Bwana Yesu asifiwe promover,ninabarikiwa zaidi kwa huu huduma, naomba kuhuliza swali kwa mtumishi wa Mungu Kate Kela,nilipoteza bibi yangu 2011 na alipo kufa alinitokea na kuniambia sijekufa naomba unisaidie mwambie mama yako,na mashishi ilipo isha alishinda akinitokea mara kwa mara akiniambia penye niko nimefungiwa naomba umwambie mama yako munisaidie sijekufa na kama auamini fukueni kaburi,so nilipo sema nikaambia maiti aina usiano na mtu aliye hai ,iyo kitu inanisumbua adi wa leo
Pastor naomba watumishi wasaidieni sana wanaume wezenu wafike mbinguni,wengi wenu mnaona wanawake ndio wanaopitia sana mateso kuliko wanaume,kumbe hata mwanaume kuisumbua familia yake naye nafsi imekamatwa,wasaidien wanaume wezenu wafike mbinguni kwa kuzikomboa nafsi zao kutumikishwa nje ya familia, Mungu awasaidie sana watumishi wa Mungu juu ya hili kuwaambia wanaume wezenu kuwa mbinguni ni kwa watakatifu kwa wanawake na wanaume, Yote kwa yote ubarikiwe sana, huduma yako ni njema,jaribu tu kuufanyia ushaur wang kazi
Hakika barikiwa sana kwa somo hili la nafsi. Nimebarkiwa sana na mafundisho yako ninajifunza vitu vingi sana. Endelea kufundisha ma kuwafungua watu. Tunakuombea Mwenyezi Mungu aendelee kukutumia kuwaleta wat kwa Yesu Kristo wa Nazareth.
Bwana Yesu asifiwe mpendwa, ni kweli sisi wote atuko wakamilifu ila nilikuja kukundua kwamba shetani akiona unatenda mapenzi ya Mungu, anafanya juu chini akuangamize, kwa hiyo basi, kabla ujeomba jaribu kuimba wimbo za kumsifu Mungu imba 5min ama 10min alafu omba sasa utaona bingu ikifunguka, unapo worship unaita Roho wa Mungu ili afungue njia ya usima, barikiwa zaidi mtumishi wa Mungu, usikate tamaa Yesu Yu karibu nawe
Najua sifai lakini pastar natamani nifunguliwe Mimi nilikamatwa sina mbele ama nyuma tangu kuzaliwa nimechoka na mzigo wa shetani na Niko kenya sijui nifanye nini natamani kufunguliwa
I have been following up this message and I have been struggling spiritually,I no longer pray,when I plan my plans never go through,I struggle a lot... Mpaka sielewi what is happening am in Kenya pastor naomba nambari yako
Bwana asifiwe sana mimi huwa naota ndoto mara naibiwa simu na waizi mara niliota nyumba imewaka moto na glass imejaa kila mahali lakini hakuna hata mmoja aliyefariki na ndugu yangu mwenye amekufa pia alikuwa na watoto wangu ndani ya hiyo nyumba ambaye imebaki chuma tu imesimama wako hai
Mungu atusaidie sana unakarama ya maombi kipawa cha kuomba kinawindwa kukamatwa ktk nafsi yako ili uharibifu uje utokee ktk maisha yako endelea kuomba ushinde
Mungu akubariki sana na damu ya YESU ikufunike hata sisi wakimbizi wakigoma tunakuombeya kwajiri umetufumbuwa macho bwana afanyekazi ndaniyako
Ameeeeeen, barikiwasana mtumishi wa Mungu.Mungu akuongezenguvu Mara dufu ya kumuaibisha mwovu shetan.Ubarikiwesana na Mungu akupe mwishomzuri.
Amen mungu akubariki sana mtumishi
Hongereni sana Promover tv kwa maono haya na kumwibua mc Katekela kuwafunulia watu maisha yao. Mungu atusaie
Amen mtumishi naitwa Jane Toka malawi umenibadilisha kiloho
Bwana Yesu asifiwe promover,ninabarikiwa zaidi kwa huu huduma, naomba kuhuliza swali kwa mtumishi wa Mungu Kate Kela,nilipoteza bibi yangu 2011 na alipo kufa alinitokea na kuniambia sijekufa naomba unisaidie mwambie mama yako,na mashishi ilipo isha alishinda akinitokea mara kwa mara akiniambia penye niko nimefungiwa naomba umwambie mama yako munisaidie sijekufa na kama auamini fukueni kaburi,so nilipo sema nikaambia maiti aina usiano na mtu aliye hai ,iyo kitu inanisumbua adi wa leo
Pastor naomba watumishi wasaidieni sana wanaume wezenu wafike mbinguni,wengi wenu mnaona wanawake ndio wanaopitia sana mateso kuliko wanaume,kumbe hata mwanaume kuisumbua familia yake naye nafsi imekamatwa,wasaidien wanaume wezenu wafike mbinguni kwa kuzikomboa nafsi zao kutumikishwa nje ya familia, Mungu awasaidie sana watumishi wa Mungu juu ya hili kuwaambia wanaume wezenu kuwa mbinguni ni kwa watakatifu kwa wanawake na wanaume,
Yote kwa yote ubarikiwe sana, huduma yako ni njema,jaribu tu kuufanyia ushaur wang kazi
Nawapenda sana promover, shuhuda za Katekela na Aston hakika nimekuwa mpya.
UBARIKIWE SANA MCHUNGAJI WETU
Hakika barikiwa sana kwa somo hili la nafsi. Nimebarkiwa sana na mafundisho yako ninajifunza vitu vingi sana. Endelea kufundisha ma kuwafungua watu. Tunakuombea Mwenyezi Mungu aendelee kukutumia kuwaleta wat kwa Yesu Kristo wa Nazareth.
Praise God mungu akubariki Sana kutuelimisa jane from Kenya nahitaji nguvu ya maobi na kusoma bibilia
Asante Mungu kwakunileta hapa Promover Mchungaji akiwa anahubiri live
Hakika Mungu ana kazi dunia ina mengi sana na ubinadamu bila wokovu ni bure
Amém mtumishi
Mtumishi wa Mungu mimi kila nikianza kuomba napiga miayoo shida inakuwa ni nin 😢
Bwana Yesu asifiwe mpendwa, ni kweli sisi wote atuko wakamilifu ila nilikuja kukundua kwamba shetani akiona unatenda mapenzi ya Mungu, anafanya juu chini akuangamize, kwa hiyo basi, kabla ujeomba jaribu kuimba wimbo za kumsifu Mungu imba 5min ama 10min alafu omba sasa utaona bingu ikifunguka, unapo worship unaita Roho wa Mungu ili afungue njia ya usima, barikiwa zaidi mtumishi wa Mungu, usikate tamaa Yesu Yu karibu nawe
Presence of holy spirit
Jiwe la yesu ,ni mwisho
Pastar Niko nairopi kenya
Amina mtumishi naweza pata anuani yako?
Ameen mungu aliye mbinguni akubariki sana azidi kukutia nguvu akupeleke viwango vya juu
Najua sifai lakini pastar natamani nifunguliwe Mimi nilikamatwa sina mbele ama nyuma tangu kuzaliwa nimechoka na mzigo wa shetani na Niko kenya sijui nifanye nini natamani kufunguliwa
Amen mungu akubarki san mtumishi kwa neno
Huu ujumbe umenisusa sana tena sana ,mana ndo Mapito ninayopitia
Amen
Amen, Barikiwa sanaa mtumishi wa Mungu
Umenisaidia sana mtumishi na Mungu akubariki
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Amen Amen.thanks mtumishi kwa ukombozi.umeandika vitabu?
Ameen pastor
Ameeen Ameeen Ameeen
Barikiwa sana tuko pamoja.
Ameeni
Duu kwel umewah kua jin😮
Alelujhaa❤
Mungu akubariki pastor na promover tv
Amene. Baba
AMEN 🙏
Ubarikiwe
Amen nabarikiwa
Tufundishe Mtumishi tupone
AMEN AMEN
Ameeeeen
Hii ya leo kubwa
amen
Asant nimejua ukweri anbarikiwe muchugaji huyo
Napokea ukombozi huu kwa jina la Yesu Kristo
Mch katekella kama una ziara za injili mikoani naomba tuwasiliane uje ata uku kweny kanisa letu
I have been following up this message and I have been struggling spiritually,I no longer pray,when I plan my plans never go through,I struggle a lot... Mpaka sielewi what is happening am in Kenya pastor naomba nambari yako
Promover hebu mtafuteni Omar yule mwalimu wa Katekella naye atoe ushuhuda wake jamani maana haya mambo ni mazito sana
Omari myasheni au
🙏🙏🙏💪
Amen BWANA YESU anaweza
Plz help me sisi tulikamatwa
Bwana asifiwe sana mimi huwa naota ndoto mara naibiwa simu na waizi mara niliota nyumba imewaka moto na glass imejaa kila mahali lakini hakuna hata mmoja aliyefariki na ndugu yangu mwenye amekufa pia alikuwa na watoto wangu ndani ya hiyo nyumba ambaye imebaki chuma tu imesimama wako hai
Mungu atusaidie sana unakarama ya maombi kipawa cha kuomba kinawindwa kukamatwa ktk nafsi yako ili uharibifu uje utokee ktk maisha yako endelea kuomba ushinde
⁰
🙌
Amen amen amen Mtumishi wa Mungu ubarikiwe
Pastar ni Sadie natamani mtoto Nina miaka 38
Mchg katekela mbona hupokei simuu
nenda kanisani kwake,,watumishi waba rtib ngumu za maombi mikutano na semina
Jamaani tunapataje namba ya mchungaji??
Kama bundi tena eeeee katoriki jamani
Promover hiki kipind cha mchungaj Katekela ni kizur sana ila hamkumalizia had mwisho kama kuna clip nyingine mtuletee tunajifunza mengi
Kaka jactan mtumishi katekela bado yupo Dsm kanisa gani? nahitaji sana vitabu kaka angu
Hapana alishatoka Dar, wasiliana nasi kwa What'sApp upate vitabu
@@PromovertvTz sawa asante sana
Na sasa mchugaji nauliza ivi? Na mtu akichukuliwa msukule aneza rudiswa tena nawatu wake, nijibu tafadhali
Mtumishi ana vitabu vya maombi?
Amen 🙏
Pastor nikona wewe nafwatilia sana mafundisho Yako nigependa niwe nawe unamafundisho mazuri Mimi ni Zambia
Mungu wa mbinguni awabariki sana.