Usife kabla ya wakati bali uishi miaka mingi ulitumikie kusudi la Mungu kupitia wewe kabila za dunia ziinuliwe kwenye huduma hii ya uimbaji, God bless you kwa kazi nzuri popote ulipo Mungu akutendee zaidi na tofauti ya unavyoomba Mungu wa mbinguni akupe kibali machoni pake na kwa wanadamu roho ya kujiinua ndani yako Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai aikomeshe wewe upungue yeye aongezeke katika huduma yako 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻.
Rafiki yangu Kenani Mungu akubariki sana moja ya vitu vinavyonitatiza katika uimbaji ni kupangilia sauti lakini katika clip hii nimepata kitu. Aisee uko vizuri mtu wa Mungu tuko pamoja nitazidi kufuatilia tutorial zingine ili nipate kuelewa zaidi.
Following you from Kenya! What a powerful session bro! You are really empowering many! May God increase your ministry to continue blessing many! I'll be following you all the time
Kazi nzuri ,Mungubakubariki kwa Huduma hii,Mimi by Nature nimeimba tangu mtoto,Naomba namna kuwasaidia waimbaji wanaotaka kuimba kwaya kutofautisha sauti Bila vyombo mziki
Mimi mwanzo natoa shukran nyingi Kwa ufahamu huwo uliotupa Kwa njia yaufasaha kabisa.mimi mwanafunzi na hua najifinza vitu vingi kupitia njia ya mtandaoni Kwa sababu Sina mwalimu,ila Leo nimejifunza kitu kutokana na upangaji wa hizo sauti,nasubiria tupatane kwenye inversions.
Be blessed brother. I glorify God kwa ajili yako. Yesu akutunze kwa ajili ya kusudi lake
You are God Elohim, ancient of days; reign! Reign!
wah!!! we give God praise the lesson's are lit 🔥......
Asante kaka..have learned something new 🎉
I have learned more kaka be blessed
Ubarikiwe kwa Upendo na kazi nzuri
Usife kabla ya wakati bali uishi miaka mingi ulitumikie kusudi la Mungu kupitia wewe kabila za dunia ziinuliwe kwenye huduma hii ya uimbaji, God bless you kwa kazi nzuri popote ulipo Mungu akutendee zaidi na tofauti ya unavyoomba Mungu wa mbinguni akupe kibali machoni pake na kwa wanadamu roho ya kujiinua ndani yako Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai aikomeshe wewe upungue yeye aongezeke katika huduma yako 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻.
@@BàrakaHañje-y1n Amen amen
Rafiki yangu Kenani Mungu akubariki sana moja ya vitu vinavyonitatiza katika uimbaji ni kupangilia sauti lakini katika clip hii nimepata kitu. Aisee uko vizuri mtu wa Mungu tuko pamoja nitazidi kufuatilia tutorial zingine ili nipate kuelewa zaidi.
@@nyenyeshuli4218 asante sana sana mtu wa Mungu
Barikiwa sana kaka kwa mafundisho mazuri ya sauti.
@@IbrahimIddy-ll6mm asante sanaaa
Upo vizuri. Sema hujaunganisha na sauti ya 4 Ili tupate muunganiko
Kaz nzuri. Huduma ya kujifunza mzki inapatkana
Kabisa ipo
Mnapatikana wapi??
Nimejifunza Jambo. Asante sana mwalimu
Amen
hongera mkuu kwa ufundishwaji wako,,God bless you
@@SamsonSephania-s9j amen
i appreciate what you're doing
be blessed Mr
@@HezroneRobert amin
Salute mtu wa Mungu kazi nzuri nitakutafuta kunakitu nataka unisaidie mtumishi
@@johnmatiku5979 amen karibu
Asante sana ndugu.Unafunza kwa utaratibu mwema sana.Mungu akubariki
Kazi nzuri sana Mungu azidi kukutofautisha
May God glorify you
Following you from Kenya! What a powerful session bro! You are really empowering many! May God increase your ministry to continue blessing many! I'll be following you all the time
Ubarikiwe mtumishi
Congratulations mtumishi..
I love your worship touch 🎉🎉🎉
thanks
Excellent work sir
Yaani hapa tcha nmekuelewa kwa urahisi sana,Mungu akupe maisha marefu
@@isaacisaya3113 Amina amina nashukuru sana
Asante saana Mungu Akubaliki saana ❤
@@aimen5584 Amen
Umenifunza kaka
Ubarikiwe🙏
Naomba kujua sauti ya tatu ndio gani,,,but before that support my song please🙏🙏
Ni tenor
Hi plz UA-cam name
@@ApostolKenedyOyata imbayi ivy
@@danielmrombo thank you be blessed 🙏🙏
Kiongozi shukran kwa madini. Hicho chombo kina keys ngap nione kama nawezapambania kombe nikipate?
Amen. Barikiwa sana ndugu.
@@ombenikyando9512 amen
Naendelea kubarikiwa na huduma yako nzuri brother,.. ubarikiwe mno kwa darasa zuri mno
@@elamnabugare8487 amen
Kaka barikiwa nakufwatilia kwa making kutoka Nairobi kenya
Naelewa kabisa kaka , kazi nzuri hii Mungu akubariki pakubwa.
@@shadrackodhiambo1471 wn
Asante sana mtumishi wa mungu
Ubarikiwe sana kwa mafunzo mazuri unayotowa
Mungu akutunze mnoo mwalimu kenani
Love this ❤❤
Mkuu wewe ni wakiroho!!!! Mungu akuinue sana mkuu. pianist wengi anaga kuwa kiroho kiivyo ndio apo tunakwama Mungu atusaidie .
@@josephpeter8511 Amen
Ubarikiwe mtumishi
Asante Mwalimu
Mungu akubariki sana
May the good Lord Bless you bro, i like the way you arrange the vocals, anyway nitakutafuta, all the way from Kenya
@@IsaiahFredrick-rx4pm Amen
Well done
Nice work big up
Barikiwa sana kwa mafundisho mazuri kaka
@@lemoma1994 amwn
kazi nzuri kaka
mungu akubariki mtumishi
God bless you brother
Nakupenda kwakunifundisha mimi ni Patrick kutoka goma congo
@@MunguikoPatrick assnte
Kazi safi kaka Mungu akubariki sana
Asante
Thanks! A lot!
Mungu akkubariki mtumish❤
@@ShadrackAliko amen
UBARIKIWE SANA MTU WA MUNGU YOU ARE THE BEST
@@Daudmponzi Thanks alot
Mungu akubariki sana brother kenaan
@@KambaleMagherya-hs1td Amen
Kazi yako njema kaka Mungu akubariki sana
Amen
Asante sana.
Duuuuh....hii ni extraordinary Mwl 🙌🙌🙌
@@calvinlema4043 Thanks
Shalom na mm na omba sauti yapili asante
Barikiwa brother
Nabarikiwa na huduma yako kaka
Good song.. whos the artist please.
Nimehangak sana kuelewa ila nimeelewa sasa nashukuru mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏
@@legera63 Amenp
Asante I will be following
Thanks Sir🙏🙏💯
@@HurumaAlfred Amen
Mungu akubark nwl,wangu kiukweli nafanikiwa pakubwa sana
@@VicentDioniz-v3p Amen amen
Nimekuelewa mtumishi
Mungu akutie nguvu mtumishi
@@ElishaMlengera-l5m Amen
Kazi nzuri ,Mungubakubariki kwa Huduma hii,Mimi by Nature nimeimba tangu mtoto,Naomba namna kuwasaidia waimbaji wanaotaka kuimba kwaya kutofautisha sauti Bila vyombo mziki
@@magrethmkemwa9287 karibu
Nafurahishwa sanaa jamani. Haswa mke mwanamZiki
Give me the full song I love it😊😊
@@benardonyango5888 ok
Hakika nabarikiwa sana na mafunzo yako Mungu akubariki sana
@@samlaizer3363 Amen
Mimi mwanzo natoa shukran nyingi Kwa ufahamu huwo uliotupa Kwa njia yaufasaha kabisa.mimi mwanafunzi na hua najifinza vitu vingi kupitia njia ya mtandaoni Kwa sababu Sina mwalimu,ila Leo nimejifunza kitu kutokana na upangaji wa hizo sauti,nasubiria tupatane kwenye inversions.
Ubarikiwe sana bro
@@GoodluckSimwaka aminaaa
Inafurahsha na inaimarisha,, ni jifunze kinanda saaa
@@emmanuelmpr9084 Karibu
Nabarikkiwa sana
Very very simple technique to master vocal
@@shallomelias80 amen
Mungu akubariki nimekusudia kujifunza mengi kutoka kwako
@@alfredkalinga9829 ameno
Uko vizuri kaka
😂
Ahsante! Sauti ya nne vipi mtumishi.
@@amosethantheking8815 🤣🤣 niliisahau yani ndo unanikumbusha
@@eaglesrecacademy3424 kweli kaka?
Mungu akubriki uzidi kutufunza Sisi tunaokuja🙏
@@ALFREDWAO Amen
Kenan meshack, rebeca kenan. . Wowww
Hahahha safi saana kaka nimependa nilikuwa natafuta kitu kama ik for long
@@rubenpeter-k6x asante sana
That's very good
Thank
😂nimeinjoy somo 🎉
Bless you kaka
Kaz nzur kaka ubalikiwe mno
Barikiwa sanaa
@@barakakilagi848 aminaaa
It's my first time na nimependa hii charnel
Asante nimepata kitu
Barikiwa sana kaka nimeelewa
@@geofreykamwela asanteee
Barikiwa mwalimu kwa elimu hii
@@dibrojoseph686 Asante sanaaa
Ubarikiwe!
Kiukweli mwalimu ukovizuri Mungu azdikuku ongezea viwango vikubwa zaidi
MUNGU akubariki sanaa sanaaa kaka
❤ thanks
Asante Mwalimu 🫡✨
@@stephenebaraka2075 Amen
Darasa zuri sana nimelipenda sana
@@georgetennyson Asante sana
You have a good vioce
Baraka🎉
nimebarikiwa sana na ufundishaji wako wa sauti
Aiseeeeee nachanganikiwa kweli jamaniiii 😂😂😂😂😂 but I trust nitakuwa sawaaa Kwa hilooo
@@MarryKennedy-bw2xe Usiwaze ni mdogo mdogo
Nilikua wapi mimi jamani Ubarikiwe sana
Nakuona teacher
Asante sana Mwanafunzi wangu happy
@@eaglesrecacademy3424 ame
Natamani kujua zaidi