Hii ndio injili ya kweli wachungaji na manabii wa skuizi wanakazana kuhubiri miujiza na utajiri hawaambii watu waache dhambi. Hongera sana baba gwajima ❤
🇹🇿ASKOFU GWAJIMA ANA MAARIFA NA MAFUNUO MAKUBWA SANA BAADHI YA HAYA ANAYOYASEMA MWL MWAKASEGE ALIONGEAGA HII MIAKA MICHACHE ILIYOPITA KWENYE MASOMO YAKE NI UNABII UNATHIBITIKA, BIBLIA INASEMA KWA VINYWA VYA MASHAHIDI WAWILI WATATU NENO LINATHIBITIKA..
@oprahpelle2531 HAPO HAUSIKII? JIFUNZE KUPOKEA NA KUMKUBALI ROHO ANAYOONGEA SIYO MTU ANAYEONGEA, ACHA ROHO YA UDHEHEBU WEKA IMANI YAKO KWENYE NENO SI WANADAMU. HAUTAJIBIWA!
@@remmyalfred6736kaomba sio kwa ubaya ili ata na yeye ajifunze zaidi , neno sineno tu! Halibadiliki. Kwaio kama unakumbuka Io clip tusanue ili tuwaubirie wengine.
Asiwadanganye ufunuo niunabii unaeleza ukweli hizi story Ufunuo wa Yohana 1 7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Amina Mtumishi wa Mungu,ubarikiwe sana kw kutulisha neno la uhai, washirika wako wako na raha sana, wanakula chakula kizuri cha kiroho, napenda mafundisho yako sana mungu akuinue zaidi na zaidi wkenya tunakupenda sana kw mafundisho yako inatuinua hatua baada y hatua❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤
Injili ya kweli kabisa,unyakuo upo karibuni sana,maana watakao sikia parapanda ni wale watakaonyakuliwa,waovu awatasikia wala kuona sasa kanisa linatakiwa kurudi kwenye toba ya kweli na kufanya kazi za kwanza
SOMENI biblia hakuna unyakuo biblia ipo wazi Ufunuo wa Yohana 1 7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Ww gwajima tubia kwa m,Mungu na hilo kanisa liwe kanisa lakunyakuliwa kweli maisha ya shetani ni mafupi sana naww unaijua kweli bac ifuate kweli ikuweke huru usiwapotoshe watu
That's a wonderful revelation man of God.May God keep on giving you more revelations about the second coming of the Lord Jesus or we can say the rapture of the holy people.
Asikudanganye Ufunuo wa Yohana 1 7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Ufunuo wa Yohana 1 7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Ufunuo wa Yohana 1 7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Mtumishi wa Mungu amefundisha vizuri sana Mungu ambariki sana sana nahisi atakuwa amesahau huu mstari unaomuhusu yule tajiri katika Luka kuwa kuzimu kuna moto jina jingine panaitwa jehanum soma katika Luka 16:19-24 kwenye mstari wa 24 mwishoni utaona tajiri anavyosema ninateswa katika moto huu.
Kwa mamlaka ya jina la Yesu Kristo sitokosa unyakuo kwa uweza wa Roho mtakatifu. Ninatangaza nitatimiza makusudi ya Mungu duniani nitaishi maisha ya ushindi, ya uwezo, ya utakatifu na ya nguvu za Roho mtakatifu siku zote mpaka naingia mbinguni. Nakataa kupotea na kuhukumiwa kwa sababu ya dhambi yoyote hapa duniani siku zote kwa mamlaka ya jina la Yesu Kristo.
Ufunuo wa Yohana 1 7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Hakuna anaweza kufundisha kitabu Cha UFUNUO isipokuwa ni yule pekee Aliyeahidiwa na MUNGU na YESU kufundisha ndiye anaweza kufundisha kitabu Cha UFUNUO.
Ufunuo wa Yohana 1 7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
YESU atakakuja kunyakua walio wake hatakanyaga ardhi ila watakatifu watavikwa uwezo na ROHO MTAKATIFU wa kupaa na kumlaki YESU mawinguni mara ya pili YESU atakuja kuhukumu wazima na wafu
Hujasoma kwenye Ezekieli kwamba watu wote wataenda kila mwaka kwa Mfalme Mkuu (Yerusalemu) mwaka hata mwaka? Yesu ataishi hapa Duniani ndipo itatokea vita ya Armageddon. Endelea kusoma ujifunze
Usiandike Mungu kwa herufi ndogo zote ukiandika mungu hiivi ni shetani, mapepo na wakuu wote wa giza. Soma Onyo ndani ya Biblia sehemu ya Dibaji ( utangulizi)
Jidanganye tu, tumejipamba tokea ndani hadi nje japo mapambo ya rohoni ni tofauti na mapambo ya nje. Acheni kutafsiri neno la Mungu vibaya. Twajipamba kwa dhahabu na silver( fedha) vya Baba yetu Mungu wa mbinguni
This is one of the best eschatological explanation ever...Many grace to the man of God
Hii ndio injili ya kweli wachungaji na manabii wa skuizi wanakazana kuhubiri miujiza na utajiri hawaambii watu waache dhambi. Hongera sana baba gwajima ❤
Miujiza pia ni sehemu ya injili
@@gregorykihiyomiujiza ni matokeo na sio injili maana hata shetani anaweza fanya miujiza tena yakutisha ndugu ila hana uwezo wa kuinjili
@@elinamadalali1800 kweli kabisa
Hata wafoasi wa yesu wote aliwanasa kwamiujiza
Hata kabla ya yesu kina eliana waliwapata watu kwa miujiza na neno,linaanza Neno na neno likaleta miujiza na watu wakaamini
Hili ndilo neno la MUNGU lenyewe.Mungu wangu nisaidie sitaki kukosa huo unyakuo.Ewe Mwenye enzi MUNGU MKUU tutee kanisa lako.
Tenda mambo mema na ufate kanuni za Mungu
@@emmanuelmtwale4365 kanuni za Mungu ni zipi
Nakupenda sana mtumishi wa MUNGU josephat gwajima , Asante kwa kutufundisha maarifa ya MUNGU wetu.
"It will happen, it's matter of time only because all the signs are already here"
Yesu wangu naomba nimalize salama
HALLLELUYAH
NIMEFARIJIKA SANA
🇹🇿ASKOFU GWAJIMA ANA MAARIFA NA MAFUNUO MAKUBWA SANA BAADHI YA HAYA ANAYOYASEMA MWL MWAKASEGE ALIONGEAGA HII MIAKA MICHACHE ILIYOPITA KWENYE MASOMO YAKE NI UNABII UNATHIBITIKA, BIBLIA INASEMA KWA VINYWA VYA MASHAHIDI WAWILI WATATU NENO LINATHIBITIKA..
UNAWEZA NISAIDIA KICHWA CHA HIO VIDEO YA MWAKASEGE ILI NIPATE KUSIKIA MTUMISHI
@oprahpelle2531 HAPO HAUSIKII? JIFUNZE KUPOKEA NA KUMKUBALI ROHO ANAYOONGEA SIYO MTU ANAYEONGEA, ACHA ROHO YA UDHEHEBU WEKA IMANI YAKO KWENYE NENO SI WANADAMU. HAUTAJIBIWA!
Msaidie jina la somo mbona imeandikwa qakuombaye mpe?@@remmyalfred6736
@@remmyalfred6736kaomba sio kwa ubaya ili ata na yeye ajifunze zaidi , neno sineno tu! Halibadiliki. Kwaio kama unakumbuka Io clip tusanue ili tuwaubirie wengine.
@@remmyalfred6736 Ameni jibu sahihi mtumishi
Eee mungu tusaidie watumishi wako 🙏 ubalikiwe mchungaji kwa kunena na kusema kweli ya mungu
Wapendwa kama unaufahamu wa kiMungu msikilize ngwajima vizuri
Namsikiliza.
Watu saizi wapo busy na mpira na starehe.
Baadae watayakumbuka maneno haya
AMEEEN NI KWELI KABISA MTU WA MUNGU!🫡
Amen sana....Nimependezwa sana na Somo na Mafundisho ,Barikiwa sana
Haya ni maneno ya kweli.Hata wanaopagawa mapepo yanakiri kuiogopa siku ya kurudi YESU.
Asiwadanganye ufunuo niunabii unaeleza ukweli hizi story Ufunuo wa Yohana 1
7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Amina Mtumishi wa Mungu,ubarikiwe sana kw kutulisha neno la uhai, washirika wako wako na raha sana, wanakula chakula kizuri cha kiroho, napenda mafundisho yako sana mungu akuinue zaidi na zaidi wkenya tunakupenda sana kw mafundisho yako inatuinua hatua baada y hatua❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤
Nineelewa vizuri Mungu akubariki Mch Gwajima
Injili ya kweli kabisa,unyakuo upo karibuni sana,maana watakao sikia parapanda ni wale watakaonyakuliwa,waovu awatasikia wala kuona sasa kanisa linatakiwa kurudi kwenye toba ya kweli na kufanya kazi za kwanza
SOMENI biblia hakuna unyakuo biblia ipo wazi Ufunuo wa Yohana 1
7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Soma vizuri biblia kijana....hapo ni mara ya pili.
Watu wa Mungu tuache ushabiki wa neno tusome maandiko ktk roho wa kweli kila mtu
Askofu uko vzuri sana, upeo mkubwa. Siasa inakulostisha
Ww gwajima tubia kwa m,Mungu na hilo kanisa liwe kanisa lakunyakuliwa kweli maisha ya shetani ni mafupi sana naww unaijua kweli bac ifuate kweli ikuweke huru usiwapotoshe watu
@@mohamedikinu9502 kweli kabisa yani
Usipambane na ngwajima msikilize mwambie Mungu akupe ufunuo wa hili mtu wa Mungu
Amen Amen ❤❤. Nafungua malango ya kufanya mapenzi ya MUNGU Ili niingie mbinguni.
Hii Dio injili kanisa linaitaji .liache salakasi
Amen unakitu cha kimungu baba nmejifunza mengi kwako na unanilea kiroho sana
Asante kwa somo nimeelewa .ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo wa Nazareti
That's a wonderful revelation man of God.May God keep on giving you more revelations about the second coming of the Lord Jesus or we can say the rapture of the holy people.
Somo zuri sana...Mungu atusaidie tuache mzahamzaha na neema ya Mungu
❤❤❤❤❤nataka niende na Meli y kwadza, mungu awabariki sana ❤❤❤❤
Hakika Leo nimekuelewa zaidi mtumishi.mafuta mapya yawe juu yako Askofu. Mor blessings
Asikudanganye Ufunuo wa Yohana 1
7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Ubarikiwe Sana baba unafudisha vizuri sana.. Ubarikiwe na penda mafudisho ya siku zamwisho
Thank you prophet gwajima I believe you teaching aweke my mind........
Amen tutakaa pamoja na Mwana Kondoo wa Mungu aliye hayi.
Hallelujah, hakika Mwenyezi - Mungu akubariki kwa mafunuo zaidi
Wakati huu mafundisho Kama haya ni machache sana na wanapigwa vita sana mungu akubariki sana mchungaji uliyo yasema yote ni kweli na hakika
Asante sana Gwajima Kwa wokovu ulionipa AMEN AMEN 🙏🙏🙏
Wokovu upo kwa Yesu pekee sio kwa mtu, ungesema kwa kukufundisha njia ya wokovu sio kukupa wokovu
Unaanza abudu gwajima, bado huja okoka
Eee Mwenyezi MUNGU nisaidie nimarize mwendo salama 🙏🙏
Amiina thanks for the wonderful massage glory glory hallelujah
Ufunuo wa Yohana 1
7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Daah askofu umejua kufundisha ufunuo yote kwa wepesi sana
Napenda sana jinsi alivyo sema, sikiliza wewe utakaye bakia kila mtu anajua maisha yake anavyo hishi mbele za Mungu na siwezi kuwatia moyo. 😂😂😂
Nimekuelewa Sanaa Mtumishi wa Mungu Gwaj Boy
Ufunuo wa Yohana 1
7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Asante sana Baba Askofu
Amen baba neno ili ni kweli tupu haina ubishi ❤
Asante mtumishi kuifundisha kweli. Siyo watumishi wanapotosha wakristo hawajui hata Yesu akujaje? Eti atapitia Airport na kupanda magari yao.
Mungu akubariki pasta
MUNGU akubariki sana muchunga, Emmanuel Jefwa ktk Lamu Kenya
@@jefwakalama4336 amina
Aminaaa mtumishi asanteee Kwa kutusaidia Kwa mafunisho mazuri
Its almost gonna happen..😢 niwezeshe Mungu niwe miongoni mwa watakaonyakuliwa
Mtumishi wa Mungu amefundisha vizuri sana Mungu ambariki sana sana nahisi atakuwa amesahau huu mstari unaomuhusu yule tajiri katika Luka kuwa kuzimu kuna moto jina jingine panaitwa jehanum soma katika Luka 16:19-24 kwenye mstari wa 24 mwishoni utaona tajiri anavyosema ninateswa katika moto huu.
Umenisaidia SANA. MAANA mafundisha somo Hilo.Thanks a great.Uishi milele mtumishi wa Mungu Dr Gwagima THANKS.
Unaanzia kenya💯🙇🏾♂️
Mchungaji wa ukweli kabisa,father Gwajima,nimefarijika na injiri nzuri!!
Kweli kabisa baba🎉🎉🎉🎉
Kwa mamlaka ya jina la Yesu Kristo sitokosa unyakuo kwa uweza wa Roho mtakatifu. Ninatangaza nitatimiza makusudi ya Mungu duniani nitaishi maisha ya ushindi, ya uwezo, ya utakatifu na ya nguvu za Roho mtakatifu siku zote mpaka naingia mbinguni. Nakataa kupotea na kuhukumiwa kwa sababu ya dhambi yoyote hapa duniani siku zote kwa mamlaka ya jina la Yesu Kristo.
Ameen Neno limejaa baraka na Ufunuo Mkubwa, Yesu tujalie Mwisho Mwema Ameen
Ufunuo wa Yohana 1
7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Preach man of GOD! Preach 🙏🙏🙏
Asante Sana Baba kwa mafunuo
YESU nikumbuke utakapokuja kuchukua wateule wako ...Ameen.
Nimekwelewa sana Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu.
Mungu akubariki Gwajima
Ameeeeni mungu najuwa amekuokoa upya kwa sasa watu unawalisha chakula sahihi mungu akubarik sana gwaji boy
Mkuu Mungu anakila mtu wa kila aina usimwangalie yeye sikiliza ujifunze pambania roho yako
very powerful words ❤
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Barikiwa Sana Mtumishi wa MUNGU
NENO lilo KUU, LIMETOKA KWA BWANA YESU. UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU.
ATAZAMAE NA AFAHAMU.
Asante Sana MTU wa MUNGU alie ysana
Hakuna anaweza kufundisha kitabu Cha UFUNUO isipokuwa ni yule pekee Aliyeahidiwa na MUNGU na YESU kufundisha ndiye anaweza kufundisha kitabu Cha UFUNUO.
Nisaidie Bwana niumalize mwendo salama
Truth which is not known or neglected. Thank you !
Asante sana mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki uonyeshe watu njia wasipotee
Mungu akubariki Mchungaji
Injili nzuri san hii❤
Ufunuo wa Yohana 1
7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Bb askofu mahubiri yako yananifaa sana tena yanajenga sana imani yangu
Hakuna mahubiri ya mafanikio tena, isipokua mahubiri ya unyakuo wa kanisa. Maranathan
Yesu anakuja🥰😇
Ulitufungua.sana kipindi cha corona ,Mungu akujalie uishi siku nyingi
YESU atakakuja kunyakua walio wake hatakanyaga ardhi ila watakatifu watavikwa uwezo na ROHO MTAKATIFU wa kupaa na kumlaki YESU mawinguni mara ya pili YESU atakuja kuhukumu wazima na wafu
Soma Daniel
U mchanga kiroho wewe, usikomenti tena ujinga
Hujasoma kwenye Ezekieli kwamba watu wote wataenda kila mwaka kwa Mfalme Mkuu (Yerusalemu) mwaka hata mwaka? Yesu ataishi hapa Duniani ndipo itatokea vita ya Armageddon. Endelea kusoma ujifunze
Nawe si ufundishe watu?usipandie mafundisho ya wengine
Ninajisikia furaha nyingi sana
Safi sana mtumishi
Gwajima ankuwaga na nondo sana
mtumishi bana unatutisha asee
Nimekuelewa leo. Ubarikiwe
Mwl mwakasege alishasema hayo siku mingi,pia ni sahihi askofu Gwajima kurudia kutukumbusha
Mbona Askofu asomi neno la Mungu....mada ni nyeti lakini bila kusoma neno hayo yote ni urongo...hakuna unyakuo wa kiroho
Natamani sana kama ungekuwa na radio yako au tv. Mahubiri haya ni nyeti sanaa..
Tv inaitwa Rudisha tv
Iko kingamuzi ganin@@LisaKavura
Nyeti sanaaaaa mno yani Mwenye masikio na asikie
Kumbe ana TV@@LisaKavura
Nakuelewa sana mtumishi
Asante sana!
Mungu akubariki mutumishi Amen
Ubarikiwepast karibuni yanaendatimia
YESU tusaidie uikute Imani🙏🏾
Usiandike Mungu kwa herufi ndogo zote ukiandika mungu hiivi ni shetani, mapepo na wakuu wote wa giza. Soma Onyo ndani ya Biblia sehemu ya Dibaji ( utangulizi)
Eee Mungu wangu nakuomba baba unisaidie niwe miongoni wa watakaonyakuliwa😥
Mtumishi Wa Mungu Ubarikiwe na tuwe pamoja Siku ya unyakuo.
Mngu ukuongezee siku nyingi za kuishi ili uweze kutufundisha injili iliyo kweli mngu ukubaliki sanaa mtumishi
Jidanganye tu, tumejipamba tokea ndani hadi nje japo mapambo ya rohoni ni tofauti na mapambo ya nje. Acheni kutafsiri neno la Mungu vibaya. Twajipamba kwa dhahabu na silver( fedha) vya Baba yetu Mungu wa mbinguni
Mungu akupe kunena kweli mpaka siku ya mwisho ukavikwe Taji ya uzima nakupenda bulebule
Hii nimeipenda
Amina Amina. Haya ni mambo ya Muhimu KABISA.
Amini nawaambieni HILI NENO NI LA KWELI hapo anaongea toka Rohoni na unyakuo upo OLE WATAKAOBAKI KTK UNYAKUO
Yesu tusaidie
Amina baba nimeelewa sana
Ki msingi Mimi hata chanjo ya Corona sikuchanja kwasababu ya gwajima
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Shikamoo gwajima
Lakini sahii ni wazi ya kwamba chanjo sio alama ya mnyama.
Chanjo pia sio salama 😂@@daviesskipesha1351
Amina ubalikiwe mno
Mimi naondoka na unyakuo wa kwanza katika jina la yesu kristo amenities