SIKIA KINACHOTOKEA HUKO KUZIMU PALE WALOKOLE WANAPO OMBA.
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Siku ya tatu ya mkutano uliofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Tambuka Reli vilivyopo Singida Manyoni katika maadhimisho ya miaka 85 ya TAG Idara ya Uinjilisti
Amen mtumishi wa mungu nmebarikiwa na mafundisho Yako Leo🙏🙏
Bwana YESU azidi kukutunza sana sana mtumishi wa Mungu alie hai
Kwa kweli siboeki kamwe kukuskiza mtumishi wa Mungu...kujifunza pia,Mungu azidi kukubariki na kukupigania🙏
nabarikiwa sana na neno lako Mtumshi Mungu azid kukuweka dunian ili tuzid kushuhudia matendo ya Bwana yalivyo makuu hakika Mungu amekutuma wewe Ameeen 🙏🙏
Baba MUNGU akubariki nabarikiwa sana na injili Yako,uishi Kwa utukufu wa MUNGU afya idumu kwako amen
Hakika Mungu ni mkuu hafananishwi na chochote.
Barikiwa pastor kwa injili iliyo hai
Bwana YESU akubariki sana mtumishi Kwa neno
Shukrani baba mcungaji. MUNGU akuzidishie upako
Mchungaji Amiel Bwana Mungu akubariki Sana,injili yako na ipenda sana.ubarikiwe kabisa
Mtumish ubarikiwe san kwa kazi njema ya bwana unayoifanya AMEEN AMEEN from 🇰🇪
Mbarikiwe sana TAG wezangu naipenda injili njemaa yetu ni njema sanaaaa!!!!❤❤
Unanikumbusha wakati fulani nilikuwa na vita kubwa sana na mtu wa free mason, walinishambulia kwenye ndoto ila nikawashinda kisha nikasikia mmoja wako alisema huyu tumfanye abackslide ndio tumweze. Hapo ninajua kumbe shetani atakuweza tu ikiwa haujasimama vema katika wokovu wako.nilijifunza kutengeneza na Mungu wangu kila siku.
Ameni ni kweli hao watu ni hatali sana ILA YESU NI KIBOKO YAO
Yesu ni dawa
Asante kwa neno zuri mno
Mungu atusaidie yaani kukaa vizuri na Mungu ni jambo la maana sana
Hongera Sana
Hallelujah napenda jina Yesu jina Hilo Lina nguvu sana mapepo wakisikia hio jina wanasarenda praise God
Bwana Yesu asifiwe asante mtumishi wa Mungu kwa kutuvusha namshukuru Mungu nimepona kwa sababu niko na Yesu kristo jamn me shetan alikuwa amenikamata nikaumwa vidonda vya tumbo kumbe vilikuwa vy kipepo lakini ahimidiwe Bwana Yesu mpaka sasa siwemwi tena hilo gonjwa kwasababu nina Yesu kristo ambaye yuko ndani yangu
Uyo yesuuuuu uyomwana wimana yadufiriyekumusaraba jewe ndamuvuga hose yaranyemeje aminaaa
Ubarikiwe mtumishi wa mungu aliye hai.
Mungu akubariki
Ok pastor
Amen,,Nabarikiwa na mafundisho Yako ...Maana Siri hizi nilikuwa sizijui ,,,Ah M ungu ni. Mwema
Amen in Jesus name thanks my deer Fred.
Asante Kwa kutufundisha ili tutoke Kwa vifungo vya dini
Ushuhuda umenijenga sana aisee!
nakuerewa sana mtumishi karibu nahuku kibaigwa wirayani kongwa
Ubarikiwe mtumishi nabarikiwa sana nawee
Amen hongereni sana Kwa Injili ya YESU
Amina, mchungaji Mungu akubariki kwa kutupa siri za adui
Hongera mtumishi, kumbe ww ni muha💞💞ulakoze
Mungu akubariki mtumishi nabarikiwa sana nikiwa kenya
Ameni Mungu akubariki mtunmishi WA Mungu.
Mungu akubariki sana Mchungaji Yesu amekuokoa kwa kusudi lake zidi kutumika kwake unatufundisha ya sirini
Yesu aratabara Hallelujah
Asante amieli katekela mungu akubaliki
Komando wa YESU umependeza SANA na mavazi YAKO. Umebarikiwa na familia YAKO.
Hallelujah napenda jina yesu, jina na nguvu zote
Hongera kwa kumtambulisha kristo Yesu
Mungu akubariki sana karibu mlimba❤
Sabini na tisa tuli omba Mungu afanye miujija kwa kufungua watu wa mefungwa na shetani ha tu kujua kama tu tapataji sa ushida huu umenipa jibu Mungu apewe sifa na utukufu ju ya ushida huu
Mungu akubariki sana Mch
Ahsante yesu kwa damu yako ya samani
AMINA KUBWA ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU
Amen mtumishi wa Mungu watu hatutaki kusoma Neno Ili tupate nguvu ilioko kwenye Neno Mungu Akubariki sana sana uendelee kutututoa kwenye ujinga wa kuamini mafuta kuliko nguvu ya Mungu iliotuokoa
Karibu Mbeya Mtumishi
Amen AMEN nimebarikiwa sana kwa mafundisho yako Mtumishi wa Mungu tafadhali naomba nambari yako ya simu Mtumishi Katekela maana nasumbuliwa sana na pressure kwa miaka kadhaa ningependa kuomba pamoja nawe please
Kumbe unajua na Kirundi ndamutinya ubarikiwe sana mutumishi wa Mungu
Mahubiri yako ni mazuri sana kwangu nabarikiwa sana
Mbarikiwe sana watumishi wamungu
Hallelujah amen amen amen amen
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu
Ameen.True Gosple
Bwana Yesu atukuzwe sanaaa.
Ubarikiwe mtumishi
Amina mtumishi wa Mungu
Amen yesu akubaliki sana
Ushuhuda wako mtumishi nauelewa sana,ingawa sijafika huko ulikokuwa,mimi Yesu ameniokoa sana.
Ubalikiwe mtumishi wa mungu
Ubarikiwee sana
Ameen and ameen be blessed
Asante Sana mtumishi Kwa ujumbe mzuri
Sasa mutumishi mbona🎉warikata mudawakuomba bado haujatu ombeya kwakusimamisha nyota naminiritamanikuombewa nakudayi uniombeye MUNGU akuongoze
Bwana Yesu asifiwe. MCHJ AMIELI KATEKELA NAKUAMINIA KABISA MUDA MREFU. HERI YA PASAKA 2024
MUNGU awabariki kwa injili
Mungua Akubariki baka siku yamwisho ubate uzima wa milele
Ujumbe wako ni mzito sana❤❤❤❤❤
Ndio mwanaume mumoja tu aliyeshinda kifo na mauti,mwamba wa miamba,ubarikiwe pasta
Nakupata baba
Mtumish karibu dodoma
Jina la Bwana Yesu libarikiwe
Ameen
Haku kaa hapo birikani miak38. Alikua naugojwa nda ya mwili wake kwa miaka 38. Wewe soma Bibilia il uelewe.
Una shida naona
Karibu kambini kambiyawarundi kibondo
AMEN🎉🎉🎉🎉🎉
Amen 🙏
Amina mtumishi
Ume ni fulahisha ume changanya kiha na ki swahili ubalikie sana
AMEN
Nasema Amina kubwaa
Karibu Kenya,
Natamani kukusikia ana kwa ana karibu kwetu voi Kenya
Habari ya mjini ni kuokoka
Aleluyaaaah muchungaji.... Ubarikiwe
Ila usiwe unatoka kutenda dhambi kisha uitishe huo moto, utachomeka mwenyewe.
Jamani napataje namba ya huyu mtumishi
Amen
AMENI MT.WA MUNGU
Aminaaaaa
Huyo,mimi bado nina shaka naye!
Mafundisho yake ya kinyota nyota,na za kimajini majini!
Huyu,aendelee kufundishwa Imani hii,bado anachanganya maneno.
Pole ata biblia imesema weng wataskia lakini awatahamini..
@@ScolaMwanjoka Hujui unachokisema
Amina
ameen Bwana yesu abewasifa
Hakika ni muda mrefu
Ameeeen
MUNGU ukurinde na akubebe
amenii
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Amieli ushuhuda wako umenitoa machoz
Amenii kubwa
Jaman mwezenu naombeni namba ya mchungaji nimechoka naaya mateso.
Nitumie yakwako mimi pia takusaidia
Nenda mwaya promova tv utapata namba yake
Pole sana MUNGU AKUSAIDIE NA KUKUVUSHA NA YOTE
Baba yangu anateseka kitandani naomben namba ya katekela 😢
Pole saana
Aminaaaa!! Hakika Yesu ni Bwana.
.uwe munatuombeya nasisi tunahomba msahada
We