#VocalClinic
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Uimbaji Sauti Na Muziki.
Kwaya Part III. ''Utamu wa Sauti ya Tatu Katika Kwaya'' Sauti ya Tatu ni Tamu Sana. Karibu Darasani.
__________
Mtayarishaji Yusuph Johnson
Jrmi Studio.
Jrmi Music Shop.
Jrmi Music-24Hrs.
+255 (0) 755 340 532
__________
The Golden Harp Singers-TZ
follow: -open.spotify.c...
Mtumishiiiii,ubarikiwe kwa somo tamu km sauti ya 3.kwa kweli nitamu.
Amen Mtumishi, Barikiwa zaidi,
Ubarikiwe umenipa raha moyoni
Amen. Barikiwa zaidi
Mungu akubarika xan una uwezo mkubwa
Ameen. Barikiwa zaidi. karibu tujifunze wote.
Utamu wa sauti ya tatu. Asante sana mwalimu
Ufunzaji wako mzito sana
🎉Barikiwa ticha
Amen. Barikiwa zaidi
maneno mengi kuliko kufundisha
teacher unatamanisha sana na hiyo sauti
Jifunze hiyo sauti ,ni nzuri Sana
Huwa najaribu ila nyimbo za key ya juu huwa inanishinda
Mawasiliano Yako Tafadhali
0755 340 532
Nataka kuimba sauti yapili nitawazaje
inawezekana kabisa, tuwasiliane 0755 340 532.
Hapo kwenye tumia akili xaxa ndo unanichanganya kabixa
hiyo ni rahisi Sana,
Nakupataje mwalimu?
Mimi nipo Dar, Karibu
Mawasiliano yako ? Unapatikanaje kwenye mitandao ya kijamii
@@Joremimusic sehemu gan kaka
0755 340532
Tabata Segerea