- 107
- 93 360
Joremi Music
Tanzania
Приєднався 22 лют 2017
Joremi Music ni kwaajili ya Kusaport Muziki wa Injili na kutoa Mafunzo ya Uimbaji Sauti na Muziki Duniani kote.
__________
Yusuph Johnson ni Mtayarishaji wa Nyimbo za Injili Nchini Tanzania na nje ya Tanzania, pia ni Mwalimu wa Uimbaji Sauti na Muziki, Chombo anachocheza ni Kinanda.
Ni mtu mwenye shauku kubwa sana na anayependa kutafuta maarifa yahusuyo Uimbaji Sauti na Muziki kuyaelewa kwa undani na kuhakikisha yanawafikia wengine kwa kadri inavyowezekana.
Pia anapenda sana kuona waimbaji wanafikia malengo yao waliyojiwekea katika Uimbaji sauti na Muziki, anaamini kuwa mwimbaji akipata mafunzo sahihi anaweza kuwa bora zaidi ya hapo alipo kiuimbaji, na lolote chini ya jua linawezekana Ukiamua. (Amua Leo)
__________
Call... or WhatsApp...
+255 755 340 532
__________
Yusuph Johnson ni Mtayarishaji wa Nyimbo za Injili Nchini Tanzania na nje ya Tanzania, pia ni Mwalimu wa Uimbaji Sauti na Muziki, Chombo anachocheza ni Kinanda.
Ni mtu mwenye shauku kubwa sana na anayependa kutafuta maarifa yahusuyo Uimbaji Sauti na Muziki kuyaelewa kwa undani na kuhakikisha yanawafikia wengine kwa kadri inavyowezekana.
Pia anapenda sana kuona waimbaji wanafikia malengo yao waliyojiwekea katika Uimbaji sauti na Muziki, anaamini kuwa mwimbaji akipata mafunzo sahihi anaweza kuwa bora zaidi ya hapo alipo kiuimbaji, na lolote chini ya jua linawezekana Ukiamua. (Amua Leo)
__________
Call... or WhatsApp...
+255 755 340 532
Safi Sana - Golden Harp Singers Tz. (Official Audio and Lyrics Video)
Safi Sana - (Official Audio and Lyrics Video)
Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji, zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. Isaya 1:18
Safi Sana - The Golden Harp Singers-Tz (official Audio and Lyrics Video) tusapot kwa ku-Subscribe, Like, Comment, Share na utufuate kwenye channel hii kwaajili ya Nyimbo zaidi:
_________________________
Subscriber 👇
@Joremimusic
Stream 👇
distrokid.com/hyperfollow/the...
_________________________
Golden Harp Singers Tz
Song - Safi Sana
Vocal Arrangement - Joremi Music
Composer - Mwl. Isaiah Shibugulu
👉 +255 (0) 782 791 935
Track - Joremi Music
Audio - Joremi Music
Mixing and Mastering - Yusuph Johnson
_________________________
Kwa Mawasiliano:
Email: jorealmusici@gmail.com
Instagram: https// mtayarishaji_Johnson
Facebook: https// goldenharptz
Tell: +255 (0) 755 340532
@Joremimusic
Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji, zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. Isaya 1:18
Safi Sana - The Golden Harp Singers-Tz (official Audio and Lyrics Video) tusapot kwa ku-Subscribe, Like, Comment, Share na utufuate kwenye channel hii kwaajili ya Nyimbo zaidi:
_________________________
Subscriber 👇
@Joremimusic
Stream 👇
distrokid.com/hyperfollow/the...
_________________________
Golden Harp Singers Tz
Song - Safi Sana
Vocal Arrangement - Joremi Music
Composer - Mwl. Isaiah Shibugulu
👉 +255 (0) 782 791 935
Track - Joremi Music
Audio - Joremi Music
Mixing and Mastering - Yusuph Johnson
_________________________
Kwa Mawasiliano:
Email: jorealmusici@gmail.com
Instagram: https// mtayarishaji_Johnson
Facebook: https// goldenharptz
Tell: +255 (0) 755 340532
@Joremimusic
Переглядів: 105
Відео
#VocalClinic - Jifunze Kuimba. Mbinu za Mazoezi ya Pumzi Part I @Joremimusic
Переглядів 10514 днів тому
Uimbaji Sauti Na Muziki. Jifunze Kuimba na Mtayarishaji Yusuph Johnson. fuatilia Mwanafunzi wa Uimbaji akiwa darasani na Mtayarishaji Yusuph akijifunza mbinu mbalimbali za Pumzi Part I ukihitaji Kujifunza Uimbaji, wasiliana nami sasa nikupe utaratibu. Mtayarishaji Yusuph Johnson 255 (0) 755 340 532 @Joremimusic
Bwana ndiye Mchungaji wangu. (Official Instr) - Mtayarishaji Yusuph Johnson.
Переглядів 20614 днів тому
BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU. Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya, Kwa maana wewe upo pamoja nami. Ujumbe: Mtayarishaji Yusuph Johnson Zaburi 23:1 - 6 Music: Mtayarishaji Yusuph Johnson Mwl. Fred Kirya @Joremimusic
#VocalClinic - Jifunze Kuimba na Mtayarishaji Yusuph Johnson
Переглядів 97Місяць тому
Uimbaji Sauti Na Muziki. Jifunze Kuimba na Mtayarishaji Yusuph Johnson. fuatilia Mwanafunzi wa Uimbaji akiwa darasani na Mtayarishaji Yusuph. ukihitaji Kujifunza Uimbaji, wasiliana nami sasa nikupe utaratibu. Mtayarishaji Yusuph Johnson 255 (0) 755 340 532 The Golden Harp Singers-TZ follow: -open.spotify.com/artist/2sqVh...
Wamekuwa Mwili Mmoja
Переглядів 752 місяці тому
Mwimbaji wa Golden Harp Singers-Tz amefunga ndoa Takatifu huko Jijini Mwanza na aliyekuwa mchumba wake, na sasa wamekuwa mwili mmoja. aliyekiunganisha MUNGU Mwanadamu asikitenganishe.
The Golden Harp Singers - Tz | Anasikia Anajibu | (Official Music Video) HD
Переглядів 239Рік тому
Anasikia Anajibu - (Official Video) Umewahi kuita bila kupata majibu? Ulijisikiaje ulipoita bila majibu? Yeremia 33:3 "Niite nami nitakuitikia, nami nitakuonesha mambo makubwa, magumu usio yajua" Hiyo ni ahadi ya Mungu kwetu leo Twende kwake kwa imani na hakika kwamba Anasikia na Atajibu haja za mioyo yetu ... Barikiwa unapotafakari wimbo huu mzuri.. Anasikia Anajibu - The Golden Harp Singers-T...
The Golden Harp Singers-Tz - Pambazuko - (Official Music Video) HD
Переглядів 182Рік тому
Pambazuko - (Official Video) Pambazuko hueleza juu ya kuisha kwa usiku na kutokeza siku nyingine. Tangu Dunia ilipoumbwa, kumetokeza Mapambazuko meengi sana ambayo yamejaa simanzi, vilio, vituko, majanga, magonjwa yasiyo na tiba na katika mapambazuko hayo, mwanadamu amebaki akitaabika bila tumaini. Sikia, lipo PAMBAZUKO HALISI ambalo linakuja, Pambazuko linalioenda kuleta Tumaini Jipya, maana k...
The Golden Harp Singers-Tz | Yerusalemi | (Official Music Video) HD
Переглядів 367Рік тому
Yerusalemi - (Official Music Video)HD Wakati ulimwengu huu wa sasa unakumbwa na majanga makubwa yakutisha. Magojwa yasiyo na tiba, vita vya kutisha dhidi ya mataifa, wakati wanadamu wamekata tamaa na kuchanganyikiwa!!! Ndipo linatokea Tumaini la Mji Mpya wa YERUSALEMU mji wa amani usio na tashwishwi yeyote Mji wa kupendeza, Mji wa Mungu. Je watamani kuingia mji huo? jitahidi kutenda mema, utaur...
The Golden Harp Singers-Tz | Behind The Scene | Ninaye Rafiki. @Joremimusic
Переглядів 98Рік тому
Ninaye Rafiki - (Behind The Scene) Hayo ni Moja ya Mazoezi ya wimbo wa Ninaye Rafiki, Katika Mazoezi kuna vitu vya muhimu tunavyoviangalia, mf: Pumzi, kuenda na Beat, Matamshi n.k The Golden Harp Singers-Tz tusapot kwa ku-Subscribe, Like, Comment, Share na utufuate kwenye channel hii kwaajili ya Nyimbo zaidi: youtube.com/@Jrmimusic24hrs Song - Ninaye Rafiki. Kwa Mawasiliano: Email: jorealmusici...
The Golden Harp Singers-Tz | Ninaye Rafiki | official Video. @Joremimusic
Переглядів 634Рік тому
Ninaye Rafiki - (Official Video) Kwa unyenyekevu mkubwa tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Rafiki yetu mpendwa na ambaye ndiye Mungu wetu kwa kuendelea kutujali afya njema na Baraka tele. Golden Harp Singers-Tz tulimchagua Mungu awe Rafiki yetu kwamaana alitupenda kwa upendo mkubwa Sana. Ungana nasi kwa kusikiliza na kutaza hii Video. Ninaye Rafiki - The Golden Harp Singers-Tz (official Video) ...
The Golden Harp Singers-Tz | Anasikia Anajibu | Live Performance @Mt. Andrea Magomeni, Anglikana.
Переглядів 216Рік тому
Karibu uutazame wimbo huu toka kwao The Golden Harp Singers-Tz "Anasikia Anajibu" ambao umeimbwa Live katika Tamasha la Uimbaji lililoandaliwa na Kwaya Kuu ya Mt. Andrea Magomen, Anglikana Jijini Dar es Salaam Tanzania. Mwenyeji: Fredrich Kishindo Jr. @Mt. Andrea Magomeni, Anglikana. Ni Mtangazaji/Magic FM na ni MC pia. Tell: 255 (0) 758228998 Live Performance Song: Anasikia Anajibu Composer: J...
Off Key Ya "kushuka" Jinsi inavyokuwa. #VocalClinic @Joremimusic
Переглядів 186Рік тому
Off Key Ya "kushuka" Jinsi inavyokuwa. #VocalClinic @Joremimusic
Muimbaji | Kwaya | Huyu Mtu ni Wa Muhimu Sana Kuwa naye. #VocalClinic @Jrmimusic24hrs
Переглядів 305Рік тому
Muimbaji | Kwaya | Huyu Mtu ni Wa Muhimu Sana Kuwa naye. #VocalClinic @Jrmimusic24hrs
Sauti ya Pili | endelea kufanya hili zoezi. #VocalClinic @Joremimusic
Переглядів 259Рік тому
Sauti ya Pili | endelea kufanya hili zoezi. #VocalClinic @Joremimusic
Sauti ya Pili | Ongeza urefu wa Sauti yako kwa kufanya hivi!! #VocalClinic @Joremimusic
Переглядів 1,1 тис.Рік тому
Sauti ya Pili | Ongeza urefu wa Sauti yako kwa kufanya hivi!! #VocalClinic @Joremimusic
Jinsi Off Key inavyosikika ukiwa Unaimba. #VocalClinic @Joremimusic
Переглядів 314Рік тому
Jinsi Off Key inavyosikika ukiwa Unaimba. #VocalClinic @Joremimusic
Mazoezi ya Sauti ya Kwanza | Octave ya Nne | C6 . Part III
Переглядів 362Рік тому
Mazoezi ya Sauti ya Kwanza | Octave ya Nne | C6 . Part III
Sauti ya Kwanza, Fanya hilo zoezi pia. Part II #vocalclinic @Joremimusic
Переглядів 409Рік тому
Sauti ya Kwanza, Fanya hilo zoezi pia. Part II #vocalclinic @Joremimusic
Sauti ya Kwanza, Fanya hilo Zoezi. Part I. #VocalClinic @jrmimusic24hrs
Переглядів 2,9 тис.Рік тому
Sauti ya Kwanza, Fanya hilo Zoezi. Part I. #VocalClinic @jrmimusic24hrs
Jinsi ya Kubajeti Pumzi | fanya hili zoezi pia. Part III.
Переглядів 290Рік тому
Jinsi ya Kubajeti Pumzi | fanya hili zoezi pia. Part III.
Jinsi ya Kubajeti Pumzi | fanya hilo Zoezi. Part II. #Vocalclinic
Переглядів 411Рік тому
Jinsi ya Kubajeti Pumzi | fanya hilo Zoezi. Part II. #Vocalclinic
Jinsi ya Kubajeti Pumzi. Part I | @Joremimusic #Vocalclinic
Переглядів 130Рік тому
Jinsi ya Kubajeti Pumzi. Part I | @Joremimusic #Vocalclinic
Jinsi ya Kujenga Pumzi Katika Kwaya | Tumia hayo Mazoezi. @Joremimusic #VocalClinic
Переглядів 1,5 тис.Рік тому
Jinsi ya Kujenga Pumzi Katika Kwaya | Tumia hayo Mazoezi. @Joremimusic #VocalClinic
Fanya zoezi la Sauti kwa hatua inayofuata. #jrmimusic24hrs #vocalclinic
Переглядів 144Рік тому
Fanya zoezi la Sauti kwa hatua inayofuata. #jrmimusic24hrs #vocalclinic
Jinsi ya Kuimba Sauti yenye Nguvu | Ujazo.
Переглядів 2,5 тис.Рік тому
Jinsi ya Kuimba Sauti yenye Nguvu | Ujazo.
Jinsi ya Kufanya Mazoezi Sahihi ya Sauti. Part II
Переглядів 585Рік тому
Jinsi ya Kufanya Mazoezi Sahihi ya Sauti. Part II
Jinsi ya Kufanya Mazoezi Sahihi ya Sauti. Part I
Переглядів 328Рік тому
Jinsi ya Kufanya Mazoezi Sahihi ya Sauti. Part I
Jifunze jinsi ya Kuimba. (tofauti ya Kuimba na Kuongea) Part I
Переглядів 1,3 тис.Рік тому
Jifunze jinsi ya Kuimba. (tofauti ya Kuimba na Kuongea) Part I
Jifunze Mazoezi Sahihi ya Pumzi. (Zingatia hivi vitu viwili)
Переглядів 2 тис.Рік тому
Jifunze Mazoezi Sahihi ya Pumzi. (Zingatia hivi vitu viwili)
Mubarikiwe sana mziki mtam unabariki sana pro johnson yusuph
Ameeen mdogo wangu. Mungu akutendee mema hapo mbeya. nakumbuka sana ile kazi yako tulifanya. ule wimbo wa SIFONGO.
@Joremimusic amina bro barikiwa sanaa
@@isackmwasumbi Amen
Good music
Asante sana mtaalamu wangu wa Bass pale Kijichi Sda Choir.
Naaaaam hakika ni safi sana
Ameeeeen na Yesu yuko tayari kutufanya kuwa safi tena SAFI SANA.
safi saana 😊😊kama ulivyo wimbo
❤safi Sana, bonge ya wimbo
Asante sana mdogo wangu. endelea kubarikiwa .
@@rosenyambita1946 Ameeeen Mungu atukuzwe.
Mim naimb saut y kwanz lakin naimb kw kupanik nifanyj IL niondokan na hii Hal
Karibu sana Janeth. tuwasiliane +255 755 340 532, kila kitu kinawezekana.
Ñaendelea kujifunza. Asante sana Mwl
Karibu sana
Yes Mungu ni wa ajibu sana
na hafananishwi na chochote. Mungu ni wa ajabu zaidi
...na hafananishwi na kitu chochote. Mungu ni wa ajabu zaidi
Njema
Karibu sana
Naitaji kujiunga mnapatikana wap?
Karibu sana, nafasi bado zipo, tupo Dar es Salaam - tuwasiliane +255 755 340 532
Nahitaji kujifunza..
Karibu sana Darasani. tupigie +255 755 340 532
Je kunywa maji ya moto kunasaidia saut
Maji ya moto sio sahihi, maana yatakuunguza, huwa tunatumia MAJI YA UVUGUVUGU - yanasaidia SANA. Maana koo la Muimbaji linatakiwa liwe na unyevunyevu masaa yote, na hiyo inafanywa na Maji ya Uvuguvugu. KARIBU TUJIFUNZE.
I can Soprano and alto
Mungu akubariki sana
Hongela sana mwalimu kumbe watu wa muziki mupo
Asante sana Mr. Wilson. ndio banah, tupo kabisa. Karibu.
@Joremimusic asante sana mwalimu, mimi ni mcheza kinanda pia ila kwa jinsi unavyoeleza wewe kwa kweli ni njia ya kipekee kabisa, naomba Mungu ikipatikana hata bundles nitakutumia.
🎉 safi Sana
Barikiwa zaidi
❤
Asante sana
Hongera Sana mwalimu
Asante sana, tunaweza kuwasiliana zaidi 0755 340 532. karibu sana
Nataka kuimba sauti yapili nitawazaje
inawezekana kabisa, tuwasiliane 0755 340 532.
Mimisauti inanichanganya nikiwa namtuanaimba nafata sautiyake nikiwa pekeyangu naomba nyingine sijuwinikwamini nisaidie nielewe sautiyangu
tatizo lako linatatulika, karibu 0755 340 532
Namimi lilishawahi kunikuta tatizo kama Hilo haswa ukute unaeimba nae anatoa sauti iliyoshiba kuliko wewe
Ahsante sana. Nimegundua sauti yangu ni ya pili, lakini pia naweza kuimba bass.
Barikiwa sana, pia unaweza kujifunza zaidi
Haloo nataka uwe mwalimu wangu nataka kujua kuimba
inawezekana kabisa, tuwasiliane 0755 340 532. Karibu sana tujifunze.
🎉🎉
pamoja sana
Kwanini nipoimba wimbo wakutua sauti inaisha kabbla ya wengine nanifanye nini kuwa sawa na wengine?
hapo unakuta unawahi kuishiwa pumzi, hivyo basi jifunze jinsi ya kutumia pumzi katuka uimbaji.
😂Sasa bass tutaimbaje tufundishe
hahahahaaa, tutajifunza tu Mkuu, Karibu darasani
Mimi nikiimba sauti ya pili sauti inaharibika nikitaka kuimba sauti ya kwanza tene
hapo unatikiwa kwanza uijue sauti yako ni ipi, tuwasiliane 0755 340 532
Sauti hii ni ngumu
sio ngumu, ukifundishwa unaiweza.
Mungu akubarika xan una uwezo mkubwa
Ameen. Barikiwa zaidi. karibu tujifunze wote.
Kwa wale waliyo kuwa na mwanya mbele watafanyaje kwenyemazohezi ahaya
tunawapa zoezi mbadara
Ubarikiwe umenipa raha moyoni
Amen. Barikiwa zaidi
Unagusa panapo gusika ❤❤
Karibu tujifunze zaidi.
mimi naimba saut ya tatu
safi sana, iendeleze kwa kufanya mazoezi sahihi
Asante sana mwalimu Mungu akubarikisana kwakipaji ulicho pewa na Mungu.Mimi naimba sauti ya 1)sprano 2) Tenor 3) artho.Mimi ni lijikuta Niko nahizo sauti,Mungu kaniumba nazo ila naitaji ujuzi ili nijue kuimba zaidi.Sijawahi pata mwalimu wakunifundisha,please nisaidie.Nakutegea kutoka USA.
Amen. Barikiwa zaidi. tuwasiliane +255 (0) 755 340 532 whatsapy
ANTIPAS BENJAMIN Sauti 3
ifanyishe mazoezi sahihi utashangaa maajabu ya Sauti ya Tatu..
Habari daktari Nina tatizo la muezi sita sasa . Nikiimba au kusoma kitu au utenzi naishiwa na pumzi haraka sana a natumia nguvu sana kusoma na sivyo nilivyokuwa kabla . Nimeamua kupumzika kwa miez 2 bila ya kusoma kitu wala kupaza sauti .bado ttz lipo pale pale nikisoma kitu kwa sauti kama vile utenzi naishiwa nguvu na sauti hutoka kwa shida sana . Na pia nahisi kama pumzi zimeisha na pia nahema sana mhemo wa kuchoka. Naomba msaada wako.
pole sana kwa tatizo hilo, hilo tatizo liko nje ya uwezo wangu. nakushauri uende Hosptali uonane na Doctor kwa uchunguzi, naamini utapata tiba ndugu yangu.
Asante sana bro, somo zuri na melody ya wimbo ni nzuri mnooo
Asante pia. karibu tujifunze zaidi.
Nitakufatilia mwl
Kaka njoo na SoMo hili tena kwa undani zaidi
sawa sawa, nitalifundisha tena kwa upana, asante kwa ushauri.
Nitajifuzaje kuimba ndo mala yakwza nataka kuimba
inawezekana kabisa. tuwasiliane 0755 340 532
Nahitaji tu kujuwa kuimba
Karibu, inawezekana. tuwasiliane 0755 340 532
Namba.ya.simu
0755 340 532
Mwalimu.napenda.nikuite.kanisani.kufundisha
nipo tayari. tuwasiliane 0755 340 532
Naomba mawasiliano yako
0755 340 532. karibu sana
sauti nzuriiiiiii imetulia sana
Asanteee
Naomba unifunze kuimba
tuwasiliane. 0755340532. karibu
Mi Mwaliley naimba sauti ya pili
Mi Mwaliley naimba sauti ya pili
Hongera sana. Karibu tujifunze zaidi
Mimi mwaliley naimba sauti ya pili
Je, unaweza fanya kwa muda gani kitaalam?
ni endelevu, yaani usiache
Nisaidie nikigusa batan ip Mimi nagiga key f# Naomba nisaidie Kwa upana wake Kwa saut 1,2,3 zinanipa changamoto sana
tuwasiliane 0755 340 532