@Joremimusic asante sana mwalimu, mimi ni mcheza kinanda pia ila kwa jinsi unavyoeleza wewe kwa kweli ni njia ya kipekee kabisa, naomba Mungu ikipatikana hata bundles nitakutumia.
Asante sana mwalimu Mungu akubarikisana kwakipaji ulicho pewa na Mungu.Mimi naimba sauti ya 1)sprano 2) Tenor 3) artho.Mimi ni lijikuta Niko nahizo sauti,Mungu kaniumba nazo ila naitaji ujuzi ili nijue kuimba zaidi.Sijawahi pata mwalimu wakunifundisha,please nisaidie.Nakutegea kutoka USA.
Asante sana ndugu, naimba ya pili, ningeitaji kinadharia zaidi ktk swala la sauti ya kwanza (C3 -C6),ya pili (G3 -G5),ya Tatu (E2)na ya bass(F2) naitaji ufafanuzi wa note izo,
ndio, ukishajua sauti yako kupitia hiyo njia ya kitaalam tuliyojifunza, hata mazoezi yako binafsi ya uimbaji yapite humo humo kwenye Scales husika, sababu ukienda nje ya Scale husika unakuwa unaingia kwa sauti isiyoyako. Karibu tuendelee kujifunza.
Yes Mungu ni wa ajibu sana
na hafananishwi na chochote. Mungu ni wa ajabu zaidi
...na hafananishwi na kitu chochote. Mungu ni wa ajabu zaidi
Hongela sana mwalimu kumbe watu wa muziki mupo
Asante sana Mr. Wilson. ndio banah, tupo kabisa. Karibu.
@Joremimusic asante sana mwalimu, mimi ni mcheza kinanda pia ila kwa jinsi unavyoeleza wewe kwa kweli ni njia ya kipekee kabisa, naomba Mungu ikipatikana hata bundles nitakutumia.
Santee sana mwalimu, hii leo nimejitambua 🙏
safiiii
Asante Sana
Ah ahsant mwalim nimekusoma vizuri
Asante pia, Karibu sana
Namba yako tupeane Kaz mwalim
Asante
Ahsante kwa somo zuriiii...Ni kweli hatufananiiii.....
Asante sana Mttumishi wa Baba
Somo zuri sana mungu akubariki
Amen.
I can Soprano and alto
Mungu akubariki sana
Ahsante sana kuuelimisha ulimwengu wa muziki
Asante Sana pia ndg , karibu tuendelee kuwaelimisha waimbaji.
Vizuri sana mwalimu
Asante sana . Barikiwa
Asante sana mwalimu Mungu akubarikisana kwakipaji ulicho pewa na Mungu.Mimi naimba sauti ya 1)sprano 2) Tenor 3) artho.Mimi ni lijikuta Niko nahizo sauti,Mungu kaniumba nazo ila naitaji ujuzi ili nijue kuimba zaidi.Sijawahi pata mwalimu wakunifundisha,please nisaidie.Nakutegea kutoka USA.
Amen. Barikiwa zaidi. tuwasiliane +255 (0) 755 340 532 whatsapy
Ahsante sana. Nimegundua sauti yangu ni ya pili, lakini pia naweza kuimba bass.
Barikiwa sana, pia unaweza kujifunza zaidi
Asante sana ndugu, naimba ya pili, ningeitaji kinadharia zaidi ktk swala la sauti ya kwanza (C3 -C6),ya pili (G3 -G5),ya Tatu (E2)na ya bass(F2) naitaji ufafanuzi wa note izo,
tuwasiliane kwa hii namba +255 (0) 755 340 532
Shukrani 😂 nimeona nilivyomvaamizi
Karibu tujifunze zaidi
👍
Mimi mwaliley naimba sauti ya pili
Mm eduardi siji saut yang
Karibu darasani utaijua
Me happy sasita sauti yangu ni ya pili
Hongera Sana Happy, itunze vizuri Sauti yako.
Lakin nahitaji niweze kuimba sauti nzr yenye mtetemo nifanyeje napenda sana🙏
Naimba katika Kwaya ya mt.Fransisco exavery chuo cha serikali za mitaa Hombolo Dodoma
@@happysasita4649 usijali, kupitia Vocal Clinic utaweza bila shida yoyote, kwa msaada zaidi tuwasiliane hapa - whatsapy +255 755 340 532.
@@happysasita4649 okay, Vizuri saana, Karibu kwa mafunzo zaidi ya uimbaji.
Mm hii nisauti yangu
umegundua yako ni yangapi?
Mi Mwaliley naimba sauti ya pili
Hongera sana. Karibu tujifunze zaidi
Mim naimb saut y kwanz lakin naimb kw kupanik nifanyj IL niondokan na hii Hal
Karibu sana Janeth. tuwasiliane +255 755 340 532, kila kitu kinawezekana.
Mm Bado sijaijua sauti yangu l
ila natama tutu
okay, Mwl wako wa Sauti ndo anaweza kukuambia wewe unaimba Sauti ya ngapi kati ya zile NNE. au mtaalamu wa Sauti aliyekaribu na wewe.
ANTIPAS BENJAMIN
Sauti 3
ifanyishe mazoezi sahihi utashangaa maajabu ya Sauti ya Tatu..
Mi isack napenda sauti ya nne nifanyeje ili nijue kuimba
tuwasiliane 0755 340 532
Mimi elijah naimba sauti ya 3
Safi Sana. Pitia Solo la Utamu wa Sauti ya Tatu kujifunza zaidi Sauti ya Tatu.
Mimisauti inanichanganya nikiwa namtuanaimba nafata sautiyake nikiwa pekeyangu naomba nyingine sijuwinikwamini nisaidie nielewe sautiyangu
tatizo lako linatatulika, karibu 0755 340 532
Namimi lilishawahi kunikuta tatizo kama Hilo haswa ukute unaeimba nae anatoa sauti iliyoshiba kuliko wewe
mimi naimba saut ya tatu
safi sana, iendeleze kwa kufanya mazoezi sahihi
sasa mwalimu, mtu akishajuwa sauti yake, anatakiwa mazoezi ya uimbaji wake autumiye kwenye hizo scales tuu?
ndio, ukishajua sauti yako kupitia hiyo njia ya kitaalam tuliyojifunza, hata mazoezi yako binafsi ya uimbaji yapite humo humo kwenye Scales husika, sababu ukienda nje ya Scale husika unakuwa unaingia kwa sauti isiyoyako. Karibu tuendelee kujifunza.
camera man tuwe tunaona na alama za kinanda
sawa sawa,
Mimi nakwama kumalizia mwisho naimba frati
@@Kanyawela hilo ni tatizo la kukosa pumzi, inakubidi upate mazoezi sahii ya pumzi.
Mimi naimba frati nifanyeje kuimba bila frat?
inawezekana kabisa kuimba bila flat, kuna aina ya mazoezi ambayo yanaondoa hilo tatizo, endelea kufuatilia Masomo haya tutatatua hilo tatizo lako.
Mi Mwaliley naimba sauti ya pili
Mm eduardi siji saut yang