Tangawizi, asali na maji hivi vina msaada kwenye sauti mkubwa sana Kwa kutengeneza sauti yako .... Tumia mchanganyiko huu .... Hivyo haina madhara yeyote Tangawizi isipokuwa inasaidia kufungua sauti hata kama sauti ilikua imegoma inarudisha Tangawizi fresh (chai ya Tangawizi yenye asali) inarudisha sauti Kwa haraka....
Keep it up,,,, nmepata ki2
Asante sana dada barikiwa sana kwa Somo hili ubarikiwe na Mungu
Well explained and contented.
Barikiwa San Dada angu kwa ajil ya kaz yako mungu akulinde
❤ safi mwalim ila umchapia shukuru ukaimba shukulu,
Suzana upo vizuri dada angu
Nikwel bhn umenisaidia sana
Napenda unifundishe kuimb vizr
Noted
Umetisha mwalimu wetu
😊😊😊 I like it
Mungu akubariki mwalim
Mamiii safiii doctor ...upo sawa ila kwa dar najua hili mhhh maji moto kama Chai huku
Nimepnda
Jaman minitajua kwel kuimba kwa kuvaiblt
Ahsante sana mwalim
Umesema vyakula vyenye mafuta, vipi mboga zenye mafuta tusilea au wali.
Maneno yatamkwe vizuri siyo kushulu Ni KUSHUKURU
Uko vizuri mam
asante kwa mashauri .
Uko pw nielekeze vizur
Naomba unitumie namba ya sm
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Asante barikiwaa
Voice
Una voice
Sawa nkoyi ilumbu lyane
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Be blessed
AMEN
Asante Sana dada
Dogo uko vzur sana
waoooo
Thanks
Sasa hiyo fresh Juice utakunywa ya moto?? Halaf vp kuhusu sigara na bange inaharib saut??😮
Ubarikiwe San nakuomba unip namba zako
Ni sababu gani muimbaji anaimba na sauti inatoka kama ya Chula hivi
☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂npo nacheka na comment za humu ndaniii ukisizia balaa bc lipo humu
Amen
❤❤❤❤
🎉❤🎉❤
Vipi kuhusu tangawizi, Ina msaada kwa sauti ama inaharibu sauti??
Tangawizi, asali na maji hivi vina msaada kwenye sauti mkubwa sana Kwa kutengeneza sauti yako .... Tumia mchanganyiko huu ....
Hivyo haina madhara yeyote Tangawizi isipokuwa inasaidia kufungua sauti hata kama sauti ilikua imegoma inarudisha Tangawizi fresh (chai ya Tangawizi yenye asali) inarudisha sauti Kwa haraka....
Asnti kwa kutfnz
Waoooo
🙌
Jamani kitimoto tena jmn tusule
😄😄
@@Mazoezi-x3v naweza kukupata je tuongee
Nitumie nini kwasauti inayo kwamakwama naomba nisaidiee
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wewe umevitoa wp ivo🤪
Mbugani☺️☺️☺️
Asante sana. Nini tiba ikiwa tayari sauti yangu imesha haribika?
Fanya mazoez kila cku ya sauti kila cku hata mara2
@@BelladonaTzmazoezi Gani yassuti atasiyajui nikuimba kutwa nzima usiku kucha au
Dada naomba no yako ya wsp
Mbona wahindi wanakula xn pilipili na wana vocal kali sn?
😂😂😂kale na wewe ila kama kweli hiv
@@LeahBenard-wp6zw bint benard wewe ndo wakunambia hivyo??😀 Daah poah
naomba whatsap namba yako nahitaji kuwasiliana na wewe zaidi
Nimependa mafundisho yako