Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Barikiwa Mwl wetu
Nina swali Mwl
Hongera Sana mwalimu
Asante sana, tunaweza kuwasiliana zaidi 0755 340 532. karibu sana
Samahani Mwl,,Mimi nina uhitaji wa kujijua kuwa nipo sauti ya ngapi maana naimba japo sijawahi kufundishwa na Mwl yeyote,,napenda nijue mimi nipo sauti ya ngapi kati ya 1,2 au 3 mimi ni Kijana wa kiumeMsaada wako Mwl.
bila samahani, utanitumia Voice Note ukiimba wimbo usizidi dakika moja, ili nikufanyie Tathimini ya Sauti yako. Utanitumia WhatsApp +255 755 340 532.
Nahitaji tu kujuwa kuimba
Karibu, inawezekana. tuwasiliane 0755 340 532
Barikiwa Mwl wetu
Nina swali Mwl
Hongera Sana mwalimu
Asante sana, tunaweza kuwasiliana zaidi 0755 340 532. karibu sana
Samahani Mwl,,Mimi nina uhitaji wa kujijua kuwa nipo sauti ya ngapi maana naimba japo sijawahi kufundishwa na Mwl yeyote,,napenda nijue mimi nipo sauti ya ngapi kati ya 1,2 au 3 mimi ni Kijana wa kiume
Msaada wako Mwl.