana wa Zuoni wa Kiislamu watakuja kuuharibu Uislamu, na zimeshafika hizo Zama, tunawashuhudia baadhi ya Maulamaa/Wasomi/Wana wa Zuoni wanavyogawanyika na kukatana mapande kila Uchao na Uchwao Wasomi,/Wanawazuoni/Maulamaa wa Kiislamu watauharibu/wataubomowa Uislam kwa kutafuta maslahi binaf ya Dunia na kuiwachabAkhera kwa kujiona bora zaidi kuliko mwenzake/sandals, vitatawala Sifa/Riha (Majigambo) nk yasofaa ktk Uislamu

  • @salummsei4725
    @salummsei4725 2 роки тому

    Kwa kipozeo ataangamiya tu kwakuwa analeta masihala katika dini ya allah

  • @SalimSalim-ec9jo
    @SalimSalim-ec9jo 2 роки тому +1

    Kipozea atoa daawa huku akiburudisha na sio kua yuwamdhihaki Allah hebu waislamu acheni chuki zakikafiri.. Pendaneni..

  • @ramadhanimasalanga6310
    @ramadhanimasalanga6310 2 роки тому

    Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatu'hu
    Mnachofanya ninyi wenye ilmu ya Dini sio sahihi na Allah hapendi
    Ni kwamba kila mmoja wenu ameshindwa kum'face mwingine na kusema sheikh hapa umekosea? Si ndivyo Uislamu unataka hivyo?
    Sasa wa mwanzo anamsema mwinzie kwenye social media, na mwingine anamjibu mwingine kwa social
    Sasa huku si kuchambana huku ninyi masheikh? Mnatufundisha nn sasa?

  • @IddyMandara
    @IddyMandara 3 місяці тому

    shekhe kipozeo salafi tumekumis sana

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 роки тому

    Ayo Mambo yapo malindi Kenya

  • @ibraa1157
    @ibraa1157 2 роки тому

    Saa ikiwa twapigana wenyewe kwa wenyewe itakuaje hebu mlaanini shaitwan mutuache watu wathwarika na nyinyi nanyi muMsifusifu Mtume kwa njia yenu

  • @peteswalehe236
    @peteswalehe236 Рік тому

    I think instead of putting these words into social media... Kindly talk to your offender and forgive each other. A better way than showing us this

  • @mbonimanakisenya4178
    @mbonimanakisenya4178 2 роки тому

    Jalibuni kusoma hata shule za kawaida jamani maana mnayobishana hamfai kuwa maarufu kiasi hicho mm nazani nyinyi ni waigizaji huko kwenye dini mnavamia tu muogopeni mungu

  • @kitengeayoub2649
    @kitengeayoub2649 2 роки тому

    Badala ya kuanika mambo azalani ungemfuata Shekh wote ni wamoja masheikh mnazngua

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 2 роки тому

    Kwakweli huu ni ujinga na upotovu kwetu sisi maamuma maana hatujui nani wakumuamini, watu mnao jiita masheikh mnasutana kwenye mitandao!!sasa kama mna tofauti zenu kwanini msiende BAKWATA?? mbona mnatuonesha usanii kwenye mitandao au ndio mnatafuta kick??

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 2 роки тому +3

    Muache kipoozeo sio daraja yako, huyo mtu mwengine umuingii kwakila kitu

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 2 роки тому

    Asalaam Aleykum Sheikh si kwa ubaya lkn ningependa hii COMMENT ninayo andika hpa uisome plz juu sisi ndio tunangoja nyinyi mtufundishe dini n kuishi n watu na nyinyi ndio mnaongoza kuanikana kw mitandao n mjue mitandao haifutiki jaribuni mrekebishe tafadhali; Ungefanya jambo la busara sana ungemtafuta ukamwelezea tu bila ya kumueka hapa UA-cam pia yeye ni binadamu km mimi tu n pia angekuelwa zaidi kuliko vyenye umepost hapa jamani mnatuonyesha nini jaribu kustiriana hapa hii video haifutiki kuambiana kupo na yeye ungemfuata ukamwelezea angekuskiliza hujafanya makosa kumwelezea ila umekosea kumwelezea kwa UA-cam

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 2 роки тому

      Yaani ww ndugu yangu mawazo yako km yangu vile, Kuna haja gani ya kuekana mitandaoni jamani mnapoteza thamani ya DINI

  • @shabanimungazija7272
    @shabanimungazija7272 2 роки тому

    Sheh nyinyi ni watu wakubwa kama sheh kateleza inapaswa.uonane nae maana hakuna alie kamili ila hata yeye kipozeo nayeye ajaribu kuchunga maneno hayo

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 роки тому

    Shegh hilali kapinga maulidi ila hajapinga watu,,,,sababu hata wakristo tunakaa nao ila alichokipinga ni kipengele katika uislamu na alishasema yeye kazi yake nikufikisha ujumbe tu kuongoa ni kazi ya muumba

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 3 місяці тому

    Wewe kika kitu unajua mana kazi yako kuwadhalilisha masheikh humu kwanini usimfate uso kw uso

  • @HASSANMiduma
    @HASSANMiduma Рік тому

    Shekhe kuwa na HEKMA !!!Kwann haukumfuata na kukaa chin nae,siyo. Uislamu huo.

  • @darajanida
    @darajanida 2 місяці тому

    hilo kwa mawahabi kusema hayo siajabu kwasababu ndio man haji yao

  • @lugomemtamayaye9508
    @lugomemtamayaye9508 2 роки тому +2

    Kipozeo ni mnafiki,

  • @husseinsaid8021
    @husseinsaid8021 2 роки тому +2

    Msimamo wa Hilali Shaweji juu ya khitma upo wazi mpaka leo Kipozeo Hakubali khitma usimzulie

    • @salummsei4725
      @salummsei4725 2 роки тому +1

      Wewe utakiwa na tatizo la akili hujitambui mchangiaji

  • @ibrahimcharlesswaleh
    @ibrahimcharlesswaleh 2 роки тому

    Halafu wakati wa MTUME S.A.W haya makundi yalikuwepo? Wakati wa Ukhalifa haya makundi yalikuwepo? Wakati wa Maimamu wakubwa wanne haya makundi yalikuwepo? Tufumbuke macho waislamu. HIZI NI DALILI ZA KIAMA.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 роки тому

    Sasa huu ni UISLAMU gani wa kujibiana kwenye mitandao?.

  • @kadizosea6250
    @kadizosea6250 2 роки тому

    Kama mwanaume mvae live mbona unajifichaficha mm namkubali sana sheikh kipozeo

  • @mdoekibai3991
    @mdoekibai3991 2 роки тому +1

    Alikuwa bado hajasuma lkn badayakusoma ameelewa ndomana kakubali ila ww kweli ni waharam

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 роки тому

    Aibu

  • @mayangeramadhani8497
    @mayangeramadhani8497 2 роки тому +6

    Ukweli huwa unachomachomaaa ....

  • @masudimwinyi7301
    @masudimwinyi7301 2 роки тому

    Mnaacha kutufundisha dini yetu tuielewe mnabaki kutubabaisha tuu waislam acheni kutubabaisha beans mnaacha kuongea na kukemea mambo ambayo Allah anayakataza mnagombana gombamba ovyo tuu

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 роки тому +2

    sasa apo kasema uongo.vipi? ni bora ungenyamaza tu barahiya

    • @abuuayman804
      @abuuayman804 2 роки тому +1

      Kuweni na hikma hii nibdini msidharau watu ni vibaya zangu ni nasaha tu

  • @abuqusay8912
    @abuqusay8912 2 роки тому +1

    Uzayuni wa Uwahabi

  • @allykisuda4568
    @allykisuda4568 2 роки тому +1

    Mirathi ya mtume ilikua ni elimu tu, na wala sio mnachokifanya,

  • @twix1404
    @twix1404 2 роки тому

    Sasa hapo umepanic nini wakati ungeweza kumwita pembeni ukamwambia, ndio uukwana kama kweli wewe ni sheikh au umechukua kwasasabu ametoka kwenye Answar maana uungwana kama kakosea hakuna mkamilifu na wewe umeonekana mjinga tu.

  • @HalfanAbdallah-x4p
    @HalfanAbdallah-x4p 2 місяці тому

    Mnatabu watu wa kituoni kama almarhum alivyo sema shekh abibakar al burhani hoja zenu kashazimaliza yeye katika wakati wake nyamaeni tu

  • @ridhwaniyassir3579
    @ridhwaniyassir3579 2 роки тому

    Ni comedian msamehe

  • @tysonpambakali9260
    @tysonpambakali9260 2 роки тому

    Shehe kuja kusema haya umu sio sehemu yake lejea maneno ya mungu na mtume unakosoa sio shelia

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 2 роки тому +1

    TU.uogopeni Allah.