We mchungaji nimekupenda Bure unafundisha viatu vya kweli unamhubiri YESU halisi yaani natamani ungekuwa karibu niwe muumini Kwa uwaminifu Jamani Mungu akubariki zaidi na akupe uwezo wakutufundisha zaidi yaani siachi angali hii charnel weeeeeh ni moto
God bless you pastor amielly katika yesu akuzingire maana wengi walitolewa kusimu lakini hawajaweka mambo ya kuzimu hatarani kama wewe aisee asante yesu wa Mbinguni
Asante sana, Mchungaji Amiel Katekela.wewe ndio sababu yangu kuokoka kweli, kumkubali Yesu na kuacha njia za giza. Asante Yesu kwa kumuokoa Amiel Katekela kwa Shuhuda zake za kufungua Macho ya kiroho, wengi tumeokoka na hatutarudi nyuma.
watching from Kenya 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu akusimamie, na akutumie kwa kiwango cha juu, kwaajiri unajua kila kitu. Na yesu ni bora kuliko vyote 👏🏽
Ubarikiwee na Yesu anipe nguvu ya kushi.nda dhambi na anilinde na adui amen😊
Naposikia mtu anamhubiri Yesu Kristo orijino najisikia vizuri sana
Ameen
Amen na mimi pia
Uyu mchungaji Katekela amekuwa wa baraka katika maisha ya wengi,acha Mwenyezi Mungu akulinde mtumishi "bendera chuma mlingoti chuma ".❤️
Ameen
Amen
Plus
Mungu ana tupenda sanaa jmn Kila kitu kimewekwa wazi uchaguzi n wetu 🙏🙏
Mtumishi wa Mungu nakufuatilia Sana na niko pamoja na wewe
Mungu akulinde daima,atakaye kukugusa,awe anaigusa mboni ya jicho la Mungu
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu aliye hai katika jina la Yesu Kristo. Pesa si kitu mbele ya mwenyezi Mungu, na ni mtego kweli wa shetani
Mwenye Masikio na Asikie, Mungu atusaidie
Eeee mungu tusaidie kufanya matengenezo na uokuvu wa kweli ,amen ,ndugu Amiel katekeza mwinjilisti ufike mbali ktk huduma hii
Mungu ni mwenye nguvu kuzidi wote , Mungu aendeleye kuwa nawewe siku zote .
Amina sana mtumishi kwakweli mungu atusaidie sana Maana bila musaada wa mungu hatuwezi
Eee Mungu atusaidie saana. Mch katelkella Mungu akulinde uendelee kutufundisha na kutueleza ukweli. Amina
BWANA YESU APEWE SIFA UNAWEZAJE KUFIKA KWETU MASASI MTWARA?
We mchungaji nimekupenda Bure unafundisha viatu vya kweli unamhubiri YESU halisi yaani natamani ungekuwa karibu niwe muumini Kwa uwaminifu Jamani Mungu akubariki zaidi na akupe uwezo wakutufundisha zaidi yaani siachi angali hii charnel weeeeeh ni moto
Mungu aendelee kukutumia Mtumishi wa Mungu hata vizazi vetu vipate shuhuda zako nimebarikiwa saaaan👏👏👏👏👏👏👏
Amen mtumishi wa Mungu..🙏 Mungu akutunze umebadili maisha ya wangu amina
Bwana yesu asifiwe mchungaji katekela na mungu akulinde na atie nguvu kutangaza jina la bwana wetu Yesu kristo!!
Bwana yesu asifiwe na MUNGU atuhurumie sana 🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana kwa mafundisho yenye weredi mkubwa .Mungu aendelee kukutunza kimwili na kiroho umtangaze Kristo aliye hai pembe zote za dunia.
Mungu akusaidie sana mtumishi wa bwana ubarikiwe sana na mim nabarikiwa sana tena sanaaaaaaa
Amen mtumishi mngu akubaliki
Mungu akutie nguvu mungu akubaliki sana
Mungu akuwezeshe Tena na tena Bwana Yesu akulinde chini ya uvuli wa Damu yake
Damu ya Yesu Kristo imefanya ini lako kuwa hai zaidi ya asilimia mia kwa jina la Yesu Kristo
Mungu ni muweza was yote mutumishi mungu akubarik kwa mahubir yako
Amen asante Yesu Kristo kwa tufunulia mazito tusiyoyajua asante Bwana Yesu
Imani yangu imeongezeka kuskiya Yesu amemulinda bifo 54, Mungu ni mwenye uruma pia Yesu Christu ndo mweza yote,ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu
Amina, Mungu ametupa Neema kuu ya Yesu Kristu
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, Mungu atusaidie
We Yaredi katekela umeokoka kutokana na wengi walioko kigoma waliifungwa kwa giza kuu Mungu akubariki Sana AMEN
Amina mchungaji MUNGU atusaidie
Ni mara ya kwanza kumsikiliza. Mchukaji huyu kweli YESU ANA WATU NIMEPENDA NENO HILI BENDERA CHUMA MLINGOTI CHUMA❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Umekosa mambo mazuri mengi kutokana na mahubiri ya Mchungaji, Ukisikiliza vizuri utajua mambo mengi ya ajabu yaliopo huku Duniani.
Mungu Nisaidie mi na familia yangu kupitia jina la Yesu siku zote za maisha yangu wala usinipungukie maana dunia imejaa dhiki😢😢
God bless you pastor amielly katika yesu akuzingire maana wengi walitolewa kusimu lakini hawajaweka mambo ya kuzimu hatarani kama wewe aisee asante yesu wa Mbinguni
Semina hii ilinipita namshukuru Mungu naendelea kubarikiwa. Mungu ambariki Mch Katekella
Amen mtumishi mungu akubaliki
Asante sana, Mchungaji Amiel Katekela.wewe ndio sababu yangu kuokoka kweli, kumkubali Yesu na kuacha njia za giza. Asante Yesu kwa kumuokoa Amiel Katekela kwa Shuhuda zake za kufungua Macho ya kiroho, wengi tumeokoka na hatutarudi nyuma.
Bwana Yesu azidi kukutunza sana Mtumishi wa MUNGU alie hai
Amen,amen mtu wa mungu kutufundisha kweli ya mungu
Mungu akubariki bàba mchungaji
Nabarikiwa mnoooo.... Natamani watu waamin maana Kuna ambao wangependa kuwekwa wazi hao manabii lakini hata wakiwekwa wazi watu hawataamini
Amen Amen hakika nimebarikiwa naMutumishi waMungu
🎉
Watching from Kenya
Ubarikiwe Sana mtumishi katekela
Watching from SA. Lord protect your servant against the enemy
Daaah mungu nihurumie asante kwa mafundisho
Ushuhuda Safi kwa wenye Moyo wa nyama lakn wenye Moyo wa jiwe mmmm
Hata sijui cha kufanya nikisikiaga ushuhuda kama huu nataman hata ningekufa wakati Mungu anikomboe aniongoze muda wote inatisha sana hii dunia
Mchungaji Amiel, Mungu akubariki kwa mafundisho.
Aminaa,nimebarikiwa saana mchungaji,barikiwa saana
Amena Amena Amena MUNGU akubariki sana mtumishi kwamaubiri yakuokowa
Hakika Nguvu ya Mungu ni ya ushindi
Yesu nisaidie mimi
Mungu azidii kumuweka jmn mchungaji Amieli nafurahia sana huduma yake mungu ambariki sanaa yeye na family yake❤❤
Mwenyez MUNGU akutunze ee Mubarikiwa
Mungu nisaidie nifike mbingun
Asante sana mtumishi kwa neno. Afadhali kuokoka sasa,
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Sema mtumishi maana nyakati zimeisha
YESU KRISTO NI KILA KITU YESU kRISTO NI VYOTE KATIKA VYOTE INJILI UNAYO HUBILI BWANA YESU KRISTO AKUBALIKI SANA SANA
Ubarikiwe sn mtumishi wa Mungu
Amina kubwa mchungaji
Huyu pastor ,natamani afungue kaniza huku tranzoia kitale /Kenya watu wapate hii ukweli ,mungu anue Sana pastor
Amen amen amen ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
Pastar endelea kusema kusudi la mungu
Muumbà wambingu naichiakuzidishiye kabisa amen
Ee mungu tusaidie sis wanadamu
From kenya
Mungu akubariki sana mtumishi, usikae sana uje Mombasa jameni
Mungu akubariki
Barikiwa sana kk
Ameni MUNGU akubariki sana❤❤
nakufatilia mtumishi wa mungu
Kweli kabisa Neno la Mungu linapo hubiriwa katika ukweli nitamu sana
Kweli kabisa ubarikiwe Mutumishi wa MUNGU tusaidiye yesu
Weee ujumbe mzito tunahitaji wokovu wa kudumu
BWANA akulinde mtumishi katekela
amen yesu abewasifa 🙏👏
From Zambia
Naendelea kuusikiliza ushuhuda huu mhimu.
Wow muchungaji Niko Kenya nikuje aje nataka ukobizi nielekese
Kweri hakika huu ushuhuda umenitia moyo sana tudiize kuonmbeanee?
Mchungaji katekela amekuwa wa baraka sana
Ubarikiwe Kwa mafundisho mazuri ndimi vitaely
Uyu jamaa anaongea vitu anavovielewa tumzingatie sana
Kweli kabsa
Nakualika kariadudu Nairobi Kenya plz
Utakuja?
Ndioo
Ameeeenn
Amen!
Mungu akubari sana, naomba namba za simu
Tokia mombasa
Nyie mnaodanganywa na maji na mafuta ya upako poleni
Mungu tusaidi
USICHEZEEE UOKOVU.
Aminaaa
Ameeni
Amina
Nimejua kwamba kumbe shetani anadini kubwa nilitaka kuhamia huko kumbe ningemwabudu Akbar Mungu wa kuzimu
Wafuasi wa hyo dini ukiwaambia wanakutukana
AMEN
Ameeen.
Amen Amen
Amen 🙏🙏