VITU VIDOGO VINAVYOSABABISHA KUZIMU KULITAFUNA KANISA BILA KUTARAJIWA "Acheni ushabiki"|Mch.Katekela

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.13322701
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 48

  • @verroallex9144
    @verroallex9144 Місяць тому +3

    Bwana Yesu ni Mshindi. Ni mshindi ni mshindi. Tutashinda na zaidi ya kushinda kwa Yeye aliyetupenda.

  • @judyokumu8439
    @judyokumu8439 Місяць тому +2

    Amen aaamen, mbarikiwe sana watumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo.nilikua pia naomba kama mnaweza achilia ujumbe wa Bwana wetu Yesu Kristo uendelee mpaka maombi yatakapoishia tafadhali... Asanteni sana love from Kenya 🇰🇪

  • @elinemakundi5011
    @elinemakundi5011 Місяць тому +12

    Promover kwa jina la Yesu, msikate maombi, ni kosa kubwa mnafanya bila kujua, rudisheni maombi, neno bila maombi ni kz bure

    • @Bénigne-k4x
      @Bénigne-k4x Місяць тому +2

      Kama walikata maombi,ww weka maombi unasema usochokjuw,tuko kwenye mafu ndisho nakufichuliwa Siri za yule mwovu,kingine kusema Katekela aannze kusema chochote anakuwa Alianza maombezi kwanza watu mko vipi

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee Місяць тому +2

      Changieni MB maana ni gharama kurusha

    • @ommylax7231
      @ommylax7231 Місяць тому

      ​Kwani tunao anagalia tunaangalia bulee? Hujui kitendo cha sisi kuingia tu na kuksikiliza basi mwenye hii account anaingiza pesa? Think about that​@@RubenMtuwaMungu-bz8ee

    • @servantofgod4340
      @servantofgod4340 Місяць тому +1

      Hata Mimi nawashangaa. Utakuta umesikiliza najiandaa kwenye maombi nashangaa imekata. Yani wanakuelezea ugonjwa alafu wanakunyima dawa

    • @elinemakundi5011
      @elinemakundi5011 Місяць тому +1

      @@RubenMtuwaMungu-bz8ee acha hizo kaka ulijuaje km atuchangii?cc ni marafiki wa baba Mchungaji tunachangia km ujui jua leo, tu apoona udhaifu lzm tuseme, kwa tarifa yko wameshajirekebisha wewe baki hivyo hivyo maombi ni lazima baada ya neno

  • @tumainsanga7014
    @tumainsanga7014 Місяць тому +3

    Ubarikiwe sana mtumishi umetufumbua sana macho Yesu aendelee kukuweka.

  • @leticiamakoye4871
    @leticiamakoye4871 Місяць тому +3

    Ubarikiwe kamanda wa YESU kiristo wa nazaleti. BWANA YESU kiristo akutunze na jamii yako

  • @anneanji4818
    @anneanji4818 9 днів тому +1

    Amen

  • @HappyPaul-nj9ri
    @HappyPaul-nj9ri Місяць тому +2

    Njoo manyara mtu wa Mungu lini utaikumbuka manyara

  • @user-zw9cd9hc6l
    @user-zw9cd9hc6l Місяць тому +2

    Asante sana Kwa neno

  • @MariaMlenda-mv1yh
    @MariaMlenda-mv1yh Місяць тому +1

    Asante uko sawa mtumishi wa mungu ubarikiwe saaana.

  • @OctavinaTarimo
    @OctavinaTarimo Місяць тому +2

    Be blessed a true servant of God.

  • @pastormichaelkayombopendec2497
    @pastormichaelkayombopendec2497 Місяць тому +3

    Hakika nayapenda mahubiri yko

  • @janekulwa3269
    @janekulwa3269 Місяць тому +2

    Ameeen jamani uwe unamalizia Hadi mwisho kabisa kwa sisi tunaongalia nakusikiliza tukiwa mbali maana Kuna vingine tunavikosa

  • @user-sp7cm8pm4w
    @user-sp7cm8pm4w Місяць тому +2

    You are really pastor

  • @lydiakaysundays6174
    @lydiakaysundays6174 Місяць тому +4

    Tangu nianze kufuatilia mahubiri ya katekela nimekua sana kiroho,,barikiwa sana

  • @user-pq6wd1nj4d
    @user-pq6wd1nj4d Місяць тому +1

    Ubarikiwe Mtumishi, nabarikiwa sana , japo huko Kwa wenzetu bado sana , waambie kweli ,

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 9 днів тому

    Bwana Yesu Kristo asifiwe Mtumishi wa Mungu,mimi nilikuwa nina swali kwani shetani wapo wangapi?wakati nipo mdogo niliwahi kusikia kuwa shetani amefungwa minyororo kwenye chumba kuzimu ,sasa nakua sielewi unaposema kuwa shetani alishuka naomba unifahamishe vizuri maana Dunia hii walimu ni wengi

  • @user-cp1tc3io3w
    @user-cp1tc3io3w Місяць тому +1

    Mungu akujaze nguvu za Roho Mutakatifu

  • @nitwelesimon4303
    @nitwelesimon4303 Місяць тому

    Asante Sana Mtumishi wa Bwana, Unatufundisha Kumjua adui na Technic za adui, Mungu akubariki sana

  • @marthaumazi2197
    @marthaumazi2197 Місяць тому

    Haleluya nikweli Kabisa ushabiki hautatupeleka popote jamani lazima tujue tupo vitani na kumtaka Mungu atusaidie.Bwana akubariki sana Mtumishi Amieli katekela na pia karibu Malindi jamani.

  • @frankwilson2484
    @frankwilson2484 Місяць тому +3

    Gospel truths

  • @HannahNjoroge-dd8fg
    @HannahNjoroge-dd8fg Місяць тому +2

    The real gospel at this end times

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Місяць тому +2

    Sema tuponeer

  • @VeronicaEdesiusBernard
    @VeronicaEdesiusBernard Місяць тому +2

    Mpira ni dhambi kumbe jamani Mungu nisaidie

    • @ellyndossy3266
      @ellyndossy3266 Місяць тому

      No,amemaanisha kumtumia Yesu kubet mpira

    • @btsanime6138
      @btsanime6138 Місяць тому +1

      Hata kucheza mpira ni dhambi.

    • @rosemarymwanitega7926
      @rosemarymwanitega7926 Місяць тому +4

      Yes ni dhambi unajua dhambi inakuja maana unaifanya kuwa ibada ya sanamu kwako mfano ikifungwa unakuwa na maumivu moyoni,hasira,kubishana na watu,kupigana na hata kutukanana na pia unaweza kuwa tayari kuacha maombi au kisa uangalie timu yako pendwa aisee ni dhambii Sana mbele ya Mungu hapendi nami nilikuwa naupenda Roho Mtakatifu alivyonisaidia nikajua nimeacha kufuatilia mpira kabisa shetani ana mbinu nyingi Sana zakumteka mwanadamu hasa kwa vitu tunavyoona ni vizuri vinatupa furaha ndo mtego mno

  • @eliethmwanguya7118
    @eliethmwanguya7118 Місяць тому

    Mungu atusaidie

  • @sylviaswai5102
    @sylviaswai5102 Місяць тому +1

    Jamani promover , mbona kwenye maombi mnakata? Muwe mnaacha maombi yaishe

  • @sarahmwachawiliam-tt4bh
    @sarahmwachawiliam-tt4bh Місяць тому

    Jaman unakuja lini dar mtumishi wa Mungu?

  • @elisantemasaki
    @elisantemasaki Місяць тому

    Namba za simu za m hg amiel katekela ninaziomba kwa ajili ya watu wanaotaka mafunzo

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c Місяць тому +1

    AMEN AMEN AMEN

  • @KasyokaKimanzi-pf2wp
    @KasyokaKimanzi-pf2wp Місяць тому

    Jamani hiyo picha ya nani itolewe hapo hiyo ni nyumba ya mungu

  • @HoseaPeter-yu3qh
    @HoseaPeter-yu3qh Місяць тому +3

    Mi binafsi niko upande wako injili Yako Ina uhai

  • @askarwayesu
    @askarwayesu Місяць тому

    Maombez uwe unaacha tuone kilichojir baada ya mahubir

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 Місяць тому +1

    Sitasahau kipindi napitishwa kwenye mapito mazito nilikuwa nikitaka kupata amani nisikilize na akianza kuomba naomba naye ndo napata amani ubarikiwe sana siku Moja nitafika kwako

    • @mariamboki2868
      @mariamboki2868 Місяць тому +1

      Jamani naomba namba ya simu ya mtumishi katekela

  • @ikupanjela9910
    @ikupanjela9910 Місяць тому +1

    Watumishi wa MUNGU huyo anayeitikia na kinanda baada ya mtumishi tunaomba mumsimamishe anaondoa upako.
    Otherwise hongera kwa kazi nzuri mtumishi wa MUNGU.

  • @mauwasafi3430
    @mauwasafi3430 17 днів тому +1

    Amen