- 46
- 934 974
Namsifu Maduhu Mwita
Tanzania
Приєднався 16 січ 2020
Ni wewe Mungu ninakuimbia. Asante sana kwa kunisikia nikiongea na wewe kwa njia ya nyimbo. Pokea sifa na utukufu maana ni wewe uliye Mkuu. Wakati wengine wanasifu watu, majumba, mali na umaarufu wa dunia hii mimi nimechagua kuliinua juu jina Lako takatifu. Nisaidie kuuelekeza moyo na maisha yangu yote kwako.
Wasaidie na wengine wakisia nyimbo hizi ziwaguse kukuelekea wewe. Bado nakuhitaji usiondoke, kaa nami tuimbe pamoja.
Wasaidie na wengine wakisia nyimbo hizi ziwaguse kukuelekea wewe. Bado nakuhitaji usiondoke, kaa nami tuimbe pamoja.
Namsifu Maduhu Mwita - MNYWESHAJI (Official Video)
Unapitia uzoefu fulani maishani mwako, unahitaji mtoto, unahitaji ajira, unahitaji mke/mme, unahitaji kuwa karibu na familia yako, unahitaji uponyaji, unamhitaji Mwokozi! USIOGOPE, MUNGU atakukumbuka katika wakati sahihi, kama alivyomkumbuka Yusufu alipokuwa gerezani.
Переглядів: 1 632
Відео
Namsifu Maduhu Mwita - Asante YEHOVA (Official Video)
Переглядів 3,3 тис.7 місяців тому
Pasipo shaka sisi sote kama wanandamu tunayo mambo ambayo tulianza hatua moja ili kufikia mahali fulani. Mambo haya yanaweza kuwa safari ya ndoa, masomo, kazi, mapambano katika maisha, safari pamoja na Yesu kwa njia ya ubatizo na mengine mengi. Yote hayo tulianza kwa kujenga imani kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo. Pamoja nami tumshukuru Mungu kwa kutulinda NYAKATI ZOTE. Tena tukumbuke kwamba Mungu ...
Namsifu Maduhu Mwita na Familia - Kuwatafuta (Official Music Video)
Переглядів 4,6 тис.9 місяців тому
Jukumu letu ni kuwatafuta wasiomjua Yesu tuwalete kwake
Namsifu Maduhu Mwita - Upendo wa Yesu (Official Music Video)
Переглядів 7 тис.10 місяців тому
Yohana 3:16
Namsifu Maduhu Mwita - Mungu Mwenye Uweza (Official Music Video)
Переглядів 7 тис.11 місяців тому
Yesu alimponya mtu aliyepagawa na pepo wengi. Mapepo hayo yalimfanya mtu huyo aishi makaburini huku akijikatakata kwa mawe. Watu walimfunga pingu na minyororo lakini aliikata. Siku moja Yesu alifika mahala pale alipomwona alimhurumia akamponya. Yesu yuko nawe katika changamoto zote unazopitia na siku moja, kama alivyomponya yule mtu atakuponya nawe. Soma Marko 5:1-20 na Luka 8:26-39 utapata kuj...
Namsifu Maduhu Mwita - Mungu Mwenye Uweza (Official Audio Music)
Переглядів 2,3 тис.Рік тому
Kupitia wimbo huu nimemwomba Mungu akubadirishie historia yako. Litukuzwe jina la BWANA.
Namsifu Maduhu Mwita -Jua la Rohoni (Official Music Video)
Переглядів 10 тис.Рік тому
Mungu ni nuru nyakati zote . Anashughulika sana na maisha yetu. Ubarikiwe unaposikiliza wimbo huu.
Nyimbo Bora za Namsifu Maduhu Mwita - Sehemu ya Pili
Переглядів 9 тис.2 роки тому
Hebu Mungu akupatie tafakari ya kina unaposikiliza nyimbo hizi. Timecodes 00:00 - Shida Zikija 05:05 - Mzao Mteule 10:30 - Umesumbuka Sana? 15:23 - Amenipa Furaha 20:39 - Yesu Asimama
Nyimbo Bora za Namsifu Maduhu Mwita - Sehemu ya Kwanza
Переглядів 13 тис.2 роки тому
Mungu akubariki unaposikiliza nyimbo hizi. Timestamp 00:00 - Muige Yesu 05:30 - Ombi Langu 11:06 - Sitaogopa 15:43 - Hakika 22:00 - Kumepambazuka
Namsifu Maduhu Mwita - Mzao Mteule (Official Music Video)
Переглядів 7 тис.2 роки тому
Sisi sote tunaitwa tutoke katika giza la uovu na kuingia katika nuru yake Kristo Yesu.
Namsifu Maduhu Mwita - Nzugu Wingile (Sukuma - Swahili Caption)
Переглядів 11 тис.2 роки тому
Ubarikiwe sana unapomkaribisha Yesu moyoni mwako.
Namsifu Maduhu Mwita- Timna (Official music video)
Переглядів 40 тис.3 роки тому
Samsoni Akasema nitakwenda nje kama siku nyingine na kujinyoosha. Lakini hakujua ya kuwa Bwana amemwacha. Waamuzi 16:20
Namsifu Maduhu Mwita- Kumepambazuka (Official music video)
Переглядів 26 тис.3 роки тому
Tunalala, tunaamka, tunakwenda na kurudi tukiwa hai. Zote Hizo ni fadhili za Bwana. Mungu anatulinda, anatutunza, anatuvika na anatulisha bila shaka anataka tumwabudu. Hivyo tunavyofanikiwa tukumbuke kuwasaidia wahitaji na kuidhamini neema hii.
Namsifu Maduhu Mwita-Bwana Mungu nashangaa!!! (Official music video)
Переглядів 10 тис.3 роки тому
Ni tukufu kazi ya mikono ya Mungu na maarifa yake ni ajabu... Ni kwa upendo wake alifanya vitu vyote kwa ajili yetu wanadamu... Hivyo hatuna budi kulisifu jina kuu la Mungu wetu.
Namsifu Maduhu Mwita-Baba yetu wa Mbinguni (Official Music Video)
Переглядів 10 тис.3 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita-Baba yetu wa Mbinguni (Official Music Video)
Namsifu Maduhu Mwita- Mkatendeane Mema (Official Video)
Переглядів 9 тис.3 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita- Mkatendeane Mema (Official Video)
Namsifu Maduhu Mwita na Wazazi Wake-Hatutazeeka (COVER)
Переглядів 5 тис.3 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita na Wazazi Wake-Hatutazeeka (COVER)
Namsifu Maduhu Mwita-Nijue Maisha Yake (Live Performance at Kizota Net Event Dodoma)
Переглядів 11 тис.3 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita-Nijue Maisha Yake (Live Performance at Kizota Net Event Dodoma)
Namsifu Maduhu Mwita- Msifadhaike (Live Performance at Kizota Net Envent Dodoma)
Переглядів 4,1 тис.3 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita- Msifadhaike (Live Performance at Kizota Net Envent Dodoma)
Namsifu Maduhu Mwita-Umesumbuka Sana? (Official music Video)
Переглядів 24 тис.3 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita-Umesumbuka Sana? (Official music Video)
Namsifu Maduhu Mwita - Mungu Wetu Yeye Mwamba (Official Video)
Переглядів 25 тис.3 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita - Mungu Wetu Yeye Mwamba (Official Video)
Namsifu Maduhu Mwita na Watoto Wake - Furaha Gani! (Official Video)
Переглядів 17 тис.3 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita na Watoto Wake - Furaha Gani! (Official Video)
Jesus now more than ever byJimmy Swaggat cover by Namsifu Maduhu Mwita(Swahili live performance)
Переглядів 2,1 тис.3 роки тому
Jesus now more than ever byJimmy Swaggat cover by Namsifu Maduhu Mwita(Swahili live performance)
Namsifu Maduhu Mwita- Saa Heri ya Maombi (Official music video)
Переглядів 5 тис.4 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita- Saa Heri ya Maombi (Official music video)
Namsifu Maduhu Mwita- Sitaogopa- Bonus track(Official music video)
Переглядів 57 тис.4 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita- Sitaogopa- Bonus track(Official music video)
Namsifu Maduhu Mwita- Saa ya sala(Official music video)
Переглядів 14 тис.4 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita- Saa ya sala(Official music video)
Namsifu Maduhu Mwita- Shida zikija(Official music video)
Переглядів 12 тис.4 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita- Shida zikija(Official music video)
Namsifu Maduhu Mwita- Sitaogopa(Official music video)
Переглядів 40 тис.4 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita- Sitaogopa(Official music video)
Namsifu Maduhu Mwita- Hapo mwanzo(Official Music Video)
Переглядів 9 тис.4 роки тому
Namsifu Maduhu Mwita- Hapo mwanzo(Official Music Video)
Mungu atukuzwee kwa karama njema ubarikiwe na bwana sana
Mungu akubarik napenda nyimbo zako
Wimbo wenye mguso, Mungu na azidi kukutumia kama apendavyo
Huu wimbo nimeutafuta sana hatimae nimeupata ubarikiwe dada angu
Wau, powerful song with great message 💯 am blessed 🎉🎉
❤
Bwana Ashukuriwe sana Kwa wimbo huu mzuri mama yangu,,, 📚
❤❤❤❤
Yesu ww ulisema niwapo dhaifu unanipa nguvu.
Barikiwa sana ni wimbo mzuri unaonibarrki sana.
Greatest of all time ❤
Ninazidi kubarikiwa na nyimbo zako toka nilipokuwa mdogo na sasa ni mtu mzima kidogo. Niseme nini sasa? Mungu akubariki sana
Dada umebanibariki sana na uimbaji wako mzuri barikiwa sana Amina.
@@MarwaChacha-u9r ubarikiwe sana mtu wa Mungu
Hakika🍇🍎🔊
Barikiwa sana mtu wa Mungu
Good advice servant of GOD ❤
GOD bless u together with your family
Barikiwa mno mamaa. Mguso wa pekee katika wimbo huu wa kiroho ul'otulia vizuri. 🙏😊
2024❤❤❤
barikiwa dada namsifu kwa wimbo mzuriii
Nikumbuke unapo rudi wimbo unagusa kweli
Amina mutumishi wa mungu tupo pamoja
Wabeja mayu
Nabarikiwa Sana na nyimbo zako
Amen
🙏
I am always blessed by your songs!!!
Mungu akubariki sana Kwa Ujumbe mzuri.🎉🎉
Unakipaji kizuri Cha uimbaji, nabarikiwa na nyimbo zako
eu nao estou entender, mais este louvor e o meu favorito ate entao, que continue sendo usada mama namsifu😍😊😇
Very inspiring
Barikiwa sana
Barikiwaaa kwakweli
Nabarikiwa na nyimbo zako zotee ww ni role model wangu blassed moreee
barikiwa wimbo mzur naupenda sana
Nzurii
God bless you so much 🎉
Amen 🙏
ahsante sana mama kwa ujumbe mzuli barikiwa sana
Mungu awabarik sana wtu wa mungu
Wonderful voice surely🤭🤗thank you for doing this items
Amen,tumuige yesu barikiwa. Sana mama
Amen,tumuige yesu barikiwa. Sana mama
Barikiwa
Hongera Sana, sikujua kama upo na kipaji cha uimbaji
Mungu awabaliki nyinye wote
God bless you mother for great songs
Amina🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wimbo una ujumbe mzuli sana
Amen dada