Mr RJ ubarikiwe naendelea kusonga mbele japo kuna vipengele vinaniwia vigumu kama vile cord invasion kwa mkono wa kushoto kama unaweza kunisaidia utakwenda peponi moja kwa moja
Ameeen.. lakini inversion kwa mkono wa kushoto tunakuwa tunapiga pattern tu za note za chini kuna pattern zake nimeelezea video za mbele zicheck zote alafu njoo uniulize
Napenda sana unavyofundisha somo la nne naomba uwe unaenda taratibu maana nina kinanda nahitaji kujua mengi
@@AnthonyPiusi Ohh ahsante sana..zingatia tuu uangalie video zote kwa mtiririko utapata kitu
Barikiwa sana kk
Aminaaaa
Nimekuelewa kaka asante
Pamoja sana kaka
Unajua bro🙌🏽
@@EliasSinger-n7x shukrani boss
Ubarikiwe San mm convesetion inanisumbua san
Ameeen.. fuatilia tu video taratibu utaelewa
🙏🙏 nimekusoma saana bro
Pamoja sana kaka
@@teknohamaleo finally i nmepata keyboard kaka nmerudi kwenye tutorial zangu...mdogo mdogo nafatilia
Barikiwa sana mr RJ endeleza haya masomo kwakweli ubarikiwe mkuu nikirudi Dom kuna zawadi yko
Shukrani sana kaka
Pamoja sana mkuu
Unasaidia sana
Pamoja sana ndugu
Naomba namba bro kuna nyimbo ninataka unifundishe
0717310447
Namba ya whatup BRO
0738593603
Mr RJ ubarikiwe naendelea kusonga mbele japo kuna vipengele vinaniwia vigumu kama vile cord invasion kwa mkono wa kushoto kama unaweza kunisaidia utakwenda peponi moja kwa moja
Ameeen.. lakini inversion kwa mkono wa kushoto tunakuwa tunapiga pattern tu za note za chini kuna pattern zake nimeelezea video za mbele zicheck zote alafu njoo uniulize
Asante rj nzidi kusonga mbele
Najengwa sana na mafunzo yako mwalimu yani iyi key unanizungumzia naitaji number yako mwalimu
0738593603 ipo whatsapp tu
MR RJ naomba nisaidie kupata kinanda cha bei rahisi
@@makombaatv3311 una bei gani??
Nina laki tatu
Uko vizur teacher namba yako naomba kama hutojal nimekuwa nikifuatilia sana
0717310447
Uo mkono wako wa kushoto unatuziba
@@JosephMwinyi-bc6no sorry bro video za mbele nimejirekebisha
Kaks
Naam naam
Nimekuelewa kaka asante
Pamoja kaka
Nimekuelewa kaka asante
Karibu sana kaka